Hongereni sana jeshi la uokoaji na zimamoto laliki pia jeshi la polisi na watu wa habari sababu ss tulioko mbali tumeguswa na kusikitishwa na hilo tilio ila vyombo vya hanari kwa kazi zao tunaona kinachoendelea. Hongereni sana. Mw/Mungu awape uwezo wa kuuopowa huo mwili wa huyo dereva. Mw/Mungu awabariki nyote.
@frantzfanon87144 жыл бұрын
Wanangoja mpaka kukuche, huyo ndo tumeshampoteza aise! Mifumo ya ujenzi wa bara bara ni mbovu, wazipanue. Poleni Watanzania wote, huo ni msiba wa kitaifa!
@wemakalamu35384 жыл бұрын
Jamani wafrica tunaongozwa na wachina kazi ipo mwenyeezi mungu tunusuru kwa kila hatua dua huu ni udhaifu mkubwa katika Africa nzima
@asiaissa9764 жыл бұрын
Yaarabbi wajaalie wafadhili wajitokeze watujengee madaraja hata matatu hapo mto wami yaallah twskuomba tusaidie amiin
@gilbertvicent42294 жыл бұрын
Bakari wa ayo ni bonge la mtangazaji mzuri ..the best of the best repoter
@maryclaralema25774 жыл бұрын
Mh ee mungu msaidie dereva atoke salama kama ulivyowaokoa meshark,shedrak na abernego katika tanuru la moto Amen.
@ashurahussein97484 жыл бұрын
Innalillah waina illahi rajiun.Hao wazamiaji wanaoitwa wakienyeji ndo wa2 wakupewa mafunzo ili wawe bora zaidi...
@mussabaraka14794 жыл бұрын
2naiyomba serikali ijitahidi kuboresha daraja hili
@mussabaraka14794 жыл бұрын
Mungu amsaidie ndugu yetu apate kutoka
@zuberikupaza14504 жыл бұрын
Jeshi la uokoaji linategemea waokoaji wa kienyeji? Hii ni aibu kwa jeshi!
@ngwelesalu83484 жыл бұрын
Mussa baraka daraja linajengwa lipo kama mita 100 kutoka hapo ni pana2 likiisha barabara itaamishiwa hapo
@uwezowamunguutendaokazi30434 жыл бұрын
MUNGU MKUU aturehemu sote. Poleni sana ndugu zetu. Amen.
@jumannezhollo29434 жыл бұрын
Dah mungu msaidie dereva apone sijui hawa zima Moto wamepewa mafunzo ya kuongea kuliko kuokoa maisha ya binadam mungu saidia hapo
@saumubati84264 жыл бұрын
Poleni sana nduguzanguni..mumetukumbusha mkasa ulio fanyika likoni mwaka jana😭😭😭😭inchini kenya
@lupandesimukindje81704 жыл бұрын
Poleni sana. Ila inatakiwa kuimarisha timu ya uokoaji ili kuokoa maisha sio kuokoa miili kwa nchi zilizopiga hatua kimaendeleo huenda huyo dereva angeokoka
@ruwaydakhafidh70754 жыл бұрын
Dah huyu mama na mtt wallah inaumaa Sanaa hasa kwa mumewe manaa ndio alikuwa mkew kipenzi na mtt wake wa kwanza ndio katoka kujifungua dah inaumaaa hasa pale alipotafta mkewe akambiwa sogea kweny watu kule Kuna ajali hakuamin inaumaa mungu zilaze roho za marehem peponi
@assimmhamed18514 жыл бұрын
Ameen🙏🙏🙏
@samoocoolingsystem934 жыл бұрын
Pole Kwa Wale Wote Ambao Ndugu Zao Ni Wahusika Wa Hizo Ajali 🙏🙏🙏
@joycemayco56644 жыл бұрын
Mungu amlinde huyo dereva.mungu hamwachi mja wake
@briantelulu27934 жыл бұрын
Poleni ndugu zetu, ila kitendo cha zima moto kwenda kuzima moto mtoni sijakipenda.
@husseinkhalfan94674 жыл бұрын
HAPA PANAHITAJI KUJENGWA DARAJA LA KISASA LENYE UPANA WA KUTOSHA.
@hjhj62304 жыл бұрын
Kabisaa nihatarii sanaa
@crabmotility42074 жыл бұрын
Kuna daraja linajengwa kwa pembeni kule. Ila bado sana kukamilika
@hamisimatemelela93514 жыл бұрын
Daraja lingine lishaanza kujengwa toka mwaka jana mwishoni na ujenzi unaendelea.
@hongeramgaya7144 жыл бұрын
Hata sijui wanasubiri nini kuna mwaka mmoja pia ilitokea ajari daraja lilivunjika
@Hassanmofty4 жыл бұрын
Yani wajenge kama lile la kirombero lenye uzii mrefu sana
@emanuelwilliam16074 жыл бұрын
Niwapongeze milard ayo kwa picha nzuri za drones na muonekano mzuri wa uhalisia husika wa tukio😍
@angelkariko77064 жыл бұрын
Hongereni zimamoto na uokoaji
@wemaally36014 жыл бұрын
hili sio daraja nzuri kwakweli
@hidayaswai31194 жыл бұрын
Jmn Mungu atusaidie. Dereva jamani .Mungu afanye muujiza wake. Wazo langu daraja liongezwe upana km itawezekana,pia crane ziongezwe na ziwe jirani kwa maeneo hatari
@peterjohn84054 жыл бұрын
Hapo ni hatari Sana ...tulishawahi gongna bus na hyce uso kwa uso bahati nzuri gari yetu ilikwama haikushuka chini ya daraja ndo pona pona yetu.. Hilo daraja linatakiwa lijengwe kwa kasi magari yawe yanapishana. Ajali zimekuwa nyingi Sana miaka Hadi miaka
@mayarashidi27652 жыл бұрын
Poreni sana wafiwa.wote naongereni sana wazamiaji kwakazi.mnzuri
@salimmohamed6944 жыл бұрын
Hii sehem hatari sana yaa. Nikiendeshaga gari hapa nipo makini sana afu daraja lipo juu sana
@zakariamkopi33534 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania iepushe na matukio ya ajali 🙏
@moringelangas72764 жыл бұрын
Askari wa Africa ni shida sana,wanasubiri kuokoa mwili badala ya kuokoa uhai wa binadamu.
@hadijahmwajombe95884 жыл бұрын
duuuu mungu wangu poleni sana
@totoosule77144 жыл бұрын
Jaman daraja liko mbona lishaanzwa tangia mwaka jana sema tuu nais halijakamilika ndo mana tucwe na hasira kila kitu kina wakat na hata hao viongoz cdhan kama nawao wanapenda ajal zitokee mana wanapita sana apo kwnda mikoa ya kaskazin tena kwa kutumia magar bt all in all tumuombee tu kwa mungu na hicho kifaa kifike kwa mapema zaid coz moro na wami ata apana umbali mkubwa japo naiman atakua kesha kufa ila ndo hakuna jinsi innalillah waina ilah rajioun
@manassehjoseph37404 жыл бұрын
Inatisha sana na kusikitisha ewe Mungu wewe ni mwema
@abdulqarimhemedi69514 жыл бұрын
Mungu azilaze roho za marehem mahala pema peponi
@salimmohamed6944 жыл бұрын
Ili daraja jalina nguzo bora kwa kando yaan ivyo vyu.a hafifu mno kisha daraja lipo juu sana
@khalidsalum17404 жыл бұрын
Hiii sehemu mie naiogopa kwelikweli
@pizampeka26914 жыл бұрын
Poleni jamani,hyani iyo sehemu ni mbaya,nyembamba mtelemko mkali,mlima mkali balaaa
@stevenmeshack4674 жыл бұрын
Naomba kuliza kwann serikali isitengeneze iyooo barabara jamanii
@stanslausmteme84554 жыл бұрын
Hatari! Na huo mto unamamba sana
@saidntisi59944 жыл бұрын
Mungu wangu,ya Allah tunusuru sisi waja wako na haya majanga
@technologies47454 жыл бұрын
ishu ni daraja upana mdogo serkali ifanye jitihada kuongeza upana #milard uko vzur
@Doomy-ef4ez4 жыл бұрын
Kuweni pole akiii
@saimonijonas43564 жыл бұрын
Hili daraja nihatari sana.Mimi mwenyewe na abiria wenzangu tulinusurika kutumbukia na bus.Kwakweli ni hatari.
@sankybadeetz45124 жыл бұрын
Sasa hao zima moto Na waokoaji sibora wangelala tu nyumbani kwao kilichowapeleka halfu hawana msaada wowote nini sass wanashindwa hata na wazamiaji wa kienyeji magufuli TUMBUA HAO WAJINGA HARAKA SANA
@alexlingwendu67804 жыл бұрын
Wazamiaji wa kienyeji.Hili neeno linawadhalilisha.Wangetumia neno wazamiaji tu.Kienyeji waliache tu.Pia nafikili hapo ndo wangewaajili hao wazamiaji wawe ndo kikosi cha mbele cha uokoaji
@alawyjr47414 жыл бұрын
True mana jeshi la uokoaji limefika halafu et wanaogopa mamba inamana hao mnaowaita wakienyeji hawakujua kama kuna mamba??
@tabyhamisi77974 жыл бұрын
Daaaaah😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 kifo Cha maumivu sana, Allah tupe mwisho mwema inshallah
@asiaissa9764 жыл бұрын
Subhana llah poleni sana watanzania wenzangu😭
@allthingdranabeauty4 жыл бұрын
Yan hiyo sehemu mtiani wale wasafiri na waliosoma mikoani wanajua yan kunatisha sijui kwanin selikari hawaweki trafic au vijana wawe wanasimama kuwambia watu wapunguze mwendo maana wengine wanaendesha uku wamelewa yan waweke sheria kam umbali matrafic hawawezi kukaa kuna vijana wengi wapo kitaaani wangewafundisha nakuwa kazi yao
@francisgituti24944 жыл бұрын
Poleni Sana Kwa janga hilo
@ahz69074 жыл бұрын
Hili daraja huleta majanga sana na ni daraja muhimu kwenda mikoa ya kilimanjaro.tumekuwa wazembe miaka yote hii jamani. Rip waliofariki.
@gastordominic4104 жыл бұрын
Daah Mungu awaponye...
@seduteramah88794 жыл бұрын
Yan nikipitaga hapa sina imani kabisa, mungu tunusuru🙏
@saidinassoro13494 жыл бұрын
Poleni Sana ila Barabara nyembamba Sana serikali iliangalie hili ni hatari ana
@kimsaykenya54994 жыл бұрын
Widen that bridge, and, at the end of the bridge there is something like a bump or a depletion that makes vehicles appear to be pushed up. That usually makes the driver loose control of the vehicle especially when on a higher speed. Make sure when joining the bridge from both sides, the place is flat enough for one not to feel it when he leaves the normal ground and joining the bridge. Wakati Ngari Lanakaa karuka juu wakati inangia kwa bridge, ni Hatari sana. Dereva ana loose control kwasababu ya hiyo. Na sii ajabu kukuta, hilo lori lilitubukia kutoka na hiyo sehemu.
@omaryandrew25844 жыл бұрын
Dalaja jembamba sana kona kali na mtelemko mkali daaah ni hatar sana jamn
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Hyo sehemu hatar sanaaa serikal yetu ijenge daraja kubwa hapo jmn 😥😥
@buruanibushiri84844 жыл бұрын
Dar poleni sana
@mariamm27244 жыл бұрын
Hiyo sehem sio salama kbs alafu barabar nyembamba mno
@luluamri3704 жыл бұрын
Tatizo sio barabara tatizo uendeshaji bila uangalifu ,ukishajua barabara nyembamba nenda speed 30 kwa lisaa ndio speed salama kwenye maeneo mabaya na maeneo yenye misongamano,na ni muhimu kuwa na ka nyundo la kuvunjia kona ya dirisha kama ukitumbukia majini
@simonmisri69684 жыл бұрын
Poleni wapendwa
@vero574 жыл бұрын
JAMANI JAMANI TUNAOMBA SANA HILO DARAJA LIJEGWE UPYA PLS , RAISI WETU MAGUFULI ,
@bahatynyamboz93214 жыл бұрын
Daa sitasaau siku hiyo tu nilikuwepo pongezi sana kwa jeshi letu me nilijua nalala kwenye daladala siku hiyo
@ericasimon96314 жыл бұрын
Kumbe kama umevaa mkanda kwenye ajali ya maji hupon,,,,hatari tuombe mungu atunusuru
@ramamtetu23274 жыл бұрын
Allah Akbaru M/mungu Awatie Nguvu Inna lilahi wainna ilaihi Raajiuuna
@خميسبنعبدلله4 жыл бұрын
Dah polen san
@salimharrasy70474 жыл бұрын
Miundo mbinu haijatimia. 1. Jeshi la polisi na zima moto wapewe mafunzo ya hali ya juu pamoja na vitendea kazi vya kisasa. 1.Daraja la kisasa lijengwe kwa haraka sana ili kuondoa maafa. 3. Hao wanaoitwa wazamiaji wa kienyeji waajiriwe na wawe hawachezi mbali na daraja hilo. 4. Kama patakuwa na uwezekano wa kuwatimua mamba na vibogo eneo hilo bora watimuliwe.
@mayrfrimi47594 жыл бұрын
Wazima moto mko slow balaa, jeshi la zimamoto hiyo mashine mnaisubiria masaa mangapi, tanzania amkeni, jifunzeni kuwa na speed kali kwa matukio ya uokoaji,
@janeonyancha26624 жыл бұрын
Tanzania uokoaji mko nyuma umbea mbele
@ramadhanihudhaifani43764 жыл бұрын
Inna Lillah Wa Inna Ilayh Raj'uun! Dah...Allah Awarehemu wale wote waliopoteza maisha yao katokana na hili.Amiin!
@adammjomba15544 жыл бұрын
Haina maana yoyote kujenga bara bara pana ya ubungo bila kujenga daraja pana la mto wami ni mamilioni ya magari Na watu hypotes ktk mto wami sababu kubwa mterenko mkali Na konna Na daraja ambalo halina ubora ni jembamba sana ni Sawa Na daraja la kupitishia ngombe Na mbuzi Tu ,
@ngwanafabian75324 жыл бұрын
Jifunzeni kuwa na kiasi unasema ni daraja la kupitisha ng'ombe wakati miaka nenda rudi limetusaidia, nikujulishe tu kwamba upande wa pili wa mto kuna daraja jipya linaloendelea kujengwa muda si mrefu litakuwa tayari
@alawiali34754 жыл бұрын
Kwa ushauri wangu mimi kila penye madaraja makubwa pajengwe vituo vya zimamoto na uokoaji na vijana wake wapewe mafunzo ya kisasa zaidi
@suumohamedy60764 жыл бұрын
we umeongea point
@tatianamnyiamba64164 жыл бұрын
Nimependa ulichosema.🙏
@floraabiero88764 жыл бұрын
Mungu atusaidie jamani ....
@fifially66174 жыл бұрын
Poleni sana kwa kweli
@raziankwassa92214 жыл бұрын
Duhhhh ,frenk ulikua mpole,tofauti na kifo chako ,serkal msadaa tupate walau mwili jaman
@swahiliforex4 жыл бұрын
Daraja Ni Dogo sana Wakandarasi wa Bongo Wanatuangusha sana
@mnyamwezi_tz45424 жыл бұрын
Mmm mungu azid kutulinda
@mcmambo87744 жыл бұрын
Kwakweli hapa ni hatari sana kuliko watu wanavyodhani. Wami bridge panatisha kama corona. Kila mwezi lazima patengeneze story ya ajari, daraja mbadala lina jengwa lkn kasi ya wakandalasi sio kama ya mkandalasi wa SGR. Serikali ione namna ya kupushi yule mkandalasi ili aongeze speed tuokoe roho za watu.
@filbertmanumbu22694 жыл бұрын
Daah inasikitisha sana
@asiaissa9764 жыл бұрын
Napo hili daraja ni khatari sana ushauri nikuwa wekeni hapo karibu vifaa na waokoaji stend bay ikitokea tu ajali papo hapo ufanyike uokozi kwa haraka ili kuokoa maisha ya wanadamu wenzetu 😭
@helderman20004 жыл бұрын
Tena waokoaji wawe hao wanaoitwa wazamiaji wa kienyeji
@abdhihariabdhallah7604 жыл бұрын
Hao niwakereketwa hawana baya muhimu watii amri ya muwajiri wao hao wazamiaji wa kienyeji wameonesha uwezo wapeni kazi muondoshe wakereketwa
@sarahpendo5154 жыл бұрын
Kila nikitaka kwenda dar nikikumbuka Hapo WAMI nakata tamaa😰😰 Serikali jengeni ilo daraja acha kutujengeeni Mastendi
@rehemadaudi43904 жыл бұрын
Baba Magu twakuomba jenga hilio garaja kabla hujaondoka madarakani wewe ndo mkombozi wetu Baba. Eeh Mung muokoe dareva.
@timothmwakakusyu45634 жыл бұрын
Kashaanza ujenzi hapo pembezone december litaisha
@zueahmed21844 жыл бұрын
That bridge is scary ..Tanzania needs to build a wider bridge...damn!
@d.a.t33834 жыл бұрын
Hilo Daraja lingejengwa kabla ya madaraja yote yaliyojengwa DAR na ma HIGHWAY ni kiungo cha North na South very important tena yajengwe MADARAJA MAWILI MOJA SPARE
@josephmakau73224 жыл бұрын
Hili daraja nidogo sanaaa linatakiwaa liweee kubwa zaiidi
@nurafedrick3784 жыл бұрын
Huko kwenu tz hamna jeshi lawanamaji 😱😱😱😱😱😱😱😱jamani
@asiaissa9764 жыл бұрын
Allahu akbar yaarabbi wape subra na uvumilivu ndugu zetu amiin
@2nukhamis4474 жыл бұрын
Yaraaby molla atufanyie wepesi kwa sote 🙏
@ammyndago70944 жыл бұрын
Mtihani
@crispinremmy44744 жыл бұрын
Mungu asimame na hii jamiiii
@fozyafozya40604 жыл бұрын
Poleni sana wote
@mohamedomar40374 жыл бұрын
Makosa ni mengi sana kwanza daraja hili ni kuanzia enzi ya ukoloni hata sijui miaka mingapi , 2 wakati tunajishughulisha na mambo Mengine kumbukeni Wami kila mwezi hutokea ajali mbaya sana hatuchukulii hili ni tatizo tunapoteza Watu na mali yote hio ni hasara hadi kufikia umaskini hayo maji hapo chini inaelekea mashariki na imechanganyika na mafuta na watu kuanzia hapo wanakunywa hayo maji pamoja na wanyama wao hata wanyama ambao wanaishi porini karibu na hapo na natumaini Dawaso nao kiwanda chao ndogo hapo hii ni hasara tangu ukoloni hadi leo vilevile hakuna vitu vya uokoaji ati mnasema crane moja iko Kibaha na nyingine Mikumi hesabu umbali kibaha wami na mikumi wami badala ya hivyo vitu vya uokoaji kuwa karibu na wami Kama Chalinze maana hapa ajali ni kila wiki tafadhali msihatarishe maisha ya wavuvi msiwaambie waingie kwenye maji kwa sababu wangekuwa ndani ya kitu salama ( cage ) ingekua salama lakini waokoaji wako wapi mamba na kiboko nao wako chini ufumbuzi ni kujenga daraja kubwa kuokoa maisha ya Watu wanyama na mali
@michaelndilima62104 жыл бұрын
Tusilamu daraja kuwa jembamba isipokuws tatizo ni kufeli brake za gari kwahiyo ata lingekuwa pana lingeleta matatizo pia.
@allymwilamba11804 жыл бұрын
Waziri wa uchukuzi afanye haraka kuitoa,gari hiyo
@josephmusagasa55664 жыл бұрын
Zima moto na ukoaji na ninyi ingieni kama walivyoingia raia ndani ya maji ili mjiridhishe na maelezo yao,sasa ninyi eti mbasubiri clain,duh!
@ashaabdallah80404 жыл бұрын
Mamba ndugu yangu Kiboko kaka Nafsi ya mtu ngumu
@husnamasoud49894 жыл бұрын
Uwo muda wanaupoteza kwa mahojiano wangemtoa, maskini daa, hao wa kienyeji wa faida kuliko wao
@wahidashabaz59824 жыл бұрын
Wazamiaji wa kiemyeji wamejitoa ila sifa itakuja kwa askr
@omariamiri33484 жыл бұрын
Kumbukeni event zote sio common kila event ina attribute zake na katika swala la uokoaji ni muhimu kuzingatia usalama wa anaeokoa kwanza sio kwenda kinyumbu tu izi disaster zinautaratibu wake unaposoma tu izi comment unagundua jamii yetu imejaa watu wanamna gani
@ashaabdallah80404 жыл бұрын
@@omariamiri3348 na ndio maana nikasema nafsi ya mtu ngumu sababu aliye hai bado anahitajika ktk ujenzi wa taifa ila aliyekufa anahitajika kwa kuzikwa kwahiyo usalam kwanza
@yugakiyumbi99094 жыл бұрын
Kwanini serikali isiwaajiri hawa wazamiaji wa kienyeji ili wawe wanatusaidia kwenye mambo kama hay?
@rajabubojoo94674 жыл бұрын
Selikali hii au ya marekan ujue kutengeneza bunduki tu unaenda jela sembuse ujue kuzamia watakujali waapi
@damianmakala29134 жыл бұрын
Hilo nalo neno
@damianmakala29134 жыл бұрын
@@rajabubojoo9467 sio kweli serikali imeajiri watu wengi sana wenye vipaji na waliotoa michango mbalimbali ya kujitolea katika majanga mbalimbali yaliyotekea katika nchi ! Ili utengeneze bunduki lazima uwe na kibali toka serikalin kumbuka hiyo ni silaha nani hatari kwa usalama waraia na nchi kwa ujumla na hata uuzaji wa silaha lazima uwe na kibali toka serikalini hata mnunuzi wa silaha anatakiwa awe na kibali kutokea ngazi ya serikali za mitaa inakwenda kwa mkuu wa wiliya kamati ya ulinzi na usalama inakuita inakuhoji wewe unaetaka kununua silaha wakijiridhisha wanapeleka maombi yako kwa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa nao watakuhoji wakiridhika ndipo wanapeleka maombi yako serikalini ili uuziwe silaha na unapewa mashariti ya kuitumia ! Sasa wewe unaetengeneza bila kibali uachwe hizo silaha zinauzwa wapi na zinafanya nn huko ?
@esterelias81894 жыл бұрын
Kweli kbs wajiliwe na serikali ili wawe wanatusaidia wapitaji apo
@sanimoclassic19174 жыл бұрын
Jamani jamani jamani Frank yan huyo dereva ni mshkaji wa mtaani kwetu aseh yan imeniuma balaa
@elnangarylaizer92054 жыл бұрын
Poleni sana wote mliopatwa na matukio ya vifo
@mussajackson7834 жыл бұрын
Wanajisahau wanajenga madaraja ya mjini tu ila hilo walilisahau ,lisha ua sana hilo daraja
@saitotisaitoti67344 жыл бұрын
Jamani maeneo kama hayo yenye madaraja marefu kunatakiwa kuwe na hayo magari ya uokoaji karibu.yani kweli gari ya kuokoa itoke mikumi? Daah huyo dereva ataliwa na mamba
@hosianamsumanje20644 жыл бұрын
Polenii sana jaman
@elizalyz85954 жыл бұрын
Hiyo si barabara ila n mtego jamani anyway pole kwa familia
@salumuchala32804 жыл бұрын
Hapo serikali wajenge tu daraja la kisasa
@eunicenjeru2154 жыл бұрын
Poleni Sana. I know that corner na mteremko Jameni.
@josephstephen20474 жыл бұрын
Einice ulipita hapo ukielekea Mombasa au Nai?
@Tiner_cakes4 жыл бұрын
Ni juzi tu nmemwambia mama naogop daraja la wami, plz naomb wajenge vzr iyo njia ni nyembamba san yan, natamn niwe nashushwa ili nitembee kwa mguu!
@jaziraally69494 жыл бұрын
Yaan wami napaohopaga hapo wallah naombaga dua zote tufikapo happ
@awadhirajabu77544 жыл бұрын
Daraja Jembamba Sana Yani Serikali Awalioni Ilo Daraja Jembamba