No video

UTATA KIFO CHA KAWAWA/ALITOKA NYUMBANI MZIMA/ALINIOA NIKIWA NA WATOTO/TOFAUTI ZA FAMILIA ZILIKUWEPO

  Рет қаралды 67,832

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 159
@alfredfuteh573
@alfredfuteh573 2 ай бұрын
Inshallah. Mungu ampumzishe Mzee wetu. Mzee Kawawa alikuwa Mtu wa watu. Namkumbuka Mzee kwa kuwa mwingi wa shukrani. Nikiwa nafanya kazi CCT tulifadhili mradi wa maji Kiluvya. Kwa kila hatua tuliyofikia alikuwa akituita nyumbani kwake Dodoma na Kiluvya kushukuru bila kujali wadhifa wake. Kweli Mola amrehemu.
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 2 ай бұрын
Shukrani mr Lambati kwa kutuletea hii interview nzuri sana sana, well done
@abelminja2443
@abelminja2443 2 ай бұрын
Aisee Nimempenda Sana Huyu Mama. Tafadhali Taifa Limpe Heshima Anayostahili
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 ай бұрын
Huyu mama ana hekma sana,na anamaadili sana mashallah HONGERA sana mama yetu ,Kwa kumlea vizuri Mzee wetu kawawa.
@K-go1qj
@K-go1qj Ай бұрын
Aache kuweka hayo marangi rangi kwenye kope umri ushamwenda
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Ай бұрын
Huyu ni mwanamke sio mwanaume mapambo kwake ni ibada
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 24 күн бұрын
Hongera sana mama Kwa Stori yako nzuri ya maisha yako tena iliojaa maadili
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v Ай бұрын
Mwanahabari Ambae moyo wake una chembe nyingi za kheri na imani.Mtu anae huzunishwa na maumivu ya watu wengine hua namuheshimu sana
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v Ай бұрын
Mama amekua mtu mzima lakini uzuri wake bado unajitokeza.Mola amrehemu mzee kawawa
@elizabethmwakalinga3287
@elizabethmwakalinga3287 Ай бұрын
Mungu akubariki sana mama.Nimekupenda sana
@user-fk4st8qj2k
@user-fk4st8qj2k 2 ай бұрын
Nimefurahi sana huyu mama yupo vizuri."Ubarikiwe mama".
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 3 ай бұрын
Anti yangu wa Tabora Asante kwa Elimu Na historia ya Mzee
@HARUNSIMON-hj6up
@HARUNSIMON-hj6up 26 күн бұрын
Joyce. Upo wapi ndugu yangu, mie hyu pia ni shangazi yangu asili ya hyu Mama tunaijua sisi watu ichemba ulyankulu, ni kitukuu cha Babu mkubwa alie fia vita ya 2 ya Dunia aliitwa Mlolwa kazeva kidete, Babu hyu alioa mwana Fwamba watu wa chemchem Tabora mjni
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 ай бұрын
Masha Allah Mama mrembo
@AshuuSaid-ke1kx
@AshuuSaid-ke1kx 3 ай бұрын
Sanaaa manshallah umeniwahi tu kusema
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 ай бұрын
@@AshuuSaid-ke1kx ni mrembo aisee
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 3 ай бұрын
Sanaa
@annievibes8794
@annievibes8794 2 ай бұрын
​@@AshuuSaid-ke1kxMasha Allah
@user-ni9zc3gx5t
@user-ni9zc3gx5t 2 ай бұрын
Uyu mama mkweli kabisa baba yangu alikua rafiki yake sana na kawawa kweli alikua mtoaji mungu amrehemu uko halipo
@josephjohnmbelwa4998
@josephjohnmbelwa4998 Ай бұрын
Wasira au?
@asiamohamed8431
@asiamohamed8431 2 ай бұрын
Nimekupenda bure habibty Asina. Umeongea vizuri sana.
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 11 күн бұрын
❤❤
@user-zq1hy1ec5n
@user-zq1hy1ec5n 2 ай бұрын
Mama wa Tabora mwenzangu mazungumzo Yako yana elimu kubwa nda ni yake mungu akupe umri mrefu hekima na busara zako hazina mfano
@margaretmkangala7774
@margaretmkangala7774 2 ай бұрын
Mtangazaji ana nizamu hongera sana
@Nedjadist
@Nedjadist 2 ай бұрын
nidhamu.
