MELKIZEDEKI HANA MWANZO WALA MWISHO HANA BABA WALA MAMA ALIKUWA NANI?

  Рет қаралды 12,993

MWALIMU ISAYA BENSON

MWALIMU ISAYA BENSON

Күн бұрын

#specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.
ZABURI 119:130
Kufafanusha maneno yako kwatia nuru na kumfahamisha mjinga
ZABURI 119:11
Moyoni mwangu nimeliweka neno lako nisije nikakutenda dhambi

Пікірлер: 48
@bachunyamgude
@bachunyamgude 13 күн бұрын
Nakubali. MUNGU akubariki
@rabiamenshoo1988
@rabiamenshoo1988 6 ай бұрын
Umejibu maswali yangu mengi sana, nilikuwa najiuliza sana juu ya Kuhani huyu wa Milele.Ahsante sana Mwalimu
@romanus6219
@romanus6219 6 ай бұрын
Amen
@enockngendakumana5181
@enockngendakumana5181 18 күн бұрын
Thanks somuch
@abelwillium4286
@abelwillium4286 4 күн бұрын
Safi sana Mtu wa Mungu unaipanua sana akili yangu, pia namba kujua hicho kitbu ulicho soma kinaitwaje?
@Ufinder810
@Ufinder810 6 ай бұрын
Asante sana Mwalimu,nilikua nafikiria juu ya huyu kuani bila jibu la sasa mambo yako sawa❤
@oscarmario466
@oscarmario466 5 ай бұрын
Mwalimu Benson mwakilembe Nashukuru Mungu kwa ajiri Yako kutoka kwenye uchambuzi mpaka kwenye ualimu wa Neno usikatishwe tamaa tunakuhitaji sana
@lucaswanyonyi4037
@lucaswanyonyi4037 6 ай бұрын
Niko kenya nakufuatilia ila nimegunduwa kuwa. Kuna baadhi ya mambo hujibu sahihi.unategemea. vitabu vya deotokaroni ambayo havijadhibitishwa
@willymshana4347
@willymshana4347 6 ай бұрын
Unataka kitabu kuthibitishwe na nani kama ni maandiko yenye Tija kuna dhambi gani kuyatumia au ndo mpaka wazungu wathibitishe ndo unaamini maandiko
@lucaswanyonyi4037
@lucaswanyonyi4037 6 ай бұрын
@@willymshana4347 bila shaka umeenda mbali nitajie waandishi wa bible
@elishaurio1172
@elishaurio1172 3 ай бұрын
Asem au adhibitishe yy
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 25 күн бұрын
Ubarikiw sana
@stevematias7809
@stevematias7809 5 ай бұрын
Unatufundisha mengi Sana Sana Tena wanaotuka achana nao ss tuko paomjaa. Steve kutoka zanzibar
@ashantimoleta7798
@ashantimoleta7798 5 ай бұрын
Amen Amen Amen mtumishi wa MUNGU
@ShukuruBaruwani-v4w
@ShukuruBaruwani-v4w 5 ай бұрын
Ubarikiwesana ilaninamaswalisana
@SurprisedBirdNest-zk5by
@SurprisedBirdNest-zk5by 5 ай бұрын
Samaahni, rudia Kwa undani zaidi kuhusu mke wa kwanza wa adamu!
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 6 ай бұрын
Amen aburakiwe nikweli mwalimub
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 6 ай бұрын
Umejibu vema sana Mwlm Benson
@AsiriSimuchimba
@AsiriSimuchimba 6 ай бұрын
Umenijenga sana mwalimu.
@AthumaniPuchu
@AthumaniPuchu 5 ай бұрын
Hakika umesoma sana unajua mno
@nelsonbaregu8942
@nelsonbaregu8942 5 ай бұрын
Asante mwalimu
@edithamdemu396
@edithamdemu396 6 ай бұрын
Hiki kitabu kwa nini hakikuingia mbona ni Kama kitabu cha ufunuo wa yohana. Ubarikiwe mwalimu
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 6 ай бұрын
