MIILI YA VIJANA WAWILI YAPATIKANA ZIWA SINGIDANI

  Рет қаралды 1,083

CALES TV

CALES TV

6 ай бұрын

Watu wawili wamepoteza maisha na wengine watatu wamenusurika kufa maji katika ziwa Singidani Mkoa wa Singida baada ya mtumbwi walioutumia kujaa maji.
Akielezea tukio hilo Simon Sambaa mwenyekiti wa mtaa wa bima kata ya Mitunduruni manispaa ya Singida eneo lililopo fukwe hizo amesema alipata taarifa kuwa vijana hao walifika eneo hilo kwa lengo la kutalii.
Sambaa amesema vijana hao walikodisha mtumbwi kwa ajili ya kuwapeleka kwenye jabali lililopo ndani ya maji kwa ajili ya kupiga picha ambapo kabla ya kufika mtumbwi ulijaa maji ambapo dereva alipiga mbizi na kujiokoa na wengine wawili waliokolewa na wavuvi huku wengine wawili walizama ambapo mpaka sasa miili yao haijapatikana.

Пікірлер
VILIO VYATAWALA MIILI YA WALIOZAMA ZIWANI IKIOPOLEWA
4:42
Wasafi Media
Рет қаралды 33 М.
WALINZI WAWILI WAUAWA KIKATILI SINGIDA
7:25
Wasafi Media
Рет қаралды 4,7 М.
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 48 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
MUTHAMAKI URIA UGWATHANA -PART A | Apostle Ndura Waruinge | Bethel Clouds TV
58:47
MBOWE NA TUNDU LISSU NDIO VIGOGO CHADEMA, WASHINDA KWA KISHINDO
6:30
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 48 МЛН