WAZIRI MWIGULU AMJIBU KIBABE MPINA, "HUU SIO UDOKTA WA KUPEWA NIMEINGIA DARASANI, TUSIONGEE TU".

  Рет қаралды 108,597

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 286
@hamoudabdallah4841
@hamoudabdallah4841 Жыл бұрын
Mheshimiwa Waziri hongera sana kwa darasa uliotoa bungeni wanaelewa vizuri,sema inabidi tu watoe mawazo yao ,nawewe endelea kuupiga mwingi ni jukumu lako kuufahamisha umma,kama watachagua kuto kukuelewa usijali tukikuelewa sisi wanachi inatosha.
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 Жыл бұрын
Ili la hivi ndio bunge jenga hoja.leta mbinu kosoa mbinu ipitishwe yenye mashiko.HONGERA MWIGULU
@BONIPHACESANGALALI-qc2rl
@BONIPHACESANGALALI-qc2rl Жыл бұрын
Hongera mh mwiguru kwa maelezo mazuri kati ya mfumko wa bei na bei
@mustaphatibaijuka6995
@mustaphatibaijuka6995 Жыл бұрын
Huyu ndo mwigulu ninayemfahamu hongera saaaana waziri kwa taarifa nzuri
@boniphacemoshi2993
@boniphacemoshi2993 Жыл бұрын
Mwigulu umeelezea vizuri sana.Big up Bro hatua serikali inachukua Uchumi wetu utaendelea kukua siku Hadi siku.Honger kiongozi.Kaza Buti.
@kichelemsabi5685
@kichelemsabi5685 Жыл бұрын
Hongera sana mwigulu nikweli wakulima wanafanya kazi gumu Sana mungu akubaliki ,
@migerajacob581
@migerajacob581 Жыл бұрын
Serekari ilichelewa sana kuwekeza ktk kilimo hii ndio sector pekee, inayo weza kutoa ajira kwa wingi na kuinua uchumi wa watanzania kwa haraka,
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 Жыл бұрын
Leo umefundisha mh. Waziri wa fedha. Congrats!!
@gradiusernest4716
@gradiusernest4716 Жыл бұрын
Asante mheshimiwa umeongea kiuchumi
@ezeedi871
@ezeedi871 Жыл бұрын
Sema Leo umeongea point mwamba but kukuamin sometimes inakua kazi et coz huelewekag et unabadilika sana but kwa Leo point kubwa Sana umeongea kaka Mwigulu
@azorheradius8681
@azorheradius8681 Жыл бұрын
Kiongozi uko vizuri ase, please hiyo shule uwe unaitoa ata mara mojamoja yawezekana ikasaidia kutuongezea uelewa watu wakapunguza malalamiko
@shcraightup
@shcraightup Жыл бұрын
Well said👏🏿👏🏿
@banzimtizii5020
@banzimtizii5020 Жыл бұрын
Nilikuwa nakuchukulia poa poa ila leo ulivyoongelea uchumi nami mchumi mwenzio apa, well said wape darasa bungeni apo
@madumamaduma8571
@madumamaduma8571 Жыл бұрын
Mh. waziri Mwigulu uko vizuri Sana. wewe Ni mmoja wapo wa majembe ya Mh. Raisi Samia
@farusaimon3490
@farusaimon3490 Жыл бұрын
KONGOLE nyingi sana kwa Serikali kupitia Mhe. Mwigulu. Kilimo kitakuwa na heshima na thamani kama Mkulima atauza kwa bei nzuri. Rai yangu kwenu, ruzuku ya mbolea usije shusha sana bei ya mazao.
