MFAHAMU RAIS 'BISHOO' ANAYEISHANGAZA DUNIA/ AZIGUSA TAASISI NYETI KIMKAKATI/ MATAIFA YAMJADILI

  Рет қаралды 444,262

Dar24 Media

Dar24 Media

Жыл бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 162
@user-il8wx3eq8i
@user-il8wx3eq8i 2 ай бұрын
Asante dada wanao kuponda kua hujui Kiswahili pia wameelewa mimi nimekuelewa
@karisamlako3072
@karisamlako3072 Жыл бұрын
Maashallah keep it up my lovely sister...kongole kwa usanifu wako wa lugha licha ya kutokuwa fasili yako.
@Jonathanmakhubela-kb6lz
@Jonathanmakhubela-kb6lz 2 ай бұрын
Hariri nzuri sana nasikiliza kutoka sowetto~♥~ SOUTH AFRICA~♥~ napapenda sana tanzania na napenda sana ulivyo tangaza nimefurahishwa na ulivyoelezea simulizi ama hariri hii ya raisi bishoo ni nzuri sana keep it up we like u so much 💗💗💗
@AdanTaro
@AdanTaro 2 ай бұрын
🎉 😮❤😊
@satwanthoogan6429
@satwanthoogan6429 Жыл бұрын
Ndo kwanza Leo nimjue uyo raisi bishoo!😊👍🏻
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 Жыл бұрын
Mimi pia
@jesuslove2205
@jesuslove2205 Жыл бұрын
great
@Jonathanmakhubela-kb6lz
@Jonathanmakhubela-kb6lz 2 ай бұрын
Ngiyathanda sisi in zulu i mean that i love you sister ,, keep it up we both like what u do, dont give a shitt to anyone who breaks your heart in this hard work you always deliver kiswahili ni kizuri na kitamu na unatamka vizuri sana tu achana na ngiri pori wanaojaribi kusema maneno mabaya nimeipenda sana simulizi hii ama uhariri huu safi sana 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
@Maryc2G
@Maryc2G 3 ай бұрын
I salute 🫡 Mr president of El Salvador 🇸🇻
@shabanmruma5537
@shabanmruma5537 3 ай бұрын
Ye mwenyewe mpalestina hawamtishi umafia😂
@International_Admin
@International_Admin Жыл бұрын
Mbona me naona anaweza tu
@sammysammy2001
@sammysammy2001 Жыл бұрын
Big up
@lirastanley390
@lirastanley390 Жыл бұрын
😂safi sana maisha Ndio yalivyo heshima kwa kila rika
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
Bishoo kwali bishoo wa nguvu msimamo wa hayati MAKUFULI ✊
@Babygirl758
@Babygirl758 3 ай бұрын
Palestine 🇵🇸 is one of Allah’s (SWT)beloved ethnici nation, as our prophet issa bin maryam (A.s) or known as jesus in the Bible is Palestinian .. all races and ethnicities are equal in the eyes of god except for those who are righteous and follow Allah’s (SWT) commands, those have a higher regard in the eyes of the almighty.. and Palestine has an impressive number of prophets as history shows !! #freepalestine
@sebatech3951
@sebatech3951 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@justinflmoni7262
@justinflmoni7262 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@harymo173
@harymo173 3 ай бұрын
Hahaha hii nchii ndoo nzuri fanya Mambo yako kimafia zaidi Nilikuwa nafatilia hii nchii toka mwaka juzi naona yuko vizuri hasa kwenye maendeleo ya technology 🎉
@nth3512
@nth3512 Жыл бұрын
Matatizo ya wengi wa vijana wa kileo
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 Жыл бұрын
hivi ni mm ndo sijui vyema lugha ya kiswahili au...
