WAONGO WANAOPITILIZA SAFARI SGR WADAKWA, TRC YAKAZIA YA TAKUKURU “KUNA VISHOKA, MASHINE ITAKUUMBUA”

  Рет қаралды 25,576

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 107
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 Ай бұрын
Wekeni mashine za kutokea ambazo hazimfungulii mlango wa kutoka kama amezidisha safari,
@CHUYUTV
@CHUYUTV Ай бұрын
Wagawe tu behewa wanao ishia njiani wawe na behewa zao
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Ай бұрын
utaratibu uliopo dunia nzima ni kukagua tiketi, ila kiti gani na behewa gani mtu anakalia huamua mteja lwa kadri alivvyowahi, wahudumu wa treni pia kazi yao ni ukondakta, kwahiyo ikitokea wamekamata mtu anafanya utapeli, basi kituo kinachofuata mtuhumiwa anashushwa na kuwekwa chini ya ulinzi, vituo vya treni kuna polisi pia, hivyo mtuhumiwa atashughulikiwa kama mwizi, ndivyo ilivyo hata nchi za nje. utapeli wa wachache hauwezi kuondolea wengine uhuru wa kuchagua behewa la kukaa
@lovsply
@lovsply Ай бұрын
TRC INAITAJI JESHI LA POLICE… (Tanzania Railways Police)
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Ай бұрын
kila kituo cha treni tayari kina polisi, hata zamani kwenye treni ya zamani iko hivyo.
@NaomiMbise-l4c
@NaomiMbise-l4c Ай бұрын
Mkikamata mtu faini iwe x50 ya nauli aliyotoa. Kama atashindwa apelekwe mahakamani kwa kesi ya uhujumu uchumi. Hapo shirika litajiongezea kipato.
@nelsonkilasi979
@nelsonkilasi979 Ай бұрын
Mnajisahau sana Watu hizo sifa sio za Samia kazi aliimaliza Mwenda zake the best President in Africa JPM huyu hajatia nguvu zaidi ya kusimamia alipoachiwa.Maana naona kila sehemu mnatumia nguvu Mama mama mama mnasahau walioasisi mpaka hapo......
@Mumewangu
@Mumewangu Ай бұрын
Magu alianzisha samia akasimamia vizuri mpaka ikatimia kwa iyo lazima atajwe yeye. Mwendazake hata ukamtaja yeye hasikii tena yeye anapambana na hali yake tu huko aliko
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Ай бұрын
Bro wote washukuriwe wote lakini samia sababu yupo ndio yeye
@AbdulwaheedSeif
@AbdulwaheedSeif Ай бұрын
Na kikwete pia yupo kwenye ilo usijisahaulishe
@MM-Advanced
@MM-Advanced Ай бұрын
Huu ndo utaratibu wa kisiasa.... Kwa namna yoyote ile lazima atajwe rais aliyepo madarakani, hata kama aliyeasisi ni mwingine.
@uzalendocontentschannel3277
@uzalendocontentschannel3277 Ай бұрын
Hii ni mikataba ya Kimataifa, angetaka asingetaka, kisheria, Serikali Bado ilikuwa na wajibubu wa kusimamia. Ko wanasema ni miradi ya mtangulizi wake wako sahihi na wanapaswa wote kupewa maua yao, sisi ndo wenye nchi tunajua nani kafanya Nini na nani ameendeleza nini @@Mumewangu
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Ай бұрын
1.Wekeni faini ya shilingi 50 ,000 kwa kila atakayefanya uhuni huo . 2. kupelekwa mahakamani kwa kesi ya uhujumu uchumi. 3.Fanyeni ukaguzi kila baada ya masaa 2 mabehewa yote yakaguliwe ticket za abiria😮
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct Ай бұрын
Toa adahabu ambayo mtu akiipata hataisahau........ujinga kama huu haukubaliki kabisa...kila mwisho wa safari tumieni scanner , kwenye ticketi..mtu akipitiliza akamatwe...hakuna msamaha
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 Ай бұрын
Kwanza wakamatwe wanaosemwa na CAG wameiba Hela.
