VILIO MAZISHI YA MFANYABIASHARA ALIYEVAMIWA NA KUPORWA MIL.47, RC MTAKA ATOA AGIZO HILI ZITO KWA RPC

  Рет қаралды 14,917

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 2 ай бұрын
Kweli kabisa huu mchongo ulichongwa na mtu wa karibu. Safi sana simu za wafanya kazi. Marafiki. Ndugu zichukuliwe
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 2 ай бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi🙏poleni sana 💔😭😭
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 ай бұрын
Safi sana mara nyingi ni watu wa karibu mnoo😢 wakomeshwee
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Lazima,MTU hawezi kutoka mbali hakujuwi ,eti ghafla tu akuvamie,lazima ni watu WA karibu
@khatimabdallah8143
@khatimabdallah8143 2 ай бұрын
innah lillaah wainnaahbilaihum rajiuun sasa si wanhechukua hela wakamuacha mwenyewe sasa wamemulia nini ahh binadamu sisi
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i 2 ай бұрын
Daah umasikini mbaya ukitajirika nae ni atari ni kipi bora kwetu Mungu wetu poleni Sana wafiwa
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Mimi ndo maana huwa namwambia MUNGU,husinipe utajiri kupitiliza Wala umaskini wakupitiliza,nipe maisha ya KATIKATI TU ,inanitosha kabisa
@daniel.shao.9028
@daniel.shao.9028 2 ай бұрын
Daah!??so sad😭RIP
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 2 ай бұрын
Unafuta kwa uchungu alafu unauwawa
@CrepinaKatundu-uj7xk
@CrepinaKatundu-uj7xk 2 ай бұрын
R.I.P.Marehemu.Poleni Wafiwa.
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 ай бұрын
Usipotafuta mvivu ukitafuta shida Mungu waondoe wote waliohusika
@DoricyMtega-nd2bf
@DoricyMtega-nd2bf 2 ай бұрын
Dah ila njombe watu wanawivu wamaendeleo jamani mhhh hasa wale tunaocheka nao ndio wanyama kabisa 😢
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 2 ай бұрын
Mungu atusaidie kwakweli mm bodaboda wetu tunayemtumia alituipora 15M muhimu aliacha uhai wetu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Poleni sanasana,😢bora aliwaacha hai,mengine mwachieni MUNGU
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 ай бұрын
​@@israelkisaila8401Mungu bado anawapenda saana hamna baya
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 2 ай бұрын
Hakika njombe wanatabia mbaya MAUAJI ni mengi sana hapo
@atukuzwekilasi-ne3ps
@atukuzwekilasi-ne3ps 2 ай бұрын
Pole sana wanafamilia
@BarakaMalekela-nf6gv
@BarakaMalekela-nf6gv 2 ай бұрын
Duhuu. Inauma sana
@prosperiamdetele1421
@prosperiamdetele1421 2 ай бұрын
Yan mungu awafichue hao wahalifu
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 ай бұрын
Wauaji wasipopatikana walogwe wawe vichaa mbwa hao
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 2 ай бұрын
Familia haita kubali kun tegoo watakuf woteee waben hawatakubali asee😢😢😢
@saudarashidi8734
@saudarashidi8734 2 ай бұрын
Kweliii baba umeongeaa poentiiii
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
JAPO ndo Basi ndugu yako kashaenda harudi tena,INAUMA sana 😢
@huldamichael4445
@huldamichael4445 2 ай бұрын
Hivi kiwango cha pesa kilichochukuliwa kimejulikanaje
@Hannah-w8s4l
@Hannah-w8s4l 2 ай бұрын
Wameangalia biashara ya siku iyo aliingiza sh ngap
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 2 ай бұрын
Wewe mtaka vipi Hilo suala la kuchukua simu kama WaPo hapo si wameshapoteze ushahidi acha Kazi hiyo wafanye polisi
@ShabanMainde
@ShabanMainde 2 ай бұрын
wanapotezaje ushaid ata wakitupa lin watajulikana tuuu
@rehemagandi6138
@rehemagandi6138 2 ай бұрын
ushaid hauez potea ata wafute au wazime cm
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 2 ай бұрын
@@rehemagandi6138 watu wanakimbia wanatia simu chooni
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
HAPO zilishachukuliwa hata KABla hajasimama kuongea hapo
@MrA24G
@MrA24G 2 ай бұрын
Sasa hviii kubeba viwango vikubwa vya pesa unajitafutia matatzo.Tumia system ya kadi ama tgo pesa.Hata matajiri huwakuti wanatembea na maburungutu makubwa.Hapana.Wenzetu uingereza marekani kadi tuu mtu Ana swap basi
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 2 ай бұрын
Bin adam tusikiliyane huruma ivi kwanini msinge mpora tu,bila kumuuwa kabla ya kumuuwa hamkuwaza familia yake.lakini sometime serikali nayo inapuuziyaka vitu vya maana.rip inauma.
@StellaMwasha
@StellaMwasha 2 ай бұрын
Jamani watu wasiende na pesa nyumbani ni hatari
@anangisyemapunda7686
@anangisyemapunda7686 2 ай бұрын
Okay umeuwa mwenzio kwa tamaa ya vipesa vidogo hivyo,je wewe utaishi milele?Tuwe na utu na upendo Duniani sote tu wapitaji
@Jurbeg
@Jurbeg 2 ай бұрын
Hata ziwe nyingi kiasi chakujaa Dunia mwiko kumwaga Damu ya mtu kwa namna yoyote Ile 😢
@floridachami9090
@floridachami9090 2 ай бұрын
Jamani kk yangu ndambo ineniuma nakumbuka mwaka jana nilikuzoea kwa muda mteja wetu
@elvismabena7630
@elvismabena7630 2 ай бұрын
Pumzika kwa amani ndugu yangu NDAMBO
@KaizaMfuse
@KaizaMfuse 2 ай бұрын
Haya matukio na huku tunduma ndo yamepamba moto,jeshi la polisi shirikianeni na wa tunduma huku ,watatumaliza hawa majambazi
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 ай бұрын
Daaa ndambo nilitoa hela kwako mwezi wa 9 mwaka jana nilifata viazi njombe
@Jurbeg
@Jurbeg 2 ай бұрын
Wee Leta ujuaji polisi watz sii unawajua watakutupa ndani ili kutoa ushilikiano 😮
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 ай бұрын
@@Jurbeg wapuuzi hamuishagi mtandaoni hapo ujuaji ni upi kusema nilitoa hela na ilikua kazi yake nishakua mjuaji au wewe shoga nini ndo vichwa vyao sio vizuri kwajili ya..
@HamisiMatola-fs2gn
@HamisiMatola-fs2gn 2 ай бұрын
Poleni sana wana familia na majirani
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢 duh
@janemsamati6700
@janemsamati6700 2 ай бұрын
Damu yake haitawaacha salama , itanena kwa wote waliohusika Poleni familia RIP mpendwa wetu
@jesusismyeverything1630
@jesusismyeverything1630 2 ай бұрын
UNABEBA MILIONI 47 KUTOKA BANK ZA GANI? MBONA HALI MBAYA SANA SASA HIBI KAMA UNALIPA WAFUNGUE ACCOUNT AU MWITE WAKALA NDANI INGIZA HELA KWENYE SIMU KAA HAPA ANZA KUTUMA KWA KILA MTU KAMA HAWANA ACCOUNT POLENI FAMILIA
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 55 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 79 МЛН
HOUSE GIRL EP 31  | S3 | LOVE STORY 💞💕
22:38
BUSATI TV
Рет қаралды 37 М.
WALIOMUUA MFANYABIASHARA NDAMBO WAKAMATWA
7:37
NJB TV NEWS
Рет қаралды 8 М.
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН