MFANYABIASHARA ARUSHA AUAWA NA KUTUNDIKWA KWENYE MTI MSITUNI, MKE ATUMIWA SMS ZA VITISHO

  Рет қаралды 47,627

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 191
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari Ай бұрын
Subhannallah wanyama wanekuwa na roho nzuri kuliko sisi binadamu
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Ай бұрын
Mungu wangu, Baba yangu ulie juu, rehemu inchi yangu Tanzania, baba tusamehe tumekosa , kuna mlango adui anatumia kumwaga damu! Hii sio hali ya kawaida ndugu , kuna shida mno hapa tulipo
@HappyElias-t9f
@HappyElias-t9f Ай бұрын
Washaona serikali na sheria hazina makali ndiyo maana Kila mtu anafanya anachojisikia
@julianapeason6254
@julianapeason6254 Ай бұрын
ni kweli sahizi hata mtu akisikia umemsengenya anakuteka
@ImanSaid-q4i
@ImanSaid-q4i Ай бұрын
😂😂😂 ​@@julianapeason6254
@MarthaGeogre
@MarthaGeogre Ай бұрын
Hayo matukio hayaishi tu..duh Tanzania 🙌🙌🙌 Mungu turehemu
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 Ай бұрын
Kila siku jamani mauwaji Tanzania yetu.. Yaarabi tuepushe na mambo hayo.. Poleni wafiwa
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Ай бұрын
Jamani inaumiza sana poleni sana wafiwa Mungu awape nguvu
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu halali. Pole sana mwanamke mwenzangu 💔😭
@Sharon-r8j
@Sharon-r8j Ай бұрын
Pole sana mama sayun jaman kiukweli tumepoteza kiungo mtu mpole na mnyenyekevu
@UmuHaitham-v3b
@UmuHaitham-v3b Ай бұрын
Hasbiallahu wanamal wakil mungu anawaona wauaji siyo ccm inaua ni hivyo vyama vingi mungu atawaona . Hampshire millele ila na nyie pia mtaondoka katika dunia Hamuishi milele
@fahamnitwahir9249
@fahamnitwahir9249 Ай бұрын
Yan umesema sio ccm ila ni vyama vingine,so mambo ya vyama yameingiaje hapa
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
Hii sms sio ya kweli huyo kria wanataka kumtwisha kesi ili naye afungwe, mimi nashauri police wachunguze nje na kria maana wauaji wasingeandika aliyewatuma. MUNGU TUTETEE WATANZANIA.
@JulianaJackson-lz6vq
@JulianaJackson-lz6vq Ай бұрын
Kweli hao wauwaji wanamlenga kiria ndio wampe kesi.
@SamsungA03core-tz7sz
@SamsungA03core-tz7sz Ай бұрын
Amiin Yaarabb
@PriscaBarnabas-qg7ex
@PriscaBarnabas-qg7ex Ай бұрын
uko sahihi kaka wanataka kumpatia kesi kria
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija Ай бұрын
Yani ukigombana na mtu pakawa ugomvi baina yenu basi umeuliwa mbon binaadam tumezidi ukati saana duh 😢😢
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Tanzania imekuwa na mstukio ya ajabu Mungu tusaidie
@pastorjameswatersoflifechu1227
@pastorjameswatersoflifechu1227 Ай бұрын
Nasema hivi, afande aliewatuma akina nyundo akiwekwa ndani, mambo yataanza kunyooka. Watu hawaogopi saizi, nikama kamba zimelegezwa
@FirdausYusuph
@FirdausYusuph Ай бұрын
Subhnallah😢😢 .. Ukiwa na kipato mtihani usipokuwa nacho pia shida inshaallah 🤲🤲 Yallab atupe mwisho mwema inshaallah 🙏🙏
@mariamkikula1614
@mariamkikula1614 Ай бұрын
Amin yarrabi
@HappyKaminyoge
@HappyKaminyoge Ай бұрын
Kazi sana
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 Ай бұрын
1TIMOTHEO 6:10 "Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na imani, na kujichoma katika maumivu mengi"!
@BarakaOchuu
@BarakaOchuu Ай бұрын
Mama nchi imemshinda ,kila mtu anafanya anavyotaka
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b Ай бұрын
Haikuwa riziki yake,kabsa Sawa na kwetu Kenya ,wao nao wanalipa pesa wakiniwekea inchi za inje,na watu wafa njaa magonjwa hakuna masomo Yani inchi imewashinda kabisa
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Ай бұрын
Mungu tulinde 🙏
@AishaMaganga-vd1jg
@AishaMaganga-vd1jg Ай бұрын
Wallah hii imeshakuwa raana Wallah😢😢 Mungu tusaidie🤲🤲
@janethjonas1700
@janethjonas1700 Ай бұрын
Ni uongo tatizo sio mgodi wanatoa watu kwenye malengo...sio kweli kueni makini wauwaji wana Lao jambo
@monicamhina9926
@monicamhina9926 Ай бұрын
Kabisaa 🙏mtu atume watu wauwe alafu wataje jina uwongo hapo Kuna jambo hao wanyongaji wamepoteza maboya
@celinamosha9420
@celinamosha9420 Ай бұрын
Wameamua kumtaja huyo mtu tu sio muhusika labda nje yetu imeharibika hatuna pakugeukia matukio kila siku hakuna tamko lolote😭😭😭😭😭kutoka serikali kuu mungu tusaidie
@ashazuber6548
@ashazuber6548 Ай бұрын
Subahn Allah yaraby binadamu tumekuwa na roho gan jaman😢😢😢😢😢
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel Ай бұрын
Watanzania tumeanza kuharibikiwa. Inatisha sana, Ipo haja sasa kutolewa adhabu kwa wanaothibitishwa kuua.
@yumna128
@yumna128 Ай бұрын
Yani ukiingia online tu mtukio ya muwaji tu kila siku yani umwaka uwishe tu tumepoteza watu san
@Mohammedyasia
@Mohammedyasia Ай бұрын
Tena Arusha mara Tanga
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari Ай бұрын
Yaani mengi. Sasa hivi tu nimeona znz mwanaume kwmuua mkewe Yaani mwenyezi mungu atunusuru daah
@FirdausYusuph
@FirdausYusuph Ай бұрын
​@@AshuuuBakari😢😢 Yallab atupe mwisho mwema
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 Ай бұрын
Tena Arusha😂
@chikujuma18
@chikujuma18 Ай бұрын
😢😢😢😢 Inalilaahi wainalilah rajighun polen jaman wanafamilia pamoja na jamaa zake
@AnatoriaRwabatwa
@AnatoriaRwabatwa Ай бұрын
Poleni sana wafiwa
@NahimanaAisatah
@NahimanaAisatah Ай бұрын
Subhana Allah 😢😢
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Ай бұрын
Inatisha Sana Sana mauwaji yamezidi serikali hakuna kama enzi.zaa kamanda siro. Ukitoka kwako .ukikusudia ni muharifu muage .mkewakk wapi ..SAIMON..SIYRO nchi inaangamia. Mama ana mguu.mbivu..msaada..unaondoka.pole Sana dada😢😢
@osiahstimah
@osiahstimah Ай бұрын
Dunia imekwisha Mungu tunusuru na dhambi izi
@MiagieNgangati-cb5cr
@MiagieNgangati-cb5cr Ай бұрын
Pole sana dada yangu,hayo yote tumwachie mungu.
@ZakayoDionisi
@ZakayoDionisi Ай бұрын
cdm walisema watanzania mjitokeze hamtaki
@MsuyaSereckys
@MsuyaSereckys Ай бұрын
Hivi comet nyingine zinashangaza kabla kujua kuuwawa kwa sababu gani unakimbilia kulaumu serikali jamani mpaka ugonmvi wa chumbani mtu na mke wake watu wameuana serikali hakuna mtu anayefurahi mauwa
@MwajumaMsimuwilliam
@MwajumaMsimuwilliam Ай бұрын
Tatizo ukimiya umezidi Huo ndio unaotisha zaidi👹👺
@RahelUrio
@RahelUrio Ай бұрын
Pole sana mama pamoja na familia yako naimani mungu atakutete.
