MWAMPOSA AFUNGUKA YOTE, NAPENDWA NA WAMAMA, MUUJIZA MKUBWA ALIOFANYA

  Рет қаралды 232,381

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukubaliki sana sana True Man of God ,Very Humble, mwenyezi Mungu anakutumia sana na Umeokoa Wengi sana sana,Tuna ushuhuda Juu yako na Tunakupenda sana sana,Mwenyezi Mungu azidi kukuinua Sana sana.Ndani na Nje ya Nchi umeokoa wengi,Mungu atankutumia sana mpaka wachawi na Waganga wamesalender wamekuja kujikabidhi kwa Yesu Kristo.May God Keep on blessings you
@AishaHussein-c5e
@AishaHussein-c5e Күн бұрын
Namkubali sana mwamposa kiukweli simuamin mganga yyte wala nabii yyte zaidi ya mwamposa❤❤ naomba mungu anifungulie na aniponye kupitia bazabahu hii ya mwamposa ameni
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 4 ай бұрын
Huyu ni mtumishi wa Mungu kabisaaaaaa Mungu ambariki sanaaaaaaa🎉
@JohnKatto-nc9gq
@JohnKatto-nc9gq 20 күн бұрын
Hakika Mungu akikupa neema halipo litakalo shindikana Nabarikiwa Sana na ntumishi huyu wa Mungu Mungu azidi kumuweka ili atuponte tunaoteseka na ibilisi Ongera sana mtumishi Mwambosa❤❤❤
@nairakiboko
@nairakiboko 4 ай бұрын
Mwamposa bado ni kijana Tunao shirikiana kumuombea miaka mingi duniani awaponye na wale waso amini gonga likes apo❤❤❤ love mwamposa
@HarimaKasumba
@HarimaKasumba Ай бұрын
❤ubarikie mtumishi wamungu wasiokuamini wanachelewesha miujiza yao tu maan.wewe ni mtumishi wangu kweri.mungu.akupe miaka mingi yakuishi uendlee.kukomboa familiar.zawatu wengine
@sylviadanford9138
@sylviadanford9138 4 ай бұрын
Nakupenda sana Apostle, huropoki n ni mtumishi wa kwanza Tanzania nzima mwenye akili,hekima sana kanisani sio mtukanaji wala mropokaji ni mtulivu unashibishwa neno mpka unamuona Yesu live.keep moving n our prayer will protect you.❤❤❤bless you man of God
@irenemwanry121
@irenemwanry121 4 ай бұрын
Mtume tumekufahamu toka unahubiri nyumba kwa nyumba Moshi kijijini kwetu, hakiki ni Mungu alikuandaa kwa kizazi chetu ❤❤❤
@blasiustibwakawa6258
@blasiustibwakawa6258 4 ай бұрын
Nomaa halafu saana😂
@Glory-i8k
@Glory-i8k 26 күн бұрын
Acheni kabisa kuna mtu kwakwe humchomokii kabisa nikikumbuka nyumba kwa nyumba machame,mara moshi,Nbc pale weee kwakwee hatuondokiii kamweeee
@joshuajustustz
@joshuajustustz 4 ай бұрын
Naipenda sana injili ya mtume Mwamposa. Anahubiri ukweli na ukichukua dondoo za mahubiri yake ukazifanyia kazi utapiga hatua. Mambo mengine SI mpaka kuombewa na kuwekewa mikono... Mafanikio Yana kanuni zake. Mtume amekuwa daraja Bora kuwavusha watu kutoka katika hali duni na kuinuka... Lakini haya yote SI yeye Bali Mungu aliye ndani yake. ❤❤❤. Piga injili baba 🎉🎉🎉🎉
@bugumbahellen
@bugumbahellen 28 күн бұрын
Namshukuru Mungu kwa kumleta mtumishi wake katika maisha yangu, nimefunguliwa kimaisha na uchumi na vifungo vyote vya giza, Utukufu namrudishia Mungu. Asiyemwamini huyu mtumishi, BADO HAJAJALIWA NA MUNGU.❤
@nicaswaziri
@nicaswaziri 4 ай бұрын
Mungu akulinde na akupe uweza zaidi niliteseka sana kiuchumi lkn leo namiliki kupitia wewe nimeinuka kiuchumi. Asante mtumish wa Mungu siku moja ntakuja kawe Mungu amenitendea Mengi mnoo.🙏🙏🙏
@StelaMwambemba-qd3tr
@StelaMwambemba-qd3tr 4 ай бұрын
Nabarikiwe. Na mtumishi mwamposa libalikiwe tumbo lilimzaa Mungu amtunze miaka mingi sana
@GitigaEdward
@GitigaEdward 4 ай бұрын
Nakupenda xan mtumixh wa Mungu Mwamposa Mungu akuzidixhie miaka ya kuixhi uzidi kutuudumia
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 4 ай бұрын
Amen Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe Babaangu wa kiimani Mungu anajua uliko nitoa nimepitia changamoto nyingi nikakata tamaa ya kuishi nilipofika kawe chini ya mafundisho ya mafundisho ya Mwamposa kila kitu kimekuwa historia nimepokea uponyaji Namshukuru sana Mungu wa Mwamposa
@BabaD-fu9io
@BabaD-fu9io 3 ай бұрын
Mwamposa Mungu akulinde sana akupe miaka mingi, umenifanya kuwa jasir maisha yangu siogopi chochote, siogopi waganga,siogopi wachawi natembea kifua mbele
@beatriceminja2148
@beatriceminja2148 4 ай бұрын
Akiwa Kilimanjaro nilikuwa nafanya kazi stationary flan na mtumishi alikuwa anafanyia shughuli zake za matangazo, na vipeperushi Hapo. Kwa mwamposa hunichomoi, baba yangu kapona na hamjui mwamposa na hajui hata kanisa lake liko wapi.. Mwamposa chapa injili BABA🙌🙌
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 4 ай бұрын
Aminaaa
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 4 ай бұрын
Ss mwamposa si mganga km waganga wengine wa jadi,huduma za mwamposa ni za kishilikina km ni MUNGU ata ww unawez kuomba ukaskika, pia ukisema yy katumwa na MUNGU ndo tyl ww ni mfuas wa mganga😂
@benjaminalfa3098
@benjaminalfa3098 4 ай бұрын
Ameen
@Japanese-lz1or
@Japanese-lz1or 4 ай бұрын
​@@msafirimaulidi5054Kuma ww acha makasiriko
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 4 ай бұрын
Amen
@eusebiusthilia7908
@eusebiusthilia7908 4 ай бұрын
Namkubali sana MWAMPOSA hakika kaletwa Mungu mwenyewe kwa ajili ya kizazi hiki!Mungu aendelee kumjalia Baraka na Neema Tele
@StellaRingo
@StellaRingo Ай бұрын
Mm Mwamposa namkubal Sana kazi ya Mungu Anafnya kwa moyo
@StellaRingo
@StellaRingo Ай бұрын
God. Bless you
@EsterMachea
@EsterMachea 20 күн бұрын
Huna majivuno short and clearly safi ni Mungu tuh safiii kimbingu kabisa unajibu
@veronicapatrice436
@veronicapatrice436 4 ай бұрын
Hongera sana classmate pascal Mungu amtunze mtumishi wa Mungu..kichaa anachekesha kam hatokei kwako huwez jua umubimu wa maombi kam hujapata matatizo❤
@LucresiaMassawe-f1y
@LucresiaMassawe-f1y 3 ай бұрын
Jamani,mi namtakia maisha mareeefu Sana ya baraka na kuongezeka zaidi,hakika baba mwamposa ni mnyenyekevu Sana,hajawahi kukuinua hata CK moja.
@monicaisuja8917
@monicaisuja8917 4 ай бұрын
Mwamposa ni kweli mtumish WA Mungu maneno ya watumishi wenzako ni mengi Mimi mwenyewe ni mengi Mungu amenitendea we peleka watu Kwa yesu usiogope❤
@ujenziimaratv1192
@ujenziimaratv1192 4 ай бұрын
Wewe ndio umelitaja jina la Yesu uyo mtumishi wako aja litaja Akili kichwani
@fumotv7914
@fumotv7914 4 ай бұрын
​@@ujenziimaratv1192unauhakika
@Salesiamalekela-i2h
@Salesiamalekela-i2h 4 ай бұрын
Kwakweli tunakuxhuru sana mtumixhi wa mungu kwakutusaida mungu akulinde uixhi miaka mingo sana
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
@AUGENSYLIVAND-rq7hz 4 ай бұрын
Kwakweli Ayo Tv habari mnazitafuta hebu gonga like
@HappinessJohn-ni3vq
@HappinessJohn-ni3vq 4 ай бұрын
Nachompendea huyu baba hajuagi kujiinua✋ lazima amuweke Mungu wa kwanz
@LATIFAMUSSANAMANORO
@LATIFAMUSSANAMANORO 3 ай бұрын
Nakuaamini baba nakukubali sana mwenyezimungu aendelee kukuweka zaidi na maisha marefu milele amina
@glorygadielmshana1070
@glorygadielmshana1070 4 ай бұрын
Hakika mungu yupo ndani yako mtume,nimepokea na kutendewa mengi kupitia tv tuu ♥️♥️♥️♥️
@perpetuakicheleri-zk5ly
@perpetuakicheleri-zk5ly 4 ай бұрын
Mungu akuweke mpk yesu Atakaporudi baba umefanya makubwa 🙏🙏
@godsonprosper6657
@godsonprosper6657 3 ай бұрын
Yesu alisharudi usikalili maandiko
@ElizabethKazimoto-uc8zo
@ElizabethKazimoto-uc8zo 4 ай бұрын
Man of GOD ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu akutunze our prophet
@salumsiraji-ou3uo
@salumsiraji-ou3uo 4 ай бұрын
hahaha
@ElizabethKazimoto-uc8zo
@ElizabethKazimoto-uc8zo 4 ай бұрын
@@salumsiraji-ou3uo yeah
@VeronicaMajaliwa-j1y
@VeronicaMajaliwa-j1y 21 күн бұрын
Namkubalj sanaa mwaposa nimengi nimetendew kupitia tv t❤
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 4 ай бұрын
mtu wa maana kabisa mwamposa ❤❤❤❤❤❤❤❤
@jackycharles6419
@jackycharles6419 4 ай бұрын