@issaomari5297
@issaomari5297 Ай бұрын
TENGENI BEHEWA LA ABIRIA WA NJIAN TU LIJITEGEMEE NDIPO MTABAINI KWA HARAKA VITUO VYA NJIAN
@zawadix9574
@zawadix9574 Ай бұрын
Haija fika mwezi moja teyari matatizo kwenye management...... He investment kubwa Sana Ata kama bei ni juu acheni siasa And run kama ya biashara tuna experience ha management hovya na Mgr....
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Mimi nilisafiri juzi kutoka Dar kwenda Dom, hatukukaguliwa ticket ndani ya tren mpaka tumefika Dom, labda kama ukaguzi anaosema umeanza mara baada ya taarifa kutoka mitandaoni jana. Na kesho natoka Dom kwenda Dar, nitaona kama kweli ukaguzi upo. Nashauri wanaoshuka njiani wawe na behewa lao na wakaguzi wakae ndani ya behewa hilo kuhakikisha abiria wanaoshuka njiani wanashuka kweli
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 Ай бұрын
Utupe feedback tena km watakagua..
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Ай бұрын
Anatufaa kijana Kwa updates😂​@@zubeiramlanzi2480
@VictorMbagga-k4l
@VictorMbagga-k4l Ай бұрын
Ilo nalo tatizo la kushuhulikiwa kwa kweli
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 Ай бұрын
Mrudisheni msemaji wa Reli Beni Mwanantala. Huyu msemaji hana speed ya SGR.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Ай бұрын
Magufuli akili nyingi, uthubutu mwingi. Alisema “hatuwezi kujenga reli ya diesel Karen ya 21”. Hapo tu, alizuia wizi mkubwaaaaaaaa…..maana wizi Ungenauigkeit kwenye kalamu wakati wa ununuzi wa mafuta ya kuendesha treni. Wizi mwingine ungekuwa kwenye watunza mafuta wenyewe…..UPIGAJI videbe
@durangobasics6195
@durangobasics6195 Ай бұрын
Kwani hawakuwa wamelifikiria HILI? Maana hili liko wazi SANA! Sasa kama hili kama hawakufikiri basi ni lipi wamefikiri? UADILIFU?😂😂😂
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 19 күн бұрын
Hapana siyo suala la kumshukuru Mhe. Rais mchape kazi na kuzuia hujuma hiyo. Yeyote anayefanya hivyo hawezi kufanya peke yake. Wafanyakazi wote mfanye kazi kiaminifu bila kuhujumu shirika turudi tulipotoka. Chapeni kazi acheni janja2 lazima kuna wafanyakazi wasiowaaminifu liangalieni hilo
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani Ай бұрын
Acheni mbwembwe kitambulisho kinahusiana na Nini?tumerogwa wapi sisi watanzania. Kwani ticket haionyoshi wapi anashuka?daa inaudhi wanaopewa madaraka siku zoote akili ndogo.baada ya kutatua tatizo ambalo ni simple kagu,a tickets unalifanya zoezi la ukaguzi "tickets "lizidi kuwa gumu kwa kuliongezea madoido na mbwembwe 😮
@IbrahimMohamedally
@IbrahimMohamedally Ай бұрын
Tuipende nchi yetu mara watu wanaiba miondombinu ya barabara.aibu tupu
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Kukata ticket ya train hakuna mtu anayeulizwa kitambulisho Ulaya isipokuwa ticket maalum ambazo hupunguzwa bei ndio akija mtu wa kukagua ticket ndio anauliza kitambulisho.
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 Ай бұрын
Watu wanafanya ufisadi wa mabilioni hawakamatwi umpeleke mahakamani mtu kisa kapita kituo? Mgesema tu faini ELFU 50.
@patrickmarwa5024
@patrickmarwa5024 Ай бұрын
Hapo ni kuweka mfumo wa card tu.uwezi kusafiri sbbu milango aiwezi kufunguka kuruhusu uweze kupita kama ujalipia.
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 Ай бұрын
Afisa habari mwenyewe amepoa sana,, inaonekana ndiyo wale wanaoingia kwa mgongo wa MJOMBA
@magorymara5515
@magorymara5515 Ай бұрын
Kuna watu hawana vitambulisho wanakatiwa tiketi na ndugu zao kupitia mtandao sasa hizo habari za vitambulisho mnazozileta mtajikwamisha wenyewe
@alistairelias536
@alistairelias536 Ай бұрын
Huyo dada hajaeleza jinsi hao abiria wa njiani walivyokuwa wanashuka vituo ambavyo sio vyao. Hii inaonyesha walikuwa hawana mifumo ya udhibiti sema anashindwa kujisemea.
