Sisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake sote tutarejea, poleni sana kwa ndungu wa marehemu nwenyezi mungu awapeni subra..
@halimamghana22937 ай бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajiun poleni sana wandugu.M'mungu awajaalie kauli thabiti na sisi Allah atujaalie mwisho mwema.
@KoreshiRoberth-sx6sk7 ай бұрын
Poleni sana ndugu na familia za marehemu wote
@Spagles7 ай бұрын
Poleni hu mwisho wa mwaka tumuombee munguu
@mwinyimsamohammed927 ай бұрын
Inna lillahi wa inna ilayhi Raajiun 😢Allah awape subra Familia na marafiki
@mahamuduhassan85117 ай бұрын
innaa lillahi wa innaa ilayhi raajiun poleni wana Singida kwa msiba mzito
@user-if9jf2xo3j7 ай бұрын
poleni sana wafiwa allah atazidi kuwatia nguvu yote nikadari.yake tumshukuru tuseme alhamdulillah tusimkufuru sisi sote tutarejea kwa mola mbele wao sisi nyuma kwao kila kifo kimeandikwa kila mmoja ameandikiwa kifo chake innalilah wainna ilah ranjioun
@jarnskorelly4647 ай бұрын
Poleni ndugu zangu wa Singida mungu awape nguvu
@yusufuheri65247 ай бұрын
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki
@Matridadominic7 ай бұрын
Pumzikeni kwa Amani vijana wetu
@zulfaissa78147 ай бұрын
Inalilah wainalilah rajjiun Allah awape hatima njema
@penzajumanne17917 ай бұрын
Allah awape kauli thabit
@mwanjumajongette81877 ай бұрын
Inna Lillah wa Inna illahim rajiun
@user-bn9cp3uj6u7 ай бұрын
Allah awarehemu vijana wetu ayafanye makabur Yao yawe nnur
@HjadenHjadenhansy7 ай бұрын
Dah sio POA mungu atulinde sana
@Evodiawilidon7 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu wangu
@user-ms1xg1fp4v7 ай бұрын
Ziwa hilo hapo tu ndio mtafute watu siku tatu.Nahisi vyombo vyetu vya uokozi vina matatizo ya vifaa na wataalamu nakuna uvivu na uzembe pia japo ajali humfika hata mwenye Tahadhari lkn jitihada ya haraka ikiwepo hata yule aliefikwa na huo msiba anaridhika.mola awalaze mahala pema peponi
@gracyanygracy50887 ай бұрын
Kaka yangu alimariza week moja warimutafuta tukamukosa alipatikana sehemu nyingine kwemupaka wa lac Tanganyika inauma sana
@jeffhard57737 ай бұрын
Ushirikina upo hasa huu mwisho wa mwaka na msilete kona kona hizo ni kafara ili watu wengine waendelee kunufaika wao binafsi kwenye sekta mbali mbali anae nielewa vizuri aniunge na anaepinga awe na hoja ya msingi.
@abuumuhammad71337 ай бұрын
Kazi ya Allah haina makosa na akitaka yeye achukuwe nafsi ya Mja wake ataitafutia sababu yoyote itoke iwe kwa ushirikina iwe kwa chochote itaichukuwa na hayo mengine ya kafara ushirikina ndio maana umesikia kuna siku ya Hesabu nayo ni siku ya Kiyama kila mtu atahukumiwa na kupewa stahiki yake na Allah.
@ClaudioPetroMartina7 ай бұрын
God bless
@RachelChakala-cr5wl7 ай бұрын
Polenii sanaaa
@renatussima52747 ай бұрын
Poke ndg zetu kwa msiba
@MariaHagite7 ай бұрын
Poleni sana
@angelikingu21927 ай бұрын
Inalillah wainallilahi rajiuna 😭😭😭
@jarnskorelly4647 ай бұрын
Wapumzike kwa Amani
@jarnskorelly4647 ай бұрын
😭😭😭
@KoreshiRoberth-sx6sk7 ай бұрын
😢😢😢
@user-wf3cn1ew7y7 ай бұрын
polen
@EmmanuelNyinyigwa7 ай бұрын
😢
@AnodyMwambigija7 ай бұрын
😭😭😭da?
@AminaLibisa7 ай бұрын
Innalilah wainnalilah laijiun subhanna Allah 😭😭
@laurencematitah70467 ай бұрын
Hilo ziwa Lina mizimu hatari Sana limekula watu wengi sana
@user-vm9pf5gb7m7 ай бұрын
Hilo ziwa gani jamani?
@user-fo2on5rg6t7 ай бұрын
Singdan@@user-vm9pf5gb7m
@darajalakidatukilomgi23627 ай бұрын
Mtoa habari ajirekebishe kwenye kutambulisha eneo, Singidani Iko Singida
@Ba638287 ай бұрын
POLENI SANA LKN MUNGU HAYUKO ANGEKUWEKO ANGEMALIZA VITA KWA YESU NA MOHAMED PALESTINE VERSUS. OK ISRAEL
@sskondopoleani96167 ай бұрын
Mungu hayupo eeh? Amesikia kauli yako, uzuri ni kwamba Mungu *HANA HARAKA*
Acha imani zako potofu mungu yupo subiri uwe ndio utajuwa
@Ba638287 ай бұрын
@@user-zi1lr8wk3w wewe kwa upofu na uziwi wako unamini mungu yuko hivo lazima unamini eti ukifa utakuweko tena thubutu. Siku unayokufa ndio siku yako ya kiama hakuna siku nyingine tena jitambue kata minyororo uwe huru uishi màisha yako kwishne.
@user-wj8ym6ew1h7 ай бұрын
Duuh yan wewe sio kosa lako ni kwamba bado hujaipata nuru.Mungu ni mwaminifu ipo siku atajifunua kwako na nina imani utamjua vizuri sana