@HawaMasoud-xw3ii
@HawaMasoud-xw3ii 2 ай бұрын
Allahumma ighfir lahou warhamhou
@nashnene6326
@nashnene6326 3 ай бұрын
Hongera kwa interview nzuri
@geraldgogadi7054
@geraldgogadi7054 2 ай бұрын
Lambert, na Shaaban maalim kondo.The best from This channel
@nalcisjosef
@nalcisjosef 2 ай бұрын
Nimekumbuka mbali sana. Nimefurai sana
@johansonmonyo3898
@johansonmonyo3898 3 ай бұрын
Mzee Kawawa alikuwa mzalendo wa dhati,Mungu amlaze pema peponi!!
@abelminja2443
@abelminja2443 2 ай бұрын
Kwa Kweli huyu Mama Alifaa Kuwa Mke wa Kiongozi. ___ Anaongea Vema Sana
@SharifaMohammed-el3ug
@SharifaMohammed-el3ug 3 ай бұрын
Hongera sana. Tukumbuke mhasisi mzee kawawa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
Mhasisi🤔🤔🤔🤔🤔
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 2 ай бұрын
Alikuwa ameoa msichana mdogo ❤
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 2 ай бұрын
Lambat unastahili kuwa bbc au Dw kiswahili big up bro
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 2 ай бұрын
Anafaha sana kuwa BBC mm namlinganisha na Salim kikeke
@nassorissa8779
@nassorissa8779 3 ай бұрын
Nimeipenda sana interview nimempenda pia mama
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 3 ай бұрын
Pole Mama! Ninajua maumivu yako😢
@ThomasMselewa
@ThomasMselewa 2 ай бұрын
Mama yupo vizuri sana anaongea vizuri na ana Kila sababu ya kuwa hapo alipo hongera sana kwake
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
MIMI SIKUJUWA KAMA KAWAWA ALIOWA TENAA. MIMI NAMJUWA MAMA SOFIA. NA MAMA MFAUME MWALIM WANGU MKUU SHULE YA TURIANI MAGOMENI. (MAMA ZARIA,). HUYO NAONA ALIOLEWA BAADA YA KUFA HAO WENGINE.
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 ай бұрын
Safia kawawa alikua mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 ай бұрын
Huyu mama atakua kaolewa n( kawawa ))akiwa mzee manake Angekua hai atakua na miaka 98 na miezi Karibia 6😮
@user-np1bf6me4u
@user-np1bf6me4u 2 ай бұрын
Alimuowa mwanamke mwengine wa morogoro mbulushi nadhani anaitwa fatma
@K-go1qj
@K-go1qj Ай бұрын
Wapigania uhuru walipigania maslai yao binafsi na sio maslai ya waafrika wote thus baada ya uhuru wakajigeuza wakoloni weusi wakinufaika wao na matunda ya Uhuru
@azizasaid5255
@azizasaid5255 3 ай бұрын
Mwanamke mekap, ulijiandaa.
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 3 ай бұрын
Interesting
@ainesndosi4759
@ainesndosi4759 2 ай бұрын
Mama anajipenda sana
@nemaJuma-u5o
@nemaJuma-u5o Ай бұрын
Nimeipenda hii❤
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 2 ай бұрын
Mtangazaji ana hoji vzr
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Tunashukru MAMA kwa kutupa historia ya kaka mzee Kawawa❤❤❤👍👍👍🙏🙏
@cyrilkessy3032
@cyrilkessy3032 2 ай бұрын
Pole sana mama Kawawa
@farajiissa560
@farajiissa560 2 ай бұрын
Et nyati nane duuuuh cc wananchi wa kawaida tunaambiwa majangil duuuuh
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 2 ай бұрын
Umerudi dar 24 mkuu? Nilikuona zamaradi tv wakati fulani...mimi shabiki yako dam ulipo nipo you are doing great job miongoni mwa vijana
@AzzaNassor
@AzzaNassor 2 ай бұрын
Mashallah mama Ana kauli nalugha tamu hachoshi kumsikiza.
@marygregory7566
@marygregory7566 2 ай бұрын
Nimekupenda mama na nimejifunza kitu
@RichardAmaro-pv8po
@RichardAmaro-pv8po 2 ай бұрын
Nimekumbuka mengi kumhusu Mzee wetu Waziri Mkuu mstaafu Hayati Rashid Mfaume Kawawa. Simba wa vita wengi wetu tumemsahau katika historia ya mchakato wa Uhuru wa Tanganyika na hatimaye Tanzania. Naiomba serikali yetu tukufu chini ya uongozi thabiti wa mama yetu mpendwa Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuona haja ya kuanzisha harakati ya kumbukizi za kumuenzi Hayati Rashid M. Kawawa kwa ajili ya mengi aliyoyafanyia nchi yetu.
@DianaElias-d1v
@DianaElias-d1v 15 күн бұрын
Kwa sasa hatuna viongoz,bali ni manyang'au tupu.
@K-go1qj
@K-go1qj Ай бұрын
Mke akiwa na dini raha sana
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 ай бұрын
Safi sana mama.Wifi yangu❤❤❤❤❤ mimi wa songea👍👍👍
@henryjohn3576
@henryjohn3576 2 ай бұрын
Mzee alikuwa mchapakazi mzuri tulimtembelea KijijinI kwake songea ni mkatimu sana
@Marjeby
@Marjeby 2 ай бұрын
Bibi yangu kabisa wa mtaani kwetu mtaa wa Gongoni Tabora Mjini
@HARUNSIMON-hj6up
@HARUNSIMON-hj6up 26 күн бұрын
Pale kwa athuman famba ni chemchem au gongon? Eti ndgu
@naomicharles5444
@naomicharles5444 2 ай бұрын
Wake wa viongoz wote wapo😅,,
@K-go1qj
@K-go1qj Ай бұрын
Wanaume uwahi kufa
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 2 ай бұрын
Rashid!
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 ай бұрын
Mtangazaji ni miaka minane siyo miyaka nane. Unomfanyiya interview amesema sahihi miaka minane. Asante
@godfreykitebo7382
@godfreykitebo7382 2 ай бұрын
We nae ni walewale Sio miyaka ni miaka
@leokamil6284
@leokamil6284 3 ай бұрын
Mzee alioo huyo na watoto wengi tu wakutosha na nje ya ndoa
@asiamohamed8431
@asiamohamed8431 2 ай бұрын
Allaah Mtukufu amsamehe baba yetu mzee Rashid Kawawa
@ekyochisikitaya5354
@ekyochisikitaya5354 2 ай бұрын
Interview nzuri, yenye hekma, yenye6mafunzo mazuri.
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 2 ай бұрын
Huyu mama nimempenda sana
@sanaf8367
@sanaf8367 2 ай бұрын
Hicho chama cha viongozi ni uchakatuzi wa fedha tu hakuna jengine
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 2 ай бұрын
Mama unaongea vizuri sana
@K-go1qj
@K-go1qj Ай бұрын
Kawawa alikuwa mkarimu na mwema sana
@scollantandu2350
@scollantandu2350 2 ай бұрын
Apumzike kwa amani mzee kawawa 😢
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv Ай бұрын
Nadhani alikuwa streight sana au alikuwa hana mba mba mba kama jpm coz ndani ya ccm ukiwa streight sana Yu must know one Yu will be r.l.p
@user-qg3kf1ue7z
@user-qg3kf1ue7z 2 ай бұрын
Ogapa Watu au mtupu mtu anaeweza kujinunua kwa bakuli 3 za pilau.....kizazi hiki cha damu ya binadamu na Kafara za damu ya Kafara kinawaka moto....
@nicholausmnzava3101
@nicholausmnzava3101 2 ай бұрын
Pole sana mama yangu, wewe ni mama na mke
@mohamedomari6129
@mohamedomari6129 2 ай бұрын
Story teller
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 2 ай бұрын
Yaan serikali imeshindwa kumjengea ata nyumba nzuri
@Yassinseleman
@Yassinseleman 3 ай бұрын
😢
@hamisiponza-te7xj
@hamisiponza-te7xj 2 ай бұрын
Alikuwa bendera anafuata upepo tu dimema mmh! Dihinda mmh akapigwa makofi na oscar k
@bongo39
@bongo39 3 ай бұрын
Sio mbadhirifu kabisa nyumba za wahindi nyingi walizitaifisha ili tuwe nao sawa vizuri sana wamefanya na pepo yao wataipata huko kwa mungu kwa wema waliotufanyia watanzania kutupa nyumba za msajili
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 2 ай бұрын
Una mshukuru mwizi???wewe ukiibiwa kitu kidogo utakubali????
