wa Tanzania acheni unafki bila kupepesa macho wa mdomo Hamonize ni musanii muzuri ila kujilinganisha na Diamond bado sana kwa kweli afike kwanza level Rayvanny kwasababu Rayvanny pekeake kamzidi mbali sana Hamonize ila Hamonize anataka anataka kujifanya kua haujuwi kua Rayvanny mkubwa kuliko yeye anajuwa sana
@shannarsaidSwahili14 күн бұрын
Rayvanny ni mkubwa kuliko huyu harmonize.....maana harmonize anavimba saana na bado yupo chini ya platinumz na vannyboy
@titoamani-e8b14 күн бұрын
Harmonize hana imaani na kipaji chake tena ndio maana ameamua kua na uchawi..Mzee Popo...laana tupu😅😅😅
@user-ps5el6ef2u14 күн бұрын
Kinachoongelewa na mlichoandika haviendani😅
@dulladelzz1314 күн бұрын
Acheni kuongea utumbo sasa hapo amejigamba kitu gani hapo konde boy ni mtu mmoja pisi sn tuu ❤
@donlee999219 сағат бұрын
Ukubwa wajna utapendeza ukiambatana na mkwanja.
@user-xp4re6tv8l14 күн бұрын
Vanny mkubwa sana
@user-lb1nr2fw7t14 күн бұрын
Harmonize bado sana kwa lukuga
@SmilingBeaver-rf6sf14 күн бұрын
Dogo unajifanya wewe ni mkubwa
@richkaja331714 күн бұрын
Mond jini sio mtu konde afanye kazi aache unafiki
@kelvinbeckson755414 күн бұрын
any one who like konde click like button here👍🏾
@eggysulle798814 күн бұрын
Jeeshiii la mtu mmoja jeshii kama jeshii 🔥🔥🔥🔥🔥
@ellyjimmy2214 күн бұрын
Suel tv we are watching 🔥
@boniphacemsafiri14 күн бұрын
Wale vywawa wako mbona hatujawaona pimbi na wasenge wengine kelele wote leo wapost na hili
@youngrickericjames185014 күн бұрын
Mtangazaji unachokiongea ni tofauti na msanii anachojibu 💁🙄
@user-fc1pn6ee4z2 сағат бұрын
Bado sana harmo
@nzitogondwe997616 сағат бұрын
Yeye kila mara mpaka amtaje mwamba diamond
@omarybakunda255414 күн бұрын
Unafiki wenu mm huwa siupendi
@AUGENSYLIVAND-rq7hz14 күн бұрын
Aaa Hawa hawaeleweki huwa ni kiki
@jeremiahcharles602714 күн бұрын
Mbona anaiga kwa mond mpaka anakosea ,,,anaongea kwa uhumble sana