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Ай бұрын
Huyu lazima atumbuliwe unakuja kuongea leo baada ya takukuru kulalamika
@VictorMbagga-k4l
@VictorMbagga-k4l Ай бұрын
Sio kutumnuliwa kaka katika kila uongoz zipo changamoto..na chain inayoshuhulikia kichwa kimoja huwez jua mambo yote uongoz unahitaja ushirikiano usipopata WA kusema kama ivi hamuwez fika...so tatizo sio kutolewa .
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Ай бұрын
Ovyo kabisa, comment use les
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Ай бұрын
@@MilloWamilonga-ft8ir ni useless kama wew ulivyokua useless
@DM_15
@DM_15 Ай бұрын
Kuokoa muda ni kuwatenganisha tuu wakati ana kata ticket aelekezwe behewa lakupanda inakua rahisi mkifikakituofulan basi lazima watashuka
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
Dada yangu nawapongeza TRC na TAKUKURU kwa hatua hiyo, ila jamani tunusuru hii lugha ya kiswahili,swagga za nini katika kuongea kiswahili?? tamka vizuri "reli" sio "rweli", hako ka "w" mnapenda sana vijana kuongeza kwenye matamshi yenye herufi "r".mfano: Reli,sio Rweli Morogoro,sio Morwogorwo Rahisi,sio Rwahisi Sheria,sio Sherwia Mrefu,sio Mrwefu ....nk
@nasibusaid4161
@nasibusaid4161 Ай бұрын
Mimi huyu msemaji hata simuelewi,rudisheni yule mwanaume
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Inatakiwa akuwepo na inspector wa kukagua tickets.
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Ай бұрын
WEKENI MKAGUZU KILA BEHEWA, AU KUWE NA BEHEWA MAALUMU WATU WA KUSHUKA NA KUPANDA
@JUSTNEMITOMINGI
@JUSTNEMITOMINGI Ай бұрын
Wanakula kodi zao xhida nn?selikali haifanyi .biashala
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Ай бұрын
Kilanpenye ueaji anawekwa Mwarabu.
@IbrahimMohamedally
@IbrahimMohamedally Ай бұрын
Jamani watanzania tuwe patriotic na nchi yetu be proud to be Tanzanian
@ChoroTesla
@ChoroTesla Ай бұрын
Uzalendo uwe mnafiki tu basi
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Ай бұрын
​@@ChoroTeslakwa hiyo wewe ni mnafiki si ndio?
@ChoroTesla
@ChoroTesla Ай бұрын
@@MilloWamilonga-ft8ir mie sio mnafiki uzalendo haupimwi na maneno km mtu alitihubiroa uzalendo yeye mwenyewe akaktaza wa wasihoji 1.5T iko wapi kupitia ripoti ya CAG tusemejje
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Faini kwa ticket ya 1, 000shs instalować iwe 65,000shs.
@LweguRutaserwa
@LweguRutaserwa Ай бұрын
Congratulation SGR Management!
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Ай бұрын
wanaajiriwa watu wasio na UWEZO.
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Ай бұрын
Ni blabla za kiswahili tu hamna. Hamna lolote la maana.
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l Ай бұрын
Ivi Mimi naona ili swala haliongi akilini ivi utowe 1000 adi Moro mmmm mm
@iddikimia4951
@iddikimia4951 Ай бұрын
Maneno mengi tu
@KoleYasini
@KoleYasini Ай бұрын
Watenge vituo kama mwendokasi kuna msimbazi A wa kimara wapewe behewa lao na b wa mbezi wapewe behewa lao.
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 Ай бұрын
Haiwezekani kuwapakia behewa moja,na wanakata tiketi za mdaraja tofauti!?
