No video

GUMZO TRENI YA UMEME KUFIKA DODOMA, MACHIFU WAWEKA ALAMA MKURUGENZI TRC AWABEBESHA ZIGO LA ULINZI

  Рет қаралды 18,443

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@user-fb5tj5zy4z
@user-fb5tj5zy4z Ай бұрын
Shetan ashindwe kwa jina la Yesu christo. Kwa wasioelewa hawajui maana yake! Nasi tunaifunika kwa damu ya Yesu kristo ili kubatilisha umiliki wa shetani kwenye chombo hicho Amen!
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
@@user-fb5tj5zy4z Yaani tunajitoa ufahamu badala ya kumwamini Mungu muumba tunaamini miungu wa baali eti watusaidie kuweka ulinzi ktk maeneo reli inamopita!! Tunafunika marneo yote walimopitisha vibweka vyao kwa damu ya Yesu. Adui asipate nafasi na hiyo mikafara yao na ufalme wao wa kuzimu tunaubatilisha kwa jina lipitayo majina yote. Amin
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 Ай бұрын
Usiichafue bana
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Hii haijakaa vizuri, hakuna uchifu nchi hii hayo ni mapepo mmeyategesha kwenye miundombinu yetu. Yashindwe kwa jina la Yesu
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Ай бұрын
Yesu mwenyewe ni chifu
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 Ай бұрын
😂😂😂jamani
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c Ай бұрын
Chiefs God love
@petermogha7025
@petermogha7025 Ай бұрын
Machief hoyeee nimpenda hiyo
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y Ай бұрын
Bado kuna uchifu na hatuambiani?
@bongo39
@bongo39 Ай бұрын
Kadogosa wawaeleze wahudumu wako wa shirika la reli wawe na tabasamu wanapotoa huduma wanakuwa wamekaza sura zao mpaka unaogopa hata kuomba maji wasituchafulie sgr yetu na jengine ni usafi kila baada ya mda fulani muwe munafanya famigation katika mabehewa yote kuepukana na kungunu ,chawa,mende,nge mijusi na kadhalika
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Ай бұрын
Uchifu ni kuendekeza uchawi tu.
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 Ай бұрын
Pole sana
@user-yr3yi2yr6i
@user-yr3yi2yr6i Ай бұрын
Machifu hawana maana kabsa
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl Ай бұрын
Hivi kweli kusafisha mabehewa ya SGR YANAHALIMU MILONI 4.8 KILA SIKU? HUU SIO UPIGAJI?
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Ай бұрын
Machifu wa nini?
@user-wq8rd4zp5d
@user-wq8rd4zp5d Ай бұрын
Nikitu kizuri ila mngekabidhi muwekezaji kama mkorea Kwa wabngo zitakua kama mwendo kasi
@SalminTenga-fx6wi
@SalminTenga-fx6wi Ай бұрын
So machfu wamekuja kwa LP hapo au wamesaidia nn mbona Kama mh
@Ranaimuye
@Ranaimuye Ай бұрын
Muhimu zaidi si trend kufika Dodoma bali shughuli gani zinaendelea pembezoni mwa hii reli. Hizi shughuli ndizo zitafanikisha ujenzi wake. Kamwe reli yenyewe hailpi. Reli ni kama msingi wa jengo. Shughuli ndani ya jengo ndizo zinazo lipa gharama ya ujenzi wa jengo. TUPO?
@neemayassin6509
@neemayassin6509 Ай бұрын
Kwenye kukata tiketi online ukishaingia kwenye malipo ya serikali kumbukumbu no ni ipi toeni maelezo vzuri
@billysisty2871
@billysisty2871 Ай бұрын
First one😅🙌🏽
@RichWise671
@RichWise671 Ай бұрын
Uchawi machifu kwenda kwa Mungu ahaa!😂😂😂
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 Ай бұрын
Hii nchi basi an mpaka Machifu n Machawa😂😂😂
@wilhardtarimo386
@wilhardtarimo386 Ай бұрын
😂😂😂hapo kwa lift
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Ай бұрын
UTALIIII WA KUTOSHA
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y Ай бұрын
Machine?
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Ай бұрын
Yani waganga wanatangulia kusafisha njia kabula ya wachungaji na mashe.nchi imekwisha
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Ай бұрын
Hao machifu wanasaidiaje kulinda Miundo mbinu ya Reli?
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 Ай бұрын
Magenge ndo ilikua sawa sio machifu
@adamseleman5836
@adamseleman5836 Ай бұрын
haija kaa vzr hiyo mungeita hata watumishi na mashehe ndio ingekaa sw maana hao ni hawaabudigi miungu
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 Ай бұрын
Walishapanda
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Ай бұрын
Walisha pewa zam yao
@oscarfilimbi3282
@oscarfilimbi3282 Ай бұрын
Kuwa karibu na vyombo vya habari,siyo kila kitu kuponda tu,viongozi wa madhehebu ya dini ndiyo walikuwa wa jwanza kabisa,kizazi cha elfu mbili mbili huku hamuwezi kujua watu hao ni akina nani,ni viongozi wa kimila ambao walikuwa na nguvu kubwa sana ktk kuongoza Jamii zao,maagizo yao yalipokelewa kwa uzito wake na kuzingatiwa,so kwa hili sioni tatizo ktk kuwashirikisha.
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 Ай бұрын
Nimepita kwa comenti watanzania tufunguliwe ubongo maana wengi wetu wanadharau asili ya haapa kwetu na kuabudu asili isojjulikana
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Jamani mbona mkuniambia chifu kabwela suti viraka na mimi nije uko au mnataka kunipindua madaraka yangu 😢
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Ай бұрын
Hixo lift wafundishen 😅😅😅😅😅😅
@SmilingApron-zw6ne
@SmilingApron-zw6ne Ай бұрын
JAMANI NAOMBA MNISAIDIE KUELEWA, MACHIFU NI AKINA NANI? NI WAFALME WA MIKOA LAMA MKWAWA WA IRINGA NA MAZENGO WA DODOMA? AU NI WAGANGA WA KIENYEJI AU NI WALINZI LAMA MGAMBO? AU?
@princekagame8203
@princekagame8203 Ай бұрын
Acheni upumbavu tren hii kama ilivyokuwa mwendokasi itakuja kufa tafuteni muwekezaji ninyi hamna kitu uwezi kama serekali kuongoza chchte na c ninyi 2 ni zote Dunia binafisishan kwakwel nasktika sana ,😢😢😢😢
@mathiasrobert9025
@mathiasrobert9025 Ай бұрын
Acha akili mgando, lini wao watajenga uwezo wa kusimamia wasipojifunza sasa hivi! Hadi lini tuendelee kuwa tegemezi kwa wengine! Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe, na siyo watu wa nje, wao wakija maslahi yao ni mbele! Tuache ufinyu wa fikra
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy Ай бұрын
@@mathiasrobert9025 na ww fungua akil yko bas mwekezaji c lazma atoke ulaya bro hta hapa bongo kuna mazimba kibao wanaweza simamia hyo shoo
@princekagame8203
@princekagame8203 Ай бұрын
Nenda ufaransa nenda kokote akuna kitu kama icho serekal ni shamba la bibi
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 39 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН
Turkey Has Built The World's Largest Army Of Armed Drones
11:21
The Impossible Build
Рет қаралды 2,8 МЛН
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
TVNET X
Рет қаралды 256 М.
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 39 МЛН