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 Жыл бұрын
Unasauti nzuri ila kiswahili chako sio kizuriii
@chiefchacha2992
@chiefchacha2992 Жыл бұрын
Mtangazaji unazingua katika Lugha yetu Bhana, Hardhi - Ardhi Sihasa - Siasa
@Banyikwa-po2mo
@Banyikwa-po2mo 3 ай бұрын
Anazingua
@Zai-vh7jd
@Zai-vh7jd 2 ай бұрын
Bora mlisemee hili la lugha. Vijanana waandishi habari wengi siku hizi eti hawajui herufi za kuswahili. Wanaharibu matamshi kabisaa. Ni aibu sana ukizingatia kua kiswahili ni lugha ya taifa- Tz. Jirekebisheni.!
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Жыл бұрын
Hayana,Sihasa mara Alizi ndio kiswahili Gani?
@jumahatibu9240
@jumahatibu9240 Жыл бұрын
Ndo ungetengeneza ya kwako yenye kiswahili kizur...achan ujinga jifunze kwanza
@sakinaomary7207
@sakinaomary7207 2 ай бұрын
Nakubaliana naye
@thechosene.b7747
@thechosene.b7747 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏❤️🌹
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Huyu dada wa wapi kuongea kiswahili hajui njoo zanzibar usome kiswahili
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 Жыл бұрын
HatA wewe Kuna vitu hujui yeye anajua
@Saidkhel
@Saidkhel Жыл бұрын
Ulivyo jua weye kimekusaidia nini mie mwenyewe ni Mpemba mwenzako lkn huo wako ni ushamba kila sehem unacomment yaani umekazania hajui kiswahili sjui nini lkn yeye yake yanasonga weye endelea na majungu wapemba wengi tunakwama kwa kujiona sisi ni bora wakat huo tumesahua kuwa Allah pekee ndiye hana kasoro kila siku ni kuwasema wabara mara malaya mara sjui hivi mara vile watu wametoka kwao kuja kutafuta riski sisi tumekalisha makalio yetu kuwatukana tu na kulaumu serikali wakati hata mtume S.A. W kasha sema safirini kutafuta riski ya halali duniani kote lkn sisi jamaaa zetu wa nchi moja hatutak waje apa na kipindi hicho ndugu zetu kaka zetu wako ulaya nchi mbalimbal hata huko bara wanatafuta maisha pasipo buguza yeyote ile na watu wa bara ukienda kwao ni wakarim mno mpaka raha lkn wao wakija Zanzibar wanabaguliwa kinoma mpaka huruma mambo mabaya yote wanasakiziwa wao mara wezi mara malaya mara vile kwa mfano ukiambiwa utembez njugu kama wanavyo fanya wamakonde utaweza jibu ni no lkn njugu unapenda je wasinge kuja hapo ungepata wapi hizo njugu kiufupi sisi wazanzibar tumekaliaroho roho mbaya ubinafsi kujipa umungu mtu kujipa darja kubwa na kudharau wengine ndiyo maana tunakuwa na life ngumu sana tunaona kila siku serikali inatuonea japo kweli kiupande mwengine kweli inatuonea lkn na sie tuna kibri na kibri ni sifa za firauni na shetwan na Allah hawez kuwa karibu na mtu mwenye kibri wakat kila mtu anajiona Muarabu wakat wengine wanatukana wanyamwez lkn ukimuangalia yeye unajisemea tu moyon huyu nae ni mnywamwez babu yake aliletwe utumwan akabaki pemba ndiyo bac lkn atajitia uarabu Vijana wengi zenji ni mashoga madem wengi malaya wanajificha tu kwa baibui lkn nenda madisco usiku utaona dada zetu wakoje mfano mdogo sikukuu za eid watoto wanafanya hatar lkn husikii kusema kazi yetu ni kuwasema