@hildajoel5
@hildajoel5 Ай бұрын
Hali ya sasa hivi inatisha. Haya ndio matokeo ya kupuuzia utekaji kwenye nchi hii kwa sababu zao binafsi. Watu wanaendelea kutekana tu na kuuana kwa sababu hakuna anayechukuliwa hatua hadi inainekana ni kawaida. Waanze kushughulikiwa wale wakubwa ndio hawa wadogo watapata funzo unless otherwise kila mtu atafanya anavyotaka mwisho itakua uwanja wa vita
@AsiaAthumani-ew1gv
@AsiaAthumani-ew1gv Ай бұрын
😢😢😢fact
@NicksonPaul-f7i
@NicksonPaul-f7i Ай бұрын
Hao wauwaji wanapoteza maboya kwa kusema wametumwa .inaonekana wana bifu na uyo waliomtaja.ata kutaja mgodi ni zuga tu .inaonekana kuna sababu nyingn nyuma yake .polisi wawe makini sana ktk kupeleleza
@chaggatv818
@chaggatv818 Ай бұрын
Tanzania ya leo ni zaidi ya vita vya Esrael na Palestine 😢😢 Why wamteke wamuuwe alaf wamtundike tena jaman😭 .Wale vijana vijana and a chadema waliotekwa mpk leo hii hawajulikan walipo alaf kunatokea mwehu huko anasema Tanzania ni nchi ya Amani my 🦶 😏😏Serikal ya ss hivi ni huzuni mkubwa 😢
@AgnesAbel-b1i
@AgnesAbel-b1i Ай бұрын
Dah unaijua vita ya esrael wewe au unaandika kujifurahisha huko Palestine hata muda wa kucomment huu utumbo wako hawana hata muda tu wa kuingia online hakuna
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 Ай бұрын
Mliotenda kwa kulipwa sasa subirini hzo laana za machozi ya hao watu ztakavyowatafuna ninyi na Koo zenu 😢😢😢
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Ай бұрын
Heeeh mungu tunaenda wap Hii inchi imekuwa ngumu sn
@SophiaAthumani-ri4lu
@SophiaAthumani-ri4lu Ай бұрын
Poleni sana jamani nimelia saana inaumaaa sana Mungu akutie nguvu Mama kipindi hichi ni kigumu sana kwako
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk Ай бұрын
Haya mambo yaliyoanzishwa na vyombo vya usalama na serikali hili jambo ni baya sana Ni ukoma mbaya sana Wanafikiri wanakikomoa chama chama fulani hawajui ni ugonjwa mbaya wameuambukiza katika jamii na taifa. HII NI MBAYA SANA
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz Ай бұрын
We akili hauna Kabisa. Kama huna hoja acha kuongea usivyo vijua kama hauna ushahidi? Kuongea sana sio ndio mjuaji sana na kukaa kimya sio ni mjinga sana. Hapana tafakari kabla hauja toa hoja.
@mussamassawe7624
@mussamassawe7624 Ай бұрын
Watanzania tumekosea wap!,hebu tukaen tujitasimin, tu.ekosea wap hii sio sawa huu sio utanzania tulioachiwa na wahenga, nchi haiko salama Jaman, vitu ni ving vya kutuumiza!,mi binafic sielew!,najiulza mengi maswali!...
