Kwakuwa walikamatwa wa ccm ilo limekuwa la dhalula bungeni ila la wanaotekwa halifai la mbunge Aidani ipo siku mtalipia hayo
@lovoisaing20072 ай бұрын
Mbona jana umekataa hoja ya utekaji na ipotevu wa watoto ??
@upendoeliya93292 ай бұрын
Hapa anawaridhisha tuu huyu ni walex2
@dicksonshenkalwa54702 ай бұрын
Huyu pia mtekaji na siku hizi anajifanya........ 50 kwa 50 imempiteza sana huyu. Hawajui hii ni laana.
@deohaule81612 ай бұрын
Tatizo Sheria zipo kwenye makaratasi na wanaojua hizo sheria ni watu wacheche ambao wako kwenye taaluma ya Sheria na viongzi. Kuna umuhimu wananchi kuelimishwa haki zao pia hizi sheria ziwekwe wazi, mfano kwenye tovuti za serikali, na zitafsiriwe kwenye lugha ya kiswahili kwa manufaa ya jamii nzima.
@felixkamkala33032 ай бұрын
Point 100%
@sifamwakaniemba4432 ай бұрын
Dada Yetu kipenz Fauzia Ngatumbura Mungu ampe maisha marefu jamn hyu ni mtu na ½ kabsa
@MylaJoel-h2p2 ай бұрын
Jamani 2025 sisi tudeal na awa wabunge kwanza ndio tatizo kubwa
@mpjozzegalvanize49262 ай бұрын
Kweli kabisa
@AmosPaul-cv9ny2 ай бұрын
Mh spika Huwa nakukubali Sanaa ww mam
@YOSHUAMWAMPETA2 ай бұрын
Dr.Tulia unastahili Kuliongoza Bunge .
@josephjulio6112Ай бұрын
Kumbe ni wa ccm ndio spk kasikiliza
@Mboemo2 ай бұрын
Hii nchi imekua na mambo ya ajabu sana tena sana, hoja ya kukamatwa eti spika leo ndo anaona linafaa na kulikubali kwaku linahusu Wana CCM lakini muongozo uliotolewa jana ya kutekwa, kuuwawa na kupotea leo umeona umuhimu, sasa Kuna utofauti gani wa yule mbunge alieitaji muongozo wa watu kutekwa na kuuwawa?
@loner_wolfАй бұрын
Spika anajikanyaga , mbunge kaeleza uzur kbsa kwamba waliokamatwa waliomba kupimiwa mipaka .....hayo mengine spika unaedit tu.😅😅😅
@kashinjefranscis6082 ай бұрын
Kama umeliona nanyie basi kubuka mwimbo wenu gonja muisome namba
@ismaelgadiye44882 ай бұрын
Chezeni na Mungu
@JumanneSima2 ай бұрын
Unafik umejaa sana humu
@ezekielmabwai4822 ай бұрын
Bahati mbaya sana nikifungua huu mtandao nikiona mdada mmoja ana joho nashinda njaa, natapika hadi nyongo!!
@selemansaid92952 ай бұрын
kaza moyo nduguyang
@frankphiri91322 ай бұрын
Jichanganeni sana macho ya watu na akili za watu zinawaona nyie wabunge na sipika
@HamisLeo2 ай бұрын
Wapi huko wamekamatwa watu? Jimbo moja tu lkn watu wamepotea mwanza usagara, lamadi busega, singda mjini, maswa mjini, temeke dar, magu mjini kjn anaitwa aron magashi ametekwa na gari nyeus
@lovoisaing20072 ай бұрын
Utekajiiiii hutaki lijadiliwe ????
@Kwarasi2 ай бұрын
Yaani sijui kwanini ccm wanatuona wananchi nyani, spika tulia pale mbeya alilihusu kamata kamata rekodi ipo so asijisahau.
@MultiHeriel2 ай бұрын
Viongozi ambao wanakamata wananchi kwa kuonyesha shoo nafasi zao zichukuliwe na watu wengine
@simonmagembe74162 ай бұрын
Huyo DC mleteni Bariadi tumnyooshe.
@polokotomwalusamba11322 ай бұрын
Huu ndio unafiki wa spika kama amekataa kujadili hoja ya watu kutekwa na kupotezwa anakeleka vip na kupotea kwa watu
@evansdecaprio81962 ай бұрын
Mkiambiwa tunahitaji katiba mpya hamuelewi mnapinga tu kisa nyie ni ccm
@sifamwakaniemba4432 ай бұрын
Hku meatu hatumtaki kama hyo tuna dada yetu kipenz anajituma anafamya kazi nzur kuliko ma DC wote hapa inchini tunamuombea aendelee kuwepo
@AloisMosha-uv2fuАй бұрын
Ulikataaaaaaa
@mwitamahende43942 ай бұрын
Wamepewa Uhuru Sana ndio maana hawataki HOJA kinzani.
@OnesphoryJKMboya2 ай бұрын
Huyu spika ni kilaza square...Hana hata aibu...
@TumainiNyari2 ай бұрын
Sasa inawarudi wao wenyewe
@FrankolaisLukumay-tx8vr2 ай бұрын
Lakini huyu tulia ako sawa kabisa nilikuwa namchukia kwa kuwabana wapinzani lakn naona anaanza kujitambua kama kiongozi mnzalendo
@godsson59542 ай бұрын
Sitak tena mwanangu asomee Sheria aje aongeee kinyume na sheria
@wilsonandlea86142 ай бұрын
Uyu spika mshenzi anacheka nin apo apo akuna dharula lipo wazi
@AmenMushi-j2j2 ай бұрын
Bunge la chama kimoja shida
@DannySanga-gh1oj2 ай бұрын
Huyu mtu ni shida sana kwenye nchi yetu
@kedricksiame61672 ай бұрын
Muliwamaliza wapi zani sasa mmewanza kulana kulaneni hadi vichwa
@malkavoice25702 ай бұрын
Yaani mnaongelea utekaji upi mbona hamueleweki?
@bignewscity49272 ай бұрын
Wabungewengine wapo bungeni kimvuli unasimama hata hujiu unasimama kwann mbunge hajui hata asimamemdagani mdagani asisimame akae hawelewi wabungewetu bwana
@josephatSwai2 ай бұрын
Ubungo apo na Kuna shida
@jofreyfungo11122 ай бұрын
Wanaonea sana watu na kunyang'anya mali zao kupitia hii sheria
@alphoncekagezi49502 ай бұрын
Sio kamatamata tu na tekwa tekwa wananchi kisha kutezwa isio na mfano katika nchi hii!Inasikitisha inaliza inaacha manjonzi makubwa mno.
@josemalley16912 ай бұрын
Sasa ivi kuna ujanja wakutengeneza tatizo na mtengenezaji kulishulikia mwnyw. Mungu atusaidie sisi
@tumainimwaifunga38842 ай бұрын
Mbona Aida hamkujadili, ni shida sana Bunge hamjamtendea haki Aida.
@BhelekiaBhelekia2 ай бұрын
Kesi ya Nyani kupeleka kwa Ngedere😂
@emilyKassiano-oo5iy2 ай бұрын
Watu wanatekwa nakupotea kama kumbikumbi ninyi mnijadili DC kukamata watu. MUNGU anawaona
@mohammedkhimji75052 ай бұрын
shida sio viongozi kutoa amri wananchi wawekwe ndani, nchi hii mpaka kuna mataita wana uwezo huo.... shida ni maaskari ambao wanatii amri haramu!!
@George-jz3jg2 ай бұрын
Spika we ni mtu wa ovyo sana jana hoja ya watu kutekwa hilo jana umelipotezea
@GreceMwalende2 ай бұрын
Wanainchi hawajaona mrichojadiri kuhusu hiri hata hoja hamnaa kweri rimeisha
@EzekiaMtwale2 ай бұрын
Hawa watu ccm wakiguswa ndo shida had wanaitoa povu lakin wapinzan/wanaharakat &watoto WASIO na hatia anapotezwa,
@paulombay68842 ай бұрын
Si ndo wamechaguliwa na rais bwN?😂
@AmosRugaimukamu2 ай бұрын
CCM bwana mnachekesha, eti wamewekwa ndan wenyeviti wa CCM,
@richardkazembe2052 ай бұрын
Kwa Jimbo la mlimba Kuna janga jingine Kwa wafugaji pa1 na Mali zetu Kila siku tunakamatwa pasipo sababu za msingi na kutozwa faini ya laki Moja na kumi Kwa Kila mfugo tukiuliza sababu hatuelezwi na wanao agiza ni mkuu wa mkoa na wilaya tunaiomba serikali iingilie kati hili swala
@scholarmawala14032 ай бұрын
Sijui ni mm sjasikia ,au limezungumziwa bila mm kujua au laaaa Nauliza je bunge limeshazungumzia utekaji na mauwaji ya hao wahangaaa???
@chrysanthushakaunga65602 ай бұрын
Kazi ya police ni kulinda au kuua wananchi?
@OnesphoryJKMboya2 ай бұрын
Wabunge Hawa ni kuwafyekea mbali,na kufyeka CCM mbali kabisa...si CCM hao!?
@simonchristian63192 ай бұрын
Utakuta anajua Kila kitu
@BhelekiaBhelekia2 ай бұрын
Tulia ni Msanii tu ni bora Mby tungebaki na Sugu huyu hafai
@methodrweyendera68142 ай бұрын
Amekerwaje wakati kakakataa wasijadili😢
@alexvenas26992 ай бұрын
Mambo ya Hovyo kabisa
@karolikisaka89912 ай бұрын
Mnaotengeneza matatizo ni ccm yakishakuwa makubwa mnajifanya kuja kutatatua. Tutamwomba MUNGU ashughulike nanyi
@stevensteven45132 ай бұрын
Mfano Ngorongoro Yaani ni Aibu 🤣🤣
@ismaelgadiye44882 ай бұрын
KUMBE ingekuwa ni wapinzani msingejadili Kwa ccm inauma sana mkuki Kwa mutu safari hiiiiiiiiii????
@Pelegrinoemanuel2 ай бұрын
Mbona watu kutekwa hajakemea
@barakalonare14222 ай бұрын
Baba wa taifa alkomboa inchi kwenye ukoloni lakin imetokea ukoloni mwingine wa ccm 🚯
Dc hafai! Tumbuwa mara moja,ili asage lami,ajutie!
@DJJO2552 ай бұрын
Wiki haiishi tutaona mkeka 😂😂
@FrankSamson-r6s2 ай бұрын
😂😂😂😂ila siasa bhana
@barakajohn80052 ай бұрын
😂😂😂
@DeogratiusAndrew-zi7zv2 ай бұрын
Huyo mkuu wa wilaya ameenda kilombero kwanza kazi hawezi na atenguliwe haraka kwani hafai kabisa
@juliusdonard9332 ай бұрын
Hata huko itilima mmuchunguze yule mama mkuu wa wilaya
@josephswai67252 ай бұрын
Sheria inaruhusu hayo kama inaruhusu hakuna aja ya kkujadili kwa kuwamlipitisha nyie tujadili maswala ya msingi
@noekenny37712 ай бұрын
Sheria ime mpa Dc na Rc kutoa amri hiyo kama ana hatarisha usalama na sio kila kosa. Na pia asikae mahabusu zaidi ya masaa 24
@HassanWasiwasi-lq1kh2 ай бұрын
Kwa elimu yangu ndogo; Spika wa bunge kwa tukio la kabla na la leo haufaifai kuongoza bunge, najua ukweli ni mchungu, lakini kuna kitu inatakiwa mkijue nacho; Wananchi wanauelewa mkubwa mno na yanayoendelea kwa kina mno hivyo fanye kazi kulingana na nafasi zenu.
@Omarjumanne-zm9zh2 ай бұрын
Mpaka hapo wakianza kukamatwa watoto wa hao viongozi wanaounga mono watu kupotezwa ndo watapoumwa na mioyo yao na uchungu na wao wanadhani wananchi ni wajinga