Jaribu kumsoma mtuu anapojibu maswalii hakuna maharii amejiinua sa unataka fananiasha mwamposa na uyo kiboko wa wachawii kutwa Zima nikujisifu na madharau ata yesu nae alikuwa na umatii wa watu na alipigwaa kula siii masiihii Ila mda ulipofika waliona cheche yake am proud to this man of God
@FaustinaFloriani
@FaustinaFloriani 4 ай бұрын
Umeona eeh 🎉🎉🎉
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 4 ай бұрын
Hajawahi kujiinua kwa kweli huyu mtumishi wa Mungu wa Kweli kabisa.Mungu ambariki sana
@heavenlightmalisa1112
@heavenlightmalisa1112 4 ай бұрын
Huyu ameitwa na Mungu barikiwa baba
@Apox_eric
@Apox_eric 4 ай бұрын
Exactly, ningekuwa na uwezo ningekuzawadia. Umejibu just like ne ningejibu kumsoma mtu muongo .... The nan is humble, No show offs, proudness. He only says It si the hand of Almighty God. Text me on whatsApp +255753694154
@MonicaNyanda
@MonicaNyanda 3 ай бұрын
@@heavenlightmalisa1112 min. 💜💛👏
@AgripinahJacob
@AgripinahJacob 4 ай бұрын
Mungu akuweke miaka mingi sana Mtume. Umefanyika baraka sana katika maisha yangu na familia yangu. Ukipatwa na matatizo ndiyo utajua umuhimu wa huyu Mtume.
@FurahaCosmas
@FurahaCosmas 4 ай бұрын
Haswa,ndo ile cmulia sana omba yasikukute beb
@MariamuMkonge
@MariamuMkonge 4 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa kuifanya kazi yake na azidi kukutumia zaidi maana unefanyika baraka kwenye maisha yetu usivunjike moyo baba mti wenye matunda ndio unao pigwa mawe
@gratusvlogs
@gratusvlogs 4 ай бұрын
Sema mwamposa kama Kijanakama unakubaliana na mm nipe LIKES apaaaaaa
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 4 ай бұрын
Kijana kbs
@bakariomary5781
@bakariomary5781 4 ай бұрын
Pesa ndugu inatakatishwa haujui😂😂
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 4 ай бұрын
Anazidi kuwa kijana kwa sababu ya kufunga na kusali sana
@allahisone6386
@allahisone6386 4 ай бұрын
​ HHHH NDIOOO_🤦🏿‍♀️
@GraceKimenanga
@GraceKimenanga 4 ай бұрын
Nakukubali sana nimetoka ziro Sasa Niko yuro haijalishi watakuitaje mungu akutunze na akufunike kwa damu yake iliyo kuu
@ConstanciaFidelis
@ConstanciaFidelis 3 ай бұрын
Nabarikiwa sana ninaposikiliza mafundisho yako mungu azid kukuweka mtumishi wamungu
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 4 ай бұрын
Hallelujah mungu n mwema sambaza injili apostle🎉wenye chuki watajijua wenyewe
@heavenlightmalisa1112
@heavenlightmalisa1112 4 ай бұрын
Mtumishi wa Mungj nimetoka nae mbali sana akiwa anaanza kilimanjaro karibu na Tanesco Mungu akubariki baba miaka mingi kwako
@IsaackPaulo
@IsaackPaulo 4 ай бұрын
Mtume Mwamposa amekuwa baraka sana kwa taifa letu na familia zetu mimi niliyefunguliwa kwa upako wa madhabahu hii namwona na Nabii Eliya mtishbii yuko Tanzania ❤❤❤❤❤
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 4 ай бұрын
Mtume feki😂
@IsaackPaulo
@IsaackPaulo 4 ай бұрын
@@saleemsuleiman2220 wewe ndo feki
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 4 ай бұрын
@@IsaackPaulo mtume kutoka KUZIMU SIO KWA MUNGU WA MBINGUNI SISI SIO WAJINGA
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 4 ай бұрын
@@IsaackPaulo Tatizo hamna maarifa yale Mafuta anayouza ametolea wapii
@IsaackPaulo
@IsaackPaulo 4 ай бұрын
@@saleemsuleiman2220 kwanimafuta yanatakiwa yatoke wapi na hayo mnayopikia mnajiwa yanakotoka?hujui agizo la mafuta kibiblia wewe ni mgeni na maandiko matakatifu tulia sisi tuanaojua rufaidi ahadi za Mungu
@festomandari3773
@festomandari3773 4 ай бұрын
Might God enich you with more wisdom Apostle
@ngowidyness3464
@ngowidyness3464 4 ай бұрын
Tenda kazi uliyoagizwa na Mungu mwanaadam hatuishiwi kauli❤❤itoshe kusema tunakuelewa na kukuamini na shuhuda ni kuu mno
@martingeorge9468
@martingeorge9468 4 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏 Amina
@eclinemaro7677
@eclinemaro7677 4 ай бұрын
Amen
@hendrylema5640
@hendrylema5640 4 ай бұрын
dyness upo
@ngowidyness3464
@ngowidyness3464 4 ай бұрын
@@hendrylema5640 nipo kabisa
@PeninahMalale-ww2ey
@PeninahMalale-ww2ey 29 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa maana unasaidia watu
@humphreyonlinetv2739
@humphreyonlinetv2739 4 ай бұрын
MWAMPOSA IS ATRUE MAN OF GOD HIGHLY ANOINTED
@LovenessAlbert
@LovenessAlbert 2 ай бұрын
Umekua mtu usiye penda makuu na mtu wewe ni injiri basi ❤ you papaa mungu akupe maisha mareeeefu sana.
@beyondmediatz1607
@beyondmediatz1607 4 ай бұрын
Nimependa alivyomuwai muandishi kusema anayetenda ni Mungu yaani hajataka kupokea utukufu yeye, kibinadamu ni ngumu kumuelewa mtu akifanikiwa kiwango hiki "utasema kweli ni mahubiri tu au kuna kitu nyuma?" kuna muda tukubali kumuacha Mungu ajuaye na ndio atahukumu kwa haki tusiwaseme vibaya hawa watu wa Mungu, kwani sisi tunaokosoa tunafanya maovu mangapi? Nani anainuka kukuhukumu? Mana ni Siri yako, aliyeelewa nasema nini naomba like
@RoseOdilo
@RoseOdilo 4 ай бұрын
Kabisa❤❤❤
@joelbtz8277
@joelbtz8277 4 ай бұрын
Umenena vyema mno🎉
@RosemaryDominic-m9r
@RosemaryDominic-m9r 4 ай бұрын
Mwamposa anafungungua kila lililofungwa jmn❤mungu akulinde sana.
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 4 ай бұрын
Ninachoamini ni Imani tu. Ukiwa na imani kuwa kupitia Mwampsa utapona au utafanikiwa naye pia akawa na imani ya kuponya kwa maombi basi Mungu atatenda. Hata wana wa Islael hakujitokeza Mungu bali alimtuma Mussa.
@TarikSleiman-i6s
@TarikSleiman-i6s Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 4 ай бұрын
Mwamposa hata usipomwamini ni sawa tu hata yesu mpaka anakufa na anafufuka walikuwepo ambao hawakumwamini. Sisi wacha tufaidi baraka za mwamposa. Baba chapa kazi tunakufahamu tangu ukiwa kilimanjaro . Wewe una Mungu.
@ciscojr2277
@ciscojr2277 4 ай бұрын
Unamfananishaje Yesu na binadamu we mpumbavu
@StelaMwambemba-qd3tr
@StelaMwambemba-qd3tr 4 ай бұрын
Good point acha wabeze tunafaidi tunaoelewa
@norfenvgeraldo9493
@norfenvgeraldo9493 4 ай бұрын
Ninamshukuru sana Mungu kupitia huyu mtumishi nimefunguliwa vitu vingi sana kwa kweli mungu azidi kumtumia kwa viwango vya juu zaidi .🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 4 ай бұрын
Wewe akili zako zimefirisika kiukweli bola hata ya mnyama kuliko wewe sijajua alie waloga amekufaa au yuko wapi mnalaana hakiamungu asee nyie binadam nyie du
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 4 ай бұрын
Amen
@MaurenEmmanuely-nc9id
@MaurenEmmanuely-nc9id 4 ай бұрын
Laana unayo ww​@@barutiabuu9492
@MwanaidMshana-r9s
@MwanaidMshana-r9s 4 ай бұрын
Wew endelea kutuona wajinga one-day utajua umuhim wawatumishi wa mungu na hata siku Moja usipoteze mda wako kuhukumu watumishi wangu subiri mung awahukumu wenyewe kama wanafanya kinyume ​@@barutiabuu9492
@benardbonephace4896
@benardbonephace4896 4 ай бұрын
Anayeita watu ni Mungu,na sidhani kama ninawito wa kumnyooshea mtu kidole kujua ni wa kweli au sio wa kweli,kikubwa Mungu na injili inahubiriwa,watu wanaokoka na kuacha uganga,so kumwamini au kutokumwamini ni uchaguzi binafsi,endelea na kazi ya Mungu mtume Mwamposa,tupo nyuma yako
@Alphonce-em2xi
@Alphonce-em2xi 4 ай бұрын
@@benardbonephace4896 safi sna
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 4 ай бұрын
Umenena vema kabs udugu
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 4 ай бұрын
Ameeeeen
@reginaringo5167
@reginaringo5167 4 ай бұрын
Utukufu kwa YESU
@anethkitambi3140
@anethkitambi3140 4 ай бұрын
Mungu aendelee kukulinda, kukutunza
@emmanueldaudi3797
@emmanueldaudi3797 4 ай бұрын
Muujiza Mkubwa ni mtu kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake.
@christeternallifetv5959
@christeternallifetv5959 4 ай бұрын
Ameniiii
@atuganilemsomba3028
@atuganilemsomba3028 4 ай бұрын
Ukweli ambao watu wengi hawautaki
@trophywilson7211
@trophywilson7211 4 ай бұрын
Kabisaa Kabisa Hawajui Kumwamini Mungu
@RobertJaily
@RobertJaily 4 ай бұрын
Kwani wale walio kwa mwamposa awajampokea yesu na je kanisani kwako waumini wote wameokoka
@Justinamwakajumba
@Justinamwakajumba 4 ай бұрын
Nikweli huo ni muujiza mkuu saana kuzidi muujiza yote
@mycrown3567
@mycrown3567 4 ай бұрын
I like the way he is humbling himself…mahusiano yangu na Mungu yameimarika kwasababu ya huyu baba🙌🏼
@ConfusedBloomingFlower-wv1gf
@ConfusedBloomingFlower-wv1gf 4 ай бұрын
Nampena sana mwamposa mungu akupe maisha marefu mutimishi wa mungu
@ianbryse1417
@ianbryse1417 4 ай бұрын
Buldozer Mwamposa ❤️ Nimekuverify ☑️
@Mcsceo
@Mcsceo 4 ай бұрын
I love venye APOSTLE Analitaja jina la Ndugu yangu Mc Pascal mwakyoma inaonyesha mtumishi hajikwezi analitaja jina lake unajua bwana pascal aisee MUNGU azidi kumuinua mtumishi wa Mungu ,pia hongera kwa Mc pascal mwakyoma uko very humble japo interview ni fupi umeuliza maswali muhimu karibu yote MUNGU akuinue kaka..
@AngelBoniface-oe8ug
@AngelBoniface-oe8ug 4 ай бұрын
Huyu baba ameanza Mbali sana mwacheni tu Mungu akubariki
@sneckyBoe
@sneckyBoe 4 ай бұрын
❤❤❤
@eusebiusthilia7908
@eusebiusthilia7908 4 ай бұрын
Aswaaa!mwacheni Mwamposa afanye kazi ya MUNGU,AMEBARIKIWA SANA!
@PaulineMajengo
@PaulineMajengo 4 ай бұрын
Kabisaa,alikuwa anatangaza matangazo yake mosh akiwa na kirikuu kidogo ,na spika 3
@shavasjohnkay-cw8lg
@shavasjohnkay-cw8lg 4 ай бұрын
Apostle Mwamposa Mungu aendelee kukutumia kwa matendo makuu. Watu wasichojua kila kitu na kila mtu ni mtumishi wa Mungu,kwa uzuri ama kwa ubaya. So kumkosoa mtu au kitu unamkosoa Mungu. God bless you so much Apostle.
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 4 ай бұрын
Nakupenda mwamposa mtumishi wa bwana Mungu akuweke daima
@Glory-i8k
@Glory-i8k 26 күн бұрын
Wewe unaesema mganga Mungu akusamehee na kukurehemu,sisi tumemfahamu tangu akiwa kilimanjaro, akipita nyumba kwa nyumba hususani hata machame nilishawai kesha kwenye nyumba za watu mimi Kwa Mwamposa hamningoii ngooooo hata waseme amepewa uchawi toka Nigeria kwakwe kuamini mileleeeeeeee Moshi mjini ukumbi wa Nbc pale mpaka leo kanisa lipo na lina watumishi walio chini yake alio waacha hapo so ya Mungu tumwachie Mungu na si vingineee
@amanmalima940
@amanmalima940 4 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 18 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu kabisa ata usizeeke wala usiumwe nakuombea hivyo kwa Mungu
@HemediAlifa-l4s
@HemediAlifa-l4s 4 ай бұрын
Huyu ndio mganga maarufu na mwenye mafanikio kuliko waganga wote africa mashariki
@AllglorytoGod22
@AllglorytoGod22 4 ай бұрын
😂
@JosephJoseph-v1m
@JosephJoseph-v1m 4 ай бұрын
😂😂
@benernest5125
@benernest5125 4 ай бұрын
MGANGA!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@EstherMhagama-s1n
@EstherMhagama-s1n 4 ай бұрын
na ww ukawe mganga ili na.ww ujulikane afrika
@LadislausOdilo
@LadislausOdilo 3 ай бұрын
😂😂😂 umepiga panapouma
@eclinemaro7677
@eclinemaro7677 4 ай бұрын
Tunakupenda sana mtume , Mungu azidi kukutunza sana
@SamelDeemay
@SamelDeemay 4 ай бұрын
Arise and shine🎉 mtatutafuta mpate habari kwetu hatuna mdaa wa kuwatafuta❤
@MbuyiBeliene
@MbuyiBeliene 4 ай бұрын
Mungu akulinde apostle Mwamposa.