Mbona kama Yesu aliwahi kuishi..
@agapealmasi2065
@agapealmasi2065 23 күн бұрын
Ndio aliwahi kuishi na bado anaishi,alikuwepo kabla ya uumbaji,na wakati wa uumbaji akiwa kama fundi stadi!!
@desirenduwimana411
@desirenduwimana411 5 ай бұрын
Asante kwa jitihadha zako ndugu lakini mandishi mengi yakale hauwezi elewa ni yapi yalitokea kwanza na ni yapi yatakayo fuata. kama ulivyo maliziya historia yote inaelekeza wakati ujao katika kipindi cha utawala wa Kristo wa miaka elfu moja na badaye ufunuo sura ya 20:1-... lakini Abrahamu, Sara, loti, (wa yebusi-bada yakushindwa nawa Israel na mahari pale kugeuzwa jina Yerusalemu, lakini mbele ulikuwa mji wa wayehusi. Melkezedeki alikuwa mfalme harsi ila mandiko hayataji wazazi wake. kwahiyo siyo fumbo hatakidogo na siyo unabi. Mtume Paulo siyo mara yakwanza kufananisha historia za kale nazawakati wake na kipindi kijayo. katika balua yake kwa Wakorinto yeye mwenyewe ali kili kwamba ana Roho takatifu inayo wmuwezesha kufananisha vitu. Arifananisha uzao wa Abraham na uzao wa Kristo, au wakristo kwa imani, akafananisha mlima mumoja wa Arabia...na Yerusalemu la kimbingu asema eti hawezi kuzaa lakini ana watoto wengi, na ni mama wetu, akafananisha ukuhani wa Merkezedeki na wa Kristo, akafananisha Kristo mwenyewe na Melkezedeki. kwahiyo mifano na vitu halisi nitofauti sana kabisa. Yesu Kristo katika mafundisho yake alitumia mifano nyingi sana, kama shori, maua, mzabibu isio zaa, jihanamu nakadhalika. kuna sala ya kifahali(famous prayer) kwa mara ya kwanza inapatikana ikitolewa na Ana, mamayake na Samuel akishukuru Mungu kwa kumupa mtoto, badaye sala hiyohiyo ilitolewa na mamayake na Samson, chakushangaza ikarudiwa na mama yake John Batista, hatimaye Mariya mama wa Yesu Kristo akarudia maneno yaleyale😂😂😂. swali ninani kati ya hao wana mke aliye yatamka kwanza😂 na ilifikaje kila mwanamke mwenye kumuchaa Mungu aludiye maneno yaleyale. kwahiyo muwe makini mukisimuriya hasa hizo habari zakare ambazo hatujui zilianzaje.
@kiungulias
@kiungulias 3 ай бұрын
Hii historia naipata katika kitabu gani?
@Georgekapiki
@Georgekapiki 5 ай бұрын
Mtumishi hakika umenitoa kwenye usingizi mzito mafundisho Yako niyauwazihayana utata naamini upingaji siku waukweli unapingwa vita na vizazi vimeulidhi kwaiyo sishangai ukipingwa yesu mwenyewe walimpinga mafundisho yenye uzima wa milele Mimi ya kwangu kwako nikukuombea TU
@obedmasaki3565
@obedmasaki3565 6 ай бұрын
Anayetaka tuongelee tu kurudi kwa Yesu, asipeleke hata watoto shule wala asijenge nyumba maana Yesu anarudi
@pauljoackim2786
@pauljoackim2786 6 ай бұрын
MWALIMU ISAYA, ELIM HAINA MWISHO, ENDELEA KUTUELIMISHA KUHUSU NENO LA MUNGU!
@ROSEMWANGAOFFICIAL
@ROSEMWANGAOFFICIAL 6 ай бұрын
Hakika unatufungua Sana ::more smart
@ROSEMWANGAOFFICIAL
@ROSEMWANGAOFFICIAL 6 ай бұрын
Hakika unatufungua Sana ::more smart
@AyubuAnderson
@AyubuAnderson 4 ай бұрын
Sina amani na wew uwezi sema yohona kielehere
@XhebbyMandevu
@XhebbyMandevu 3 ай бұрын
Si elem yako ya kufikili ni ndogo sana sasa utakuaje na imani na mtu mwingine yakwako tuu imekushinda
@SHULE_YA_KRISTO
@SHULE_YA_KRISTO 6 ай бұрын
Nataka kujua, ile GOGU iliyo tajwa miaka mingi ya NUHU...ndio RUSSIA ya leo?...au Unabii wa Ezekieli ulihusu wakati ule wa Masihi.
@ndayihimbazealoys9737
@ndayihimbazealoys9737 6 ай бұрын
Sio yesu alikuwa ni Shem soma kitabu iblam
@EDGARNDOSSI
@EDGARNDOSSI 6 ай бұрын
Hakika hata mimi nimefuatilia nimegundua ni SHEM
@petermwenda6470
@petermwenda6470 5 ай бұрын
Weka namba mtumishi
@HenryTindwa
@HenryTindwa 4 ай бұрын
Kitabu gani mwalimu nakipata vpi
@edithamdemu396
@edithamdemu396 6 ай бұрын
Nimepata elimu mpya ubarikiwe mtumwa wa BWANA kwa mafundisho haya
@carolsangawe2024
@carolsangawe2024 4 ай бұрын
Hayo maneno kuhusu Abraham na mwali wa moto unasoma toka kitabu gani?
@veronicalaiser7869
@veronicalaiser7869 22 күн бұрын
Na mimi natamani kusikia ni kitabu gani kinatoa maelezo hayo ya Ibrahim?
@TAFSIRIZANDOTO4106
@TAFSIRIZANDOTO4106 6 ай бұрын
hizo habari zinapatikana katika kitabu Gani Mwalimu
@ramaEli-kr7qy
@ramaEli-kr7qy 5 ай бұрын
Mwanzo Hebrew 7:1.3
@TAFSIRIZANDOTO4106
@TAFSIRIZANDOTO4106 5 ай бұрын
@@ramaEli-kr7qy hizo za hicho kitabu ulichokuwa unasoma nnje ya bibilia
@patrickgitonga9013
@patrickgitonga9013 2 ай бұрын
Tuambie unasoma kitabu gani wewe
@patrickgitonga9013
@patrickgitonga9013 2 ай бұрын
Hii history ya melizedeki Iko kwa kitabu kinaitwa prophet and kings
@marionoti5760
@marionoti5760 5 ай бұрын
hivi kuyachua maandiko ndio uchamungu? biblia imekuwepo tangu miaka 1450 BK na ukristo ulikuwepo kabla ya hapo takribani miaka 1400BK.
@ramaEli-kr7qy
@ramaEli-kr7qy 5 ай бұрын
Dont go out Bible.
✝️The Life of Jesus (📜Gospel of John) Full Movie [4K ULTRA HD]
3:03:14
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 24 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 16 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 45 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
SOMO: MAREKEBISHO YA MOYO - GeorDavie TV
1:16:36
GeorDavie TV
Рет қаралды 2,4 М.
The Sound Narrative: The Preservation of the Qur'an in Sunni Islam | Dr. Ali Ataie
3:02:21
Muslim Community Center - MCC East Bay
Рет қаралды 192 М.
1 - GENEZA - Vechiul Testament - Biblia Audio Romana
3:52:01
BibliaAudioRomana
Рет қаралды 4,4 МЛН
SOMO: IMARA KULIKO MWANZO - GeorDavie TV
48:41
GeorDavie TV
Рет қаралды 2,3 М.
FAIDA ZA KUPOKEA UPAKO WA MFALME NA KUHANI MKUU MELKIZEKI WAKATI WA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA
1:19:18
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 158 М.
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 468 М.
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 24 МЛН