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Ай бұрын
Hivi mnspoamua kuumua mtu Huwa mnawaza familiya yke itaishije au nikwafaida zenu tu jmn.Embu geuza uwe nikwako jmn limefanyika hivyo .Kweli mmefikia kumuua binadamu mwenzenu kma kuku.Yte nimali nauongozi.Je angeuwawa baba yko hivyo ama mama yko jmn.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Acha tu familia 😢,pale anavyolia mkimuuwa,mnajisikiaje?!😢😢 Niye watu wana moyo,Mimi nikimchapa mtoto TU,akianza kulia na KUNIOMBA msamaha,weee Mimi machozi hayoooo😢,naacha kumchapa namkumbatia huku machozi yananitoka na kujutia Kwa nini nimemchapa?,baadae MTOTO ndo anaanza kunifuta tena machozi,IJE KUUWA?! SIWEZI NADHANI MPAKA ANAKATA ROHO NA MIMI NITAKUFA NAE,SIWEZIIII😢😢😢
@margarethmziray635
@margarethmziray635 Ай бұрын
Hivi vitu visikie kwa jirani aisee
@JosephineJoseph-o9v
@JosephineJoseph-o9v Ай бұрын
Yan sijui hata nataka kusemaje,mana kila nikiingia mtandaon lazma nilie Kwa haya yaliyoko humu eee,Mungu tusaidie tutakwisha.
@jkomedikaduli
@jkomedikaduli Ай бұрын
Eee mwenyezi mungu tunusulu na mauaji jamani
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b Ай бұрын
Mungu atatenda Mungu yupo serekali ina mkono mrefu watakamatwa tu🙏
@stellamiyombe6117
@stellamiyombe6117 Ай бұрын
Wameona serikari yenyewe Haifatilii hata ndiomana mtu anafanya achoona yeye mungu tusaidie
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo Ай бұрын
Huyu mama hakemei maovu aachie ngazi tu yamemshinda. Watu tuliowachagua kutuwakilisha serikalini wote wamekuwa maseseta mataahira. Hakuna hata mmoja anaeongea chochote jamani. Juzi tu nilichukua mzigo kwake leo hii hayupo. Inauma sana sana
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 Ай бұрын
Mbona visasi vimekuwa ivi jamani Mungu aturehemu pole sana familia
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu Ай бұрын
Pole sana Mama, lakini wanandoa wa Tanzania pendaneni jameni, Mumeo katoka saa Nne asubuhi anatabia yakurudi kuja kula mchana, hakurudi, Hukumtafuta hata kwenye simu, mpaka usiku hajamtafuta hata kumuuliza mumewangu umekula mbona hukurudi kula uko salama lakini, hadi saa mbili za usiku unatumiwa sms kupitia simu yake, yaani hata hujui masikini Mmeo hakupatikana kwenye simu toka saa ngapi kwanini hakurudi kula daah inauma
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 Ай бұрын
Wewe kama unamuulizaga sawa ila usipangie watu na isitoshe huyo mama ni mgonjwa na hivi ni.lazima umuulize mwanaume kila kitu? Mbona wao huwa hawatuulizi?
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 Ай бұрын
Sasa Kwa umalaya wa wanaume wetu ukimfatilia hvyo si utakufa mapema. Ndoa nyingi za kiAfrica zinadumu Kwa wanawake kuamua kupuuza mateso ya ndoa ili waendelee kutunza japo watoto
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu Ай бұрын
@@joycemfuru4752 huwa hawatuulizi? Wangapi? Jisemee nafsi yako, halafu kama umeelewa content ya comment hii usingekurupuka kucomment pole sana
@ElizabethLaizer-hr2cw
@ElizabethLaizer-hr2cw Ай бұрын
Ee MUNGU uonae sirini uko wapi tukuone kwaajili ya hili hujawai kushindwa na lolote wewe ni kila kitu
@ZahraAdam-e6c
@ZahraAdam-e6c Ай бұрын
Mfiwa jaman mfiwa hata kama minguu mibovu nafsi yako gumu dada utalia melele😢
@MunaShaibu
@MunaShaibu Ай бұрын
Dah! Inauma sana
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Ай бұрын
Eee Mungu mtetee huyu mama.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu Mungu awatie nguvu🫂🫂
@fhugghi4109
@fhugghi4109 Ай бұрын
Subuhhallaah 😢polen sana wafiwa 😢ila hii nchi imekuwa huru sana kila mtu anafanya anachokitaka
@ZainabuMsangi-gx1fe
@ZainabuMsangi-gx1fe Ай бұрын
Jaman hiv arusha nani katulaan jmn Kila siku matukio makubwa nn mungu tuokoe
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari Ай бұрын
Sio Arusha tu😢 tanzania yote kumeharibika
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p Ай бұрын
Harafu eti munasema watu wasiandamane kilasiku mauaji tutamukumbuka sana magufuli huyu mama kazi yake.kwenda uraya kilasiku hii nchi imedolota sana
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 Ай бұрын
Kuma lako😂
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 Ай бұрын
Chafuuu😂
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 Ай бұрын
Kaoshe😂
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 Ай бұрын
DAMU YA MAGUFULI LAZIMA IWAMALIZE CCM
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Ай бұрын
Pole sana ndugu
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz Ай бұрын
Dah hatari, Arusha kila siku matokeo ya kinyama
@vaikaayagadiel520
@vaikaayagadiel520 Ай бұрын
Sio Arusha tu, kila kona ya Nchi hii, tumrudie Mungu
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 Ай бұрын
Tanzania imefikaje hapa jamani😭😭😭
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo Ай бұрын
Huyu mama hakemei Maovu. Aachie ngazi tu yamemshinda
@SheillaJaffery
@SheillaJaffery Ай бұрын
Mungu akutie Nguvu jamani
@RahmaAlly-b6r
@RahmaAlly-b6r Ай бұрын
Subhanaalah
@Juma-e8l
@Juma-e8l Ай бұрын
Haki huinua TAIFA dah Allah bless your innocent massive 😢😢😢
@TimaIsmael-n5q
@TimaIsmael-n5q Ай бұрын
Poleni sana
@HassanSaid-e1w
@HassanSaid-e1w Ай бұрын
Polee
@morinerwehumbiza2408
@morinerwehumbiza2408 Ай бұрын
Nafkiri watu wakiwa bado kwenye huzuni na uchungu mkubwa kiasi hiki, muwape privacy. Let them grieve in privacy. Wakishatulia angalau kidogo mnaweza kwenda na cameras kuwahoji.
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 Ай бұрын
Itafika tu mda tutaamza kujua nini maana ya maisha badala ya kushabikia Simba na yanga
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Wafanyabiashara wa arusha 🙌sijui kuna shod gani
@tumainkaaya8411
@tumainkaaya8411 Ай бұрын
😢dah !!!asee
@romwaldoamsi2783
@romwaldoamsi2783 Ай бұрын
Mmmh 😢😢😢
@BaltazarSavin-b3q
@BaltazarSavin-b3q Ай бұрын
Pole pole sana
@RechoMsii
@RechoMsii Ай бұрын
polen wafiwa
@joycefrances4516
@joycefrances4516 Ай бұрын
Hii nchi inaelekea wapi? MTU akiona maendeleo ya MTU watanzania ni watu wa wivu,mama Samia toa tamko,hali inazidi kuwa mbaya,inachafua taswira ya nchi sana
@dayadaniel4968
@dayadaniel4968 27 күн бұрын
Nimelia kwa uchungu Dunia hii
@Uhuru-s8c
@Uhuru-s8c Ай бұрын
Raia tutamiliki vitu vya moto kiholela Ili kujilinda. Serikali imekana haijui wauaji wako wapi. Watanzania jilindeni kwa kadri muwezavyo 🪚🔪🔨🪓
@BarakaOchuu
@BarakaOchuu Ай бұрын
Tanzania haifai kuishi
@HassanSaid-e1w
@HassanSaid-e1w Ай бұрын
Ulinzi waserikali iamnaa ww doria za miguu unazionaa wapi
@ashazuber6548
@ashazuber6548 Ай бұрын
Yaan toka ameingia mama samia watu wanakufa wallah doooh sijui ni kitu gan hichi
@ButoyiThierry-j8e
@ButoyiThierry-j8e Ай бұрын
Poreni sana panegeuka kama Bd🇧🇮 poreni
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Ай бұрын
Sub-hannallah!!!!' Innalillaih wainnaillaih rajiuun😭😭😭😭
@AishaNgoyi-vi2ku
@AishaNgoyi-vi2ku Ай бұрын
Maguu baba tutalia mpaka lin babaa taifa linaangamia huku hakuna msaada
@JudithTwibonisye
@JudithTwibonisye Ай бұрын
Utafaidiwa nini?upate ulimwengu wote na upate hasara ya nafsi yako. Watu wanamuua mtu kisa vitu vya ulimwengu huu.ila ni vya mda mfupi? Kama hao watu wasipotubu na kuachana na uovu huo watakutana na Ghazabu ya Mungu
@EdnaKivuyo
@EdnaKivuyo Ай бұрын
Duuuuh pumzikwa kwa Amanii tuu ba sayunii
@HassanSaid-e1w
@HassanSaid-e1w Ай бұрын
Wachaa wafanyee tu asaa kwnye land cruiser utamwona
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho Ай бұрын
4:40 mbona wameanza kwa pamoja na ghafla..
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 Ай бұрын
Polen san wana familia
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 Ай бұрын
Yani sasahivi bora ufe mbele ya watu mtu aje tu from were wakamataji wajipange hali ni mbaya mwendo wa kupiga mayowe mengi na fujo nyingi
@monicacharles7459
@monicacharles7459 Ай бұрын
Serikali yetu ya sasa siyo kabisa mauaji kila siku na tunaona kimya tu kwa namna hii tutasikia mengi sana
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 Ай бұрын
MWENYEZIMUNGU KASEMA ANAEUA NAE AULIWE,KILA SKU WANAACHWA MAUAJI YANAENDELEA TU,MOLA WETU TULINDE
@WinniePallangyo
@WinniePallangyo Ай бұрын
Dah hii nchi sasahv hapana jaman
@rerisamba
@rerisamba Ай бұрын
Huku Saudi ukiua tu kichwa chako halali
@Emmaa-Joshu11
@Emmaa-Joshu11 Ай бұрын
Rest in peace baba sayunii 😢😢😢😢😢 dah nenda mzee wangu nenda ww
@muhasatv9245
@muhasatv9245 Ай бұрын
Asa mama Samia atakusaidia nn
@CashMoney-zf4qr
@CashMoney-zf4qr Ай бұрын
Yan unakuta mtu hili tukio la mauaji la kusikitisha mtu anasema wa kwanza kukoment akidai like😒😒
@TEDY-MTEMY24
@TEDY-MTEMY24 Ай бұрын
Wanaona kama sifa haswa ukimuuliza like za nini,ni wabaya kweli kwenye majibu ni ya ajabu sana Mungu atupe moyo wa kuona huruma kwa binadamu wenzetu
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Ай бұрын
😢😢😢😢😢😢dah
@sabrinaurio365
@sabrinaurio365 Ай бұрын
Aweke number tumchangıe kıdogo kıtu huyo mama
@navioma4882
@navioma4882 Ай бұрын
Hiii nchi🇹🇿🇹🇿inaelekea wap😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿💔💔💔
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza Ай бұрын
Ccm hyo mnayoipenda endeleen kuipenda tunawambia mama afah mnsem tunavuruga amn xx aman mnayoitak ndo hyo
@Jamila-c7k
@Jamila-c7k Ай бұрын
Jamani
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Ай бұрын
Jamani watu wasiojulikana Tz.now is becoming something else😭
JAMAA AKATWA MASIKIO YAKE MAWILI BAADA YAKUKUTWA NA MKE WA MTU KICHAKANI
17:50
МЕНЯ УКУСИЛ ПАУК #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,7 МЛН
Walking on LEGO Be Like... #shorts #mingweirocks
00:41
mingweirocks
Рет қаралды 7 МЛН
BORA NIZIPASUE
11:34
Joti TV
Рет қаралды 176 М.
Jifunze Kuosha Maiti by Sister Asya Binsunkar
44:46
Ahmad Badawy Tv
Рет қаралды 33 М.