@mohammadiali3890
@mohammadiali3890 2 ай бұрын
Acha roho mbaya na kuwa na Adabu
@PaulMhufu
@PaulMhufu 3 ай бұрын
Nimevutiwa saana na maelezo ya Mama Asina
@user-dl4rw6fo6x
@user-dl4rw6fo6x 2 ай бұрын
Mwandishi usomeke hivi: Stanislaus Lambert 🙌🏿
@user-ux3jl9cl4w
@user-ux3jl9cl4w 2 ай бұрын
Liware jaman, saiv tumetupwa akuna at barabara
@naomicharles5444
@naomicharles5444 2 ай бұрын
Oooh bagamoyo sasa naanz kupat picha
@user-mb2ob6kg8z
@user-mb2ob6kg8z 2 ай бұрын
Utata wanini kila mtu atakufa aina yake wote si kwamba wataumwa kunawatakaokufa ghafla yaani kila mtu alivyoandikiwa hakuna anayejuwa hata jkiwa mgonjwa unaeza kufa jambo lengine
@herbertbathlomeo4650
@herbertbathlomeo4650 2 ай бұрын
vizuri kwa interview
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
SASA HAYO SIYO MAHOJIANI NI HADISI. M
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 3 ай бұрын
Ni hadithi 😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo hadisi😂😂😂😂😂😂😂😂
@fathefirst1935
@fathefirst1935 2 ай бұрын
Huyu mama ni mzungumzaji mzuri
@user-cr4th9lr6b
@user-cr4th9lr6b 3 ай бұрын
Kiss kizuri sauna . Mkewe amezungumza na mzungumzaji mzuri
@omarali797
@omarali797 2 ай бұрын
2009 Kikwete ni rais, vipi Mwinyi hataki kuja kwa pako wazi?
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 3 ай бұрын
Kifo😭😭
@aziza9093
@aziza9093 3 ай бұрын
❤❤❤
@mvullamanase
@mvullamanase 2 ай бұрын
Speech yake ni kama Samia Suluhu. Sometime
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 Ай бұрын
Namba 8 inaashiria mauti Namba 6 inaashiria maradhi
@OSCARJOHNSON-dz2rx
@OSCARJOHNSON-dz2rx 3 ай бұрын
Mavazi yale ya lubega walipenda kuvaa Marafiki zao Marais kwame Nkrumar wa Ghana na Sekou Toure wa Guinea
@fatumamisinga6211
@fatumamisinga6211 2 ай бұрын
Mmmh mpodo
@Ommylayzah_tz
@Ommylayzah_tz 2 ай бұрын
RIP KAWAWA MZEE WA CHAI
@user-dl4rw6fo6x
@user-dl4rw6fo6x 2 ай бұрын
#funikakikombe
@molenicharles9107
@molenicharles9107 2 ай бұрын
Mbona mselamsela machoni🤣🤣.
@abuukarata9653
@abuukarata9653 2 ай бұрын
Ni mwanamke ukumbuke
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 2 ай бұрын
Ulitaka aweje?
@damianmcba9525
@damianmcba9525 2 ай бұрын
Wapi hapo rufiji au bagamoyo
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 2 ай бұрын
Asina kawawa???? Why she was married to her Father, that is Jewish tradition
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of 2 ай бұрын
Ukafir unapokomaa ni tatizo kubwa sana pole yako kijana
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 2 ай бұрын
Aliolewa na Kawawa sio baba yake wacha kufuru. Baba haoi mtoto wake ni kharam kiislamu labda kwenu. Mtoto wake kaolewa na mume mwengine amtakaye. Kwenu ndio mnaowana baba na mtoto.
@MichaelMaro-hj7yo
@MichaelMaro-hj7yo 2 ай бұрын
UWINDAJI WANYAMA PORI S POA HAPANA
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 2 ай бұрын
Non believer*
@allykigatta7564
@allykigatta7564 3 ай бұрын
...kumbe MIBANDIRIFU YA MALI YA UMMA IPO KILA WAKATI...ASA UNATOA AMRI NYATI 8 ULETEWE KISHA MNASEMA NI MALI ZETU WOTE...hapo mkimkamata mtu kapiga swala mmoja tu anafungwa miaka 20...NCHI HII MTI SAFI NI MAKONDA...MAGUFULI...POLEPOLE...BASHIRU NA KABUDI.
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 3 ай бұрын
Jamani Viongozi nyote ni Wachungaji na Mutaulizwa mulioyowafanyia Wananchi wenu kazi kwenu muogope Allah na siku ya Kiama wache Dhuluma Wizi na uuwaji na wizi wa kura
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 ай бұрын
Ali Kigata acha kuongea utumbo, kwani hao nyati mzee Kawawa alikula peke yake na familia yake?! Mbona kawagawa kwa watanzania tena kaenda kutoa sadaka Bagamoyo kwa Sheikh Ramia mahala ambapo yalipofanyika maombi makubwa ya kuombea uhuru wa taifa letu na kina mwalimu Nyerere waliombewa hapo na uhuru ukapatikana. Mzee Kawawa kwenda kutoa sadaka ya nyama ya nyati mahala hapo na watanzania wa eneo hilo wakala kwani kuna ubaya gani?! Acha roho mbaya na chuki kaka hazitakusaia kitu.
@user13375
@user13375 3 ай бұрын
​@@rayisadesigns2646unajifanya mwema kwa mali ya umma, nyati si wa viongozi
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@rayisadesigns2646Hajielewi hapo ni watanganyika walivuna mazao yao ya wanyama haikuwa ufisadi
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 3 ай бұрын
Jamani 😢
@lawagustino1887
@lawagustino1887 2 ай бұрын
Aisee huyu mama jembe.
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 2 ай бұрын
Mwanamwali????? Lahaula
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 3 ай бұрын
Kawawa c mpigania uhuru wa Tanganyika bali alikua mpambe wa nyerere huyo kazaliwa kusini uko maana umetaja miaka bila sehem alipotoka.
@geofreyngole242
@geofreyngole242 3 ай бұрын
Kawawa alikuwa Kiongozi wa chama Cha wafanyakazi wa africa. Ktk harakati kundi Hilo lilijihusha kudai Uhuru wa Tanganyika. So hakuwa mpambe wa mwl Nyerere tuu ila mpambanaji sawia na mwl Nyerere
@farijala1
@farijala1 3 ай бұрын
Mnambiwa someni Historia Mjue utamu wake.KWa taarifa. Huyo unayesema hakuwa Mopigania Uhuru, Ndio alikuwa Rais wa kwanza
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 3 ай бұрын
@@farijala1 sasa Abdul wahid sykes alikua nani ? John lupi,Abdallah chaurembo,mohamed tamaza ,mwalimu nyerere, mwinjuma,suleiman takadini,na n.k hiyo tanganyika wewe ujasoma umekalili hadi leo umeme wa mgao Zanzibar hakuna umeme wa mgao na umeme unatoka Bara nchini kwenu wehu nyie na wasomi wenu wajinga
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 3 ай бұрын
Watu wengi wanafikiri Kawawa hakuwa msomi,Jambo ambalo siyo kweli!,
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@farijala1Alikuwa raisi wa kwanza kawawa kweli ilikuwa unashika number one 🤔🤔🤔🤔🤔
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 3 ай бұрын
Mlinzi " Luanda " wa ukae mtu wa system,
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 3 ай бұрын
😂😂😂 Mama nimempenda Yuko very charming, pia ni muwazi, safi
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 ай бұрын
Wakiua nyati hata swala wananchi wa kawaida mnawaita majangili kumbe majangili wakubwa wakubwa wanaojifanya kutetea maslahi ya nchi wakati wanaila.
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 2 ай бұрын
WEWE WACHA UJINGA NYATI SITA KWA KIONGOZI ALIETAFUTA UHURU WA TAIFA HILI WEWE UNAKULA RAHA TU PAKA WEWE NYATI KAWAGAWA KWA JAMII
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 2 ай бұрын
Nyati aliomba kibali cha halali nyerere na kawawa nyati 6 ni kitu gani kuwa na adabu leo unajidai unaishi vizuri unawajua waliyofanya uwe hivyo punda wewe
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 2 ай бұрын
Mkuu wa nchi mstaafu mkombozi mzalendo aliemsaidia nyerere kwenye harakati zake halafu unamfananisha majingili mwehu wewe
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 2 ай бұрын
Hawa viongozi waliitumikia taifa kwa uaminifu hawakuwa mafisadi nyati 6 sio jambo la kuhoji kwa kawawa kuwa na akili
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 ай бұрын
​@@saidbakar-qo6ri Siyo wao waliotuambia na kutuaminisha kuwa binadamu wote ni sawa? Je kama kila mtanzania atahitaji kula atakavyo, hao wanyama watanusurika? Msikilize mjane akieleza namna wahusika walivyostuka kwa Kawawa kutaka nyati wanane. Sikiliza uzuri badala ya kukurupuka na mapenzi kibubusa.
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 3 ай бұрын
Nyerere aliuinua ukatoliki na kuupa kipaumbele mno hapa Tanzania na mengine mengi ya kiitikadi yake. Kawawa yeye sijaona na nafasi yake iliyosaidia dini yake na alama alizoacha ndani ya uislamu tangu aingie madarakani
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
Ndio uzembe walioufanya
@user-fz1ph3cn4s
@user-fz1ph3cn4s 2 ай бұрын
Acha uongo unexaliwa mwaka gani. Nyerere huyohuyo alitaifisha shule za katoliki.ili dininnyinginevwasome. Unalijua hiyo. Sijamsikiliza mpaka mwushonhuyunni.mke mdogo wamiaja mine kama sikosei.
@albertjames6845
@albertjames6845 2 ай бұрын
Wewe hukupenda kusoma umekuwa mjinga unatia aibu hujielewi hujui unachosema, kichwa kimejaa mavi hicho. Nyerere alipendelea sana waislamu na ndio wanaoongoza kwa kumtukana na kumchukia kwa sababu ya ujinga. Ama kweli Nguruwe ni nguruwe tu hata umfanyeje. Nyerere kanyang’anya wakatoliki mali zao walizonenga kwa sadaka za waumini; mashule ya mapadre na masista, vyuo, mahospitali n.k. Kachukuwa kwa nguvu kafanya mali za serikali ili wananchi wa dini zote wazitumie kwa kuwa serikali hai kuwa bado na uwezo wa kutosheleza mahitaji. Ingekuwa hizo mali ni za waislamu zimechukuliwa leo hii kungekuwa na vita nchi hii. Unafiki na uwongo na roho mbaya na hiyana ndio asili yenu. Mkapa nae kawapa chuo cha Kiislamu ambacho ni majengo ya 𝙏𝙖𝙣𝙚𝙨𝙘𝙤 iliyojengwa na watu wa dini zote amewapa waislamu waanzishe chuo cha dini yao hadi leo wameshindwa kukikuza au kuongeza chochote ni kugombana tu kila siku huyu kalıba kile huyu kadhulumu hiki, wanafiki laanatullah. Mnamlaumu Nyerere kwa lipi? Nyie mnajuwa umalaya tu kazi hamfanyi, Shule hamtaki, mali za bakwata masheikh wanauza wanawazumguka waislamu wenzao, dhulma tupu , kuna uislamu hapo? Siku mkiacha unafiki mkawa wakweli na mkapenda elimu mtajuwa shida yenu ni ujinga tu sio kingine.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 ай бұрын
Nyinyi wabaguzi sana. Umeamua kuleta agenda za udini. Hovyo kabisa
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 2 ай бұрын
Now I can understand the guy unbelievable (kafir) that is why he did not know how to respect a muslima widow putting into consideration the Marhum is not around. Allah almusta3an
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 ай бұрын
MZEE KAWAWA....MPIGANIA UHURU...MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU....ALIISHI MAISHA HALISI YA KITANZANIA.
@TeamKRX
@TeamKRX 2 ай бұрын
Kawawa kataifisha nyumba za wahindi kwa Nini zake kama kafanya ivyo munategemea Nini
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 2 ай бұрын
Atakiona huko Cha moto mbele ya Allah
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 51 МЛН
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Mbengo Tv
Рет қаралды 66 М.