WACHINA WANAVYOKULA CHURA, NYOKA, KONOKONO, MENDE, NG'E NA MAMBA

  Рет қаралды 230,288

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

#VYAKULACHINA #YIWUNIGHTMARKET
Yiwu Night Market ni sehemu maarufu kwenye mji wa Yiwu China eneo ambalo Wachina wengi hulitumia wakati wa usiku kama sehemu ya kupata vyakula vyao vya asili baada ya shughuli zao za kila siku, soko hilo hufunguliwa kuanzia saa 12 jioni hadi ya saa 10 alfajiri, Ayo TV, millardayo.com imepita eneo hilo na hii ni ripoti yake.

Пікірлер: 579
@jndaki8273
@jndaki8273 4 жыл бұрын
Kam umemuona jmaaa anapiga miayo mbele ya vykula ivi gonga like😂😂
@twahatktekele9227
@twahatktekele9227 4 жыл бұрын
Nimependa Mzee Baba avokigonga kichina.,dadeq kam Jet Lee😁😁😁
@noshadysaid2493
@noshadysaid2493 4 жыл бұрын
Yaaaa nakubali
@fundi1996
@fundi1996 4 жыл бұрын
😄😄😄😄 hatari mzee
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 жыл бұрын
Jet tree 🤣🤣🤣
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 жыл бұрын
Kma umesikia jamaa anamuuliza Bei kwa kichina #xiukayi😀😀😀😀 twende pamoja
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 24 күн бұрын
Mimi napendelea kula kaa pamoja na hiyo mikate nimekuwa nakuja hapo kwa. Wiki mala tatu jumatatu ijumaa na jumapili nimeolewa na muchina.❤❤❤
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 4 жыл бұрын
Hilo jamaa linagonga kiswahili cha mtaani kabsa🤣🤣🤣eti we piga tu hyo
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 24 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@katotalifestylemedia1789
@katotalifestylemedia1789 4 жыл бұрын
Kaka napenda Sana kazi yako. unatufungulia dunia. ningependa kufanya kazi kwako tafadhar. ......Amir Katota, Kigoma Tanzania.
@fredrickwebiro3605
@fredrickwebiro3605 4 жыл бұрын
Kwamtazamo wangu nahisi kutokana na kuwa china ndio nchi yenye watu wengi kuliko nchi zote duniani inawezekana kunakipindi ilitokea baa la njaa watu hao wakakosa chakula ndipo wakaanza kula kila walichokiona mbele yao. Pia nafikiri kipindi hicho kiliendelea hadi hali ya chakula iliporejea lakina kwakua mazoea hujenga tabia basi wakajikuta wameanza kuzoea kula hao viumbe na kuweka hiyo kuwa kama tamaduni yao. Pia haina madhara sana kwenye miili yao kwakua viumbe hai wengi wana madini na proteins kwa wingi. Kikubwa ni kujua namna ya kuvitoa sumu kwa vile viumbe vyenye sumu kama nyoka walio na sumu au n'nge na viumbe wengine wenye sumu. Maana imagine hata watu wakiwa porini wakikosa chakula huwa wanakamata chochote wanachokiona mbele yao wanakichoma na kukila Mfano: wanaweza wakala kobe, nyoka, panya, nungunungu na hata konokono na bila kupata madhara yeyote. Hii inasaidia kupunguza njaa na kufanikisha kuokoa maisha yao kipindi cha njaa. Hongera kwa Millardayo.com na timu yenu nzima maana unasaidia kuwafumbua macho wa tz wengi kufahamu mambo yaliyokuwa yakisemekana kama stori kuwa ni ukweli. ******************** Shei shei **************
@OmariNyota
@OmariNyota 11 ай бұрын
Kumbe una jua histori♥️♥️
@twahatktekele9227
@twahatktekele9227 4 жыл бұрын
Mzee Baba umepewa msosi mbna hujala.,utakosa vitamin😁😁😁
@abalfadhilabdulqahari3018
@abalfadhilabdulqahari3018 4 жыл бұрын
😂😂😂
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 3 жыл бұрын
Kaambiwa wee piga tuu
@carenprudence4011
@carenprudence4011 4 жыл бұрын
Kama nataka kwenda china aisee nita beba vyakula vyangu kabisa 😂
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 жыл бұрын
Vikiisha hivo vyakula ustulaumu😀😀😀😀
@sifamdaki966
@sifamdaki966 4 жыл бұрын
Kila siku husema ivyo
@chingwanamalingumba8453
@chingwanamalingumba8453 4 жыл бұрын
Sifa Mdaki kuwa
@gracecharles1244
@gracecharles1244 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mesalimbindo2809
@mesalimbindo2809 4 жыл бұрын
,,😂😂
@shekinahfaymatatiana5875
@shekinahfaymatatiana5875 4 жыл бұрын
Kweli adamu nahawa wange kuwa wachina atunge kuwa na dhambi ulenyoka wange mla😂😂😂😂😂
@husseinsalum5908
@husseinsalum5908 4 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
😅😅😅🙌🙌🙌🙌
@shekinahfaymatatiana5875
@shekinahfaymatatiana5875 4 жыл бұрын
Kwani uwongo jmn🤣🤣🤣
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 4 жыл бұрын
4:47 ..😂😂😂😂 Kuna mchina apo pembeni anakula kwa macho
@merrycastor5836
@merrycastor5836 4 жыл бұрын
Mmmh jaman kichefuchefu 😆
@merryjulius4098
@merryjulius4098 4 жыл бұрын
Duh hapana kwa kweli..
@kebo2155
@kebo2155 4 жыл бұрын
Duh kali sana...
@gracejane4013
@gracejane4013 4 жыл бұрын
ati waenda hoteli waitisha. waiter naomba nyoka nusu na mix ya konokono😋😋😋
@noellahtheodory56
@noellahtheodory56 4 жыл бұрын
Hatar sana🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lydianangaki5420
@lydianangaki5420 4 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄,,,Apo sasa
@mishibabu8946
@mishibabu8946 4 жыл бұрын
Duh!nomare
@ingawajekalupula8063
@ingawajekalupula8063 4 жыл бұрын
Dadadeeq Kobe anauzwa kitoweo Kama kuku😂😂😂😂nimejikuta nacheka kwa sautii
@purymark5281
@purymark5281 4 жыл бұрын
Wachina na Philippines hawana tofauti,mbwa anachinjiwa mgeni wa heshima
@brigitamash2007
@brigitamash2007 4 жыл бұрын
dou wanakula vituko inchi ya china wanakula wadudu mamayoo
@estherkoya8410
@estherkoya8410 4 жыл бұрын
Ndo maana wanyamq wengi wapo Afrika, china wangeisha had fisi
@dorkasmsuya362
@dorkasmsuya362 4 жыл бұрын
Hahah
@leticiaedward2365
@leticiaedward2365 4 жыл бұрын
Hash!
@puregamers4215
@puregamers4215 4 жыл бұрын
Hahahah
@Davidinstaller
@Davidinstaller 4 жыл бұрын
😂😂😂😂ni kweli kabisa
@likeothers2498
@likeothers2498 4 жыл бұрын
Hahahha
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 4 жыл бұрын
Konokono watamu sana.siyo china hata sisi huku kwetu hao wanaliwa.
@veronicatweve4786
@veronicatweve4786 4 жыл бұрын
Cosmas Thomas mhuu!🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️
@osmundixavel780
@osmundixavel780 4 жыл бұрын
Haaaaaaaa
@christinakanan7450
@christinakanan7450 4 жыл бұрын
R
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 4 жыл бұрын
Eeeh dada angu, usisikie la kuambiwa,yaani is one of delicious meat!ungekuwa karibu nami ningekutafuta siku ili nawe upate onja radha yake.
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 4 жыл бұрын
Ndiyo,yaani siyo wachina tu,huku kwetu hata watu wa Western Countries(Europeans) wanapitia kaka.yaani ukiikuta imetengenezwa na ipo kwenye sahani ww hata hautofahamu kuwa ni 🐌.
