JIPYA TOKA KWA RC MWANRI "NIONDOLEWE KWENYE UKUU, NITAFYEKA, CHACHAMAA"

  Рет қаралды 294,823

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 253
@shedrackthobias8068
@shedrackthobias8068 5 жыл бұрын
Big vision big advice to us we thank you Rc of TABORA region
@juhudikihongosi3904
@juhudikihongosi3904 5 жыл бұрын
Uko vizuri mwanri chapa kazi baba yetu uwe mfano kwa wakuu wa mikoa mingine😁😁😁😁😁
@samwelcredo4483
@samwelcredo4483 5 жыл бұрын
Gonga like kama unamkubali huyu baba
@andrewmwakikato4820
@andrewmwakikato4820 5 жыл бұрын
Natamani ningewaona live hawa watu.mh. Mwanli. Mh. Msukuma. Mh. Happy. Na top manyota. Mh. Magufuri.
@vichekeshovikalijrchuma2785
@vichekeshovikalijrchuma2785 5 жыл бұрын
Oiii huyu mzee noma gonga like kama unamwelewa
@jimmyjeremiahkyabona6474
@jimmyjeremiahkyabona6474 5 жыл бұрын
Kumbe ndio mbinu alioitumia Mh Mkuu wa mkoa Tabora , hongera sana Mh Mkuu wa mkoa
@charlesathuman6228
@charlesathuman6228 5 жыл бұрын
Fanya kama unajikuna bila kuweka like
@jayproducts5871
@jayproducts5871 5 жыл бұрын
Nimemgundua anapenda Kutumia Maneno haya mawil kwa wingi "HAPA" Na "HUKO"
@annyrutty657
@annyrutty657 5 жыл бұрын
Dah mi ningekuwa mkaz wa Tabora ningehama mapema 😕😕
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 5 жыл бұрын
Uende wapi hapa tuna bonge la Mkuu we kama vipi kimbia pekee yako
@romeoromeo4125
@romeoromeo4125 5 жыл бұрын
Yaan sie nje ya Tabora tunataka tukodishwe uyu Mkuu ata mwaka tu atunyooshe!!! Sijui ndugu yangu unataka Mkuu wa aina gani?
@peterchole5138
@peterchole5138 5 жыл бұрын
Si tuna ejo tu wa TABORA
@mamadeo1095
@mamadeo1095 5 жыл бұрын
anny rutty saids
@amourfaki8737
@amourfaki8737 5 жыл бұрын
Nenda ulaya kun vyabure
@D.P.O
@D.P.O 5 жыл бұрын
Kwa maana hiyo vitambulisho hivi ni kulipia kodi ya kichwa ili usionekane mzuraraji
@peterkisoka93
@peterkisoka93 5 жыл бұрын
Sam tajiri sitaki ukuu wa wilaya
@shebbytz7111
@shebbytz7111 5 жыл бұрын
Yaan nawapa pole saana wanahangaika saana yaaan,, vitambulisho vimewadodea acha tu.... Mpka vitaoza mwaka huu
@jumakatema6348
@jumakatema6348 5 жыл бұрын
Mkuu tatizo ni kwamba TRA na manispaa hawajaelewa nini kifanyike kwa nani?
@kassimjuma8713
@kassimjuma8713 5 жыл бұрын
Upo sawa mazee piga kazi
@rashidimwambichi3340
@rashidimwambichi3340 5 жыл бұрын
Hivi sivo vitambulisho hii sasa ni kodi
@gabrielibrahim5842
@gabrielibrahim5842 3 жыл бұрын
Sasa Kama Ni Kodi unaikwepa taifa lako lijengwe Nana Nani Kama sio Kodi yakoo ivoo unajitambuwA
@nelsonbernadtz3737
@nelsonbernadtz3737 5 жыл бұрын
Kumbe shat ya mikono mifupi inaenda na tai
@jamaliseleman4433
@jamaliseleman4433 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😅😅
@jostababeli6704
@jostababeli6704 5 жыл бұрын
saa ukimweleza atachokufanyaa, utajuta, maana anafoka hata bila sababu je ukimpa na sababu ndo atakufanyaje.
@barakanyarutare3978
@barakanyarutare3978 5 жыл бұрын
We icho tu ndo umegundua
@captenndunga9385
@captenndunga9385 5 жыл бұрын
Kwani wanafunz wanavaa shati za mikono miref? Mbona wanavaa tai... Kama ilikua haiendani ilitakiwa ianzie shuleni.