@julyethiema1220
@julyethiema1220 4 ай бұрын
Nampenda sana mwamposa kamtoa mdogo wangu ugumba wa miaka 40 na yeye alikuwa hamwamini ni freemason sasa anaitwa mama miracle ana miezi 4
@Wakwe
@Wakwe 4 ай бұрын
Aliemtoa ugumba ni mungu au mwaposa😅
@winfridahaule4364
@winfridahaule4364 4 ай бұрын
​@@Wakwehapa ndio watu wanapo mkosea Mungu
@FurahaCosmas
@FurahaCosmas 4 ай бұрын
Weuweeee🎉
@jovitustoroto4
@jovitustoroto4 3 ай бұрын
kweliiii
@ErentrudisKihwili
@ErentrudisKihwili 4 ай бұрын
Tunakushukuru sana mtume MUNGU Akubariki sana akuzidishie maisha marefu Ameen.
@MarthaGabriel-s6b
@MarthaGabriel-s6b 4 ай бұрын
Nipo Babati Manyara nampenda sana huyu baba yetu wa kiroho
@F60hustlerF60hustler
@F60hustlerF60hustler 4 ай бұрын
Kwahyo mwamposa ndiye baba ako wa kiroho acha kumuudhi mungu wew
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 4 ай бұрын
Huyu muhuni tuu , hana utumishi wowote
@VailethBarnabas
@VailethBarnabas 3 ай бұрын
❤❤❤❤may God bless your days on earth and protect you for us amennnnnnn!!!!
@silviamassawe2587
@silviamassawe2587 4 ай бұрын
Tangu sinza ngumbani kwa mtu tunafanya ibada mwacheni❤❤
@LaicaLucas
@LaicaLucas 4 ай бұрын
Nafrahi sana kumuona mtumishi wa mungu mwamposa mungu akuweke baba kwa miujiza unayotutendea duniani kiujumla mm pia nimepokea miujiza mingi sana 🙏🙏🙏
@husseinjosephitocho6754
@husseinjosephitocho6754 4 ай бұрын
mazuzu ni mengi sana mwamposa piga pesa fanya maisha hii nchi ina watu wasio na elimu na majinga mengi sana tumia iyo fusa wakisha janjaruka unakuwa umeishajipata na mazuzu mengi ni kina mama kwa sababu ni mepesi kushawishika
@michaelezekiel4297
@michaelezekiel4297 4 ай бұрын
😂😂
@FurahaCosmas
@FurahaCosmas 4 ай бұрын
Hapo hakuna zuzu ila wew ndo zuzu. Uctukane mamba kabla hujavuka mtooo
@EstherMhagama-s1n
@EstherMhagama-s1n 4 ай бұрын
Ww ni zz namba moja halafu ss wengine tunafatia
@lilianmakonta3585
@lilianmakonta3585 3 ай бұрын
Mungu akusaidie sana
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 4 ай бұрын
Nakupenda sana mtumishi wa mungu mwamposa naomba mungu akulinde miaka mingi zaidi ili tuzidi kupona ubalikiwe sana mtumishi wa mungu mwamposa 🙏🙏🙏🙏
@geeoutfitdesgner
@geeoutfitdesgner 4 ай бұрын
tunakupenda baba etu wa kiroho binafsi ni muumini wako kindakindaki kwasbb najua mungu alipo nitoa mimi na familia yangu,,baba kaacha pombe kwasbb ya arise and shine,mama ameinuliwa kiuchumi kwasabb ya yesu ,mdogo wngu Luca amefaulu vzur sasa yupo chuo cha livestock tengeru ,mm mwenyew ndo nabarikiwa had nashangaa...halafu kuna dada alikuwa kichaa alifikia kwetu tukampeleka akapona..mungu akutunze wewe mtumishi wa mungu kupitia maombi yako kwa jesu kristo...
