Zitto Kabwe VS Waziri Kabudi Bungeni leo 'Siingii mtegoni ng'o'

  Рет қаралды 306,721

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

November 9, 2018 mkutano wa 13 wa Bunge la 11 umeendelea Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu miongoni mwa yaliyosikika ni kutoka kwa mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe aliyeihoji kuhusu hatua ya Serikali kufungua kesi dhidi ya kampuni ya Barrick na Acacia ambapo Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akakataa kujibu

Пікірлер: 333
@paulmaziku240
@paulmaziku240 4 жыл бұрын
Waliobaini Kabudi ana akili nyingi.. Tujuane
@ashamganga6636
@ashamganga6636 3 жыл бұрын
Tumepata mbunge kilosa mungu akuweke
@youngmaster4127
@youngmaster4127 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂daah
@nawihadj6674
@nawihadj6674 5 жыл бұрын
Namkubari snaa ,mwalimu wngu wa sheria ple mliman,pro Aidan kabudi
@robertndivo382
@robertndivo382 4 жыл бұрын
I must confess Tanzania you are blessed with very humble, respectful, understanding, joyful, eloquent nd articulative foreign minister. I swear this guy is the best,talented,clever Nd very loyal. I envy you Tanzanians. Kudos prof🙏
@linkreuben5804
@linkreuben5804 4 жыл бұрын
The minister is a blessing to Tanzania! Thank You God!
@papawaroma
@papawaroma 4 жыл бұрын
He is a presidential material for Tanzania, but I wish to know his views on corruption just like JPM.
@elfasijacksosafi9907
@elfasijacksosafi9907 4 жыл бұрын
Safi zinto
@mbwanakivava461
@mbwanakivava461 4 жыл бұрын
Rubbish huyo ni PoraPesa wa Majalalani
@jixxyjussy4721
@jixxyjussy4721 3 жыл бұрын
Unaakili sana ww....i read this long time, and here we are........
@dausonevarister7909
@dausonevarister7909 3 жыл бұрын
Kila nikiangalia hii speech waga nacheka Sana....zitto Ana akili Sana ,sema alikutana nondo yenyewee ....kabudi duuuh😎😎😎
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 5 жыл бұрын
Du! nilicho kiona hapo kuwa kuna Mmoja amelusha yai bichi juu sana alafu anategemea kulidaga hili lisivunjike kama litafika chini Hapo nami nilikuwa najiuliza Je, unaweza kweli kulilusha yai bich juu sana then ukategemea lisivunjike ? wakati unalisubilia kulidaka? hilo ndilo jambo lakujiuliza!!!!? Salute kwa walio nielewa, maana siku hizi Hatari ukiongea tu na mdomo wako unatoa halufu mbaya utaambiwa hujapiga mswaki kumbe inawezekana umetoka kula yai la kuchemsha mda si mrefu.
@hasionshekiondo6680
@hasionshekiondo6680 4 жыл бұрын
namkubar sana huyu mzeee kabudi
@bazilkisibo5811
@bazilkisibo5811 5 жыл бұрын
Prof amejibu vizur kisomi. Sasa mnaompuuza hamjijui. Mambo yaliyoko mahakamani huwa hayazungumziwi.
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
Palamaganda kabudi oyeeeee
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 5 жыл бұрын
P.KABUDI MUNGU AWE NAWE MILELE;
@davidroche31
@davidroche31 3 жыл бұрын
Kabudi anajiamini sana ..... Na nimtakie kila lakheri👏👏👏
@angellarobert3892
@angellarobert3892 4 жыл бұрын
I love your explation
@shabanimoneyshabanimoney2145
@shabanimoneyshabanimoney2145 5 жыл бұрын
Wenye akili tumeona zito akicheka hii inamamisha zito kakosa alicho kitegemea...prf yuko vzr
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
shabanimoney shabanimoney We naye una akili !
@shabanimoneyshabanimoney2145
@shabanimoneyshabanimoney2145 5 жыл бұрын
@@bockernyarusahi3655 nazani wepia uko kama mm ndiyo maana ume Reply
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Haitatokea nikawa kiaz kama wewe
@youngmaster4127
@youngmaster4127 4 ай бұрын
Ni kwel
@charlesmurimi592
@charlesmurimi592 4 жыл бұрын
Zitto uko vizur mzee, upinzani nyie ni juu sana siku zote.
@mwljoseph9684
@mwljoseph9684 5 жыл бұрын
Huo ni ukwepaji tu wa technical questions kutoka kwa skilled person. Hongera sana Mh. Zitto, Wakishindwa hukimbilia kwamba wapinzani wanatumwa. Tunataka Majibu ya concrete questions.
@isaachayes9783
@isaachayes9783 5 жыл бұрын
I like this guy! He’s supper knowledgeable justice minister. I think he deserved to be a prime minister
@godfreypaul2551
@godfreypaul2551 5 жыл бұрын
adi zito kacheka kumbe alimtega yooooo ndo maana jpm alikupa nafasi hy sawa wazili
@michaelmnkondya5168
@michaelmnkondya5168 5 жыл бұрын
Utoto mtupu
@davidlucas5445
@davidlucas5445 4 жыл бұрын
Mh: Waziri Kabudi upovizurisana,huyu Zito katumwa iliwapige dili sasahivihakuna waziri wakupaniki iliavuruge mambo.
@josephpetermaganga2907
@josephpetermaganga2907 3 жыл бұрын
Bado Naangalia kabudi hatari sana zito ni bwana mdogo sana
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 4 жыл бұрын
Mm namuunga mkono zitto coz haiwezekani hizo fedha za msaada zinatolewa tangu kipindi hicho halafu serikali yetu ya ccm bado wanachangisha watu madawati hizo hela tunataka bakeji ya matumizi yake raia tujue....na hiyo elimu bure imekuja juzi kumbe mlikua mnapiga hela za misaada sasa hv mnatumbuliwa ccm msiturudishe kwenye ukoloni mambo leo,uzalendo kwanza..
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Kumbe hawa kina zitto wana agenda zao za siri!!!! Sasa naanza kupata mashaka na mtu huyu!!!!
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 4 жыл бұрын
Jiulize ameuliza swali amejibiwa alafu anacheka maana yake ni kweli alikuwa anamtega je kama waziri kilaza ndio basi ikngeingzwa kwenye hansadi ingekula kwetu watanzania, halafu eti anataka awe raisi labda wa wanyama pori.
@kudraomar7053
@kudraomar7053 4 жыл бұрын
We usiwe mpumbafu anatakakutuingiza wap we sema kamaunataka kuingizwa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
@@kudraomar7053 bwege wewe!!!
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Mwanashiria wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 5 жыл бұрын
Jibu la Professor na kicheko au tabasamu ya Zitto inathibitisha kwamba kuna kitu. Maneno ya Professor Kabudi yana uchungu "kama umetumwa" amerudia mara mbili. Siku moja tutayakumbuka. Pesa ilimuuza Yesu itakuwa mwanadamu!
@nassorozawiya5778
@nassorozawiya5778 5 жыл бұрын
Kwani yesu sio Mwana damu???
@yunushamis4839
@yunushamis4839 4 жыл бұрын
Ubabe wa kibwege huo mtu kauliza swali unakodoa mijicho na kuropoka mzee Zimaa hovyoo
@stevenilevensoni2227
@stevenilevensoni2227 5 жыл бұрын
Zito mnafiki
@posolythabity110
@posolythabity110 4 жыл бұрын
Unafiki wake WAP
@bibukaelias9900
@bibukaelias9900 5 жыл бұрын
Ukiwa genius kwenye wasiojua just kaa kimya
@alvangidion9366
@alvangidion9366 5 жыл бұрын
Big up prof,
@maalimjafary3589
@maalimjafary3589 4 жыл бұрын
Good Mr zt z kabwe.
@justinejoseph1701
@justinejoseph1701 5 жыл бұрын
Wote mnaosema Mh. Waziri kashindwa kujibu hoja ya Zitto aloiweka bayana mwishon, musiwe mnacoment tuh bila hata kupitia sheria na mashariti ya mahakama na kesi za kimataifa. Ni kweli huo ulikuwa mtego na Prof. Kaugundua kama mwalimu wa sheria Hongera sana, najua zitto alisubiri utoe japo neno kuhusu swala hilo apeleke ushahidi kwa mabeberu.
@tereseamasawe8111
@tereseamasawe8111 5 жыл бұрын
PALAMAGAMBA KABUNI OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
@furahamwajeka3708
@furahamwajeka3708 5 жыл бұрын
Teresea Masawe ,paramagamba kabudi
@sylvesterf.mbonimpaye1413
@sylvesterf.mbonimpaye1413 5 жыл бұрын
Teresea Masawe CCM juuuuuu mpaka kuzimu
@arolamarco6999
@arolamarco6999 5 жыл бұрын
Wakati wa escrow, epa na Richmond kuna wabunge waliitwa kima nyani lakn majibu tumeyapa na pia kuna wabunge walipigania mikataba mibovu iliyokiwa inasainiwa waliishia kutukanwa na nwishowake tumeuona tusubiri na hili watatukanwa wataitwa vibaraka lakni ukweli utabaki pale pale
@bujagajeremiah4308
@bujagajeremiah4308 10 ай бұрын
Zitto yuko makini sana, linajua
@rojakijana1162
@rojakijana1162 5 жыл бұрын
Mh Zitto nakukubali sana
@nuhumabondo9101
@nuhumabondo9101 4 жыл бұрын
Zitto unajua... Mti wamatunda hupigwa mawe kaza zitto.. Sana Tanzanian nitajili hatuhutaji msaada
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 5 жыл бұрын
na mtadanganywa sana hadi mtakufa kinachofuata tugawane buku buku tuame
@victorlespicus6884
@victorlespicus6884 5 жыл бұрын
Ijia buku huamshee
@swaleheamri2303
@swaleheamri2303 4 жыл бұрын
Ok
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 5 жыл бұрын
point sana mzee zito
@immamlowe7151
@immamlowe7151 5 жыл бұрын
Young sacha furniture wewe unasifia mwizi Zitto nawewe ni mwizi na japo medial magna atawamaliza
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 5 жыл бұрын
+Imma Mlowe ujitambui wewe tatizo usisiemu huo unawasumbui
@emmydzoo8729
@emmydzoo8729 4 жыл бұрын
Kama wanamajibu kwanini wanauliza maswali? Mana nilizoea toka shule mtu anae uliza maswali ni mtu asie jua, ila nikiangalia bunge siku zote wabunge wanapouliza wakijibiwa wanabisha utasikia sijajibiwa niwazima hao wanauliza majibu wanayo sio swali niubishi tu
@mako331
@mako331 5 жыл бұрын
Yani wanasiasa wa Tz serikali inapigana kutetea mali zetu wao wanapigana tushtakiwe ili tuendelee kuibiwa
@kyandohtulambona1166
@kyandohtulambona1166 4 жыл бұрын
Wezi Ni wengi Sana na MUNGU atawalaani mashambani na watoto wao a wataishi katika Laana milele na milele wanashirikiana na mabeberu kutunyonya E YESUshusha mkono wako utuponye
@makalikuwili6889
@makalikuwili6889 4 жыл бұрын
@@kyandohtulambona1166 Amina
@posolythabity110
@posolythabity110 4 жыл бұрын
Nakubal
@nsodyaphilimon9153
@nsodyaphilimon9153 4 жыл бұрын
Hapo mnafiki kaumbuka alichotumwa na waume zake kakosa majibu
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 5 жыл бұрын
Mheshimiwa Zitto Kabwe hupo vizuri sana watu hawataki kuku elewa
@saidseif9000
@saidseif9000 5 жыл бұрын
Johnson Zuma kuwa na akili huyo zito ni bogazi anawatetea wazungu pumbavu tz itabaki kuwa tz
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 4 жыл бұрын
Mtawasema wapinzani sana lakini kesho mtawashangilia kwa wanayoyaibua nchini na ndio maana hasira za Serekali ya CCM na Magufuli wake zinaishia kuwateka, kuwapiga, kuwafunga, kuwanyanganya majimbo kwa nguvu, kuwafilisi na kuwapiga risasi. Kama sio speed ya Magufuli kuwafanyia Watanzania wenzake vitimbwi na kuwaaminisha Watanzania walio na elimu duni kuwa anaijenga Tanzania upya wangemtia aibu sana. Anavyofanya ni vizuri kwani anatumia kodi za Watanzania waliopo CCM, ACT, CHADEMA, CUF, TLP, NCCR, CHAUMA na vyama vingine vya Siasa, lakini je Watanzania wanajua ni kodi ngapi zinaibiwa. Kama Hazina ameweka ndugu zake mtajua saa ngapi ni fedha kiasi gani zinapotea. Ameweka ndugu zake takribani kwenye maeneo yote zinakoingia fedha katika nchi hii. TRA, Bandarini, Mipakani, Air Tanzania, Tanapa, Ngorongoro, na kila mahali penye uzalishaji fedha. Siri za huyu Magufuli wanazo wapinzani lakini wamefungwa midomo wasiseme subirini kipindi cha Kampeni za mwaka 2020 ndio mtajua mengi. Huyu Kabudi ndiye anatayarishwa na Magufuli kuwa Rais mwaka 2025 lakini Watanzania kuyajua haya kwa akili zetu finyu itachukua muda. Hata wana CCM hawalijui hili na ni makubaliano yaliyofanyikia Ikulu ili amlinde na mali zake. Huyu ndie atakuwa Dikiteta kuliko huyu Dikiteta Uchwara tulie naye.
@tonymnyamatv8483
@tonymnyamatv8483 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😀😁 💪💪💪Zitooooo Wanatetemeka waliyataka wenyewe leo Wanakuona mchawi kwa kuanza kuwachunguza Najivunia Zito kabwe Chama kubwa ViVa zito viva.
@kallahassan4896
@kallahassan4896 5 жыл бұрын
kweli mwasiasa yupo kimaslay binfsi nakama ujaelewa kinacho endelea ndani yabunge utaendelea kuwa mpumbavu ila kwass makonki tushajuwa
@dosidamas4140
@dosidamas4140 5 жыл бұрын
Professor nakuelewa sana achana na hao vibaraka
@frankhaji1387
@frankhaji1387 5 жыл бұрын
Dosi Damas kweli we we zwazwa nimeamini.
@dosidamas4140
@dosidamas4140 5 жыл бұрын
@@frankhaji1387 wewe ni zuzu. Don't reply my comment. Na wewe toa comment yako. Huna akili wewe. Stupid
@nengajr7253
@nengajr7253 4 жыл бұрын
We uko vzr kwenye habar
@franceyaraby4342
@franceyaraby4342 3 жыл бұрын
Subjudice respect much
@immamlowe7151
@immamlowe7151 5 жыл бұрын
Zitto anataka ajue serikali imejipangaje ili akawambie wale wahujum washinde kesi
@samsonmathiac6408
@samsonmathiac6408 5 жыл бұрын
non sense
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Kawaida yenu mkibanwa kihoja nyie mnakuja na hoja nyepes,mpaka kuwaona wanaowakosoa wmetumwa,lakin wenye utimamu wa akili wanawapuuza.
@fednarndmosh7068
@fednarndmosh7068 5 жыл бұрын
kaz kwel
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 3 жыл бұрын
Akili nyingi
@mohammedhusseinmorawej5667
@mohammedhusseinmorawej5667 5 жыл бұрын
The minister has accused MP of serious crime. Any legislative way to see the way it should be handled by Mbunge?
@maxmilianjoseph8065
@maxmilianjoseph8065 5 жыл бұрын
zitto umesikia Hilo jibu la subjudice?? na mtego uwe wa kuku au ndege haingii hata urushe mahindi ndani😁😁😁
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
Maxmilian joseph 😁😁😁😁
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 3 жыл бұрын
Hahhhh
@bellenicerwiza7645
@bellenicerwiza7645 5 жыл бұрын
Jibu swali ww LA professor koko
@sojaman7825
@sojaman7825 5 жыл бұрын
naamini sana upinzani
@matovumatovu643
@matovumatovu643 5 жыл бұрын
Kenya wana akina Prof Lumumba,sisi tuna prof marefu.Ndio maana Udsm grads wengi ni mediocre
@iskiji5584
@iskiji5584 5 жыл бұрын
Matovu Matovu kama wewe umeona Jibu la profesa ni mediocre basi wewe una tatizo. Amejibu vizuri Sana na kama hujamwelewa basi kuna shida katika elimu yako au akili yako ni antigovernment by default .
@justinecleophas6299
@justinecleophas6299 5 жыл бұрын
Nakuheshim sn mwanasheria....
@hindisaidi5097
@hindisaidi5097 5 жыл бұрын
Jambo liloulizwa ni la kisheria. Hujasoma sheria utaiingiliaje sheria. Sheria na siasa ni tofauti.siasa hata akina bwege na msukuma wanapeta tuu.
@jerryrobert1049
@jerryrobert1049 5 жыл бұрын
watanzania tusikubari kutumika na mataifa ya nje
@MusaMusa-dq3hd
@MusaMusa-dq3hd 5 жыл бұрын
hayo macho hayaoni
@eng.sibanganyalbjse9600
@eng.sibanganyalbjse9600 5 жыл бұрын
Hoja inapaswa kujibiwa kwa hoja ndugu zanguni. Na mawaziri wamshauri Vizuri Mh. Rais wasimwingize mkenge wakati Nchi ina matatizo mengi.
@furahamwajeka3708
@furahamwajeka3708 5 жыл бұрын
ENG. NDYAYUGUSUMA LBJSE ,sio Mara zote
@immamlowe7151
@immamlowe7151 5 жыл бұрын
ENG. NDYAYUGUSUMA LBJSE nchi haina matatizo labda nyinyi chadema mnamatatizo. Nchi imepata dereva Magufuli inaenda mwendo kaz kwel kwel
@raymondmalimamkutta8059
@raymondmalimamkutta8059 5 жыл бұрын
Unajua elimu inapaswa kukupa maarifa kuwa hekima na busara ktk kutambua nini cha kutenda na kusema. zitto anataka serikali ijibu kuwa imekubali ilikosea hapo ni kukubali mashtaka yaliyo mahakama za nje na tutakuwa tumeshindwa kesi moja kwa moja
@prosperdeogratius4888
@prosperdeogratius4888 5 жыл бұрын
Hii n kweli sana,Zitto katumia akili nyingi na Kabudi katumia akili kujibu,hii ndo siasaa sio kupigana mabundukii
@benbranco3688
@benbranco3688 3 жыл бұрын
chaliii nw sijui nw utaongelea wapi
@EvelyneChacha9
@EvelyneChacha9 3 жыл бұрын
Huyu Kabudi nimempenda sana Awe rais siku moja
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
fundi wa Shelia huyo huwezi kumpeleka kama hujasoma
@gfreymc1833
@gfreymc1833 4 жыл бұрын
Anajua anachokifanya
@Butondo
@Butondo 5 жыл бұрын
Zitto leo amekutana na pro. Kabundi unawezaukanifanya nianze kusoma sheria
@jamalchambo4752
@jamalchambo4752 5 жыл бұрын
uko vizuli Sana zito
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Bongo napo kuna profesa !
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Melchior John Butondo Kabudi au kabundi !
@Butondo
@Butondo 5 жыл бұрын
@@bockernyarusahi3655 Ni kabudi
@mwemezinnosentrwamafa6088
@mwemezinnosentrwamafa6088 4 жыл бұрын
Umeulizwa jibu kwa kile ulicho uliza na so kugomba
@mohammedmnasi3228
@mohammedmnasi3228 3 жыл бұрын
Sio kila swali linajibiwa bwana mengine ni kutegwa alafu unaingia mkenge kabudi sio wa mchezomchezo bwana
@kinglance6365
@kinglance6365 5 жыл бұрын
Majibu huna mtego gani swali very open jibu
@mohammedmnasi3228
@mohammedmnasi3228 3 жыл бұрын
Wew kama umeiva kwenye sheria uwezi kusema swari liko openi tatizo mihemuko inawasumbua inaonekana umeferi darara la saba ndo maana ujui unalo uliza.
@jixxyjussy4721
@jixxyjussy4721 3 жыл бұрын
Aiseeeeeeee kabudi anaakili mazeeee
@loner_wolf
@loner_wolf 4 жыл бұрын
HUYU Zitto hanaga maswali yanayohusu KIGOMA kweli ? Anazungumzia kesi TU za serikali yeye NI wakili wa wakoloni .... ? Je kigoma na Madini toka lini ? Kesi kesi TU Kila akisimama..... Maslahi CIO kitu kizuri
@saidipetter1706
@saidipetter1706 5 жыл бұрын
Kusema hutaingia mtegoni wakati ulishaingia huu na ni uhujum uchumi ushakubali tumeshtakiwa na tumeshtaki sasa umekwapaje mtego ? Yaan prof bhana alafu huyo ni zito tu ambaye ni layman vipi wakija konk washeria si utakimbia kiti iko
@justinecleophas6299
@justinecleophas6299 5 жыл бұрын
Unachek nimazur sn cyo....
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 5 жыл бұрын
Hana majibu Mzee wa makimikia
@petersynto8634
@petersynto8634 4 жыл бұрын
Zitto nikibaraka wa makaburu
@andreajeremia436
@andreajeremia436 5 жыл бұрын
Zitto we,huna elimu hiyo,huyu Waziri si mchezo,!
@mwljoseph9684
@mwljoseph9684 5 жыл бұрын
Elim Gani?
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
YAANI PARAMAMBA NAKUPENDA MBAKA NAUMWA YAANI HATA UKIGOSEA HUWAGA MIMI SIONI KOSA LAKO BABA
@eng.sibanganyalbjse9600
@eng.sibanganyalbjse9600 5 жыл бұрын
Unapenda upuuzi, km wabunge hawaruhusiwi kuhoji bungeni, ww mwananchi wa kawaida utahojia wapi ujibiwe? Wanatapatapa2!
@shabanmbande6434
@shabanmbande6434 5 жыл бұрын
maandishi yako tu yanadhihilisha kupenda ujinga ujinga
@fariddigga8698
@fariddigga8698 5 жыл бұрын
Uku ndiko watanzania tulio wengi tupo, kwann tujiaminishe kias icho kua viongoz wetu hawafanyi makosa?? Anapokosea tuseme amekosea na anopopatia tuseme pia. Kwngu naona hajajbu hoja ya msingi juu ya maswali aloulizwa
@makalikuwili6889
@makalikuwili6889 4 жыл бұрын
@@fariddigga8698 ndg Kabudi kajibu sana. Kajibu vizuri. Fikiri kidogo, kama washapeleka Mahakamani sasa ya nini kuuliza bongeni. Wasubiri sheria huko walikopeleka.
@allymsuya6655
@allymsuya6655 5 жыл бұрын
Hahahahaha Kabudi agoma kuingia mtegoni
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
anaogopa kusema kweli inavyosrahiki huyo chezea Magufuli Wewe akiwatizama tuu kwenye bunge lkatiba kawapa vinono wamefyata midomo yao wanatetea dhulma tu
@shadiyaedwin1320
@shadiyaedwin1320 5 жыл бұрын
Asitudanganye mtegomtego,huna majibu tuu
@malickmakatta6089
@malickmakatta6089 5 жыл бұрын
Shadiya Edwin mjinga mwingine huyu ,unahisi kila kitu cha kisheria kinazungumzwa popote tu,Waziri kajibu kuna mambo ya kisheria hayawezi kujibiwa katika mazingira anayotaka huyo Kibaraka Zitto
@immamlowe7151
@immamlowe7151 5 жыл бұрын
Shadiya Edwin msenge wewe. Hujui Zitto anapeleleza ili wazungu washinde kesi wana wana hela? Tuoju nawenye akili tunajua tunampongeza sana labuda kutojibu
@mustaphermdetele6120
@mustaphermdetele6120 5 жыл бұрын
Huyu mzee si ndo alisema ACACIA wamekubali kulipa na mikataba yao hawa watu sio wakuwaamini ata kidogo.
@issayajuma9787
@issayajuma9787 5 жыл бұрын
Jibu wewe
@mkapatv777
@mkapatv777 4 жыл бұрын
Kaogopa moja hana majibu
@eliahiluka830
@eliahiluka830 2 жыл бұрын
Acha uwoga jibu swali
@mrnobody-qg6ed
@mrnobody-qg6ed 5 жыл бұрын
zitto genius
@muganyizikamafa3555
@muganyizikamafa3555 5 жыл бұрын
Zitto mpuuzi tu..
@kassimdinar3835
@kassimdinar3835 5 жыл бұрын
mheshima zitto upo vizur San tena San mubunge wote wa kgm
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 5 жыл бұрын
katumwa
@eng.sibanganyalbjse9600
@eng.sibanganyalbjse9600 5 жыл бұрын
Mimi nina hoja tofauti wandugu, km mwaweza nisaidia kuipost mahali sahihi naombeni MSAADA. NB: Ni suala la nssf na sheria Mpya iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kupata baraka za Mh. Rais, ya kufuta FAO la kujitoa, inawezekana walilenga kuwasaidia watanzania lakini hawakutafakari sana undani wa suala lenyewe na linavyowanyanyasa na kuwadidimiza watanzania maskini walio wengi. Anglia; Kijana anayeafanya kazi ya malipo laki 2 hadi 4 akiwa na umri wa miaka 20-30 ameachishwa kazi baada ya miaka let say 2, hapo anakua na sh.480000....+ kwenye hifadhi, halafu hiyohiyo sheria inataka atimize miaka 50-60 ili aweze kuchukua pesa/malimbikizo yake toka nssf, kweli sheria hiyo inamtendea haki mtanzania huyo? Ikumbukwe familia nyingi ni maskini na hivyo kijana huyo hawezi kutunza pesa toka posho ya laki 2 hadi 4 kwa mwezi, anaitumia kuhudumia familia kwa mahitaji mbalimbali. Hiyo iliyotunzwa angeweza kuitumia kama mtaji wa biashara mara akosapo ajira kujikwamua na maisha haya yenye changamoto lukuki, lakini imetungwa sheria kandamizi ya ajabu, eti ya kuwasaidia watanzania maskini, huku nssf wakiitumia pesa hiyo kufanyia biashara. Wabunge wote elimu zao wameweka mfukoni na kujifanya hawaoni wala kuelewa madhara ya shera hizo kandamizi huku wao wakila pesa ndefu na kuwasahau waajiri wao. Hatuwezi kuwa wanasiasa wote jamani, ajira hazionekani ktk nchi hii, ukiritimba mwingi sana kila kona, hasa kwenye kada zinazohitaji interview ndiyo MTU aajiriwe yaoneshwa waziwazi mpaka kuwa na MTU juu Serikalini wa kukusemea vinginevyo hutoboi, nafasi 2-10 interview wanaitwa vijana watanzania 800--1500 what do you expect, sasa mnataka watoto wa masikini wasiokuwa na watu Serikalini wa kuwasemea ama kuwashika mkono wafanyeje? Waende wapi? Wajinyonge? Mbaya zaidi kijana huyo akiwa na miaka 25-30 akiwa na salio la 480,000/= nssf, mpaka afikishe umri wa miaka 50-60 atachukua pesa hiyohiyo 480,000/= ambayo ukilinganisha thamani baada ya miaka 25-30 ijayo haitakuwa ikilingana hata na Tshs. 1,000/=, hii ni nini kama siyo wizi wa hadharani kumuibia na kumdidimiza mtanzania mnyonge huyu asiye na ajira? Halafu watu wanaogopa kusema ukweli, kufa na kuishi kwa sahivi km hauna pesa yote ni sawa tu. Kama kweli wana nia njema ya kumkwamua Kijana mtanzania kwa maisha ya baadaye mbona hawakuweka riba ya Ongezeko ili pesa hiyo iwe inaongezeka kila mwezi hata kwa 1-2% ya pesa hiyo iliyotunzwa NSSF kwani wanaitumia kuifanyia biashara?! Ili walau iongezeke na baada ya hiyo miaka 25/30 kutimiza umri ulioamliwa kwa sheria husika MTU huyo awe hata na 10M au hata 40M?!! Wakaona Vizuri ibaki ileile miaka yote hiyo? Mnaiona dhamila yao wanayoisema kuwa njema juu ya suala hili? Chonde chonde suala hili litazamwe kwa umakini na mabadiliko yafanyike mapema iwezekanavyo kuwanusuru watanzania wanyonge km Sera ya serikali ya awamu ya 5 inavyosema, vinginevyo Bomu hili linalotengenezwa la kuichukia Serikali likilipuka mtawaelewa Vizuri watanzania wanyonge mnaowaimba kila siku ni watu gani?! Naomba kuwasilisha.
@ugaboy4736
@ugaboy4736 5 жыл бұрын
Jadili suala la kujitoa mmewaacha vibaya wanyonge
@mohamedyusuph1321
@mohamedyusuph1321 5 жыл бұрын
uko sahihi Sana kiongozi
@nzunguhjeremiyah3550
@nzunguhjeremiyah3550 5 жыл бұрын
Hili tayari ni janga la taifa.. binafsi hili swala nishaliwaza sanaa. Ila hyo ndo seliakari ya wanyonge.. wabunge wao mafao yao wanayapata soon baada yakutoka madarakani
@eng.sibanganyalbjse9600
@eng.sibanganyalbjse9600 5 жыл бұрын
@@nzunguhjeremiyah3550 Ukisikia double standard ndiyo hizo mkuu! Wengine wanatumika km ngazi ya kupandia.
@shadrackfidel809
@shadrackfidel809 5 жыл бұрын
Hakika hii ni changamoto kubwa wala sioni Kama ina lengo la kumsaidia mwananchi kiufupi hii ni sheria kandamizi inapaswa iangaliwe upya
@evaristmandilindi6147
@evaristmandilindi6147 3 жыл бұрын
NIMEAMIN HAYA MAMTU YANATUMWA KWELI LIMECHEKA LIZITO KHAAA NA HYO KESI TULISHINDA TUKALIPWA HIZO PESA NA ACCASIA HUYO NDO PROFFESSOR KWEL
@chikumatangwa8314
@chikumatangwa8314 5 жыл бұрын
hawa maprofesa sijui wanakwama wapi kuzitumia akili zao kusema ukwel kulitetea taifa na badala yake wamekubali kujitwisha unafiki....au inawezekana akili huwa wanaziacha makwao pindi waingiapo bungeni😁
@rojakijana1162
@rojakijana1162 5 жыл бұрын
Mh SUGU MUNGU akubarik na akulinde ! Ubunge ni haki yako !
@hiralyaugustino
@hiralyaugustino 2 ай бұрын
kabud mwamba
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 5 жыл бұрын
profesa mpumbavu
@HN-ff3hz
@HN-ff3hz 3 жыл бұрын
🥺
@joshuamwangomo2615
@joshuamwangomo2615 3 жыл бұрын
We ndo professor mwenye akili?
@saidrashid2701
@saidrashid2701 4 жыл бұрын
Kibalaka una mpango na sijuii wanakuchaguwa wa mimi?????
@neemafanuel4583
@neemafanuel4583 5 жыл бұрын
Mbona kesi zenu hamshindi na Noah kila mwananchi iko wapi km walikuwa wezi na mkawazuia uchimbaji, kweli mtasingizia Zito anatumika ila ndie anaewaamsha
@bellaraphael9783
@bellaraphael9783 5 жыл бұрын
neema fanuel: kwa hiyo we ulipenda wazungu waendelee kuchukua mali zero........
@allywabike6327
@allywabike6327 5 жыл бұрын
Maprofesa wa bongo hao
@josephmasenga7718
@josephmasenga7718 5 жыл бұрын
Mwalimu anapozidiwa na mwanafunzi
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 5 жыл бұрын
Aliyasema haya Mh Lissu kuwa mikataba yetu itatushitaki!!!!!???? Lkn walimwona kama ni mpinzani Haya ni majuto kama ya wa Libya😀waliona kuwa gadafi anawasaliti leo wanamkumbuka🚶🏻‍♂️
@nawihadj6674
@nawihadj6674 5 жыл бұрын
Lisu aongere mbo ya jimboni mwakw aache umbea
@abdillahmbinga7050
@abdillahmbinga7050 5 жыл бұрын
Zito upo vema zaidi
@bellaraphael9783
@bellaraphael9783 5 жыл бұрын
Zito na utumwa wako wa mataifa makubwa leo umekutana na chuma, majibu umeyapata badilika kijana tunapata taabu sasa hivi kukuamini.
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 3 жыл бұрын
Hahhh
@ejtjr2647
@ejtjr2647 5 жыл бұрын
Hivi ukishindwa kujibu jibu sahihi ni alieuliza KATUMWA?
@hishamally4846
@hishamally4846 5 жыл бұрын
Mh kachemka majibu
@filbertchulla9873
@filbertchulla9873 5 жыл бұрын
safi sana prof.Kabudi!Wewe ni jembe la ukweli!
@nurdinnswebe1905
@nurdinnswebe1905 5 жыл бұрын
Filbert Chulla huna akili
@filbertchulla9881
@filbertchulla9881 5 жыл бұрын
Nurdin Nswebe Na kinyume chake
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 5 жыл бұрын
Kazi Kazi mh kabudi
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Kusema Zitto ametumwa ni kuishiwa mbinu a.k.a kuishiwa hoja ya ushawishi,nenda kajipange tena mzee.
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 4 жыл бұрын
Mtawasema wapinzani sana lakini kesho mtawashangilia kwa wanayoyaibua nchini na ndio maana hasira za Serekali ya CCM na Magufuli wake zinaishia kuwateka, kuwapiga, kuwafunga, kuwanyanganya majimbo kwa nguvu, kuwafilisi na kuwapiga risasi. Kama sio speed ya Magufuli kuwafanyia Watanzania wenzake vitimbwi na kuwaaminisha Watanzania walio na elimu duni kuwa anaijenga Tanzania upya wangemtia aibu sana. Anavyofanya ni vizuri kwani anatumia kodi za Watanzania waliopo CCM, ACT, CHADEMA, CUF, TLP, NCCR, CHAUMA na vyama vingine vya Siasa, lakini je Watanzania wanajua ni kodi ngapi zinaibiwa. Kama Hazina ameweka ndugu zake mtajua saa ngapi ni fedha kiasi gani zinapotea. Ameweka ndugu zake takribani kwenye maeneo yote zinakoingia fedha katika nchi hii. TRA, Bandarini, Mipakani, Air Tanzania, Tanapa, Ngorongoro, na kila mahali penye uzalishaji fedha. Siri za huyu Magufuli wanazo wapinzani lakini wamefungwa midomo wasiseme subirini kipindi cha Kampeni za mwaka 2020 ndio mtajua mengi. Huyu Kabudi ndiye anatayarishwa na Magufuli kuwa Rais mwaka 2025 lakini Watanzania kuyajua haya kwa akili zetu finyu itachukua muda. Hata wana CCM hawalijui hili na ni makubaliano yaliyofanyikia Ikulu ili amlinde na mali zake. Huyu ndie atakuwa Dikiteta kuliko huyu Dikiteta Uchwara tulie naye.
@cphaelymsemwa2843
@cphaelymsemwa2843 4 жыл бұрын
Wewe mwenyewe unasuport ujinga nadhan hujaelewa kabud yupo sahihi.....
@mikemichael2544
@mikemichael2544 4 жыл бұрын
Abdalah uko sahh kabisa
@minormine4417
@minormine4417 4 жыл бұрын
@@cphaelymsemwa2843 Yupo sahihi kivipi, anabwabwaja tu kama katiwa moto mdomoni
@simonwaziri8136
@simonwaziri8136 5 жыл бұрын
Mh
@amirihamisi6913
@amirihamisi6913 5 жыл бұрын
Waziri Kabudi mimi kama mwananchi sipendi unavyojibu maswali kwa paniki.
@hilalimlenga5003
@hilalimlenga5003 5 жыл бұрын
Ha ha ha ha ha ha ha tz tuna kazi kubwa
@saidmj9213
@saidmj9213 5 жыл бұрын
Acha ujinga
Waziri Ashindwa Kujizuia  "Nitaleta Marks Zenu Hapa"
14:04
Global TV Online
Рет қаралды 325 М.
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 647 М.
"RAIS WAMEKAMATA NDEGE TENA, YULE YULE" KABUDI AMVAA CAG MSTAAFU
13:58
Alichokiongea Zitto Kabwe Bungeni kuhusu matukio ya utekaji
10:57
Millard Ayo
Рет қаралды 147 М.
Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"
17:33
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Global TV Online
Рет қаралды 553 М.
Zitto Kabwe aliposimama kwa dakika 10 kuhusu muswada wa habari
10:51