Alhamdulillah kwa uzima nilionao na familia yangu.... Mungu mponye huyu Dada inshallah...
@mshamsan43382 жыл бұрын
Mmh wallah pole yakee
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
@@mshamsan4338 ee kwema tenaa
@mshamsan43382 жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 eeh Nashukulu cjui wewe VIP hali yako
@fatumaadan53682 жыл бұрын
Na hospital umeada umeabiwa nini
@nasraabdallah8502 жыл бұрын
Amina 😥🤲
@IreneIsaack-lu8fy10 ай бұрын
Dada caren inabid umpe yesu maisha yako uombewe na hali itakuwa sawa usiogope dini mkabidhi yesu maisha utapona dada .....Mungu akuponye kwa jina la yesu
@abdulwahababdulkadir99652 жыл бұрын
Mmh pole sana careen,kwa kweli nahisi kwa sasa kitu kitakufaa zaidi ni kumuomba sana Allah kwa kuleta istighfar na sala ili akuoneshe njia zaidi naamini atajibu maombi yako wala usikate tamaa,
@stelasianga94682 жыл бұрын
Jamani tutafutane mashabiki au tulioguswa tuliopo dar tukamuone jamani
@rahmahemed40762 жыл бұрын
Kabisa
@radhiaomary55912 жыл бұрын
SubhanAllah 😭😭😭hujafa hujaumbika, imeniliza Sana Allah akupe shifaa ukhty utapona kwa uwezo wa Allah
@rosemuhandoofficial56762 жыл бұрын
caren nenda ukaombewe, mengine yanahitaji mkono was MUNGU plz nenda usiwaogope watu
@missmwayway47042 жыл бұрын
Ni kweli kabsa 🤲🙏🏼
@sarahmachotta2552 жыл бұрын
Dada ukiona aibu ya kwenda kuombewa au kwamba dini itakutenga autaonekanaja hasara utaivuna wewe mwenyewe,YESU anaweza kubali kuokoka achana na mambo ya kuchanganya mara dua mara maombi,amua moja tu yatoe maisha yako yote kwa Yesu.
@zennahmtoto18672 жыл бұрын
Kabsaa tafutaa maombii tena snaa
@strongweakpriceactiontradi97612 жыл бұрын
Tuache dhambi tuache kuwachukiza wengine.Tuokoke na KUMCHA MUNGU.Hakuna BAYA LITAKALOMPATA MTU.Dunia HAKUNA UJANJA ukimtendea MTU BAYA Lazima UJE KUUMIA MBELENI awe mwanaume au mwanamke.KUBWA ZAIDI TUSIPOOKOKA KUNA SHIMO LUBWA LA KUZIMU LINASUBIRI.huwezi kuumia kwenye dunia hii kama sio dhambi mbaya.TUMKARIBIAPO MUNGU tumtii kwa matendo sala na imani.KEJELI,KULINGA,UTAPELI,KUJIONA.mwisho wake ni matatizo na SHIMO LA KUZIMU.uchawi upo karma ipo.DUBWANA SHETANI YUPO..
@ياسمينسالم-ك8ص2 жыл бұрын
Nikweli dada rose
@yusufmwangichannel66922 жыл бұрын
Allah amfanyie wepesi na ampe na shifaa ya haraka Insha Allah Amiin Thumma Amiin
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه2 жыл бұрын
Subhanaallah hujafa hujaumbika pole sana dada mbona unamtihani mkubwa jamn emwenyezi mngu tunaomba umponye dadaetu jamn 🤲🏻🙏🏻😭
@abuswabirmohammed83962 жыл бұрын
Wallahy Nakuunga mkono my brother Abdulwahaab Abdikader maono yako.Allah ampe shifaa Kwa haraka apone amiin.na sio comment za yesu kwani ni Mungu.
@maryamkhamfar40292 жыл бұрын
Unaweza ukaona una mitihani lkn kumbe kuna wengine wana mitihani kuliko wewe🥺🥺Ewe Allah Subhanna wa Ta a’la tunakuomba yaa Rabbi mfanyie wepesi mja wako huyu🤲🏽🤲🏽🥺🥺🥺🥺🥺
@musanasri22842 жыл бұрын
Ameen inshaallah kwa uwezo wake
@hanifaomar74382 жыл бұрын
Kabisa
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Subhannallah, mackini
@nasrahassanabioll65592 жыл бұрын
Aamiiin
@iddhussein25302 жыл бұрын
Aamin
@aishamustafa60832 жыл бұрын
SubhanaLLAH......Mungu atuhifadhi atuepushie....Mungu amponye dada yetu amfanyie sahali na wepesi katika matibabu yake...Ameen.
@رقيهالخصيبي2 жыл бұрын
SubhAllah mwenyeezi mungu akusimamie dada yaani hata nami mchozi yamenitoka dah mtihani kweli mwenyeezi mungu akupe moyo wa subra kwani hakuna kinachindikana kwake kwa uwezo wa Allah atakaa sawa mwenyeezi mungu tunakuomba umpe shufaha mja wako
@babyhamisi14372 жыл бұрын
Ameen ameen ameen
@happyelenest66072 жыл бұрын
Nalia sana kila nikimuona uyu dada mungu wew nimkuu sana onyesha ukuu wako baba
@happyelenest66072 жыл бұрын
Jamani uwoya anty wema daimond wasanii wote jamani tuchangeni jamani
@kawtharal_amin55032 жыл бұрын
Amiin
@husseinrashidi58282 жыл бұрын
Kama wewe ni muislam dada yangu jikaze usimshirikishi Allah usije ukapoteza shahada yako zidisha duaa Kwa wingi Allah atakuponya inshaallah dada yangu
@raniakhan54632 жыл бұрын
Allah kareem. Akupe shifaa inshaa Allah. Usikeshe na simu kesha ukimuonba Allah akuondolee mtihani
@maryamalli90902 жыл бұрын
Mambo haya yanataka Imani ndugu yangu angelikua na msimamo alikua akeshe kwa kufanya istighfaar na kuswali Sana swala za haja
@ashamsham29762 жыл бұрын
Mpelekeni kwa mwamposa
@listerlujiso60092 жыл бұрын
Jaman😭😭😭eeh Mungu Wa Mbinguni Msamehe Mtumishi Mpe Aman Ya Moyo Mjalie Uzima Afya Njema Apone Kwa Jina La Yesu Kristo Amen
@shakirashakira65802 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atamfanyia wepe atapona Inshaallah🙏🤲😔
@HalimaZuberi-iw5yo10 ай бұрын
ameen
@P.W.I.P.I_MINISTRIES2 жыл бұрын
I think this is more of physical but Spiritual affliction. We live in such a wicked world and sometimes it's our own mistakes. God's intervention is needed urgently. May Almighty God Open Her spiritual eyes so she can seek for deliverance. Jesus Christ Heals. Lord have mercy 🙏.
@GloriousRestorationTV2 жыл бұрын
Ameeen
@praisesteven77742 жыл бұрын
yesssss our own mistake 😭😭ajue aliwah fanya nn uko nyumaaaaa
@mulumederwasifa48012 жыл бұрын
Dada wende kwa bishop Elibariki Sumbe mungu atakugusa kupitiya mtumishi wake sumbe sikiliza ushauri Wangu mungu niwarehema atakugusa dada amini nakwambiya
@alush31382 жыл бұрын
Maskin allh atamuondoshea utakuamzm kamazaman
@strongweakpriceactiontradi97612 жыл бұрын
Tuache dhambi tuache kuwachukiza wengine.Tuokoke na KUMCHA MUNGU.Hakuna BAYA LITAKALOMPATA MTU.Dunia HAKUNA UJANJA ukimtendea MTU BAYA Lazima UJE KUUMIA MBELENI awe mwanaume au mwanamke.KUBWA ZAIDI TUSIPOOKOKA KUNA SHIMO LUBWA LA KUZIMU LINASUBIRI.huwezi kuumia kwenye dunia hii kama sio dhambi mbaya.TUMKARIBIAPO MUNGU tumtii kwa matendo sala na imani.KEJELI,KULINGA,UTAPELI,KUJIONA.mwisho wake ni matatizo na SHIMO LA KUZIMU.uchawi upo karma ipo.DUBWANA SHETANI YUPO..
@leylahabubakary26372 жыл бұрын
Nyei jaman mkiamka Salam mshukurun sana mwenyez mungu Kuna watu wanateseka,yarab mjaalie huyu dada apate taafifu,ameena Inshaallah
@Lastborn20252 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi dada wallah naumia na maneno yako kama kisu kinanipitia jamani yarabii mponye kiumbe wako huyu anapata shida anapitia magumu sana mmponye maradhi yake Allah mfanyie miujiza kama ulivyomfanyia nabii wetu IBRAHIMU katk moto wa makafiri
@julianaandrea58392 жыл бұрын
Dada yangu pole Mungu akufanyie uzima, utafute watumishi wa Mungu kwa maombi zaidi, hiyo ndoto ya kuchomwa kisu ni ushirikina.
@hhlkll91602 жыл бұрын
Sisi tunaona ni tatizo kubwa ila Allah kwake NI dogosanaaaa Insha Allah utapona dada Kwa uwezo wa lailaha ilallah mouhammad rasull ❤️
@strongweakpriceactiontradi97612 жыл бұрын
Tuache dhambi tuache kuwachukiza wengine.Tuokoke na KUMCHA MUNGU.Hakuna BAYA LITAKALOMPATA MTU.Dunia HAKUNA UJANJA ukimtendea MTU BAYA Lazima UJE KUUMIA MBELENI awe mwanaume au mwanamke.KUBWA ZAIDI TUSIPOOKOKA KUNA SHIMO LUBWA LA KUZIMU LINASUBIRI.huwezi kuumia kwenye dunia hii kama sio dhambi mbaya.TUMKARIBIAPO MUNGU tumtii kwa matendo sala na imani.KEJELI,KULINGA,UTAPELI,KUJIONA.mwisho wake ni matatizo na SHIMO LA KUZIMU.uchawi upo karma ipo.DUBWANA SHETANI YUPO..
@bintymohammedy57592 жыл бұрын
Ihshalla 🙏
@fatmakhanii16762 жыл бұрын
Hakika in shaa Allah
@jumakibula48512 жыл бұрын
ALLAAHUMMA AAMIIN , KWA UWEZO WAKE MUUMBA MOLA MMILIKI NA MLEZI WA ULIMWENGU WOTE NA KWA BARAKA ZA RASULI NA WAJA WEMA DADA YETU HUYU ATAPONA NA ATAPATA SWIHA NJEMA ZAIDI YA ALIVYOKUWA HAPO AWWALI . ALLAAHUMMA SWALLIY 'ALAA MUHAMMAD WA AALI MUMMAD KAMAA SWALLAITA 'ALAA IBRAHIIM WA 'ALA AALI IBRAHIIM WA BAARIK 'ALAA MUHAMMAD WA 'ALAA AALI MUHAMMAD KAMAA BAARAKTA 'ALAA IBRAHIIM WA 'ALAA AALI IBRAHIIM FIL 'AALAMIIN INNAKA HAMIIDUMMAJIID.
@joycejuma39682 жыл бұрын
Eee Mwenyezi Mungu simama kwa huyu dada Caren mkono wako wa uponyaji ukaguse mahali ambapo anaumwa akapone kwa jina lako we Bwana nguvu zote za kishirikina kazivunje kwa damu yako iliyomwagika msalabani we Yesu kamponye akapone sawasawa na mampenI yako naomba nakuamini katika jina la mwanawe Yesu karisto amina
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
Allah akujalie heri zake upone na akupe nguvu tena uweze kumlea mwanao
@kessmajoji67132 жыл бұрын
Alhmbdulilah 🙏 Allah pole sn dada Allah atakuaf lnShallah
@zawadikinolo4402 жыл бұрын
Pole mwaya nenda kwa mwamposa unatakiwa kumshirikisha sana Mungu kwenye hilo jaribu
@ashavitalis45042 жыл бұрын
Kawaponya wangapi? Muhimu anacho takiwa kumuamini mola wake mlezi alie mpa mtihani na ndio atakae muongoa kwenye hilo inshaallah biidhin LLAH
@hamisially-c4x3 ай бұрын
Akili Yako nindogo Yani aache matibabu
@veronicageorge18102 жыл бұрын
Pole dada mtafute Mungu alie juu! Mwambie Mungu akuponye yeye awez kushindwa uchawi upo lkin yesu Ana nguvu zaid
@nicelemoTripleFive2 жыл бұрын
Mungu muweza alifanya miujiza mikubwa na anafanya anaponya, anafanya njia pasipo njia, na akuponye Dada caren ukawe ushuhuda wako mkuu kuhusu huyu Mungu. Amen.
@vanessajackson24812 жыл бұрын
Amen amen 🙏
@jennirossevitalis56762 жыл бұрын
Aende kwenye maombi jmn sio Hali ya kawaida hiyo
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Nataman huyu dada akanyage madhabahu y inuka uangaze kawe kwa mtumishi wa Mungu Boniface mwamposa siku Hy tuombe kwa pamoja n mtumishi wa Mungu maombi maalum kwaajil yake tufunge hata siku 7 kwaajil y huyu bint jmn naamin atapokea uponyaji mkubwa Sana na yyte aliecheza na maisha y huyu bint Cha moto watakiona hawatalala maisha yao yote hd walipie hili 😭😭😭🙏
@nyamwizajane56272 жыл бұрын
Nimekuombea sana Careen mwamini Yesu atakuponya mdogo wangu
@azizatwaha22292 жыл бұрын
Pole sana my nimelia kwa kweli unapitia magumu sana .mungu yupo nawewe atakuvyusha mpnz kikubwa kuomba dua na sala usiache mungu yuu mwema kwetu in shaallah
@victormutua40432 жыл бұрын
Maskin tena dada wa watu mrembo In Shaa Allah amponye
@azizatwaha22292 жыл бұрын
@@victormutua4043 mlembo haswaaa inawezekana zikawa husdaa za waja mana anasema ajawahi kugombana na mtu wala kutembea na mume wa mtu sasa hapo ni mtihani kwa kweli ajuaaye yeye na mola wetu kikubwa ALLAH amvushe in shaallah hakuna kubwa kwake.🤲🤲
@victormutua40432 жыл бұрын
@@azizatwaha2229 ndo hivo
@azizatwaha22292 жыл бұрын
@@victormutua4043 naam my
@elukapallangyo53812 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atakuaimamia Caren utanyanyukaaa katika Jinq la Yesu
@shamilashabani82332 жыл бұрын
Allah amponye Jamani ,Naomba Kama hatojali Naomba Aje Burundi Nyumbani kwetu Tumfanyiye Dua kwa dawa naimani Atapona ,pls Millard mfikishiye uyu ujumbe tafazali
@Mummie_BoyzVybez2 жыл бұрын
Ungeweka namba Yako ingekuwa Bora zaidi
@shamsaalrahbi55732 жыл бұрын
Asante mung kwa kila kitu pole sn Dada Allah yupamoja nawe kila hatuwa duwa
@skeetergodwins25762 жыл бұрын
Pole sana my dear, unamhitaji Mungu sana. Kwa Yesu pekee ndiko kwenye uponyaji wa kweli.
@hamzayusuf29992 жыл бұрын
yesu menyewe hana uwezo ninyi ni wajinga
@biubwamohd60892 жыл бұрын
Jamani mamayetu raisi wetu msaidie dadayetu
@avitusmichael52 жыл бұрын
Ameen, hakuna kama YESU
@strongweakpriceactiontradi97612 жыл бұрын
Tuache dhambi tuache kuwachukiza wengine.Tuokoke na KUMCHA MUNGU.Hakuna BAYA LITAKALOMPATA MTU.Dunia HAKUNA UJANJA ukimtendea MTU BAYA Lazima UJE KUUMIA MBELENI awe mwanaume au mwanamke.KUBWA ZAIDI TUSIPOOKOKA KUNA SHIMO LUBWA LA KUZIMU LINASUBIRI.huwezi kuumia kwenye dunia hii kama sio dhambi mbaya.TUMKARIBIAPO MUNGU tumtii kwa matendo sala na imani.KEJELI,KULINGA,UTAPELI,KUJIONA.mwisho wake ni matatizo na SHIMO LA KUZIMU.uchawi upo karma ipo.DUBWANA SHETANI YUPO..
@sadatisabihi38182 жыл бұрын
@@hamzayusuf2999 Ahahahahahaha Daah wallah umenichekesha japo n mazur
@tumaramadhani33812 жыл бұрын
Pole sana dada angu nimeumia sana najuwa unaumia mungu ni mwema atakusaidia kwa kweli usichoke kumuomba mungu dada angu mungu wetu sote
@jehovajonas92842 жыл бұрын
Damu ya Yesu imponye Huyu dada na awe mzima
@strongweakpriceactiontradi97612 жыл бұрын
Tuache dhambi tuache kuwachukiza wengine.Tuokoke na KUMCHA MUNGU.Hakuna BAYA LITAKALOMPATA MTU.Dunia HAKUNA UJANJA ukimtendea MTU BAYA Lazima UJE KUUMIA MBELENI awe mwanaume au mwanamke.KUBWA ZAIDI TUSIPOOKOKA KUNA SHIMO LUBWA LA KUZIMU LINASUBIRI.huwezi kuumia kwenye dunia hii kama sio dhambi mbaya.TUMKARIBIAPO MUNGU tumtii kwa matendo sala na imani.KEJELI,KULINGA,UTAPELI,KUJIONA.mwisho wake ni matatizo na SHIMO LA KUZIMU.uchawi upo karma ipo.DUBWANA SHETANI YUPO..
@jaymandy81362 жыл бұрын
Damu itamponya mtu vipi ss??
@jehovajonas92842 жыл бұрын
@@jaymandy8136 kama huelewi mambo ya roho huwezi nielewe mpendwa tuache hivyo tu barikiwa sana
@jaymandy81362 жыл бұрын
@@jehovajonas9284 okay 👍
@shenurture2 жыл бұрын
Amen🙏🏾
@PendoMkero10 ай бұрын
Mungu uishiye mbinguni na duniani mponye dada carenhawa
@dinocastico84952 жыл бұрын
Maradhi ni mtihani ktk uhai wa mwanaadam na yakimfika kiumbe ni ishara uhai si kitu cha kudum. Kwa mapenzi yake mungu wa taurat,zaboor,injiil, na qur'an atakupa shifaa. Hospital uwende ila na umtumainie mungu asiye patwa na umauti kwake killa zito huwa jepesi daima🙏🏿
@ilhamabdallah40122 жыл бұрын
Amiin
@salamahmngoya29322 жыл бұрын
Wallah hujafa hujaumbika Allah anamitihani ktk maisha ya waja wake yarrabih tunaomba ktk maisha yetu uturuzuku ktk nautupushe ktk mitihani ya maradhi
@pichunakichuna21112 жыл бұрын
Pole sana dada I wish you quick recovery ❤️🩹 pole sana ❤️🙏 🇰🇪
@zaynabrashid3292 жыл бұрын
Eeeh yaraab akujaalie kila kheri alifanyie wepesi dada na na kama kuna tatizo lingn tofaut basi yeye ndiye mponyaji utakuwa sawa inshaaAllah pole sana dada calen🙏
@redemptamtagwaba58602 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu dada Mungu asimame na wewe akuponye uzima ukapatikane katika jina la Yesu
@shadyaloaf86942 жыл бұрын
Subhannallah ewe mungu mponye huyu dada umuondoshee na hiyo Hali na km ninguvu za kiza za kishirikina bc mungu simama nae umlinde umpe uhai mrefu na uwape nguvu watu wamsaidie
@georgeswaiswai45812 жыл бұрын
Dada kalen kile usichotaka kuamini ndicho kitakacho kutoa kwenye hiyo shida kwauhakika,mwamvuri wadini hautakusaidia,dini mipango yawanadam uzima wako upo kwenye maamuzi yako usiwaogope watu kumuamini Kristo,yesu Kristo mpaka mda huu bado anaumba,nakutengeneza kazi ambazo shetani kaziharibu,neno moja Kristo atakusaidia sisi hata kama tukikuchangia nisawa ninjia nzuri,thubutu mpe Kristo maisha yako Ameen
Kuwa na Imani Dada angu Mungu wetu anaupendo na sisi hawezi kukuacha Sali Sana usiache hata siku moja.Mungu akutie nguvu pole sana
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Usilie pole Sana, mshukuru mungu kwa yote unayo pitia.
@safiyatheonlything78482 жыл бұрын
Pole sana dd allha atafanya wepesi siku moja utakuja kuwa sawa sali sana Muombe Mungu usiku na mchana na kwa rehema zake Muumba na amini siku moja utakuwa OK lnshallha
@msafirikafiri57432 жыл бұрын
Ningemuona Irene uwoya kua wa kwanza kumsaidia huyu Dada cause anadai anapesa na anatunza sana kwenye masherehe. Hivi kama una pesa unatunza milioni 5 kwanini usimsaidie huyu Dada ukapata swawab kwa mungu na pia jamii inayokuzunguka itakuona mtu muhimu sana
@personpeter22212 жыл бұрын
👍
@mamab56452 жыл бұрын
@@personpeter2221 aàu90ul. 9😊 17
@andreadaniel82762 жыл бұрын
Kutoa ni moyo
@getrudamartin24092 жыл бұрын
Kutoa ni moyo mpendwa kil mwanadamu ana moyo wake
@mwitaagness4552 жыл бұрын
Umeandika kweli kabisaa, sijawah kuona wakisaidia ugonjwa, kwenye birthday atatoa hata milion kumi lkn si kwa shda km hii😭😭😭
@filotheaflorence7882 жыл бұрын
May God heal you ,, Yesu ni kimbilio Dada Angu ukimkimbilia Yeye atakuponya
@ashuumuhammad82692 жыл бұрын
Pole sana dada Allah yuko pamoja na wewe atakuponya kwa uwezo wake..kwake yey hakuna kubwa
@albetoemmanuel932 жыл бұрын
Maombi tuu ukilega tuuu unaoata Moto,
@strongweakpriceactiontradi97612 жыл бұрын
Tuache dhambi tuache kuwachukiza wengine.Tuokoke na KUMCHA MUNGU.Hakuna BAYA LITAKALOMPATA MTU.Dunia HAKUNA UJANJA ukimtendea MTU BAYA Lazima UJE KUUMIA MBELENI awe mwanaume au mwanamke.KUBWA ZAIDI TUSIPOOKOKA KUNA SHIMO LUBWA LA KUZIMU LINASUBIRI.huwezi kuumia kwenye dunia hii kama sio dhambi mbaya.TUMKARIBIAPO MUNGU tumtii kwa matendo sala na imani.KEJELI,KULINGA,UTAPELI,KUJIONA.mwisho wake ni matatizo na SHIMO LA KUZIMU.uchawi upo karma ipo.DUBWANA SHETANI YUPO..
@duhrurhhddhheud85752 жыл бұрын
Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah YA Allah nashukuru kwa hali niliyo nayo pia uwafanyie wepes wagonjwa wote Aminaa
@sarafinabutashilaga69902 жыл бұрын
Daah Eeh Mungu tenda Muujiza kwa huy mja wako😭😭
@mwajukilleo37972 жыл бұрын
Alhamdulillah kwa uzima uliniojaalia mola wangu Ya Allah mpe shifaa Dada yetu mpe subira na uvumilivu km mlivyompa nabii Ayub alayh wasalam kwa Allah hakuna kubwa
@marysimon10582 жыл бұрын
Dada nenda ng'ome ya Yesu kwa baba Lao mwisho wa matatizo utapona tu kuani musa mwacha anasaidia sana kimara temboni ehee mungu akusaidie 🙏🇺🇸🇺🇲
@strongweakpriceactiontradi97612 жыл бұрын
Tuache dhambi tuache kuwachukiza wengine.Tuokoke na KUMCHA MUNGU.Hakuna BAYA LITAKALOMPATA MTU.Dunia HAKUNA UJANJA ukimtendea MTU BAYA Lazima UJE KUUMIA MBELENI awe mwanaume au mwanamke.KUBWA ZAIDI TUSIPOOKOKA KUNA SHIMO LUBWA LA KUZIMU LINASUBIRI.huwezi kuumia kwenye dunia hii kama sio dhambi mbaya.TUMKARIBIAPO MUNGU tumtii kwa matendo sala na imani.KEJELI,KULINGA,UTAPELI,KUJIONA.mwisho wake ni matatizo na SHIMO LA KUZIMU.uchawi upo karma ipo.DUBWANA SHETANI YUPO..
@dinocastico84952 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 wengi watakuja kwa jina langu na wata wadanganya wengi
@foncetec2 жыл бұрын
Ukiona mtumishi anatumia muda mwingi kujisifu na kujipa majina jua huyo sio mtumishi wa Mungu
@shadidamalekela44502 жыл бұрын
@@foncetec nenda ngomen huu mchezo Yesu ataumaliza nenda caren usikate tamaa
@linahsemindu42612 жыл бұрын
Shida n Iman hakuna mtu ambae alikuwa Hana Iman Kama mm* lkn tangu nikanyage madhabahu y mtumishi wa Mungu mt mwamposa kawe hakika neema zinanitililikia naamni ukiamin unapona japo ss binadam kuamin n shida tumekalili dini zetu tulizozaliwa nazo lkn biblia ukiijua Raha Sana unazid kupand kiiman
@ashandeda49152 жыл бұрын
Pole Sana Dada angu ila kikubwa tu uache kulia. Kuwa na imani kwa huduma unazopata kwa watumishi Bali mbali usikate tamaa simama kwenye imani mungu. Yupo amini tu pia naomba uende kwa mwamposa naamini utapona nenda nenda Dada careen nenda kwa mwamposa utapona kikubwa imani tu
@janelleosumbasvlog42412 жыл бұрын
U will live to testify what the Lord has done 4 for l, don't lose hope continue to pray have faith n dnt lose hope all shall b well my sister.
@lucypatrick27022 жыл бұрын
Jamani nenda kwa mwamposa tatizo lako litaisha
@magrethkessy23622 жыл бұрын
Pole Sana careen mungu atakuponya kila kitu no mtihani ila na imani utapita uwo mtihani ila nakushauri Sana careen uwende kanisani au kwa prophet Luka ukaombewe naimani utapona cz in God we trust natumaini utapona nautakuwa mzima kabisa akunalinalo mshinda mungu ukiwa na imani kila kitu kitafanikiwa mungu amtupi mjawake katika kila Hali
@eshu-tanzania27912 жыл бұрын
Pole sana Hawa, ni wengi wanatatizo kama lako na wanaishi kama kawaida, utapona tu. Ila itabidi utumie stomi(mfuko ) ambayo ndio haja kubwa itakuwa inaingia hapo na kufanyiwa usafi kila mara, hii inabidi ndugu zako wa karibu wajifunze kukufanyia huo usafi ili kupunguza gharama za kwenda hospital kusafisha, sio kazi kubwa ni kuwa tu na vifaa vinavyohitajika tu. Ila unatakiwa ule vyakula ambavyo lazima utapate haja kila siku, kama upati haja kila siku tumbo kujaa na kusababisha kupata mpasumbo au matundu mengine kujitokeza.. inshaallah mwenyezi mungu atakusaidia tutapona.
@deobigirimana1065 Жыл бұрын
Dada yangu pole sana maman najuwa Mungu atakuponya yani najisikiya uzuni sana hila sina chakukupa hila nitazidi ku kuombeya kwa Mungu utapona dada
@vickydan28692 жыл бұрын
Jamna huyu dada ananipa huzuni na simanzi najisikia huzuni namuonea huruma, yesu yesu mponyaji nakuomba mkono wako wa uponyaji baba ujidhihilishe hapa
@khalfanikishki74652 жыл бұрын
Imani bila akiri shida. Mnang'ang'ania Yesu mponyaji, wakati mwenyewe aliomba. Luka 6:12,13)
@Ladouce-c9k2 жыл бұрын
Amen aamini atapona 🙏🙏
@carolfelix30752 жыл бұрын
@Khalfan Kishki naona unapata wakati mgumu kufananisha unachokijua na wanachokijua wengine.Mngefanana mngelikua wamoja we simamia ulichonacho na imani yako,tabia ya kuona mapungufu kwenye suala usilolijua ni ignorance na illiteracy ya hali ya juu we shika ulicho nacho.Andiko unalo litumia hulijui maana kama unalisadiki ungesadiki katika Mitume kwenye huo mstari wa Luka 6:12-13 mbona andiko la 13 kuwachagua Mitume 12 hakuna mahali unalizungumzia na majukumu yao hujayaweka waliokuwa wamepewa na aliye wachagua.Je unaujua Msingi wa Mitume wewe? na pia unayajua maagizo aliyowapa waaminio na ishara zitakazo ambatana nao,unasadiki kwa mikono ya Mitume wake yatatendeka miujuza na ajabu.Kama Unamsadiki Yesu basi aliagiza Kila aaminiye na Kubatizwa ataokoka Marko sura ya 16 :15-20,Je kama unamwamini umebatizwa wewe na unayasadiki na hayo au unang'ang'ania kuwa naye aliomba,ndio aliomba kwa Maana Yupo Mungu alie mtuma na uzuri huyo Mungu kamshuhudia Mara tatu duniani kuwa ni Mwanae Mpendwa na unajua huyo Yesu baada ya kuushinda ulimwengu alitukuzwaje Yohana sura ya 17 nzima.Lolote Mkiomba kwa jina Lake Yohana 14:13-14,na pia uje utambue hili Yohana 14 6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Matendo ya Mitume 4:12 1 Timotheo 2:5 5 Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu; Ujue hili sio Kila Mkristo hapatwi majanga au ndo wapo juu ya sheria za Mungu,zipo kanuni za ki Mungu za kufuata kuweza kukaa kwenye ahadi zake hilo lazima utambue.Yohana 5:43 imeandika jambo jiulize ni nani huyo anaongelewa kwa jina lingine. we kama una shauri kaa shauri kwa misingi ya unacho amini na utukuze kile ukionacho unakisadiki nje ya hapo,hao waliotoa shuhuda na ushauri wametoa sio kwa sababu wamehadithiwa wana uhakika na wapo wenye uhakika kama wao wanaendelea kusaidika kwa kuamini kwao.Madhara yameshatokea ila tumaini lipo kwa mwenye kuamini na kuonesha bidii ya kumtafuta atamwona Mungu katika yote hata yaliyo nje ya fahamu na mazoea ya Kibinadamu.Uponyaji upo na si kila mtu anamtafuta Mungu kwa kiwango sawa kuna karama pia zinatofautiana kwa kila mtu.Hivyo waaminio wana haki yao na wapo Watumishi wa Mungu walio inuliwa kwenye karama na uwezo wa Ki Mungu unatenda juu yao pia. Ila Zuri katika yote hayo Ni Mmoja ndiye aliyeyawezesha yote hayo ni YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI.
@khalfanikishki74652 жыл бұрын
@@carolfelix3075 Nyie hamujielewi. Mmebeba iman bila akiri.
@carolfelix30752 жыл бұрын
@Khalfan Kishki ndio busara ulionayo hiyo ndugu ila hakuna haja ya kushindania imani kwa vurugu ama migogoro.Tuombeane tu ndio muhimu ila pia mlengwa huenda imani yake ipo kwenye msaada wa huduma zaidi au vyote pamoja na imani.Tujikite kwake zaidi kuliko kushambulia imani za watu kupitia changamoto yake.Mungu ndie Hakimu naye kama alivyo na uwezo wa kutuleta anao uwezo wa kutuchukua.Tumche Mola tufanye ibada.Tuoneshe upendo kwa mwenzetu kwa hali na mali
@farajangwala12782 жыл бұрын
Pole Sana Caren...ninakushauri mwamini Bwana YESU atakuponya tuu...hiyo ndoto inaashiria Kuna nguvu za giza zinakufuatilia
@joyceregani97782 жыл бұрын
Mwamini yesu anaweza yote hakuna gumu la kumshinda Mungu
@agyady62602 жыл бұрын
Amen
@rajabuchambua53462 жыл бұрын
Asante mungu kwa zawadi ya uhai na uzima wa afya,dear pole sana. Nenda kwa mwamposa au suguye kwenye kisima cha mpenyo utapona
@ramayonline22812 жыл бұрын
Pole Sana dada yangu Mwenyezi Mungu atakiponya Inshallah 🙏
@strongweakpriceactiontradi97612 жыл бұрын
Tuache dhambi tuache kuwachukiza wengine.Tuokoke na KUMCHA MUNGU.Hakuna BAYA LITAKALOMPATA MTU.Dunia HAKUNA UJANJA ukimtendea MTU BAYA Lazima UJE KUUMIA MBELENI awe mwanaume au mwanamke.KUBWA ZAIDI TUSIPOOKOKA KUNA SHIMO LUBWA LA KUZIMU LINASUBIRI.huwezi kuumia kwenye dunia hii kama sio dhambi mbaya.TUMKARIBIAPO MUNGU tumtii kwa matendo sala na imani.KEJELI,KULINGA,UTAPELI,KUJIONA.mwisho wake ni matatizo na SHIMO LA KUZIMU.uchawi upo karma ipo.DUBWANA SHETANI YUPO..
@martinaisaay24252 жыл бұрын
Daah !! yaani mpaka machozi yananitoka inauma sana sana, nna imani kwa uwezo wa Mungu hata hilo nalo litapita , Mwenyenzi MUNGU akufanyie wepesi dadaangu upone na uendelee na majukumu yako
@hellenpaul21492 жыл бұрын
MUNGU akupe wepesi wa kupona dada yangu 🥲 amini MUNGU yupo na wewe siku zote🙏🙏
@safiyasafiya50142 жыл бұрын
pole mdogo wangu mungu akujaalie afya yarab nakuombea utapona jamani mtihani Ila Kwa Allah madogo kua na Imani atakuvua in sha Allah
@mnyangabejowrlicecy17472 жыл бұрын
Mungu mtizame huyu mama ,,Mpe njia katika haya ayapitiayo ,,Mponye Bwana Yesu ,,Kwako hakuna linaloshindikana ,,muombe Mungu akuponye ndugu ,,"Duniani mnayo dhiki jipeni moyo mtashinda"Simania katika Sala hii au hii zaburi 56.6 mwambie Mungu akutie kwenye hii roho ya magonjwa🙏Naamini utashinda ,,Sababu hakuna gumu kwake.
@naumimwanja71252 жыл бұрын
Pole Sana dada
@ashooraashoora11802 жыл бұрын
Pole sana Allah akuzidishie subraa afyaa njema na akuponye kwa haraka yarabiy
@sumasamwel8042 жыл бұрын
Mungu wetu ni mwema sanaa alimponya yule mama aliyetokwa na damu miaka 12akapona,, na yule kipo akamponya akaona hivyo bhasi hata kwako Mungu atajibu ishi kwa iman na Mungu atenda🙏🙏🙏
@brightnessmoses2244 Жыл бұрын
Amina mtu wa mungu arudi kwa mungu Yesu atakuponya omba kwake yeye ni mwema na mwaminifu
@salamakombo32572 жыл бұрын
Jamani wasanii wetu wapoo wapi sema wanauwa kuhonga magarinivibuyu dada hawamjui au pole dada Allah akutangulie uyu dada na yule kaka wa arusha aisee Allah akutangulieni tunakuombea duwa
@khadijazayumba38572 жыл бұрын
Nimelia moyo umeumia sana ,mwenyezi mungu ampiganie sana huyu dada ,mungu ni mwema sana
@khadijayahya11392 жыл бұрын
Pole sana allah atakufanyia wepes in shaa allah utapona ikiwa nabii zakaria kavumilia ugonjwa miaka mingi na ww usichoke kuvumilia ni mitihan tu hiyo mungu anakuangalia utashukuru au utakufuru kikubwa subra tu ila utapona in shaa allah
@theafricaiknow66152 жыл бұрын
Hayo ni mambo ya ushirikina, Kuna mtu anamchezea. Hata kama anaenda hospitali akumbuke na kwenda kwenye maombi
@sophyleenpj43122 жыл бұрын
Kweli kabisa hii ni hali ya kishirikina aki 😥it's so painful binafsi namuonea huruma sana
@fatmayusuf16562 жыл бұрын
Afaa aende kwa maombi ya dini pia subhanawahu
@strongweakpriceactiontradi97612 жыл бұрын
Tuache dhambi tuache kuwachukiza wengine.Tuokoke na KUMCHA MUNGU.Hakuna BAYA LITAKALOMPATA MTU.Dunia HAKUNA UJANJA ukimtendea MTU BAYA Lazima UJE KUUMIA MBELENI awe mwanaume au mwanamke.KUBWA ZAIDI TUSIPOOKOKA KUNA SHIMO LUBWA LA KUZIMU LINASUBIRI.huwezi kuumia kwenye dunia hii kama sio dhambi mbaya.TUMKARIBIAPO MUNGU tumtii kwa matendo sala na imani.KEJELI,KULINGA,UTAPELI,KUJIONA.mwisho wake ni matatizo na SHIMO LA KUZIMU.uchawi upo karma ipo.DUBWANA SHETANI YUPO..
@emotional_simulizi2 жыл бұрын
True
@getrudamartin24092 жыл бұрын
@@sophyleenpj4312 kun watu wana roho mbya sana mpenz nhs yupo mtu anayemtesa bint wa watu mrembo but ipo siku Allah atamuadhibu huyo mtu anayemtesa mtoto wa watu
@mwanaidimakumbo77632 жыл бұрын
Pole sana dear mungu mwenyezi akufanyie wepesi upone mapema mamy
@maryamrashid68822 жыл бұрын
Ya Allah hakika ni wewe na unatosha mpe shufaa ndg yetu kila kwenye uzito kuna wepesi tunaamin ktk ww hakuna giza pasipo na mwanga ya Allah kasimame na dada yetu akaone ukuu wako inshallah
@nourlynbarlyn90952 жыл бұрын
Acha Mungu aitwe Mungu mkabidhi Mungu maumivu yako In Shaa Alla iko cku atakujibu na kukupa afya yako km zamani pole sana ndugu yetu😭😭
@salshaaallen34962 жыл бұрын
Mungu ndio anaweza kukuponya,nakuomba uende kwa mwamposa,na udhurie ibada ya maombi ya saa tatu usiku
@letisiasamwel4232 жыл бұрын
Pole sana dadaangu kipenz Mungu yupo atakusaidia pia kuna msemo unasema kabla hujafa hujaumbika bt ucjal utapona tuuu
@gloriarobert65822 жыл бұрын
Dada nikupe pole sana, wanadamu tumeumbiwa mitihani. Ila jipe moyo sana, naninaomba nikupe ushauri, ebu nenda kwa mtumishi Mwamposa, anapatikana hapo Dar es salaam, Kawe. Tunachotafuta ni uponyaji.
@nasryomary428410 ай бұрын
Pole San Dada Allah akujalie shifaa inshaallah zidisha dua Allah anaona jins unavyo umia kuwa naimani nakumuamin Allah yeye ndo mwenye kulete maladhi nayeye ndio naye ondosha maladhi inshaallah utapona be strong will be fine inshaallah
@ashasemtaga16432 жыл бұрын
Pole sana dadangu I feel your pain😭😭 tupo nawe katika maombi Allah atakupa shifaa inshaallah...
@masikamohamed68972 жыл бұрын
Ameen
@mwanaydmussa96222 жыл бұрын
Allah akufanyiee wepes insha'Allah dada
@lutfiaomar23192 жыл бұрын
Allah ni mwema sana na hiyo ni majaribu endelea kuvuta subira utapona kwa rehma za Allah.
@edwardmorris85272 жыл бұрын
Mungu wa Ibrahimu akuponye kwa jina la yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai
@najmashani25212 жыл бұрын
Alhamdhulillah namshukuru mungu kwa kuwa mzima yaa Allah mponye mama huyu na umuondolee mazito na maumivu ya maradhi alonayo kwani wewe Allah ndio daktari mkuu AMIIN THUMMA AMIIN
@saudaabul53202 жыл бұрын
Pole sana dada mwenyez mungu akuwekee wepesi upone Ili uweze kuendelea na mihangaiko yako inshallah
@rudiahosoro80102 жыл бұрын
I don't know this lady but i feel her pain it's soo hurting 😢😢may you get well soon 🙏🏿 Alhamdulila you will be well 🙏🏿
@quentinsylvia38772 жыл бұрын
Pole sana .m.mungu atakuafu.najisikia vby mno .nikisikia unavyoteseka .ila Sina Cha zaidi ya kukuombea ila usikate tamaa .....m.mungu amekupa mtihani na atakutoa nguvu inshallah
@MuhammadHassan-xp6dc2 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi dada,ila wanadamu tuzingatieni Mambo matatu,afya,uhai,muda,haya Mambo matatu ni muhimu sana kuyazingatia.
@juma59472 жыл бұрын
Polee cna Allah atakuwafu lnshaallah tunakupenda cna dada etu
@upendofancy17812 жыл бұрын
May GOD fasten your healings in JESUS might name.amen
@strongweakpriceactiontradi97612 жыл бұрын
Tuache dhambi tuache kuwachukiza wengine.Tuokoke na KUMCHA MUNGU.Hakuna BAYA LITAKALOMPATA MTU.Dunia HAKUNA UJANJA ukimtendea MTU BAYA Lazima UJE KUUMIA MBELENI awe mwanaume au mwanamke.KUBWA ZAIDI TUSIPOOKOKA KUNA SHIMO LUBWA LA KUZIMU LINASUBIRI.huwezi kuumia kwenye dunia hii kama sio dhambi mbaya.TUMKARIBIAPO MUNGU tumtii kwa matendo sala na imani.KEJELI,KULINGA,UTAPELI,KUJIONA.mwisho wake ni matatizo na SHIMO LA KUZIMU.uchawi upo karma ipo.DUBWANA SHETANI YUPO..
@miamossa76672 жыл бұрын
🙏amen
@aluphonsinaalex10502 жыл бұрын
Mungu akupunguzie maumivu dada yngu kwakipindi hiki kigumu unachopitia akupe uponyaji akuondolee ugonjwa huu ulionao pole sanaaa sanaaaa
@odiliamathias54242 жыл бұрын
Pole naumia sana nikiona mtu anaumwa magonjwa makubwa naumia sana kwa sababu Mimi nikiumwa kichwa tu au tombo la kawaida maumi Atari sasa vipi wewe ukiumwa kama hiyo naisi unaumia sana Dada mungu mponye msamehe kwa Kila kitu mponye anaumia jamani
@firdauswangu7162 жыл бұрын
Assalamu aleikum pole sana,utapona kwa uwezo wa Allah insha'Allah,nimtihani utaisha tu insha'Allah shukuru nasoma quran kwa wingi jikabizi kwa Allah yeye ndio msaada wako
@beautyibrahim84282 жыл бұрын
Ummy mwalimu, doroph gwajima, samia suluhu hayo mauzo ya loyal tour msaidien huyu dada jamani tunaumia uwezo ndio hatuna
@shanimbaruku20712 жыл бұрын
Asante sana kwa comment yako nzuri sana Mungu akubariki
@nemhinakiyondo63072 жыл бұрын
Allah atakupa shifaa dada angu utapona polee Sana huo ni mtihan wa mwenyezi mungu utapona inshallah
@edinaclement77142 жыл бұрын
Ila maisha yetu yako kwenye ndoto ungefanyia kazi mapema ndoto hiyo hii hali uenda ingekuwa ndogo lakini kuwa na tumaini kwa Mungu hajawahi kushindwa.
@nahimanabella24782 жыл бұрын
Dada careen nenda kwa Yesu atakuponya dada hizo ni nguvu zakichawi usharogwa dada maana niko nafataliaa sana Mungu anaweza dada Nenda uwombewe nakuapia Yesu atakuponyaaa dada
@hamidarukingamarukingama70102 жыл бұрын
😭😭😭😭ya Allah mponye mjawako
@arafakiloli7492 жыл бұрын
Subhannahllah pole sana Allah akuondoshee maradhi yano kusibu.
@magrethjohn49292 жыл бұрын
Asikwambie mtu uchawi upo na dada Caren kinachokutesa n nguvu za giza yan shetan Amin usiamin Mungu yupo kila sehemu ww usilie na watanzania bali lia na Mungu wetu mwenye huruma sana na waja Amina ipo siku utakuja hapa hapa Ayo tv nakutoa ushuhuda Mungu yupo kwa nguvu zake utapona tu hao wamekushindwa kamwe hawatakuweza tena Amin Mungu akupe wepesi 🙏🙏🙏
@hawashemlugu64112 жыл бұрын
Allah atuhurumie atusamehe atukinge na mazohari mabaya Allah akufanyie wepesi dada wallah inataka moyo kusikiliza na kuona maan tumbo la uzazi linanguruma