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
😂😂Mmmh kwye vinyakula nd shida Kupe money ya tz iko up🔥🔥🔥🔥🔥
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 3 жыл бұрын
Dulla unatangaza vizur sana big up
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
sana ayooo tunakupata sana
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 4 жыл бұрын
Eti nile Mitandu sijui Minnge na mijoka . Dah labda nishikiwe bastola ,kwanza uyo tandu unaweza sema ni mcheni flan hivi umening'inizwa ,wachina kuleni tu izo vitamin zenu.
@niccomedia3147
@niccomedia3147 4 жыл бұрын
Duh hatariii
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Mi hiyo harufu tu nahisi nitajamba wiki mbili mfululizo😁😁
@carneystevenekon3330
@carneystevenekon3330 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@victoriaadhiambo1021
@victoriaadhiambo1021 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@jeskapeter6553
@jeskapeter6553 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂wabongo
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
@@jeskapeter6553 wamefanyaje😂😂
@bettykichuna7158
@bettykichuna7158 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@rashidsuleiman1531
@rashidsuleiman1531 4 жыл бұрын
nakukubali mkalimani tulikua pamoja pale Zhejiang Shanghai ndani ya qming big up broo.
@luganohenry6141
@luganohenry6141 4 жыл бұрын
kama namuona jux anaandaliwa tandu na mchina wake😂ajipange😁
@salimomarmkapa
@salimomarmkapa 4 жыл бұрын
Hahhaha Mr Lugano umemwaga mtama sasa. Bro Nikama unaukweli flani hivi
@jacquelinosmond221
@jacquelinosmond221 4 жыл бұрын
Nimechekaaa
@salehahmedy3414
@salehahmedy3414 4 жыл бұрын
LUGANO HENRY hahahaha
@ahmedmahamudu4140
@ahmedmahamudu4140 4 жыл бұрын
😂😂
@ahmedmahamudu4140
@ahmedmahamudu4140 4 жыл бұрын
Hahaha duuh
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 3 жыл бұрын
LEO NDIO NIMEAMINI HAKUNA KABIRA CHAFU KAMA WACHINA NAWW KAMA UNA AMINI ACHIA LIKE WAZEE WA SAMAKI NCHANGA BINDA
@partsonlupenza9666
@partsonlupenza9666 Жыл бұрын
Kabila chafu lipi acha upumbavu uwe una fatilia na sababu
@shabanismaily5777
@shabanismaily5777 4 жыл бұрын
Uchafu kama wote daah!
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 3 жыл бұрын
Ndio wario reta nacorona
@officialsalim3955
@officialsalim3955 4 жыл бұрын
Noma san
@tokkichasikkomando8179
@tokkichasikkomando8179 3 жыл бұрын
Wooow chakula tamu sana aki
@chobastian-chobo5759
@chobastian-chobo5759 4 жыл бұрын
Hamisi kutoka pasiansi mwanza kule mlimani mpaka china 😂😂 safi sana kijana karibu sana mjini, we are proudly Tanzanians diaspora 💪🏼💪🏼🇹🇿
@mussamkalawa2101
@mussamkalawa2101 3 жыл бұрын
China China China, mmmmmh noma snaA
@Mr_Ben255
@Mr_Ben255 3 жыл бұрын
Millard Ayo kweli we fighter
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 2 жыл бұрын
Yan hao ,,, duuuu Mbn bala
@zawadiyusuf538
@zawadiyusuf538 4 жыл бұрын
Kazi ipo
@kassimulugajo6512
@kassimulugajo6512 4 жыл бұрын
dula tza nakubali sana
@keshenidaniel5176
@keshenidaniel5176 4 жыл бұрын
Wachina ni watu washamba sana nini sasa icho
@salmaiddy6059
@salmaiddy6059 4 жыл бұрын
Mhhh mpaka nmesisimka
@hassanmkotya8167
@hassanmkotya8167 4 жыл бұрын
mmmh wananukia hadi hukuu kwelii noma
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 3 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂ww
@upendozengula3416
@upendozengula3416 4 жыл бұрын
Mko juuuuu sana
@micamathew6433
@micamathew6433 4 жыл бұрын
Mimi chakula ninachokipenda kuliko yote hapa ni konokono. Hahahahaaaaaaaaa dahhhh hahahahaaaaaaa, uwiii
@AK-is9xi
@AK-is9xi 4 жыл бұрын
Kuna ainambili wazanzibar pia wanakula na wanawapenda kichizi
@westzonetv366
@westzonetv366 4 жыл бұрын
Millard bwana
@ommymcoastent.5085
@ommymcoastent.5085 4 жыл бұрын
Eeeh hii Kali
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Kwa namnahiyo utakuwa na uno kweli...ndio maana wamepigwa pasi kalio zao
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
@@mutalemwagabriel2277 😂😂😂
@mwanaidhussen1325
@mwanaidhussen1325 4 жыл бұрын
😂😂😂
@neemanyika2137
@neemanyika2137 4 жыл бұрын
Bongo star seach
@nasrarashid2996
@nasrarashid2996 4 жыл бұрын
Huhuhuhuhu
@florakabena12flora29
@florakabena12flora29 4 жыл бұрын
Waah makubwa haya
@manenojames2011
@manenojames2011 3 жыл бұрын
Uko akufai kwenda
@vonexmobile9116
@vonexmobile9116 4 жыл бұрын
China zipo Restaurants ambazo hawapiki wadudu (Arabian Restaurants) unapata Halal Foods hamna mambo ya nyoka na mende lkn kama ww ni mgeni basi uje na begi lako la Vyakula vya kibongo.
@happnesyonaa590
@happnesyonaa590 4 жыл бұрын
mmh mpk KiChefuuuuuuu chefuuuuuuu
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 4 жыл бұрын
Wasemeni tu Wachina na nyie muendelee kufa njaa wakati mna kila kitu cha kuliwa. Madini mnayo mnatupa wazungu tunachukua bure, baadaye mnapanda ndege zetu (ndege zenu hamzitaki) kuja kutuomba pesa (hizo hizo za kwenu) tena kwa kutupigia magoti. Mmepata raisi mjanja wa kuwasaidia, mnaanza kumsema vibaya. Kweli penye miti hamna wajenzi.
@antoinettedjumapili2522
@antoinettedjumapili2522 4 жыл бұрын
Freddo Kuckelmann yaani umesema kweli Afrika watu wengi wanalala njaa na chakula yote wako nayo
@jonathanmzava5010
@jonathanmzava5010 4 жыл бұрын
We mzungu choko tu
@donpillo7334
@donpillo7334 4 жыл бұрын
Fuck you
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
@@jonathanmzava5010 🤣🤣🤣🤣
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Mzungu shoga wewe
@asyabinmaulid9570
@asyabinmaulid9570 4 жыл бұрын
Heeeh wenzetu mungu akunusuru na coronavirus....
@aminamohamed1914
@aminamohamed1914 4 жыл бұрын
Jamani huyo muarabu ala mdudu gani
@veronicatweve4786
@veronicatweve4786 4 жыл бұрын
Amina mohamed nzi
@liliannaomi6981
@liliannaomi6981 4 жыл бұрын
Hiyo we piga wala husijali😂😂😂😂
@diamondplatnumz6155
@diamondplatnumz6155 4 жыл бұрын
Noma
@francomwacha2262
@francomwacha2262 4 жыл бұрын
Noma na nusu
@loisjackeliakim4339
@loisjackeliakim4339 4 жыл бұрын
Wapo chalinze ( tywford , keda ) wananunua chatu kwa laki 3 sharti awe mzima tu
@kmotivation1130
@kmotivation1130 4 жыл бұрын
kula kila kitu kama sio sumu ,mm yenyewe naona mbwa wamezagaa zagaa huku tz wakiwe bhna na konokono,paka deal kwel
@mgendimussa7224
@mgendimussa7224 4 жыл бұрын
Mmmmmmmmh daaaah mmmmh ni htr
@gracecharles1244
@gracecharles1244 4 жыл бұрын
Bas sawa wachina 🤣🤣🤣tukubaliane tu
@victormneney8236
@victormneney8236 4 жыл бұрын
Supu ya konokono ntatapika wiki Mendee mwezi chura 😤😤😤😧😧
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 4 жыл бұрын
Hahahaha
@furahadavid766
@furahadavid766 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@qasammawa5310
@qasammawa5310 Жыл бұрын
A see,wafate maandiko,nazani hawana ustarabu s vyakula, vilivyoerekezwA namwenyezi mungu
@frankmapunda5017
@frankmapunda5017 4 жыл бұрын
Ahsante Millard
@nyingos
@nyingos 4 жыл бұрын
Halafu Kuna watu wanadharau samaki nchanga. a.k.a. panya
@lawmaina78
@lawmaina78 4 жыл бұрын
Waafrika tunakwama wapi, muhimu sana kula haya mavitu maana yanaboresha hata kwenye ubongo, ndio maana huwa hatubuni chochote, tumekomalia ugali na wali tu.
@amosicronery7730
@amosicronery7730 2 жыл бұрын
wewe unakula?
@amosicronery7730
@amosicronery7730 2 жыл бұрын
kama unakula ntakutafutia konokono, wapo wengi hapa
@moodychanday9220
@moodychanday9220 4 жыл бұрын
Mi nikiwa China nakulaga sana hawa ila nikurudigi Tz nakausha
@sharifajanqabari4731
@sharifajanqabari4731 4 жыл бұрын
😂😂😂😂Niacheni kidgo😂😂😆
@justerkaregi8044
@justerkaregi8044 2 жыл бұрын
Ni tamu sana sana wewe
@lightnesstumsifu6593
@lightnesstumsifu6593 4 жыл бұрын
Mhm jamani
@magekakanga8488
@magekakanga8488 4 жыл бұрын
Wachina mmetishaa
@Moon-wf2ec
@Moon-wf2ec 4 жыл бұрын
Bado nyau washawash sisimizi ngadu
@walivyojuma7095
@walivyojuma7095 4 жыл бұрын
Mmh wachina kiboko wamenishinda tabia adi mede nyuki
@shaban6644
@shaban6644 4 жыл бұрын
Ndo mana hawa jamaa uchumi wao upo juu sana Coz Wanapiga kazi masaa 24., imagine saa sita usku nyomi la watu kama wote utazani saa 8 mchana.,
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 4 жыл бұрын
Hiyo njaa sababu wapo wengi sana wakisema wale nyama na samaki tu hazitatosha
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 4 жыл бұрын
Hao wana asili ya majini sibure khaaaa toba roho yangu duh mimi hata nikiwauwa bs naogopa jee kumla
@nellywizz9631
@nellywizz9631 4 жыл бұрын
Asil hzo mzee
@antoinettedjumapili2522
@antoinettedjumapili2522 4 жыл бұрын
Fatma khanii kwa nini watu wasio na elimu huweka mambo ya kishirikina na majini kimbelembele?
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 4 жыл бұрын
@@antoinettedjumapili2522 sio ivo mpenzi bali hivo sio vitu vyakawaida kula binadam niviumbe hatari
@antoinettedjumapili2522
@antoinettedjumapili2522 4 жыл бұрын
@@fatmakhanii1676 sio viumbe hatari kila watu na desturi zao na chakula vyao hata wao na wazungu wanaona chakula vya kiafrika na wanajiuliza maswali
@antoinettedjumapili2522
@antoinettedjumapili2522 4 жыл бұрын
@@fatmakhanii1676 naishi Australia nilipika majani ya viazi nikaweka samaki wa chunvi nikamupatia rafiki yangu mzungu akani uliza kwani chakula imekosekana kabisa ili nile majani ya viazi( matembele)
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 4 жыл бұрын
Kamba ao watamu kinoma ata huku tz tunatumia na has a huku Zanzibar
@AK-is9xi
@AK-is9xi 4 жыл бұрын
Hapo sio kamba tu vingi zanzibar wanakula takriban vyote
@sgfdhaikuhusu6086
@sgfdhaikuhusu6086 3 жыл бұрын
@@AK-is9xi mhh si kweli Mimi nimeviona km vitatu tuu Acha kutufananisha na wachinaaaaa
@arapharuhinda6308
@arapharuhinda6308 3 жыл бұрын
Umeoneka tu
@hassanturky7511
@hassanturky7511 4 жыл бұрын
Ndomana wanapata maradhi ya ajabu ajabu. Na maradhi makubwa
@aliceuhiriwe8814
@aliceuhiriwe8814 4 жыл бұрын
Wakuje wachukue hizi mende zinatusumbua hapa
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 4 жыл бұрын
Hao wengine chaza sio konokono bwana 👌👌
@AK-is9xi
@AK-is9xi 4 жыл бұрын
Wengi hawajui kama kuna vitamu na adimu mjini hapo minaona china kunanifaa
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 4 жыл бұрын
Jamaa hadi lafdhi yake kama mchina😄😄😄😄
@abdulhamidy8920
@abdulhamidy8920 4 жыл бұрын
Dagaa kamba ao nakula fresh
@kingjafu7759
@kingjafu7759 4 жыл бұрын
Kosher watamu saana
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 4 жыл бұрын
ayo TV. mpo upstairs xana
@godfreylyimo9442
@godfreylyimo9442 3 жыл бұрын
Hahaja hizi mambo in balah
@thomassamwel4815
@thomassamwel4815 4 жыл бұрын
Duh kwel atare
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 3 жыл бұрын
We Piga tu hata usijali😁😁😂😂
@mukhtarmahat4131
@mukhtarmahat4131 2 жыл бұрын
24 hour economy..Let us try we Africans . we can prosper
@rehemshehoz8704
@rehemshehoz8704 4 жыл бұрын
Mungu anawaon nyie n mtakuf nyie mmetuletea coron kwa kul hz wadud 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@bonipahcemsigwa6375
@bonipahcemsigwa6375 4 жыл бұрын
Hiyo wee piga tu wala usijali. Ni vitu vya uhakika!!!! Mtangazaji vp mbona hujapiga vitu vya uhakika hivyo? Duh! 😁😁😁😁😁😁😁
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 2 жыл бұрын
Hahaha
@princematta2150
@princematta2150 4 жыл бұрын
china adi matapishi watu wanakula ndio chakula chao cha taifa
@justinemashine4292
@justinemashine4292 4 жыл бұрын
😣😣😝😝
@francissaanane5874
@francissaanane5874 4 жыл бұрын
aisee bora nisingeangalia, yak yak
@jaligawesa
@jaligawesa 4 жыл бұрын
Ila dhambi dah!!
@DenrichStar
@DenrichStar 3 жыл бұрын
Daah inatisha
@agathamnyambwa5623
@agathamnyambwa5623 4 жыл бұрын
Mmh kwakweli cwez kula kha!!
@davidsedekia1337
@davidsedekia1337 4 жыл бұрын
Iyo wepigatu
@omarymohamedy9041
@omarymohamedy9041 4 жыл бұрын
Mtangazaj hap kaw mpolee
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Wachina nyie ni noma mpka tandu🤨🤣🤣yan mdudu mbaya hyu akikungata leo maumivu hayaishi mpka kesho...
@sarahemmanuel3455
@sarahemmanuel3455 3 жыл бұрын
Mmmh nasikia kinyaa nikitizama wanavyokula dooh
@leahgdnce3217
@leahgdnce3217 4 жыл бұрын
M pia nakula nyoka na chura
@saudaomary9363
@saudaomary9363 4 жыл бұрын
Mhhh kweli wachina ni wachafu sana wanaweza kula hadi mavi
@priscusjoseph7664
@priscusjoseph7664 2 жыл бұрын
😆😆😆🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Ila ww khaa unajua na wao wanatuona sisi wa ajabu ivoivo tunaokula ngombe
MASHINDANO YA KUJAMBA MSHINDI MILION MOJA
9:32
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 442 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 81 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
MAMBO 10 YA KUFAHAMU KABLA YA KUSAFIRI KWENDA CHINA 🇨🇳
11:50
Haika Dismas
Рет қаралды 1,3 М.
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 11 М.
BIASHARA YA MANUKATO YALIMFANYA MATIES AACHE KAZI YA KENYE NDEGE
17:09
TAZAMA WACHINA WANAVYOPIKA CHAKULA CHA KITAZANIA
9:00
Millard Ayo
Рет қаралды 140 М.