Safi sana wewe ni kiongozi makini na sahihi kazi iendelee
@nadhifamustapha75576 ай бұрын
PROF :KABUDII HOYEEEE 😮
@PauloMiage-m1x6 ай бұрын
Waaaaaah asante sanaaaaa mipango mizurikabsa
@HaulSidney6 ай бұрын
Mmamshukuru rais, lakin mafisadi wake anawalea Sana
@BenjaminiPastiani6 ай бұрын
Mzee Ana jua huyu haswaaaaaa
@renatusblandes11316 ай бұрын
Mama alimnyazisha ili tusipate nondo za prf
@johnbahati4786 ай бұрын
Asset hii haitumiki ipasavyo
@Mrlucaspascal-gd4uz6 ай бұрын
Mzee namkubali Sana one day nitakuwa kama yeye
@badiomary8226 ай бұрын
Alikuwa anaomba Kiwanja cha ndege Kilosa !! Kabudi yupo Serikalini muda mrefu sana Sijui ni kwa nn leo ndo ayaseme hayo Mgogo Mwenzangu huyu !!
@cooperinsurance8196 ай бұрын
professor kabudi akuwahi kua serikalin kwa maana ya serikali kuu...alikua mhandhiri mwandamizi wa chuo kikuu cha dar es salaam kitivo cha sheria mpaka alipoteuliwa kua mbunge na RAIS MAGUFULI alipoingia madarakan... hana ukongwe kwenye siasa na sio akua mwanasiasa
@KelvinMtavangu-ow8yo6 ай бұрын
PROF KABUDI, HONGERA SANA KWA MCHANGO WAKO NA KULIELIMISHA TAIFA. NA ULIMWENGU.. HAPO UMEWEKA HISTORIA KUBWA KUHUSU MATARAJIO YAJAYO. ASANTE.
@deniccgabriel61536 ай бұрын
Mimi namkataa uyo mnaemnadi prof,unawezaje kujichanganya na wezi wanaoonea watanzania wenzao kutokea chama tawala CCM
@richardshumbusho50776 ай бұрын
Mimi nakukataa wewe, you can find a gold in dust and the place where dust is could be valuable due to gold's presence
@deniccgabriel61536 ай бұрын
@@richardshumbusho5077 we huna jipya kuongea kingereza kinakusaidia nini wakati ata bibiako hakuongea lugha izo senge kwel
@udatuonna9056 ай бұрын
Bora ukae kimya lugha hujui@@richardshumbusho5077
@ramadhankavisille74826 ай бұрын
Hahahaha Hadithi za kufikirika
@gauchogaucho75836 ай бұрын
Iliii jmaaa linaa akilii htrii alitazam sana karatasi
@massawemrlowprice39496 ай бұрын
Mheshimiwa Mungu
@badiomary8226 ай бұрын
Machawa wa Magu Walimuitaga Mungu na pia akatamka ya kwamba Magu kamtoa Jalalani Yaani kutoka Uhadhiri wa Chuo Kikuu na Kuwa Waziri wa Nje isitoshe akatumwa na Magu kwa ndege ya Serikali hadi Madagascar akatuletee Dawa ya COVID19 Na hakuruhusiwa Mwandishi wa habari Kuhoji wala Madaktari Bingwa !! Ni popo wa Kisiasa tu hana jipya !!
@allysaidi4316 ай бұрын
Mbona kama n maagizo ya mjeruman,,😮😮, Kwan hatuwez kuplan ss wenyew kwa mujibu ya mahitaji yetu,
@PauloLoota6 ай бұрын
Katiba mpya tunataka✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@Kmasterjuniourtz-ry3cj6 ай бұрын
Tanzania nzima uyundio kiongozi mzalendo pekee aliebakia mwenye mapenz na nchi
@profs.a54126 ай бұрын
Kama watu haijiii tz akisikiliza wabunge anaweza akasema watu c ndio hawaa😂😂 wanamipango kweli kwel😂 kumbe wanasubir posho tu , hapo wanapiga story😂🏃🏃
@HezroniJonh6 ай бұрын
Professor umebadika kwenye katiba😂😂😂😂😂😂
@babaabro88476 ай бұрын
😂😂 kila kitu iungane na kilosa 😅
@JumaLulanje-i2o6 ай бұрын
Mwamba sana huyu mzee
@abdulhamis98256 ай бұрын
Watu Makin Walimaliza Muda Wao Kwa Mtu Makin Sasa Hv Ni Mipasho Na Show Tu
@lunangabenjamin31216 ай бұрын
Malaya,malaya dah kusiya jina lenyewe nimejikuta nacheka hadi jozi machoni.😂😂😂.
@shabantelack57166 ай бұрын
Sometime Kabudi Huwa anatumia uprof wake
@salumkarim696 ай бұрын
kila kitu kiandikwe nyerere na bahari na maziwa yaandikwe nyerere bora eh jamaniiii😂😂😂
@abdulpagali74766 ай бұрын
NO
@philipjoseph59316 ай бұрын
Palamagamba kwa kisukuma maana yake ni mkwangua magamba. Kweli unastahili ku kwangua magamba yaliyoganda kwenye bongo za watu yanayozuia fikra za Maendeleo. Kabudi Kisukuma ni Koti kubwa. Akili zako ni kubwa sana (Zamani nilidhani wewe msukuma sasa sijui haya majina kwa Kigogo maana yake)
@fadhiliibrahim97026 ай бұрын
Hapana hiyo ndege iitwe Dar es salaam recognizing the importnace of the city as a commercial city of Tanzania kama ilivyo ile iliyoandikwa Dodoma, Zanzibar
@AbdulMwengwa6 ай бұрын
Mzee wa madini hajawahi tereza anapo simama. Na Jambo lake
@mboneanyiru95896 ай бұрын
Ingekuwa sio kuwa Kila kiongozi anawateule wake huyu mwamba angestahi kuendelea kubaki kwenye wizara
@kelvincharles72636 ай бұрын
Makerubi na Matherubi
@denniskado39906 ай бұрын
Anapiga tuu kelele hakuna kitakachofanyiwa kazi
@drallan68796 ай бұрын
prof kabudi mbona upo low Sana nowadays?
@peterdeus60936 ай бұрын
Mawazo kama haya CCM huwa hawayapendi mana hayawaachi na pesa
@alfinmbilinyi59856 ай бұрын
Yeah mawazo mazuri tatizo usimamizi isijeikawa kama wahindi waliuwa trc na afrika kusini walivyoua air Tanzania.hizo reli 100%zimilikiwe na serikali yenyewe hakuna kumpa mwekezaji reli ya kilwa Mtwara songea ni muhimu kwa uchumi na usalama wa inchi hasa nyakati kama hizi za mafuriko barabara zimekatika uchumi unasimama na usalama pia kingine kule kusini hasa songea kuwe na uwanja mkubwa wa ndege kwa ajili ya mambo ya haraka ya kiusalama ndege kubwa kama dreamliner iweze kutua muhimu sana.
@gaspermatovu28996 ай бұрын
Bandari zetu zirudi, ongelea na Hilo prof.
@zawadix95746 ай бұрын
Wazungu jamani bunge ya 2024 tuna ongea serekali ya miaki 100 ili yo pita tume logwa na nani
@dkalbertoanyasime93576 ай бұрын
Nyie ni kupongezana tu reli ya treni kuja Arusha haipitiki sasa Au wakoloni nyie mmewaona wajinga?
@edsonkahesi86036 ай бұрын
Shida kubwa reli tunajenga kwa hela zetu lakini ikishakamilika tunaenda kukabidhi kwa mwarabu..hii ni akili au nn..ila kwa kuongea mnatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. #Katiba mpya haiepukiki
@wazarendotv79666 ай бұрын
Mzee muongo huyu anatetea jimbo lake kilosa
@jumaally42636 ай бұрын
Sasa asitetee jimbo lake wewe vp
@FahadAbubakari6 ай бұрын
We unaakili kweli sasa kazi ya mbunge si kutetea jimbo lake Kwanza au
@mpajibinaisa72386 ай бұрын
Ulimuona nani asiependa kwao/kwake?
@peterdeus60936 ай бұрын
Pumbavu
@MusaNgao6 ай бұрын
Kwani we ukweli wako uko wapi?
@benedictinelusambo0696 ай бұрын
Labda mumuimbie shetani
@ramadhanchenga46066 ай бұрын
Ngonjela tu hizo
@jamesraphaelmdima47296 ай бұрын
Hakuna mtu mwenye sifa za Kerubi na Serafi hao ni Maraika wanaomtumikia Mungu,sasa Prof ufanye toba umemkosea Mungu.
@MaryNehemia6 ай бұрын
Wewe ndo hukumwelewa amesema miaka 90 au 100 ijayo nafikiri sisi zote humu ndani hatutokuwepo tutakukuwa pamoja na maserati na makerubi tukishangilia indapo wakiiendelea hiyo miradi anayoizungumzia