MFANYABIASHARA KARIAKOO AFUNGUKA MAZITO AMUANGUKIA RAIS SAMIA AMSAIDIE ALIPWE FEDHA ZAKE

  Рет қаралды 45,051

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 124
@mulebyamatoke3493
@mulebyamatoke3493 2 жыл бұрын
Ewe Mwenyezi Mungu unayesikia na kuona dhuruma Kwa huyu mja wako basi ziguze nafsi za wote walioshiriki na kuikandamiza hii nafsi ulipize kisasi juu Yao.Make sisi tukilipiza tutalipa zaidi Amina.
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 9 ай бұрын
Allah akbar kabiira alhamdulillah kabiira wasubhanna LLAH bukratan waaswira.a
@BonifaceSambo-ze6jh
@BonifaceSambo-ze6jh Жыл бұрын
Daa,story ndefu nzuri tena ni ya uhalisia na ukweli tena imehusisha marais wa inchi na mawaziri na viongozi mbalimbali, kwanza nakupapole pia nakupongeza,ushauli wangu mungu ananjia nyingi, wewe sasa andaa kitabu kiitwacho njia za kufanikiwa kuwa tajili,ili uanzie hapo na mungu atakufanikisha tu ukimwamini.
@isaiahmwasonzwe2486
@isaiahmwasonzwe2486 2 жыл бұрын
Pole sana Mzee wangu Kwa mazito unayopitia
@samiahmlimanzila6406
@samiahmlimanzila6406 Жыл бұрын
Pole sana mzee baba nikuombe. Kitu sasa imevunjika vywa kutosha chakukushauri hebu geukia upande wa pili imani upande wa dini iweke pembeni orodhesha majina yote yawatu walio kuzungusha ktk haki yako ili uachie kombora usiue mtu bali achilia gonjwa matata litakalo walaza kitandani wote lile la ukerewe mtu anaoza. Huku anajiona🤸🤸🤸
@sungwizi3390
@sungwizi3390 2 жыл бұрын
Haki kwa Mungu tu hakuna kwingine
@PlanningSua
@PlanningSua Жыл бұрын
Pole sana,mungu akujalie ufanikiwe jambo lako
@Itsdorky
@Itsdorky Жыл бұрын
Duuuuuuuuuu!! Angekuwepo Mh na Dr John Joseph Pombe Magufuli mkombozi wa wanyonge heeeee!! Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.. Amini
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 9 ай бұрын
Ilianza 2018 alikuepo
@anytime5685
@anytime5685 2 жыл бұрын
Mungu akussidie mz siku moja yatakwisha tu Weka imani yako kwa MUNGU
@sungwizi3390
@sungwizi3390 2 жыл бұрын
Mungu akubarikie zaidi Maa Shaa Allah unazo kumbukumbu nzuri saaana hongera saaana
@winniejeremiah645
@winniejeremiah645 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 nasikitita sana kuoyaona haya kwa mtanzania halali aliepambana kwa jasho lake nakusimama kwa tabu leo hii anadhulumiwa Mali zake na serikali hii hii ya Tanzania nasijajua huu uzalendo na amani ya nchi iko wapi kwa wafanyabiashara ambao wanaiingizia kipato kikubwa nchi hii badala yakuwa marafiki mmewageuza kuwa maadui wenu wakubwa nasikitika sana kwa haya mtu kudai haki yake nakuishia kumwinda kama paka mwizi 😭😭😭😭💔💔💔💔
@florameza1028
@florameza1028 2 жыл бұрын
Hapo ndio tunamkumbuka JPM watu walifanyakazi sasa hivi wamelala mfani leo kitunda hakuna umeme kuanzia saa 6 mpaka sasa saa 2 usiku wakati enzi za JPM umeme haukukatika
@fredmbossa
@fredmbossa 2 жыл бұрын
Ukiwa tajiri shida ukiwa maskini shida ,,,,kama Mzee halipwi ni Bora awekwe wazi ili aanze safari upya na maisha mapya ,,kuishi na stress ni sumu kubwa sana,,,
@oman7710
@oman7710 2 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi upate haki zako
@Mku-wa-waku1
@Mku-wa-waku1 2 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania, wizi mbele, maendeo nyuma.
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 2 жыл бұрын
Mh mtoa haki ni mungu pekeee ndio mtenda ha Sasa wewe ndugu unahangaishwa na pesa unayo je sisi makapuku ambao hatuna hata pakuanzia kumuita hata huyo mwandishi hakika mungu mungu mungu ndie mtenda haki kama unaamini mungu ndie mtetezi wako wewe na mtenda haki SEMA AMEN🙏
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Sasa kaka ramadhani nafikiri ungerudi kwenye albadili tu hapa , ungewasomea wote , maana naeaza kwa jinsi ulivyo na hekima , subira na uungwan a bado hawaelewi
@davidkimaro1860
@davidkimaro1860 9 ай бұрын
Roho hii ipumzike kwa Amani.kuna mengi yaliyopelekea kujimaliza
@deusdeditmwombeki8837
@deusdeditmwombeki8837 2 жыл бұрын
Jamani nchi imekwisha,mama Rais Samia musiookuwa makini nchi haipo wanakuzunguka na watakuangusha.
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 9 ай бұрын
Mama Samia jaman mh ni mama ws uhuruma, bila shaka umeona watu wako wanavyo tutesa haki yako jitihada zako za utafutaji zinaweza kukupoteza mtu, ukiwa unajitihada ujikwamue na umaskin kosa ukiwa zembe kosa ukiwa jambazi kosa twende wapi Msma Samia ss wanyonge ndy wspuga kula tunashinda juan kwenye folen kwenxe kampen ila tunayolipwa mwisho wa ck mh acha tu.
@BonifaceSambo-ze6jh
@BonifaceSambo-ze6jh Жыл бұрын
Daaa na hicho kitabu nitakuwa mteja wako wa kwanza maana inaonyesha unavitu vizito kicwani mwako,story inavutia lakini wewe unaumia pole sana ndg yangu.
@azizamvungi6203
@azizamvungi6203 2 жыл бұрын
jamani hata hamuogopi mwenyezi mungu,mtu haki yake kateseka kwakuitafuta mnataka kudhulum..muogopeni mwenyezi mungu,yaani mtawaibia watu mpaka lini?
@editchakoma1113
@editchakoma1113 2 жыл бұрын
Magufuli was everything to his people
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Aubu mno Kwa Serikali huu ni uhuni sana Kwa mamlaka za Serikali hasa hasa Kesho la Polisi wao ni kuthibiti wanasiasa na maandamano tu!maskini nchi yetu wapi inakwendaaaa?
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Mama samia, huyu mtu alipwe pesa zake, na waliokuwepo tra washtakiwe wizi wakubwa
@HemedRajab-v3i
@HemedRajab-v3i 9 ай бұрын
Masha allah pole bro
@jacobkibale4167
@jacobkibale4167 2 жыл бұрын
Magufuli amekufa na haki zako zote zimekufa, pole sana.
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 2 жыл бұрын
Hakuna kupepesa macho uyu unamwanini kua ni shujaa wako kwamba alichemka ndio mana mpaka leo jamaa analialia mika 3 imepita mpaka anakufa wap kama alitoa maagizo why akufatilia acha unafki mfatilie jamaa ndio utajua kuna watu walikua wanateseka na mwamba wenu alikuwepo
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 2 жыл бұрын
Hivi jamani kweli haki wapi? Wakati huyu mzee bado hajalipwa wahusika tuambieni inakopatikana kwani huyu mzee anazungushwa sana serikali ilimalize hili suala
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Жыл бұрын
TRA mbonanitaasisi yaserikali hamunahofu ya Mungu walakiongozi yoyote walawananchi hamuwaheshimu?wenginisauti yamungu huyojamaa Haoni imuhimuwa wakuzaliwaTanzaniatena.
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 жыл бұрын
Hao ndio Mwanasheria wetu. Wachache sana wanajielewa.
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Nimeumia sana, hii nchi ndoo ilivo hivi!!!
@aloycesilwela3485
@aloycesilwela3485 2 жыл бұрын
Hivi kama Magufuli alishindwa, Samia ataweza kweli?
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 Жыл бұрын
Nitafurahi Mimi siku nikiona huyu jamaa ameshughulikiwa shida yake
@robathzingu1650
@robathzingu1650 2 жыл бұрын
Very sad story Hii ndiyo ishara ya serikali ya kiovu na shetani. Yaani viongozi wa taasisi za serikali wanaotakiwa kuhudumia watu/wananchi kwa uaminifu, wao ndiyo wamegeuka kuwa mbwa mwitu
@oyay2821
@oyay2821 2 жыл бұрын
Aliesema serikalini/ ikulu kuna ibilisi kumbe hakukosea
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 2 жыл бұрын
Pole Sana shemeji yangu
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Hivi kwanini watu wa serikali wanalipwa mishahara kodi yetu, halafu munawaibia walipakodi?nachukia sana suala hili
@paulinasteven6902
@paulinasteven6902 2 жыл бұрын
Daa kweli ni vigumu sana kuiona pepo
@mastajabudekula4828
@mastajabudekula4828 2 жыл бұрын
Pole sana. Ila Tanzania aibu.mzee ramazani samia ndo wale wale kuwa makini usije ukauwawa
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 Жыл бұрын
kumbe tangu 2016 jamaa haja lipwa daah asee yani kuidai serikali ni kazi ngumu
@saidimussa8200
@saidimussa8200 2 жыл бұрын
Kazi unayo kazi unayo kweli kweli mzee
@amanimyolo1478
@amanimyolo1478 9 ай бұрын
Hakika mwenyezimungu hashindwi na lolote na nyote mliohusika dhulma hima ya pesa au fitna wallah Allah atawaadhibu hapa hapa duniani mtaungua hapa dunia na mbingu hamtaiona .mnyonge mnyongen lin haki yake mpeni
@salhakristina9434
@salhakristina9434 2 жыл бұрын
Inamaana huyu baba hajalipwa hadi leo kweli nimeumia sana tz mbona kimya hiiki ni kibaya sana 😢
@zuhuraadinani8819
@zuhuraadinani8819 2 жыл бұрын
Pole baba auja malizatu mgogolo wako toka kipindi cha magu pole bb
@winniejeremiah645
@winniejeremiah645 2 жыл бұрын
machozi haya yawanyonge yataishia wapi watanzania naninani ataewatetea wanyonge hawa Ee mwenyenzi mungu tusaidie sisi tuliowaamini viongozi hawa wanaotudhulumu haki zetu na kutaka kutuangamiza polee sana kaka ila naamini wakati wa mungu utafika wakufutwa machozi km mpka sasa upo salama na kutupa shuda hii mwenyenzi mungu aendeelee kukulinda kwa ukuu wake 😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
@deusdeditmwombeki8837
@deusdeditmwombeki8837 2 жыл бұрын
Hivi Lukuvi Kama alivyoaminiwa na Rais kuwa ikulu uhozo huu atsumaliza ?!!Kuna shida nchi hii
@joramkimario9321
@joramkimario9321 2 жыл бұрын
Daaah.nilifikir ulishapata haki yako kaka kumb bad.mi cn cha kukusaidia zaid ya pole sana
@adonaiinternationalministr3762
@adonaiinternationalministr3762 2 жыл бұрын
Hatari
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 Жыл бұрын
Duh! Hatari sana.
