Рет қаралды 97,279
Rias Magufuli akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake Chato alipita kwenye Daraja la JPM linalojengwa Kigongo na Busisi kati ya wilaya Misungwi na Sengerema Mwanza, Baada ya ukaguzi JPM akawataka Wakandarasi kufanya kazi usiku na mchana ili ujenzi huo ukamilike kabla ya muda ambapo ujenzi wa Daraja hilo unatarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu