Ras tusipoangalia tutaingizana MKENGEE APA🤣🤣 .Chapa kazi mkuu.
@dhahirally4 жыл бұрын
2:38 😂engineer usijifanye huelewi
@nasseralhabsi14835 жыл бұрын
iiih...kwa kweli kazi ipo.Lakini kwa RC Mwanri,mmefikwa.
@cosmasabukuse3 жыл бұрын
Vera andika hukooo!
@meshackstev67095 жыл бұрын
Wabongo bhana et unajua hapa watu wa chemistry
@lieutenantcolonel68844 жыл бұрын
Dah msimuone kama penguin 😂😂
@godfreymrosso20514 жыл бұрын
Dah nimecheka sana hapa kuna expansion joint mkuu hahaha dah eti unafikiri mimi sijasoma chemistry au unanichukulia mii penguin haahhh tutakuja kunyooshana maungo hapa
@emmanuelsovellah55215 жыл бұрын
big up mkuu
@simonmkama48445 жыл бұрын
Hahahahahhahah,We TARURA KUJA HAAAPAAAA
@allymasakuu55 жыл бұрын
Mheshimiwa njoo daar uwanyooshe
@bernardchibwana94114 жыл бұрын
We tarura njooo hapa!!!!😅😅😅😅😅
@magotomarwa78164 жыл бұрын
Sukuma ndaniiiii
@jamesakhabuhaya61945 жыл бұрын
Tunamtaka arusha
@yohanamaugila7435 жыл бұрын
Safi sana Mkuu wa mkoa
@sultannassor97564 жыл бұрын
very good
@aisharamadhan52574 жыл бұрын
Gonga like km umeona fail za aina zote kwenye buti ya gariii Chezea RC Agrey wewe
@jerrymwansile69894 жыл бұрын
Mnaniambia iko ofisini na sisi tuko site😄😄😄🤣
@simonkisumo62704 жыл бұрын
Vera limaaa andka
@ericknchimbi68753 жыл бұрын
Huyu ndiye rais wa badae
@princeluundo40944 жыл бұрын
Asantee sana
@saidyngwai43214 жыл бұрын
Hahaha hahah tunaingizana mkenge
@jarsaduba26265 жыл бұрын
Awamu ya tano kitaeleweka chapa kazi mkuu
@hassanpyallah87505 жыл бұрын
Nilimmic sana mwanri
@mussaabdiel97974 жыл бұрын
Mbn amuitiki!!!!!
@seifukinyogoli73805 жыл бұрын
Jamaa huyu nampendaga sana
@aloycemazikuoffocial42615 жыл бұрын
Tabora oyeeee
@chidistar19445 жыл бұрын
Huyu mwanaume namkubali sana
@safariadrien54935 жыл бұрын
Kuja hapaaa 😂😂
@juliusjulianho72545 жыл бұрын
Umetshaaaaa mzeeeee,,.
@alfajahussein90742 жыл бұрын
Saf sana mkuu wa mkoa
@mwamvuajumanne60905 жыл бұрын
hahaha tunaingizana mkenge lima
@makongoronyerere25954 жыл бұрын
Huy mkuu wamkoa, aje daa bana,. makonda angalie wajane
@wileboy78114 жыл бұрын
It is right
@moudgojero49135 жыл бұрын
ww ndio kiongoz bora et anakutishia kusoma chemistry
@stanleyrububura40005 жыл бұрын
Engineer anataka kumuingiza mkenge mkuu, eti tulitegemea crack! Mbona haonyeshi hiyo crack iliyotegemewa waliandaa mechanism gani ya kui-handle ili uharibifu usitokee. Aache ujanja hapo walichemka.
@jumakessy75605 жыл бұрын
Yaani hawa matarura wanawakomaliaga wakandarasi wa kibongo tu lakn hao wachina hawawazinguagi wala nn, sasa hebu fikiria barabara mpya ndo IPO hvyo bado mvua hazijaanza kunyesha, tens mkandarasi ni mchina kabisaa
@neemakilomoni42585 жыл бұрын
Juma Kessy yani me ninge kuwa serikari mchina sio wa kumpa kazi kabisaaa hivyo vijitu viko hapo nipesa tu
@mussamaulidi39184 жыл бұрын
Nataman siku moja uwe Rais wa Hii nchi
@allywaziri98385 жыл бұрын
unajifanya huelewi 😁😁😁😁
@radhiasalum71564 жыл бұрын
Injinia usijifanfe uwelewi😀😀
@pascalseleman7919 Жыл бұрын
Magufuli huyu angekuwa makamu wake sasa hivi tungebaki nae kama raisi tungeendelea vzr sana
@salumutali13914 жыл бұрын
Jasho linakutoka eeh🤣🤣🤣
@qassim14655 жыл бұрын
Msinione mimi ni penguini tu 😂😂😂
@lawmaina785 жыл бұрын
Huyu Jamaa akiwa rais mtanyooka
@samsonsanja86704 жыл бұрын
Namkubar sana mzee
@jumamagali50895 жыл бұрын
labda ndio expansion joints, si eti injinia eeeh
@onlinesaccos52275 жыл бұрын
Huyu Mkuu wa Mkoa Anatakiwa Aje DSM
@aloitmpwepwa98765 жыл бұрын
atawanyooshaaaa
@godwinwilson38373 жыл бұрын
Soil analysis
@merrymeshack38134 жыл бұрын
TARuRa kuja hapa😂😂
@emmaemma13445 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa Congraturation kwa kaz unayofanya ndani ya mkoa wa TABORA natamani nifanye kaz mkoa huo za Government