@merrysangamerryaanga3498
@merrysangamerryaanga3498 2 жыл бұрын
Wanashindwa kukulipa kwasababu wewe ni mtanzania hii nchi inawajali wazungu 2
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 2 жыл бұрын
dah hii story bado ipo, hii serikali hebu wapeni watu haki zao mnajirusha tu watu wanateseka
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Duu uyu mwamba ,anajua kuitafuta haki yake
@rehanijuma6910
@rehanijuma6910 2 жыл бұрын
Dahh inaskitisha sana hii ndio tanzania
@HemedRajab-v3i
@HemedRajab-v3i 9 ай бұрын
Ila mungu hakwenda likizo haki Yako ipo juu
@maximillianpeter1287
@maximillianpeter1287 2 жыл бұрын
darasa la saba hoyeee na huyu jamaa apatiwe PHD
@mordally
@mordally 2 жыл бұрын
Yawezekama kabisa baada ya Rais kufariki hii pesa imeshapigwa na wajanja na kudai imeshalipwa. TAKUKURU na TISS hiki kibarua chenu. Haiwezekani amri ya Rais ipuuzwe na watu wa chini. Ninyi ni walinzi wa nchi mnajua wazi nn amri ya Rais
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Masikini uyu kaka ameteseka sana, mimi ndio maana naogopa kufanya Biashara Tanzania, Wanaweza kukuua kwakweli hawa serikali ya Tanzania, yani nakupongeza kwakutokata tamaa, ila mimi ningeshachoka ningewasomea Albadir wahusika wote, tuone sasa hizo dhulma watazifanyia wapi nyambafu hawa, yani Mimi naichukia sana Serikali ya Tanzania. 😢
@dorahmavazi111
@dorahmavazi111 2 жыл бұрын
UTASHINDA,MUNGU HAKUACHI
@mohamedyeslam5194
@mohamedyeslam5194 4 ай бұрын
Huu mzee Ramadhan anadhulumiwa sana,na kwanini Mama Samia and Waziri mkuu hawashuhulikii hii case yake, Tanzanian naona ni nchi isio kuwa na Rushwa
@jojikeneth9024
@jojikeneth9024 2 жыл бұрын
Ccm mbele kwa mbele 😁😁😁
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 2 жыл бұрын
Bado tu hawajakulipa???
@victorkamala1571
@victorkamala1571 2 жыл бұрын
Pole sana lakini utapata
@jekoniafesto523
@jekoniafesto523 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie dhidi ya uovu wote.
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 2 жыл бұрын
👍🙏🙏🙏
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 9 ай бұрын
Kama Samia na Waziri Mkuu wangekuwa na haja ya kukulipa wangekuwa wamefanya. Ungekywa muwekezaji ungetetewa vilivyo.
@merrysangamerryaanga3498
@merrysangamerryaanga3498 2 жыл бұрын
Pole baba munngu yupo watakulipa
@petermboje5839
@petermboje5839 Жыл бұрын
Nenda kwa mama Samia atakusaindia
@davidpaschal778
@davidpaschal778 Жыл бұрын
Jamaaa anaofu na kifo 😆😅😅
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 Жыл бұрын
Kufa wewe
@djmeza411a58
@djmeza411a58 Жыл бұрын
Jaman why mzee uyu bado ansumbuliwa na haki yake waziri mkuu na rais mama samia ntawarahumu kweli
@wilfredmoshi6507
@wilfredmoshi6507 9 ай бұрын
Aisee kumbe serikali inamambo mengi hivi. Kweli haki tutaipata mbinguni tu.
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 жыл бұрын
Echt schade🤔😔😔😔
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 жыл бұрын
MAGUFULI alisema ulipwe.
@rusobapasikal2944
@rusobapasikal2944 2 жыл бұрын
Mwenye kujali wananchi wake amesha tutoka tumerudi kulekule kwa mafisadi alisema mtanikumbuka kwa mari sasa ndo tumeanza kukumbuka
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 2 жыл бұрын
Yeye huyo Mzee wenu ndio aliebariki vitendo hivi vya kiharamia kwa kukusanya kodi kwa kutumia task force.. Msimtetee yeye kwenye utawala wake wafanyabiashara wakubwa walichukuliwa pesa zao kinyume cha sheria na wengine hadi kufilisiwa mali zao.. Ila siku zote haki ya MTU haipotei ila inacheleweshwa tu..
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 2 жыл бұрын
Hiki ni kitu kibaya sana. Rais Samia liangalie hili. Siamini kama kuna dhulma kubwa kiasi hiki nchi hii.
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 2 жыл бұрын
Kaka cjui!
@brunolwambano6752
@brunolwambano6752 2 жыл бұрын
Imekula kwa mtu
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 2 жыл бұрын
Mzee baba, hapo Kaz IPO, tyr tupo utawala mwingine, lkn duuuuh inauma saaana.
@msomiitanga5050
@msomiitanga5050 2 жыл бұрын
Sasa nauliza kazi ya IGP SIRO nini? Bora hata angejiuzuru
@fbfabien4709
@fbfabien4709 Жыл бұрын
uyo mzee kesi yake hinahendeleyaye
@marahumarwa281
@marahumarwa281 Жыл бұрын
Bora tukaibe tu haki Haina haki
@alwyjahdhamy8094
@alwyjahdhamy8094 Жыл бұрын
Mzee kwanini upate taabu. Si uishtaki TRA kwa kesi la kosa la kufuata maagizo ya Rais magufuli aliposema fidia itekelezwe. Wajua kumewekwa mahakama kwa hali kama hio ya dhulma
@linacedon8492
@linacedon8492 2 жыл бұрын
Apewe haki yake jamani mbona mambo yapo wazi? Majaliwa yuko wapi? Mpango yuko wapi? Ndunguru yuko wapi....
@susananyasani6526
@susananyasani6526 9 ай бұрын
Oh Gott huruma kubwa sana kwa Mfanya Biashara alizungushwa kwa nchia za Utapeli na hatari sana katika Maisha yake Utapeli kama huu ni kila mahali katika Dunia nzima na haya yote anayosimulia ni Utapeli natoa pole hayo yalikuwa maneno ya udanganyifu jamani tusimwamini kila Mungu pekee
@chidjosh6056
@chidjosh6056 2 жыл бұрын
Hivi nyie wafanyabiashara mtalia mpaka lini, dayeni katiba mpya, matatizo yataisha
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 2 жыл бұрын
Wewe nae katiba mpya ndio itamlipa jiangalie usije ukawa umesoma ila huna akili
@rusobapasikal2944
@rusobapasikal2944 2 жыл бұрын
Mtu anangea cha muhimu kulipwa haki zake mataila mengine yanaleta upumbavu wake fala sana
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
@@rusobapasikal2944 Ina maana katiba iliyopo inaruhusu mtu kudhulumiwa? Au hiyo katiba itazuia Nini kudhulumiwa
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 2 жыл бұрын
Mhh huyu baba bado hajalipwaga kweli? Ni heri aende kwa Samia.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 9 ай бұрын
Mali ulitafuta na Mungu mwema bado una uhai achana na utawala huu usije ukapoteza uhai wako. Labda hata pesa imeisha lipwa na wamezopiga tayari. Endelea na biashara zako mimi nakuambia achana na utawala huu usije ukafa na kuacha familia yako. Sijui kama unaiamini serikali hii na CCM yao. Kwa nini wameachana wangekulipa kama Magufuli angaishi. Lakini kwa hali ilivyo Endelea na biashara zako. Mali unazitafuta na tunaziacha hapa hapa. Ndugu yetu mwombe Mungu akuepushe na hawa watu.
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 2 жыл бұрын
Nenda kwa mwigulu moja kwa moja.
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 2 жыл бұрын
Hata huyo atamdai cha juu.
@oyay2821
@oyay2821 2 жыл бұрын
Wote hao ni wamoja, aliesema serikalini kuna ibilisi hakukosea
@petermboje5839
@petermboje5839 Жыл бұрын
Watakuua mxee hao kama serikali haikujali achananao tu
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 2 жыл бұрын
Nimeangalia humu nimeona watu wengi wanamihemko Wala hawajui hii kesi imeanza lini rejeeni nyuma jamaa alisha lalama enzi ya magufuri na waziri mkuu majaliwa na wala hakupata haki zake kwa kifupi walishindwa huo ndio ukweli huu mwndelezo tu anatafuta uruma ya mama labda anaweza akapata msaada wa haki yake
@oyay2821
@oyay2821 2 жыл бұрын
Huyu mzee amedhulumiwa kupita kiasi. Yaani hakuna katika wakuu serikalini anae ona udhalimu huu? Aliesema serikalini/ikulu kuna ibilisi hakukosea
@imanho_tza9895
@imanho_tza9895 2 жыл бұрын
Hii nchi Bora uwe maskin tyuu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Umeoneeee
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 2 жыл бұрын
Utawala uliopita wafanyabiashara wa kariakoo waliumia sana kwa hawa jamaa wa TRA.. System ile ya task force kwenye kukusanya kodi ilikua na matendo ya uovu sana kwa wafanyabiashara.. Mungu atakusaidia brother, haki hua haipotei ila hua inacheleweshwa tu..
@erastongonde5121
@erastongonde5121 2 жыл бұрын
Mungu huweka watu wake duniani kwa makusudi TRA nani alikuwa anayajua madudu yao Wezi kabisa.
@deusdeditmwombeki8837
@deusdeditmwombeki8837 2 жыл бұрын
Yaani Lukuvi ahanze na Malipo ya mtani wangu muhaya huyu .
@larickmtui2852
@larickmtui2852 2 жыл бұрын
Huyu jomba nizaid ya mtu mwenye PhD
@swedihaji5383
@swedihaji5383 2 жыл бұрын
Pole sana mijizi hipo mingi TRA pambana utapata haki yako mungu mwema
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Uyo mwamba alifaa kuwa waziri
@daudiwambura1675
@daudiwambura1675 2 жыл бұрын
Sasa huu ni upuuzi unahabarisha Nini mnatoa sauti
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
ungejifikiria tu mzehe wale waliounguliwa bidhaa kariakoo walilipwa ? yaani angekuwa maghufuli yupo wangelipwa hata kidogo ila kwa huyo unaesema mavazi yake ya khof unajidanganya kabsa mavazi siyo nafsi ya mtu we baba ungekuwa na akili ungekaa kimya nakuwa unamshitakia Mungu kilasiku kwa dhulma waliokufanyia hao tra nasio hivo unavitumia gharama kwa sasahiv hakuna mlipaji wala mwenye huruma na watanzania hakuna katika rais wa sasa anashindwa kuonea huruma wanamke winzie na watoto wadogo wanalala njaa akuhurumie we unakuja vizur yaani kuna wafrica wajinga jamani awen mavazi yake ya huruma pole sana asee baba acha kumaliza pesa kwa kufatilia kitu hujui utakipata idha lah na mavazi ya mtu yasikudanganye ukamuwamin nandio atekumaliza shaur zako unaonekana mjanja kumbe huna ufahamu 😏😏wamama wa kariakoo wanalia hajawalipwa aje akulipe weye ?
@jojikeneth9024
@jojikeneth9024 2 жыл бұрын
Serikali watu wa dili
@yakoubmzee1492
@yakoubmzee1492 2 жыл бұрын
Ccm oyeee maana ccm ni watu wa haki
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 2 жыл бұрын
Hii nchi niyakijinga sana
@sungwizi3390
@sungwizi3390 2 жыл бұрын
Magufuli hakulipa? Dunia hii ni wajanja watupu
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
Hili swala Magufuli alitoa maelekezo kwa waziri mkuu majaliwa ili jamaa alipwe pesa yake so alaumiwe majaliwa siyo Magufuli.
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
Mi mwenyewe naidai serikali kwenye marimbikizo ya mishahara toka 2015, na magufuri alikuwa anasema amewalipa watumishi wote wanaodai, mpaka Leo sijalipwa Kama walitangaza wamelipwa tutalipwa kweli?hakuna rais aliekuwa anadanganya kwenye haki za watu Kama magufuri
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 2 жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 wewe endelea kudai utalipwa tu.
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
@@verdianabanabi5943 Sina hakika ya kulipwa tatizo alitangaza rais na waziri mkuu kuwa wanaodai wote tumewalipa
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 2 жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 Hilo ni kweli Dada yangu, wakati wa utawala wake hela za watumishi za malimbikizo yao alikua anajisifia kua wamewalipa watumishi ilhali hakuna anaelipwa.. Hao wafanyabiashara hasa wa Kariakoo ndio waliumia zaid kwa mfumo wake alokuja nao wa task force kwenye TRA.. Mungu mkubwa sana, aliona kama hali za wanaodhulumiwa kwenye biashara zao imezid kapitisha rehma zake utawala umeondoka.. Me naamini haki ya kila MTU haipotei ila hua inacheleweshwa tu..
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, DISEMBA 24, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 252
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
MCH.OBED KATUNZI AMJIBU MCH MOSES MAGEMBE
56:21
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 1,4 М.
DUNIA (EP 33)
21:00
ASMA FILMS
Рет қаралды 262 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.