@iddikimia4951
@iddikimia4951 Ай бұрын
Kuna wamama wanapanda na watoto wao kisha wanashindwa kuwa control kitoto kitundu kinachezea vikanyagio viti na vifaa vingine muwe mnatoa maangalizo sio maneno mengi kuweni makini bhana
@user-kr5dp2ip9g
@user-kr5dp2ip9g Ай бұрын
😂😂😂
@amirjuma9395
@amirjuma9395 Ай бұрын
Mwendo Kasi ilianza kwa mbwembwe lakini machine zote zishakufa kituo kina milango miwili Leo unatumika mmoja watu wanaruka anaona kuzunguka ni shida kwaiyo najiuliza huku Nako haitakua kama mwendo Kasi ?
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 Ай бұрын
Mh let us wait mda uongee
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Ай бұрын
Huu ni mradi wa matrilioni sio mwendokasi!
@SinaHafidhi
@SinaHafidhi Ай бұрын
Tatizo si wateja Tatizo niwafanyakazi Wa TRC tiketi wanawapa watu wao Wauze. Tiketi hizo kwabei ya juu Tangu zamani hilo tatizo lipokabla yahiyo Trein yamwendo kasi Haijaanza
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Ай бұрын
Tatizo ni kua wananchi hawajajua New technology ya digital Hiyo ticket inajisoma yenyewe Unapo ingia na kutoka Na ukitoka sehemu ambayo siyo Malipo ya ziada yalipwe kwenye simu Yake mda maalum na ukipita anakamatwa
@malengaWetuTv2699
@malengaWetuTv2699 Ай бұрын
Balaaa
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Ай бұрын
Ushauri wangu kuwe na route mbili tofauti treni kutoka dar mwisho Moro ,na treni kutoka Moro adi Dom. Kutoka Dom to mwanza.
@user98771
@user98771 Ай бұрын
Vitambulisho vya NIDA ziharakishwe km mtakuwa mnaangalia na vitambulisho
@joshuachimwejo5892
@joshuachimwejo5892 Ай бұрын
TRC pia muwe positive na taarifa zinazotolewa na wananchi pamoja na vyombo vingine ambavyo havipo ndani ya shirika. Multiple eyes will save us a big deal!
@omarkapula588
@omarkapula588 Ай бұрын
Huyo wa takukuru amekurupuka kwa nini asiwasiliane na TRC kwanza halafu ndio akatoa hayo maelezo yake analeta taharuki bure isiyokuwa na maana waache kukurupuka ni woga tu alioufanya kuogopa kutumbuliwa
@iddikimia4951
@iddikimia4951 Ай бұрын
Mimi nililigundua mara tu ya kwanza napanda nikamuuliza abiria mwenzangu itakuwaje mtu akitaka kupitiliza sijui kwanini wao hawakufukiria au hawana afisa usalama ni uzembe wao kabisa ni mangapi mtaambiwa ndio mfanyie kazi
@joshuachimwejo5892
@joshuachimwejo5892 Ай бұрын
Watanzania tunaotumia usafiri huu tuendelee kufichua maovu, hila au madhaifu, sio kwa ubaya ila ni kuisaidia TRC, serikali na Tanzania yetu.
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
Nchi nyingi zina Railway police, nasi tunapaswa kuwa nayo kwa ajili ya kuzuia uhalifu
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 Ай бұрын
Yaani uwo mladi ni wawsnanchi isije kua lams udat Yale mabasi hksduozo mkubwa tunaomba raisi akemee
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 19 күн бұрын
1:51
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 Ай бұрын
Kadogosa ni mtu mwaminifu tunaomba uwe mkali tena rais akuamini usicheke na nani ttunsjuvunia serikali ya mama yetu
@BrunoNjonjo
@BrunoNjonjo Ай бұрын
wekeni bei moja dar moro
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 Ай бұрын
Mtu akidakwa ni ale mvua hata ya miaka 3,watashika adabu tuu au fine ya bei mara 10 ya nauli,tunatakiwa kuwa na adabu
@abdullahmanmiyanjamo1796
@abdullahmanmiyanjamo1796 Ай бұрын
Vituko vimeanza.....Nchi ngumu sana hii