wabongo tu lkn sie wenyewe tuna machafu mengi na yanadhid kuengezeka kwa kuyaficha kujiona tuko sahihi mtu kakosea mwambie hapo dada umekosea ungeweka R baada ya L hapo mtu ni rahis kukuelewa sasa mtu unakuja juu wabongo hamjui kiswahili weye kiswahili kimekusaidia nini pembe halitafutwi kwa kujua kiswahili ndiyo maana wabongo wengi wanaishi maisha mazur kwakuwa hawana chuki hawana kinyongo hawana dharau wao wanaenjoy tu japo kiupande mwengine hawakosahihi lkn Allah ndiye mjuzi tuache ujuaje wazanzibar mbongo anaweza maliza chuo na akaja Zanzibar kuuza njugu kuuza chips kuuza vitu vidogo vidogo mtaani na hawazi wala humkuti anatukani serikali sasa usiombe mzanzibar amalize chuo tena ile certificate tu serikal itakoma mzanzibar kafika darasa laa 6 au form 2 au form 4 anatukana serikali anataka ajira serikalin ndipo utakapo jiuliza huyu mtu ni timamu au chizi wabongo nawakubal kinoma mie tena sana respect kwenu nyie wamba mnajituma sana kutafuta maisha wengine tulishwa dekezwa toka utotoni na kuaminishwa kazi zote ngumu ni za wanyamwez wakat elimu hatuna tunaishia kukaa kwetu mpaka tunaoa tukiwa kwetu mimi ni mtanzania siyo mpemba wala mbara
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Kiswahili cha kiunguja ni Kiswahili cha kisenge hakuna mbongo ambaye anapenda kuongea kiswahili chakiunguja au Mombasa na Lamu na pwani ya Tanga na basi ukikuta vijana wakibongo wanaongea kiswahili chakiunguja basi wazi utakuta hao vijana ni machoko
@Saidkhel
@Saidkhel Жыл бұрын
@@Mpakauseme no siyo cha kisenge kile ndicho kiswahili sahihi ila siyo vizur kuwatukana wabongo
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
@@Saidkhel Hapana nasi waunguja wote uzungumza kiswahili kifasaha mimi nimeishi unguja ndani ya miaka kumi basi shida iliyo hapa mitandaoni nikukandiana tu na mitindo ya kibaguzi sasa na ndio nime watusi kwamakusudi , R na H ukizitamka kiufasaha ni kama unazunguza kiarabu nandio wao utaka hivyo na watu waonge kimadoido kama watakavyo wao sasa wabongo wanaona ni usenge tu huu ndio ukweli ubaguzi unawatafuna sana na roho mbaya
@sidocee-uo7nu
@sidocee-uo7nu Жыл бұрын
😮😮😮
@shadymbuki87
@shadymbuki87 Жыл бұрын
Jifunze kusoma vizuri..
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf Жыл бұрын
Wewe umesoma ungechkua hyo nafasi yake
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene 2 ай бұрын
Wewe Ndio ujui kusoma dada Ana sauti mzuri
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 ай бұрын
Ukisema kweli unatukanwa km hajui ndio ajifunze asichafue kiswahil bn
@ireneshao7950
@ireneshao7950 Жыл бұрын
Kafanana na MO
@pascalnolas8728
@pascalnolas8728 Жыл бұрын
Uyu si, yule adui wa Boyka 2
@FaridaSeif-yk3th
@FaridaSeif-yk3th 3 ай бұрын
😅😅😅
@rajabhamis8272
@rajabhamis8272 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@nassirissa2137
@nassirissa2137 Жыл бұрын
Nakuambia kweli kazii anayoo I fanyaa
@MARIAMJUMAA-hk9fq
@MARIAMJUMAA-hk9fq Жыл бұрын
Hardhi Ardh
@jamessakaya1890
@jamessakaya1890 Жыл бұрын
Mwamba uyu hapa..
@matombotv1507
@matombotv1507 Жыл бұрын
mimi nasoma comenti
@gideon_machira
@gideon_machira Жыл бұрын
Ujaribu utafute subtitles
@jizzomonster
@jizzomonster Жыл бұрын
Rais tozi kinomaaa hyu dah! Wahuni wauza madawa ya kulevya ngada anawajua wote
@corbinX
@corbinX 12 күн бұрын
bishoo manisha nini sielewi kabisa
@SalumMrisho-gx3os
@SalumMrisho-gx3os 2 ай бұрын
hiyo ni kali
@Afrospeaks
@Afrospeaks Жыл бұрын
Amm afaan kunin afaan maani
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 Жыл бұрын
Stori nzuri ila mtangazaji sie amezingua kiswahili hajakipa haki yake anasoma pia kwa kudodosa
@KIM-xl6zs
@KIM-xl6zs Жыл бұрын
As a kenyan listening to tanzanian commentary, it sounds odd, good job though
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 Жыл бұрын
Why she talks good
@hassanabdalla2741
@hassanabdalla2741 Жыл бұрын
Nimefurahi kuwa unaweza kuongea kisw baada ya kujifunza. Naamini utakijua vizur kisw siku zijazo Dada yangu
@hanashhanash535
@hanashhanash535 Жыл бұрын
Great comment 🎉to wish someone bless🎉I can say God bless you too bro
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 Жыл бұрын
Mdada wa wapi huyu kweni?
@KhojaNasri
@KhojaNasri Ай бұрын
Haaa Moo Simba bingwaa
@sayeedbinazan
@sayeedbinazan Жыл бұрын
Nchi yenye volcano na matetemeko ya Harzi😅😅
@zuriathabdallah9492
@zuriathabdallah9492 Жыл бұрын
😂
@Zai-vh7jd
@Zai-vh7jd 2 ай бұрын
Bora mlisemee hili la lugha. Vijana na baadhi ya waandishi habari wengi siku hizi eti hawajui herufi za kuswahili. Wanaharibu matamshi kabisaa. Ni aibu sana ukizingatia kua kiswahili ni lugha ya taifa- Tz. Jirekebisheni.!
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 ай бұрын
Ukisema ukweli unatukanwa matusi
@hamisaabdalah6232
@hamisaabdalah6232 2 ай бұрын
Kiswahili hajui kabisaaaa eti hardhi baadala ya ardhi
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Eee kweli bishoo aiseee
@aspenmabati6282
@aspenmabati6282 Жыл бұрын
Hii ni movi ama
@tahiyasaeed
@tahiyasaeed Жыл бұрын
Shoga angu mtangazaji kiswahili kinakupa tabu sana, endelea kujitahidi utajuwa tu
@Jonathanmakhubela-kb6lz
@Jonathanmakhubela-kb6lz 2 ай бұрын
vizuri sana comment ya kistaarabu ba kiungwana sana anajitahidi sana na ana sauti nzuri sana tutafika nae
@tibakabanda6583
@tibakabanda6583 2 ай бұрын
Tamka ARDHI siyo HARIDHI
@rajumrecords711
@rajumrecords711 Жыл бұрын
Ana Uarabu mwingi sana😂
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 Жыл бұрын
Palestine
@amaningobayi7114
@amaningobayi7114 Жыл бұрын
Sio sihasa ni siasa
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 Жыл бұрын
Huyu anakithembe jamani msameheni tu
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Жыл бұрын
Wewe mtangazaji ni siasa SIYO SIHASA
@jacksonkabaata6011
@jacksonkabaata6011 Жыл бұрын
Katika kiswahili unakitu, utafika mbali 🤣🤣
@afrocushitic
@afrocushitic Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 Жыл бұрын
Yaani nimeskza simulizi inaelekea kuisha sijaskia jina la rais..kwani nani kaandika hii script?
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
Si amemtaja jamani au masikio yako yana matege?amesema anaitwa Naib Almandro ebu hacheni nongwa basi kujifanya wajuaji
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 Жыл бұрын
@@adaboychibu1659 jina limetajwa mwishoni na scripts haziandikwi hivyo..nyamaza pia wewe. umeona wapi historia ya mtu jina linatajwa mwisho wa simulizi?
@fredrickguda-cl4pb
@fredrickguda-cl4pb Жыл бұрын
Anaitwa bishoo
@bonjouronlinetv2206
@bonjouronlinetv2206 Жыл бұрын
Kama unasoma coment aisee unasoma habari kama bbc
@jayp5871
@jayp5871 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
mwamba kweli kweliii
@monikaswai4188
@monikaswai4188 3 ай бұрын
Dada unavyoongea unatupotezea hata ladha ya kuangalia na kisikiliza habari zako, ongea yako inakera
@maryamadam5622
@maryamadam5622 Жыл бұрын
Kiswahili kinawapita watu Tanzania mpaka ma shuleni seuze El Salvador. Waandishi wa habari wengi hatuwezi. Mwaka huu 70% ya wanafunzi hawakufanya vizuri mitihani inasemekana.