@osiahlupa1605
@osiahlupa1605 Жыл бұрын
Hakika Leo umeelweka, endelea kujibu Kwa weledi hivohivo.🇹🇿 Tunaipenda
@frankmadulu8547
@frankmadulu8547 Жыл бұрын
Hongera sana Muheshimiwa mwigulu
@user-zp6ub1nc3v
@user-zp6ub1nc3v Жыл бұрын
Rais Samia unapiga kazi vizuri sana,kwahilo tuna kumshukuru But umechemsha KUMUEKA MWIGULU KWENYE WIZARA YA FEDHA
@gdesiandimbo5363
@gdesiandimbo5363 Жыл бұрын
Asante baba tunamuelewa samia wetu
@thomasialute7828
@thomasialute7828 Жыл бұрын
Mheshimiwa waziri wa fedha na mipango upo sahihi Sana mungu akubariki uendelee na hiyo elimu wabunge wengi wamekuelewa Sana na wananchi ambao wanakufuatilia waache wenye wivu wajinyonge
@justicemboma8982
@justicemboma8982 Жыл бұрын
Ieo umeongea point big up
@eliasmasanyiwa6534
@eliasmasanyiwa6534 Жыл бұрын
Nlikuwa nakuchukulia poa Mwamba...Nmeamini U deserve that position...keep going.
@paulina.baynit7970
@paulina.baynit7970 Жыл бұрын
Leo umeongea vizuri sana, hongera Mwigulu, wabunge wa mwaka huu utafikiri hawajaenda shule, wape shule.
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 Жыл бұрын
Kuongoza watu ni kazi sana bei zikiwa ndogo wanalalamika zikiwa kubwa bado wanalalamika hawa ndo wabongo
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c Жыл бұрын
Very good 👍
@damianmathew6608
@damianmathew6608 Жыл бұрын
Ni huruma sana kuwa na viongoz wasiofaa na waongo na wasio na upeo kama huyu ...da noma sana anamsifusifu tu mama .na Hana sera na utulivu wa akili na ni mtu wa kawaida sana . Du Tanzania yangu inapotea Tena ...miaka 2 tu toka baba Magufuri afariki roho inauma sana ..
@boniphace1
@boniphace1 Жыл бұрын
Safi sana mkuu
@samwelimadaha767
@samwelimadaha767 Жыл бұрын
Umejitahidi kujibu vizuri ,Hongera waziri! Tunahitaji majibu bora. Pia wabunge mshirikiane kutengeneza suluhisho sio kupingana pingana na kuwaza kufukuzana na kujiuzuri. TUPENDANE, TUJENGANE
@KazimilyCharles-wi4wb
@KazimilyCharles-wi4wb Жыл бұрын
Hongera xana mheshimiwa mwinguru
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Жыл бұрын
Mwigilu Nchemba kukuamini tena itakuwa Ni shida Sana; kwamba kwasasa unatetea maslahi ya wananchi sio kweli😒
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Wewe pingamizi hoja au kubal,unaongea kuwahoji,ubao uwezo wakisema chochote nahuna elimu yote?
@ayubumandi3431
@ayubumandi3431 Жыл бұрын
Mheshimiwa waziri umefafanua vzr nimekuelewa sanaa KAZI iendelee
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 Жыл бұрын
Umemkashifu boss wako kwa kuwa na honorary doctor kweli we kijana una majigambo sana
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 Жыл бұрын
Kuna mijitu ina negativity haijawah ona mazuri ya serikali.inasababisha wahaka tu mtaani.safi sana Dr.mwigulu
@mahewasamwel9001
@mahewasamwel9001 Жыл бұрын
Hamna kitu wew ujui kitu
@geofreymbilinyi8023
@geofreymbilinyi8023 Жыл бұрын
Good speech Mh Mwiguru Dr yako umeitendea haki
@wilsonwincheslaus9347
@wilsonwincheslaus9347 Жыл бұрын
I appreciate it
@makupejafar1771
@makupejafar1771 Жыл бұрын
Mchemba ukimya unawafanya watu wakuona kama hauzui kitu kumbe ni kichwa
@hashimugukwi8568
@hashimugukwi8568 Жыл бұрын
Dkt. Mwigulu nchemba, umeeleza vizuri kabsa wamechagua kutoelewa wenyewe mtu mwenye utimamu ameelewa, kwahiyo nakupongeza sana kwa kazi nzur uliyo fanya hongera sana 👍🙏🙏. Lakini Dkt mwigulu nchemba napenda nikwambie kwamba hao wamepanga kutoelewa wenyewe usiwawazie sana wachukulie kama motisha ya ww kufanya vizuri
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 Жыл бұрын
Kuuza chakula nje bila kuwa na uhakika wa kesho ni hatari sana? Majibu ya Mwiguru ya jaziba kitu ambacho sio chema.
@christiannjau7191
@christiannjau7191 Жыл бұрын
Nimemuelewa waziri vizuri..sana for the first time...
@yesuanaokoamtumainiyeye1360
@yesuanaokoamtumainiyeye1360 Жыл бұрын
acha story Mwigulu fanyeni kazi tatizo maneno mengi halafu utekelezaji sifuri
@shabanlue7253
@shabanlue7253 Жыл бұрын
Nzuri sana
@malikzafarani172
@malikzafarani172 Жыл бұрын
Umetisha saaana mkuu 🇹🇿🇶🇦
@geraldmtesigwa6864
@geraldmtesigwa6864 Жыл бұрын
Yes sir
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 Жыл бұрын
Hao jamaa wa taarifa sometimes wanazinguaga sana acha mtu amalize hoja zake. Safi sana wazir wa fedha umeongea vzuri sana mno.Mkulima akiinuliwa uchumi wa nchi unapanda chap
@odenimwachogo7426
@odenimwachogo7426 Жыл бұрын
Sio kutisha wee unakatisha watu tamaa mzee . Dunia ipo kiganjani wenzio wanaKuna mwongo tu, alafu ukija kipewa tena uwazir me ntaandamana
@godwimmkolomi8988
@godwimmkolomi8988 Жыл бұрын
Ehee kumbe kunawakati anaweza mpina hongera
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 Жыл бұрын
Well said dr.mwigulu nchemba
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Makusanyo yameongezeka lkn na upigaji umezidi kwa mujibu wa CAG
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Hapo sawa wanatosha 2100 niwengi sana nahawana kazi zaidi kuwadhoofisha wanyonga katika biashara zao wanatosha hao
@paulmusa2378
@paulmusa2378 Жыл бұрын
Ni wehu tu, ukali huo unalinda upuuzi wa viongozi
@ivodaman6236
@ivodaman6236 Жыл бұрын
safi sana mkuu nimekuelewa,,watu wanamafikilio ya hovyo sana,,,wanataka wakulima wauze mazao yao kwa bei nafuu wakati wao walinunua mbolea kwa gharama kubwa,,huku kwetu tulinunua mbolea mpaka laki na nusu
@kokombwana8625
@kokombwana8625 Жыл бұрын
Kuna jambo wanajisahau,mkulima wa kawaida sio anayefaidika. Kuna wanaonunua mazao (madalali) ndio wanaonufaika
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
Wengine wanashabikia lakini hawana uhalisia. Wakulima wengi wa kawaida mazao yao yananunuliwa kabla hata ya kuvunwa na hao matapeli wanajiita madalali.
@seifmwangarume907
@seifmwangarume907 Жыл бұрын
Wanufaika wa kuu ni watu kati yaani kuna yule anaenda kununua shamba halafu kuna yule dalali wa sokoni hapo tunazungumzia mahindi bado hajakua processed kua unga na yule dalali wa sokoni atamuuzia mnunuzi wa jumla ane saga kuuza unga imagine hii bei iliongezeka kwa hapa kati tuuu,kabla mfanya biashara wa leja leja hajanunua unga kwenda kumuuzia mlaji
@sebastianzongoro8915
@sebastianzongoro8915 Жыл бұрын
Hujajibu lolote
@mipawasuleiman7879
@mipawasuleiman7879 Жыл бұрын
Leo ndio nimeelewa kwann umepewa hiko cheo uko vzr sana
@zeyanaibrahim
@zeyanaibrahim Жыл бұрын
yaami Mwingulu wewe ni kati ya Watanznaia wenye vipawa vya juu hongera sana kwa maelezo yako ya kisayansi kabisa
@wilbertlufurano3629
@wilbertlufurano3629 3 ай бұрын
Siyo sawa
@mbagason
@mbagason Жыл бұрын
Shemeji yangu Mwigulu unafeli sana acha ubinafsi achia pesa
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Kuma nashemeji yako
@clementsangale7402
@clementsangale7402 Жыл бұрын
Mh. Mwigulu nimekukubali, umeongea shule kubwa sana ya uchumi, keep it, watakuelewa tu. Uchumi ni sayansi lazima ufuate principles zake. Unastahili kuwa waziristan wetu wa fedha. Piga kazi. Cheers
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 Жыл бұрын
Waziri uko sahihi kabisa hongera
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
Kwahiyo mwiguru leo amemzarau mpaka bosi wake. Mama vua uo udaktari wa kupewa maana ni kumbe wanakwita daktari pembeni wana kucheka.
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Жыл бұрын
Afute usemi wake kuwa ana udoctor wa kusoma na siyo wa heshima🥲🥲🥲
@user-zp6ub1nc3v
@user-zp6ub1nc3v Жыл бұрын
Huyu Mwigulu sio Dr tusidanganyane. Mjika kama huyu hakuna. Please please please mama yetu tuondolee huyu mjinga
@mburuumbe5659
@mburuumbe5659 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂watake radhi wenye honorable doctorate
@yoabuonesmondanzi3460
@yoabuonesmondanzi3460 Жыл бұрын
Weledi weledi 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@seifdunstani2350
@seifdunstani2350 Жыл бұрын
Katika swala la kilimo mm nashauli kwa serikali kwa ujumla swala kuu muhimu ni kupunguza ghalama za tozo kwenye mazao yetu kiukweli tozo ziko nyingi sana hakika mkifanya ivyo mtaweza kumsaidia mkulima na mtumiaji wa mwisho huo ndio ushauri mm najua hakika hili litaweza kusaidia na sio kwa zao moja tu inabidi kupitia mazao yote ktk swala la zoto au ushuru.
@StanleyMakombe-fh2tq
@StanleyMakombe-fh2tq Жыл бұрын
Good
@selemansombe4177
@selemansombe4177 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏
@mussajknyama
@mussajknyama Жыл бұрын
Acha kujikuta braza darasan sio haja lakn ww Ubnadamu N hopless Unajinadi muno
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 Жыл бұрын
Wewe mtu alisema wewe ni tajiri ilihali unashinda njaa Ina faida gani. Uhalisia maisha ni mtu anayeyaishi mtu mwenyewe
@silverygregory9521
@silverygregory9521 Жыл бұрын
Hakika umetumie Taaluma yako vizuri, jenga nchi tupunguze porojo. Hata mimi mamuma nimekuelewa vema. Kongole Mwigulu
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼
@katambimfalimbega3808
@katambimfalimbega3808 Жыл бұрын
mwigulu Leo nimekubali jibu ni kubaransi
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Waganga wite wanashilukyana moaka mwigulu atakunya mavi,kasahau kuwa huenda kutibiwa .wamloge afe kibuli
@sakandalinus3125
@sakandalinus3125 Жыл бұрын
1500 wameshaajiriwa,500 wako hatua za mwisho,1st statement. 2nd statement, 2000 wameshaajiriwa na 100 wapo katika hatua za ukamilisho wa usaili.Mheshimiwa hapa hatujaelewa namba kamili kutokana na statement ya kwanza na ya pili.
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Leo mama samia lazima akupigie makofi brother umeupiga mwingi
@frankmichael9866
@frankmichael9866 Жыл бұрын
😀😀😀 kwhy hata we mheshmiwa unaelew kwamba degree za kupewa ni use......e😀😀😀??? Kwahyo uchumi upo imara Sio??? Mamaeee
@pascalcostantine4478
@pascalcostantine4478 Жыл бұрын
Povu linamwagika hapa
@eliacharles5729
@eliacharles5729 Жыл бұрын
MUNGU akubariki mwigulu
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Жыл бұрын
Ndugu tumedanganywa kweupe mkulima anapata bei ndogo kabisa hapa wanatetewa wafanyabiashara wanaosafilisha nje ya nchi
@lukasielibariki3181
@lukasielibariki3181 Жыл бұрын
Wapi wewe tumeuza mpunga gunia 260000 wakati tulikuwa tunauza 90000
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
@@lukasielibariki3181 wewe uma heka ngapi kaka?
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Жыл бұрын
@@lukasielibariki3181 sasa hii ukisikia zuzu ndio wewe
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@husseinmkanga7794 hana hata moja...ukiskia ivo ndo mlanguzi mwenyewe!!!
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
@@mamboshepea8888 kweli kabisa.
@sudenwahab4110
@sudenwahab4110 Жыл бұрын
Lini mmesaidia wananchi na lini mmesikia ushauri wa wabunge kila wakija wabunge wanaomgea hakuna mnalofanya au kusikia ushauri wao
@lovenessmohamedy6329
@lovenessmohamedy6329 Жыл бұрын
Hujajibu swali hizi bei zinamfaidisha mkulima au nan
@stephanominja8927
@stephanominja8927 Жыл бұрын
Kwa swala la bei ya mazao. Mimi naunga mkona sn wananchi wanakosaga soko. Lkn Now soko lipo ambaye hajalima atajiju,, Mh samia hivyo hivyo soko liwe wazi muda wote,, ila wananchi waeleimishwe kuweka akiba,, swala la la tembo kula mazao wekeni jicho la tatu hapo
@user-zo8ep4rz3l
@user-zo8ep4rz3l Жыл бұрын
In India due to the much income variation of its peoples in every kiosk shop, super markets, buying prices of food staff is based on the buying strength of the common man to make him live happy. Government most basic establishment of it is to see that the people live good life. Bad plsnning, poor human local international coordination resulting. To poor implrmentation get poor out come does not make the consumer suffer not at all it is the planner who takes the blame. It isn"t the concept of our lraders to nurse bad effective planning no and Governments are facilitators not business entity. Mama respectable President of Tanzania please see to it that your Ministers are not business men at the same time else decision they make will be protecting even its branch. Katika maandiko ya ujamaa na kujitrgemea neno kiongozi lili leta tatizo kidogo yafsiri. Kiongozi ni nani? Na viongozi akina nani? Waziri wa fedha wajibu wako mkubws nikumlinda mlaji asiumizwe. Its unethical if a producer provides at higher or highest pricing and people fail to buy price hinders them, the objective id profit margin never exceeds
@jomarungumile5307
@jomarungumile5307 Жыл бұрын
Mh mwiguru nimekuelewa vuzuri Sana mkuu
@wilsonwincheslaus9347
@wilsonwincheslaus9347 Жыл бұрын
Sijui niseme Nini Kwa mwiguru
@josephndomba1895
@josephndomba1895 Жыл бұрын
Waziri umeongea point tumesikia watanzania
@nkwabimayunga473
@nkwabimayunga473 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@nkwabimayunga473
@nkwabimayunga473 Жыл бұрын
elimu na ubora wake waklima wanalia na hasara mazao ya mekufa na upugufu wa vua unaleta hoja isiyo na mashiko garama za mbolea waliopata hasara huzugumzii hoja kushusha mazao ya wakulima wewe mbuge hakili matope kabisa kutisha taamaa wakulima hufai kupewa sekita yoyote
@onescaniaonescania8227
@onescaniaonescania8227 Жыл бұрын
Ww n hewaa ,anaezalishaa ,atakulaa yeye ,au mlaji analimaa, kwa nn Mlaji asilalaamike
@samasob8233
@samasob8233 Жыл бұрын
Kwani lazima uwe waziri wa fedha? Yaliyosemwa ni kweli yametokea waziri hajasingiziwa. Jiuzulu tu, kwa sababu siasa si ajira ni wito. Mpaka tukifahamu hilo ndo Tanzania tutaendelea! Otherwise kelele na kushibisha matumbo tu!
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 Жыл бұрын
Acha wakulima tujimwambafai wanaosema vyakuka nimepanda Bei wanapenda vyamezani vyabule nao wakalime
@mohammedikingazi5109
@mohammedikingazi5109 Жыл бұрын
Leo kidogo kama zinarudi kidogo 🤣🤣
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 3 ай бұрын
Mwigulu nchi unailamba sana.
@user-zo8ep4rz3l
@user-zo8ep4rz3l Жыл бұрын
Profit margin must not be above 20% more than that it will be exploitation, your duty is to protect guide financial generation without corruptive elemrnts the provider its not you who decide how has to go doing that then we fail to capitalise where you belong in the country`s perspective.
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 Жыл бұрын
Mwigulu upo sahihi
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
🌏
@ibrahimshilinde6129
@ibrahimshilinde6129 Жыл бұрын
Huyu jamaa sipotumbuliwa Mimi naenda Burundi
@godfreykovaga3454
@godfreykovaga3454 Жыл бұрын
Mwenyekit gani uyoo anamlinda wazir kwanin asikilizi taalifa za watu huo upumbavu kama kiti akikufai achana nacho
@mashakamayala7457
@mashakamayala7457 Жыл бұрын
Swaga tu
@frankurio469
@frankurio469 Жыл бұрын
Mmeuza mchele wote nje halafu mnaagiza mchele ulio chini ya kiwango, hakuna mkulima mwenye nafaka, nafaka ziko kwenye stoo za wafanyabiashara, mwigulu huna hoja ya msingi hapo!!!!
@hamzanamahala6201
@hamzanamahala6201 Жыл бұрын
Kwa majibu ya mwigulu rais anahusika kwenye riport ya CAG kuruhusu ubadhirifu wa pesa ya umma, maana yake alikua anashangaa taarifa ya mkaguzi, labda waziri ametumia jina la rais kuhalalisha madudu yaliyofanyika katika wizara za kisector
@samwelmwanga254
@samwelmwanga254 Жыл бұрын
Kwa hiyo wale wa udaktari wa heshima ni noma
@antipasmkude3789
@antipasmkude3789 Жыл бұрын
Huyu mchumi gani anayejimwambafai na udoctor wake wa uchumi, mbona hatuoni wananchi wakiwa na unafuu. Roll ya serikali ni mini? Siyo matheory yako yasiyotekelezeka. Kila kitu rais, rais , rais ina maana ndiyo mtaalam wa kila kitu
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz Жыл бұрын
Mwigulu ulivosema hapo kuna kauli ina effect kwemye stock prices umepatia sana ....Traders tunaelewa😇
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 Жыл бұрын
Kwa hili kweli kabisa waziri mwigulu..🙏
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 Жыл бұрын
Hizo lugha tumezoea kuzisikia toka nyuma huko wewe sio wa kwanza. Masomo ya uchumi wewe umesoma juzi tu na waliokufundisha wapo mbona we unajifanya umesoma kuliko wote wakati bado mchanga. Wapo akina proff.Assad na wengine.
@syriacusnestorhans4475
@syriacusnestorhans4475 Жыл бұрын
Tatizo lako uongeagi Leo umeongea na umeeleweka
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 29 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali
38:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 46 М.
Should Americans Worry About Mass Surveillance in the US?
15:40
VICE News
Рет қаралды 522 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 590 М.