@MnaroMajengo
@MnaroMajengo 4 ай бұрын
Ameeeeeen
@SisemiHamisi
@SisemiHamisi 29 күн бұрын
Nakupenda sana mtume umenitowa gizani kwasasa nipo nuruni nashaini❤❤❤❤❤
@modestamshana1279
@modestamshana1279 4 ай бұрын
Mtume ni handsome🥰
@claudia1500
@claudia1500 4 ай бұрын
Kabisaaaaa
@mansoorburuhan6791
@mansoorburuhan6791 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@mansoorburuhan6791
@mansoorburuhan6791 4 ай бұрын
Ama kwel ndo maana yesu hakuoa😂
@BeatriceMlowe-iz5uj
@BeatriceMlowe-iz5uj 4 ай бұрын
Tunao kuelewa wacha tukuelewe wasio kuelewa pia wapee muda one day wata kuelewa maana hata mimi sikuwa nakuelewa ila muda wa Mungu ulipo fika nilikuelewa bila kipingamizi coz upo tofauti sana na manabii wengine hasa wenye umaarufu. Huna sifa hujisifu unafwata sheria za biblia unakemea dhambi unatoa muda wa maombi na unakumbusha kuomba kila siku japo mala 3 kwa siku why nikuchukie Mwaisa mwenzangu mie nakupenda sana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NestoryMhagama-ci5pq
@NestoryMhagama-ci5pq 4 ай бұрын
Be blessed man of God
@OmanOman-m9n
@OmanOman-m9n 4 ай бұрын
nashukru Sana sanaaa mtumishi ulivoniombea nikaona na mapepo ya kaondoka niliteseka saanane Lakin mungu akaniponya na kuna jirani yangu uliomfanyia maombi akapata mtoto maisha yake alikua hatiani
@estambuya3901
@estambuya3901 4 ай бұрын
Hakuna mtumishi wa mungu,aliyeumba mbingu na nchi hapo, kumbukeni kuna miungu wengi, mwamposa ni mfanya biashara tu, watu.wanafuata miujiza.
@EstherMhagama-s1n
@EstherMhagama-s1n 4 ай бұрын
Hongera ongeza juhudi
@josephmtoro9606
@josephmtoro9606 4 ай бұрын
Ulikua na mungu kweli sema tamaa imekuzidi na hiyo ndo kazi ya shetani, anakupa mafanikio na raha za dunia ila uzima wa milele sahau. (MATHAYO 10:8) ila kwa sababu umenunua huna budi kuuza.
@petermadata7803
@petermadata7803 4 ай бұрын
Kila mmoja ni mtenda miujiza,kikubwa ni Imani kwa Mungu. Kazi isiyo ya Mungu muda ukifika,Mambo yote huwekwa hadharani
@MagrethGeorge-k2q
@MagrethGeorge-k2q Ай бұрын
Yes
@saidmushehe
@saidmushehe 4 ай бұрын
Mimi nashauri ....Milard ayo apate mwekezaji wa media ili afungue media kama zile zingine Crown..wasafi na clouds....maana anafanya kazi nzuri
@Alphonce-em2xi
@Alphonce-em2xi 4 ай бұрын
Amen Apostle Mwamposa
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 4 ай бұрын
Apostle gani alimiliki mali . Watu wa Mungu wa kweli hat pesa kuishika walikataa , hata kibanda nyasib hawaku miliki
@MariaKazimily
@MariaKazimily 14 күн бұрын
Mwamposa naomba kazi ya uhouse girl ikiwezekan tuoane na kuoaba 😢 baba nakuomba 🙏
@HappyChalamila-wd2wl
@HappyChalamila-wd2wl 4 ай бұрын
nayapenda afundisho yako yaani mimi nakupenda kweye uchambuzi wa neno la mungu
@RahelMrope
@RahelMrope 3 ай бұрын
Mungu azidi kukuongoza,kukulinda,tunakupenda na kukuombea pia,unaokoa maisha yetu
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 4 ай бұрын
Hivi watu wanafikiri mtu mpaka aache kila kitu atumie fedha ya nauli kuja kwenye ibada unafikiria ni mchezo. Kubadili roho za watu siyo kazi ndogo. Kama watu wanafikiri ni uchawi na wenyewe wafanye uchawi waone kama wataweza. Sasa Mungu acha aonyeshe power zake maana ilifikia mahali watu wanaamini shetani kuliko mungu
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 4 ай бұрын
@@ROZITHOMAS-y4q kabishane na mtu anajiona ana akili yeye pekee kuwazad watu milioni kwakichwa chakekimoja atakupa uchizi bure
@ciscojr2277
@ciscojr2277 4 ай бұрын
Huyu jamaa anafanya miujiza na yupo kimiujiza zaidi kuvuta watu kama nyie...mtu kama Mwakasege mbona nae anazungukaga nchi nzima lakini hana mambo ya kuuza hadi magazeti na ukienda kwake unatoka na neno kweli sio huyu jamaa yenu
@zachariamakoba8368
@zachariamakoba8368 4 ай бұрын
​@@ciscojr2277kaka una akili kubwa kama mimi shetani nikama malaika Ila huyu jamaa mchunguzeni injiri yake haina kuokoa ni mtu wa miujiza na upako tu, na hajui kuhusu kukataza zambi, Ila Mungu atupe akiri kubwa kuyajua haya hizi ni siku za mwisho
@HappyMsuha
@HappyMsuha 3 ай бұрын
​@@ciscojr2277huyo mwamposa amepita pia mikonon mwa mwakasege na kalelewa naye na hata akiwa n mikutano kawe anawai kumaliza ibada ili tukamsilize kila mtu ana neema yake na kila mtu kaitwa tofaut ukijua hilo uwez tukana watumishi wa Mungu lakini pia usiongee ukamaliza matatizo yana tabia ya kukurudisha kwa mtu iliyemzalau
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 4 ай бұрын
Mungu naomba nipate nyumba kama ya mtume Mwamposa
@NdengisaMushi
@NdengisaMushi Ай бұрын
Ameeeeen
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 18 күн бұрын
Ameen
@ntulloboy2916
@ntulloboy2916 7 күн бұрын
Naomba utembelee hospital zote uwakomboke wagonjwa wote mzee utakuwa umemtendea haki mungu aliye kuteuwa
@NoelMwita
@NoelMwita 4 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MTU WA MUNGU . KWA NEEMA YA MUNGU YOUR TO🎉
@naomingese2435
@naomingese2435 Ай бұрын
Wewe ni baba kwangu umenifunza mengi kiroho nakupenda mno mungu Azidi kukuimalisha
@renatustinsimile5410
@renatustinsimile5410 4 ай бұрын
Mwamposa wewe ni Mtumishi wa mungu,nitakuamini mpaka kufa kwangu
@IbahimAmru
@IbahimAmru 4 ай бұрын
Nakupend sana mtumishi ,pale kwa baba yangu kuna mbwa wetu akawa hazai akawa na miaka miwili nilipo kuja hapo kanisani kuchua mafuta na maji ya upako nilipo enda kumwagia akabeba mimba sasa anawatoto 5
@reytn2494
@reytn2494 4 ай бұрын
Ni neema ya Mungu imekushukia mtumishi nami nimetendewa mengi , malaika wa Mungu wakuzingile.
@JoyceMbano
@JoyceMbano 3 ай бұрын
100 lwa 100 nimtumishi wa mungu kazi inajiziilisha asiyeamini atajiju
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 4 ай бұрын
Hakika mtaji ni Watu Mzee hongera sana Kwa kuwakamata
@Dianamwansasudddw
@Dianamwansasudddw 4 ай бұрын
Na wewe si uanze kuwakamata
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 4 ай бұрын
Hata shetani anaweza kufanya Kazi ndani ya mtu Miujiza hiyo Ni lazima itokee Kwa sababu yeye ana mipepo mikubwa Kwa hiyo Ni lazima anayazima mapepo madogo nanhaliamuki Tena sababu mkubwa WA mapepo kasema lakini biblia hayo nasema watatokea manabii weeengi na watafanya.miujiza mingi.nawatu watu wataamini jamani tusome biblia tusitegemee watumishi tu watuoombee Bila Sisi kusomba Kwa bidii
@jacobnyosole1774
@jacobnyosole1774 4 ай бұрын
Wewe shida yako ni udini tu , nguruwe wewe😂😂
@Dianamwansasudddw
@Dianamwansasudddw 4 ай бұрын
@@tinnahagustinolyelu4247 shida si kuomba tu.mengine ya Mungu unafanya.sawa umesimaama kwa miguu yako unatii sauti ya Mungu?mwisho wa yote kuhukumu si kazi yetu maana hata wewe hujui kama unaenda au lah!Mungu atufadhili
@LonethMagupa
@LonethMagupa Ай бұрын
Mungu akupe Maisha marefu mtumishi Wa Mungu
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 4 ай бұрын
Amini mtumishi na wewe wapende na kuwasaidia mungu yupo Kwa ajili yetu
@NoelMwita
@NoelMwita 4 ай бұрын
AMEN AMEN
@HalimaOmari-x8e
@HalimaOmari-x8e 9 күн бұрын
Nakuku bali sana mtumishi wamungu mungu akuweke ulinzi mkubwa wamalaika wAkulinde
@migstranger8142
@migstranger8142 4 ай бұрын
Shida na umasikini ndio zinafanya umuamini mtu kama huyu . Ila shida zote mtatuzi ni Mungu mwenyewe. Imani ya kwei ipo kwa Mungu sio mtu.
@craymanmjeda3055
@craymanmjeda3055 4 ай бұрын
Hata Kwa SHETANI watu wanaenda Kwa Mganga kwanza, then wanakutana na shetan
@AGM19697
@AGM19697 4 ай бұрын
Mungu hutumia watu kujitambulisha. Hutumia watumishi wake aliowaita mwenyewe na kama hajakuita fanya shuhuli nyingine
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 238 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 25 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 68 М.
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 238 МЛН