@BundalaShija-yb4vo
@BundalaShija-yb4vo Ай бұрын
Wekeni makonda kila behewa kwa ajili ya ukaguzi wa ticket
@deohaule8161
@deohaule8161 Ай бұрын
Hao watu kwenye escalator wanatakiwa wasimame upande wa kulia kuwapisha wanao weza kutembea kwa kutimia upande wa kulia. Wekeni matangazo pale mtu anapo kwepa nauli, atatozwa maximum fare
@iddikimia4951
@iddikimia4951 Ай бұрын
Wekeni masanduku ya maoni ya maoni yasomwe na taasisi ingine
@iddikimia4951
@iddikimia4951 Ай бұрын
Inakera sana Rais anakopa pesho nyie mnakuwa careless
@simonsmithajax
@simonsmithajax Ай бұрын
Waonyeshwe hao waharifu pia wapigwe picha
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 Ай бұрын
Watanzania wana ujinga sana na management imelala usingizi mzito
@geja8708
@geja8708 Ай бұрын
Kwann mmetoa online ticket
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 Ай бұрын
Ndiyo hii itasaidia lakini kama makonda WA mabasi wanajua abiria zao na hata wanaoshukia njiani kwaninhawo coach attendants wanashindwaje mbona wanatuhesabu idadi kabla y kuondoka? Halafu na ninyi wabongo acheni ujinga huo Kwa wenzetu walioendelea husikii ujinga huo. Uzalendo jamani
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 Ай бұрын
HAWA WAHALIFU NDIO HAO HAO KESHO WATAANDAMANA BARABARANI WAKIDAI SERIKALI NI FISADI.TABIA YA UDOKOZI KWA WATANZANIA IMEZIDI KILA SECTA KUANZIA VYAMA VYA SIASA,SERIKALI,MAHAKAMA,WAFANYABIASHARA,WANANCHI WA KAWAIDA n.k,HAKUNA MAHALI KUMESALIMIKA
@Worldunite
@Worldunite Ай бұрын
Wako wahalifu wa aina hiyo ambao wanaandamana, lkn pia wako wahalifu wafisadi ambao hawaandamani, ndo dunia ubinadamu kazi
@upgo6112
@upgo6112 Ай бұрын
Bado hamjasema
@babajay3445
@babajay3445 Ай бұрын
Wekeni nauli mbili tuu dar Moro dar Dodoma toeni hiyo ya pugu upuuzi mtupu
@albert-kkitwenga4889
@albert-kkitwenga4889 Ай бұрын
Kuna wanaopandia vituo vya njiani Sasa.
@gwidge4985
@gwidge4985 Ай бұрын
Nonsense
@VictorMbagga-k4l
@VictorMbagga-k4l Ай бұрын
Niwashauri gaweni mabehewa wakikata tiketi WA msoga wakae pamoja na tiketi zao ziwe elekez kama ilivyo ada..wakiwa wote WA sehem moja itasaidia wakishuka wanashuka wote behewa lao
@pasalmdemu7225
@pasalmdemu7225 Ай бұрын
Sasa kama wa msoga wapo 2 tu wanapewaje behewa lao?
@VictorMbagga-k4l
@VictorMbagga-k4l Ай бұрын
@@pasalmdemu7225 kama wapo wawil basis ni kuhakikisha wapandao kayika behewa inawekwa kama sit post kwamna no fulan unashuka msoga no fulan hadi fulan unashukia morogoro. Ii itawakumbusha poa WA tiket kuona tangazo kiila kituo na kwa kuwa anahuduma atawajua no fulani wanashukia hapo inaweza pia ikasaidia
@VictorMbagga-k4l
@VictorMbagga-k4l Ай бұрын
Pia ikulikane muhudumu WA ndege awe anakagua tikek tens ikifikia karibu na kituo au pia kuwe na tangazo pia kwa TV ikigundulika umedanganya utalipa zaid ya iyo uliotoa ...
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 2,4 МЛН
"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"
8:33
TRC RELI TV
Рет қаралды 13 М.
NJE MPAKA NDANI YA MABEHEWA YA KISASA YA GHOROFA YA SGR
6:23
TRC RELI TV
Рет қаралды 37 М.
KIPINDI CHA RELI NA MATUKIO | WALIO NYUMA YA HUDUMA ZA SGR
26:29
HII HAPA  SAFARI SGR  DAR HADI MORO, NDANI YA TRENI YA SGR
10:07
TRC RELI TV
Рет қаралды 40 М.
MAFURUSHI MAKUBWA HAYATARUHUSIWA KATIKA TRENI YA SGR
2:54
TRC RELI TV
Рет қаралды 3,7 М.
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН