Makonda Mungu amusaidie sana na paka sasa ifi mimi biashara nilikuwa nao pk sasa kwaajili wake kuja kutatua makero ovyo ko ni jambo lisuri sana na mkuu wa mkoa Makonda ututembelee siku moja nao vijijini vyetu upannde lepurko wilaya wa monduli usikilise nao kero wanateseka malalamiko wa ayafiki ngazi wa juu
@JosephKulwa-rc7en5 ай бұрын
Huyo ndo mbadara wa Magufuli nampenda sana mwamba kwa nini tusimpe urais huyu jaman mbona Magufuli wa pili
@josephlorri4315 ай бұрын
Arachuga hiyo..hoja za nguvu.. watu wenye kufikiri..
@ELIUDISILUNGWE5 ай бұрын
Makonda kweli umeteuliwa namungu nimeamini kumbe mungu ni mwaminifu
@sarahmshiu39525 ай бұрын
Mwenyekiti mtarajiwa
@Kachuba-w9p5 ай бұрын
Raia mwema ningekua jimbo lake kura yangu inamuhusu
@ELIUDISILUNGWE5 ай бұрын
Apewe uraisi mungu amtangulie
@NeemaNeemaAyo5 ай бұрын
Mpaka kieleweke jamn kisongo tumeteseka sana
@ELIUDISILUNGWE5 ай бұрын
Makonda mungu ampemaisha malefu
@josephlorri4315 ай бұрын
Mtu kama huyu zamani wanawekwa ndani/kufichwa wakati kiongozi mkubwa anapokuja eneo lake
@ahazinelson63515 ай бұрын
Nikweli
@rithaurassa5 ай бұрын
Diwani au mwenyekit ni yeye amwue kuch. 😢agua MWENYEWE. Kweli RC MAKONDA
@abuunayfatu87015 ай бұрын
Tumuombee Makonda
@MohamedAli-jo4yh5 ай бұрын
Safi Sana be honest
@kakaaignas36755 ай бұрын
Huyu mzee mpen hata umwenyekiti amenyooka kama Rula
@mchinatz93355 ай бұрын
Anafaa apewe uongozi asaidie wananch
@loishiyesamwel13745 ай бұрын
Chadema hiyo hawapewi
@kanankirannko61745 ай бұрын
Hawa mafisadi washauza hiyo silaha
@ScopionScopion-zj9cd5 ай бұрын
wewe mzee ungekua unaish dar Salam wangekuuwa mana huku ndio kwenye madili hapa nchini
@AbdikhaniDiriye5 ай бұрын
🤐
@rithaurassa5 ай бұрын
Diwani au mwenyekit ni yeye amwue kuch. 😢agua MWENYEWE. Kweli RC MAKONDA