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 Жыл бұрын
Ni kweli Maryam Adam mbutu dada kazingua
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 Жыл бұрын
Kiswahili kibovu Eti sihasa badala ya siasa ndo nini sasa stori tamu ila kazingua inaboa sana kwa mtangazaji kutokujua matamshi ya kiswahili ovyoooo
@GodwinMwenda-qb6up
@GodwinMwenda-qb6up Жыл бұрын
Halafu wengi wanataka mosomo yote yawe yanafundishwa Kwa Kiswahili,..
@maryamadam5622
@maryamadam5622 Жыл бұрын
Lugha ni muhimu sana duniyani. .
@fridageorge2809
@fridageorge2809 3 ай бұрын
😂😂😂😂unashughulikia kibanzi jichoni kwa mwenzio wakati kwako kuna boriti!!!? Duniyani!!!?
@Zayeed_tv
@Zayeed_tv Жыл бұрын
Hayana..? Sihasa..? Shule hua mnasoma nini
@munjy11tutorials
@munjy11tutorials 2 ай бұрын
Jifunzeni kutamka kwa ufasaha maneno ya kiswahili kwanza kabla ya kufanya hizi kazi....sio sihasa bali ni Siasa, sio Jamhuli bali ni Jamuhuri.
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын
hayana au hiyana?unachafua lugha ya kiswahili.adhabu yako ufungwe maisha.
@presidentofafrica.5038
@presidentofafrica.5038 Жыл бұрын
uhaya mwingi. sasa matetemeko tena yanakuwa na hadhi.
@zuriathabdallah9492
@zuriathabdallah9492 Жыл бұрын
@@presidentofafrica.5038 😂😂
@mohamedjuma1878
@mohamedjuma1878 Жыл бұрын
Sihasa ndio nn dada mbona unafeli
@MOTHERFLOWERS385
@MOTHERFLOWERS385 Жыл бұрын
Hayana😂😂😂
@molenicharles9107
@molenicharles9107 3 ай бұрын
Kama makonda alivyofanyiwa unyambisi
@sporastica7174
@sporastica7174 Жыл бұрын
Rais pekee alieweza pambana na majambazi dunia na kutimiza ahadi alizoahidi wananchi wake
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Wabongo kuzungumza kiswahili hamjui mnatuchafulia Lugha unaongea kiswahili kibovu kabisa ndio maana wazungu wakija Tanzania wanapenda kufika Zanzibar kujifunza kiswahili
@radiininoma
@radiininoma Жыл бұрын
Afrika mashariki-- Aflika Mashaliki😂😂 Gari-- Gali 😂😂😂😂
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Zanzibar Unguja walio wengi wanazunguza kiswahili kwakurembesha matamshi kama vile watu walio wasenge na hii ndio sababu ya wabongo hawakupenda kuongea kiswahili fasaha na herufi R na H sahihi ukizitamka kiufasaha katika mazungumzo ya moja kwa moja wazi hizo herufi utajikuta unaongea kama mtu msenge fulani na ndio watu dar es salaam walio wengi zaidi ni vijana hawapendi kuzitamka hizo herufi na hiyo ndiyo sababu kuu
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 3 ай бұрын
​@@Mpakausemesio sababu hio kuongea kiswahihi cha zanzibar. Kiswahili chenu. Cha bara ndio mliozaliwa nacho hamuwezi kukibadilisha hususan watu wa mipakani mnaongea kiswahili kibovu
@user-zr5rg5ul3q
@user-zr5rg5ul3q 3 ай бұрын
Sasa wewe unayejua kuongea kiswahili fasaha kimekufukisha wapi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Saidnssor
@Saidnssor 2 ай бұрын
Ujahili utatumaliza Sisi, mtu Haoni ule ujumbe mzuri ulokua kwenye video anaona makosa ya kilafudhi aliyo yafanya mtengenezaji wa video hii. Mfano mzuri kingereza kila nchi inalafudhi yake wakiongea kingereza lakini sijawahi kusikia mtu akisema upuuzi kama uliosema wewe hapa kwamba wanachafua lugha, narudia tena ujahili na ubaguzi utatumaza Sisi. Natokea Zanzibar by the way!
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Жыл бұрын
😂😂😂😂jifunze kusoma kwnz unatia aibu
@henrynkya5446
@henrynkya5446 3 ай бұрын
Sijui kwanini neno Bishoo limetumika hapa kwa huyu Rais mwenye akili ya kimageuzi na aliefanikiwa sana kuiletea nchi yake mapinduzi ya amani na kushusha kiwango cha mauaji ya raia hovyo hovyo kutokana na kuwepo magenge makubwa mengi ya uhalifu. Sidhani mtu kujipenda kimavazi na usafi inampa kua bishoo, huu uandishi wa kidaku sana kero ka media za Tz ni kama uwezo na ufanisi wa kiuandishi hakuna tena. Ni umbayuwayu tu unataradadi media zetu.
@GracieTyno
@GracieTyno Жыл бұрын
Hujui kusoma au hujui kiswahili binti
@bonjouronlinetv2206
@bonjouronlinetv2206 Жыл бұрын
Kama unajia fanya wewe
@GracieTyno
@GracieTyno Жыл бұрын
We kenge nini,kukosolewa ndio kujifunza kwenda huko na limedia lako lisiloeleweka.
@GracieTyno
@GracieTyno Жыл бұрын
Halafu kumbe hata wewe hujui kuandika ndio maana unamtetea mwenzio😂😂😂
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 Жыл бұрын
Irudiwe hii stori na mtangazaji anaejua kiswahili vizuri uyu dada kazingua anadodosa pia
@patrickkasule6438
@patrickkasule6438 Жыл бұрын
Namuona yupo kama magufuli
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 2 ай бұрын
PEDESHEEE.
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kiswahili kiswahili kiswahili
@angelmassawe6655
@angelmassawe6655 Жыл бұрын
Sihasa ni nini?
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 3 ай бұрын
Ww mdada sio Hayana ni Hiyana na sio Sihasa ni Siasa, uwongeaji wako unabowa bhn
@user-br9ju6xz5i
@user-br9ju6xz5i Жыл бұрын
but kiswahili kinakupa shida dada, njoo Zanzibar nikutrain kiswahili fasaha, nina wanafunzi kutoka German na Marekani nawafundisha kiswahili but hata journalism nimesomea
@mazikumange9130
@mazikumange9130 Жыл бұрын
Sasa wew ni Mwalimu au journalist!?
@JustineMathias-wj7bd
@JustineMathias-wj7bd Жыл бұрын
nifundishe mm kama kweli
@annehk8185
@annehk8185 Жыл бұрын
Mwalimu wa kiswahili unaandika but hata journalism? Kazi ipo
@SoudShuraim
@SoudShuraim 2 ай бұрын
​@@annehk8185sasa aandikeje?
@abdallahhamza9689
@abdallahhamza9689 3 ай бұрын
Sasa vinanda vimebeba sauti yako yoote
@peterraymwasha2362
@peterraymwasha2362 Жыл бұрын
Ndugu mtangazaji unazungumza vizuri sana, lakini hadithi hiyo haina impact na maisha ya hapa kwetu tafuta kitu chenye kutanua mishipa ya fikra utapata tu..na utupatie
@Truthfulmen_women
@Truthfulmen_women Жыл бұрын
😅😂😅😂🙆🙆🙆🙆🙆
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf Жыл бұрын
Unataka taarifa za wasafi au?
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf Жыл бұрын
Mbona watu wanafunzwa history basi kama haiwafaidi?
@perfectpixelsstudio3603
@perfectpixelsstudio3603 Жыл бұрын
Bishoo ndo nini
@the.sanJaco
@the.sanJaco Жыл бұрын
Hahaha
@amourrajab6061
@amourrajab6061 Жыл бұрын
Wengi coment zenu ni za kuponda tu jinsi ya kuzungumza kwake ,, mara nyengine mtieni moyo muhusika ili apate nguvu ya kuendelea na kazi yake. Dada umetangaza vzr suala la kiswahil ktk matamshi ni suala lenye kurekebishika ikifanya maamuz
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Wasenge hao
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Жыл бұрын
DUNIA IMEVAMIWA, HIVI RAIS KAMA HUYU ANAWEZA KUKEMEA MMONYOKO WA MAADILI KWA VIJANA KWELI!? 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@hassankisaka5557
@hassankisaka5557 Жыл бұрын
Kila raisi ana sera zake, huyu sera zake ni ujambazi na ufisadi. Tanzania tumekuwa na maraisi watu wazima ila huoni maadili yanazidi kuporomoka siku hadi siku? Umri si hoja ndugu yangu!
@meshack3266
@meshack3266 Жыл бұрын
Mchane uyoiiii
@stevensimon5642
@stevensimon5642 Жыл бұрын
@@hassankisaka5557 safi yaani huyu anaangalia mavazi, haangalii mtu anaongea nini , bora hata umemchana makavu.
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Жыл бұрын
Dada kukusahisha naibu bukele akikamatwa madaraka iliwa Na ubri wa 39
@ibrahimurichard377
@ibrahimurichard377 Жыл бұрын
Katika nchi ya America ya kilatini,halizi,hiyana sio hayana,Siasa sio Sihasa Kiufupi mtangazaji ni sifuri,Unaiabisha hii media
@ms123ru
@ms123ru Жыл бұрын
Nakuona hon sigara
@ibrahimurichard377
@ibrahimurichard377 Жыл бұрын
@@ms123ru kaka hizi online TV,zina mambo ya hovyo sana,sijui hawa watangazaji wanasomeaga wapi
@ahmed-shakirmwamba4992
@ahmed-shakirmwamba4992 Жыл бұрын
​@@ibrahimurichard377 Huenda ni Robot inayosoma kutokana n'a tarjim ya Google.
@kingkendrickk
@kingkendrickk Жыл бұрын
Ka nchi hatari Sana Kwa uhalifu, home of m23
@user-rd6mo1zb6g
@user-rd6mo1zb6g Жыл бұрын
Kikundi kinaitwa m13 ....m23 ni wa Congo
@user-rd6mo1zb6g
@user-rd6mo1zb6g Жыл бұрын
Sorry ni ms13
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 Жыл бұрын
Matetemeko ya harzi 😂😂😂😂😂sihasa😂 jamuhuli 😂
@siafuonlinetv1003
@siafuonlinetv1003 2 ай бұрын
Wabongo NYOTE wajinga tuu makahaba wakubwa nyie kajifunzeni kuongea kiswahili
@bigboys016
@bigboys016 3 ай бұрын
Mtu akiwa mtana shati ni bishoo
Kutoka kuwa rais wa nchi mpaka kuwa ombaomba mtaani ijue historia yake
7:10
Davistar Mata Media
Рет қаралды 326 М.
BADO SANA - Rose Muhando x Phyllis Mutisya - *837*1774#
4:30
Phyllis Mutisya
Рет қаралды 593 М.
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,6 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 46 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 58 МЛН
RAIS WA BURKINA FASO TRAORE AFUASTA NYAYO ZA MAGUFULI | MAPAMBANO YAKE
6:35
Mambo 10 ya ajabu yanayoilinda Ikulu ya Marekani (White House)
14:40
Ruto's Biggest Mistake Firing Attorney General Muturi?
14:27
KimathiTV
Рет қаралды 293 М.
MELI kubwa Duniani Hii hapa, Ni Mji Unaoelea, Inatembea milele bila kusimama,Utashangaa ubunifu wake
2:38
Kona ya Teknolojia - Habari na Maujanja
Рет қаралды 547 М.
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,6 МЛН