@sheikinitv8489
@sheikinitv8489 5 жыл бұрын
@@captenndunga9385 Hahaha
@frankkinyaga6777
@frankkinyaga6777 5 жыл бұрын
Kama unaamini kodi ya kichwa imerudi gonga like hapa
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 жыл бұрын
Haaaaahaaaaaaa
@hemedhaji9236
@hemedhaji9236 5 жыл бұрын
nisawa
@gabrielibrahim5842
@gabrielibrahim5842 3 жыл бұрын
Kodi wee unaikwepa? Taifa litajengwa nananii ? Ivii tunajimbuwa mbona mnauerewa pumbaa
@teddymeela2791
@teddymeela2791 5 жыл бұрын
Authoritarian leadership style
@williamnyankongo3143
@williamnyankongo3143 5 жыл бұрын
Imagine huyo ni babako??
@georgemlonda4174
@georgemlonda4174 5 жыл бұрын
hongera JPM kwakuchapa kaz endelea baba iv vtabulisho Ni vizur Sana kwa mtu mzarendo maana vnakuza uchum et Kuna watu wanasema kod za kchwa tuongezee na vngne
@saidhamad163
@saidhamad163 5 жыл бұрын
Mind empty
@isdorymathias2094
@isdorymathias2094 5 жыл бұрын
George mlonda nashindwa kukuelewa sijui una elimu gan huelewi chochote unaishije?
@sponsor7882
@sponsor7882 5 жыл бұрын
TATIZO LA VIONGOZI WA TZ HAWAJASOMA VIZUR, WANATEGEMEA NDUMBA TU
@shebbytz7111
@shebbytz7111 5 жыл бұрын
Vitambulisho vimewadodea sasa wanahangaika tu.
@ahmedmtandika3456
@ahmedmtandika3456 5 жыл бұрын
Sijaelewa maana ya hivi vitambulisho
@captenndunga9385
@captenndunga9385 5 жыл бұрын
Sasa ndumba inaingiaje kwenye vitambulisho? Yani kwa kua ww mtu wa ndumba unajua kila mtu ni ndumba.
@franshyera8970
@franshyera8970 5 жыл бұрын
@@captenndunga9385mwambie uyo ajielewi uyo
@athumanfuko199
@athumanfuko199 5 жыл бұрын
muwalahihishie kwanza upatikanaji wa vitambulisho
@yusuphkassim4188
@yusuphkassim4188 5 жыл бұрын
leo muheshimiwa umepuyanga kwasababu huwezi kumlazimisha mtu anunue kitamburisho wkt hana kazi nacho, lazima uwe na biashara ndo uwe na hicho kitmbulisho sasa biashara hauna hicho kitambulisho cha kazi gani? Mtu hana pesa ya mtaji wa kufungua biashara sasa kitambulisho cha nini labda km umeandaa mazingira ya kupata pesa na kumuweka kila mtu bize hapo sawa kila mtu ataona umuhimu wa kua na kitambulisho unless otherwise utakua unawaonea wananchi kupitia dhamana yako.
@winslowzirops3598
@winslowzirops3598 5 жыл бұрын
Sure
@EmmanuelMassawe
@EmmanuelMassawe 5 жыл бұрын
Well said
@sabatomjungu9727
@sabatomjungu9727 5 жыл бұрын
Kwel kabsa
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 5 жыл бұрын
Yusuph Kassim yesss. Wwe ndio nmeona uneongea point wengine wanashangilia ujinga. Usinilazim kununua . sii wote wamejiajir . bas wanafoss kutoa hela kwa nguv
@kileokileo959
@kileokileo959 5 жыл бұрын
sasa kama we ni mtu mzima unakaa mjini huna kazi sio mfanyabiasha mkubwa sio mfanyabiashara mdogo unategemea kua nani au utalima lami
@neymarsuleyman8602
@neymarsuleyman8602 5 жыл бұрын
Huyu ni mtaalamu sana waku-create defensive mechanism..... Maneno yake yanauwezo wakui-rebuild psychology ya MR-PRESIDENT toward him
@kabulamayunga3983
@kabulamayunga3983 5 жыл бұрын
Uko vizuri Rc
@stevenkipara9310
@stevenkipara9310 5 жыл бұрын
Hauta ishi maisha yako yote bira kazi,chukuweni hata kama sasa hamuna kazi kitawa saidia mbele ya safari
@hagaieliya6187
@hagaieliya6187 5 жыл бұрын
Watendaji tabora iko kazi
@genariusgabriel5360
@genariusgabriel5360 5 жыл бұрын
Huwa najitahidi kusikiliza hotuba za mawazir wakuu wa mikoa na wengine wamekuwa na ajira miaka zaidi ya ishirini na wanakuwa wakali kulinda ajira zao kwelikwel wanaogopa kupoteza ajira Kama ukoma lakin wametumezesha wengine hasa vijana wanaolia kukosa ajira at hamna mawazo yakujiajir. Maskin kijana utakuta kazaliwa familia maskin hajawah kuwa na kibarua Hana mtaji lakin ndo anatukanwa. Iv huyu aliefanya kaz miaka mitano anakuambia jiajir kwanini asiache kaz ashapata mtaji kijana nae atafute mtaji??
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 5 жыл бұрын
Nyoshaa mkono juu olewako ujifanye unajikunaa
@amanimnyanga2002
@amanimnyanga2002 5 жыл бұрын
Nakukuli sana Bba miaka 100 ww aliwatani temi maboya watakaa mbaali
@christophersaimon4398
@christophersaimon4398 5 жыл бұрын
serikali imekosa njia nzuri ya kupata mapato deni la taifa linazidi kupaa
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 жыл бұрын
Tabora ya moto yan ukilegaa🔥🔥
@estherjohn953
@estherjohn953 4 жыл бұрын
Sukuma.ndani baba
@gastonmbarila7302
@gastonmbarila7302 5 жыл бұрын
Uu jamaa atengenezwe awe future president
@dominicnzai8256
@dominicnzai8256 5 жыл бұрын
Upambe mpaka Bosi Ananuna I say,..izi zinaitwa hard Fillings I say,haya twende nalo Baba#MilaardAyo
@loidamsyani1768
@loidamsyani1768 5 жыл бұрын
Nakukubari sana 100%
@MarkaziIBNSiriinOnlineTV
@MarkaziIBNSiriinOnlineTV 4 жыл бұрын
Kabisa
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 5 жыл бұрын
Kitambulisho cha Taifa .
@josephkayanza4280
@josephkayanza4280 5 жыл бұрын
Serikari ya kiki sana ukienda Tabora, isevya, Ng'ambo, Chemuchemu, kiloleni na mwinyi pako hovyo Sana yeye kiki tu,. Naenda Nzega, Nyasa, burunde, Nyasa, kitangili, hovyo. Naenda urambo, majengo mapy, yakati, na yatara au majengo kariuwa pako hovyo yeye anapwayuka tu mitandaoni
@geoffreytwazihirwa2992
@geoffreytwazihirwa2992 5 жыл бұрын
Unaongoza mkoa unatumia nguvu zote je ukipewa uongozi wa nchi si utatapika utumbo....hao unao ongea nao ni watu wazima baba na mama za watu...kwani tanzania nzima huyu ndo mkuu wa mkoa tu...hao wengine mbona hawapigi kelele
@omarymchoya7848
@omarymchoya7848 5 жыл бұрын
hahahahhaah Hawa ndoviongoz tunao wataka hakuna kubebeleza mtu ambaye anatayifsha uchumi fyeka ndan wote
@jumasheha5931
@jumasheha5931 5 жыл бұрын
ha ha ha haa! Kazi kweli kweli
@tanzanitegemsCT
@tanzanitegemsCT 5 жыл бұрын
Mkuu punguza macho unawatisha watumishi,nanyi watumishi someni mjue haki zenu mmenywea kama wagonjwa kwa nn......? Someni ili mjue sio kutishwa
@ebenezertom2962
@ebenezertom2962 5 жыл бұрын
tanzanitegems culturaltourism ,,,,sasa kama tabora kuna wajasiriamali 2000,na wote wamepata vitambulisho,hivyo vitambulisho 8000 utavipeleka wapi????
@freedomtz3288
@freedomtz3288 5 жыл бұрын
kiongozi mzuri hawatishi anaowaongoza,bali huwaelekeza n'a kuwajulisha walipoteleza
@amanimnyanga2002
@amanimnyanga2002 5 жыл бұрын
Maboya kaeni mbali mwecheni bb yangu awanyooshee
@justinemalekela5269
@justinemalekela5269 5 жыл бұрын
Gonga like kama unamakubali
@abbyhoza8217
@abbyhoza8217 5 жыл бұрын
Aiseee!!!!!
@doublejmrutu8529
@doublejmrutu8529 5 жыл бұрын
Safi san
@hamed_nassoro
@hamed_nassoro 5 жыл бұрын
Nafyeka fyaap😂😂😂
@emmanuelmasingijaeliud8899
@emmanuelmasingijaeliud8899 5 жыл бұрын
Huyu jamaa nae kazi yake kupiga kelele mtandaon wakat barabar ya kutoka tabora kwenda katavi ni mbovu wala haitamaniki
@nellywizz9631
@nellywizz9631 5 жыл бұрын
Ww umefany nn kimoja?
@nellywizz9631
@nellywizz9631 5 жыл бұрын
Unaona hyo bara bara kajenge ata mita moja ww. Mnapenda laumu tu watu nyie cjui mnafanyag nn anapga kelel n ww pg tukuckie
@hamadomar3064
@hamadomar3064 2 жыл бұрын
Hauna kitambulisho sukuma ndaniii
@shadrackdamiani8248
@shadrackdamiani8248 5 жыл бұрын
fyekelea mbali 2020 gombea urais
@papaj6795
@papaj6795 5 жыл бұрын
Mheshimiwa uwezi kulazimisha watu kwa vitambulisho Ni kwa ajili ya kusaidia wamchinga ,uwezi kutufanya tuwe watumwa ndani ya nchi yetu hivi Ni kwa ajili ya kusaidia wamchinga na kuwaelumisha na sio by force.
@hizim6699
@hizim6699 5 жыл бұрын
Km tz yenyew ina ugonjwa wa kudumu wa kukosa ajira alaf leo mtu auze Karanga kwa meza akae apo sehemu moja biashara yenyew karanga asitembee kutafuta wateja ama mchicha ivi inakuja kweny akili gn una nia hv kweli una nia nae apate ata chakula ktk biashara hii itakuwa ndoto km kuna harakati za namna hii mhi umechemka asee duh kwanza amna maisha ya namna hio na km wapo bc we ndo unaanza unajua unaposeama jambo fanya utafiti kwanza hasa kweny suala biashara,uzalishaji ucje ukakurupuka utakurukupukisha na watu,,we unajua watz humu bado,, mf.wengine humo wanaenda tu mradi yy amalipwa basi hana uelewa mwingine washatikisa vichwa kukubali wameshakubali tayari niya atari yani
@douglasslema2837
@douglasslema2837 5 жыл бұрын
Maji ya kwaju....😁
@williamkeita1519
@williamkeita1519 5 жыл бұрын
Daah mwari ananifurahishaga5 mno
@darasahuru4532
@darasahuru4532 5 жыл бұрын
Uyo mzee kama kachanga nyikiwa anapaniki sana afu atulii kwenye mstali mmoja 🏃🏻!!
@isdorypaulin5122
@isdorypaulin5122 5 жыл бұрын
hapa kazi tu
@robymshomi2379
@robymshomi2379 5 жыл бұрын
Hatari fire 🔥
@calebmassam6332
@calebmassam6332 5 жыл бұрын
Duhh naona kaulimbiu ni kufyekelea
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 4 жыл бұрын
Alie muona dada wa miwani anahemea jujuu kidole juu
@eaglecrown3872
@eaglecrown3872 5 жыл бұрын
Ukiwangalia hao watendaji sura zao mbali na mavazi utafikili kuluta wa jeshi… zinaonyesha jinsi gani mkuu wa mkoa alivyofanikiwa kuwabananisha…, jamaaa kawa bananisha kila kona hawapumui…ivi Tabora rushwa ipo kweli? duuuuuuuu Asante mngekuwa kumi 2 Tanzania ingekuwa mbali sana maana msimamo wake ni kuwa kabla hajatumbuliwa yeye basi yeye atakuwa ameshawamaliza wote kwanza kisha aletewe wengine.
@sharifa1934
@sharifa1934 5 жыл бұрын
Nkukubari mzee baba 😂😂😁😁
@charznyamaresa5571
@charznyamaresa5571 5 жыл бұрын
mnamaaana gani na watu simseme tu tuuuze vitutulivyo navyo tuwape
@mohamedsalmu3506
@mohamedsalmu3506 5 жыл бұрын
Mmh kama kenya ase
@khadijayusufu7169
@khadijayusufu7169 5 жыл бұрын
Ngpi uko engine soma uko🤣😃🌐
@danymsinga7048
@danymsinga7048 5 жыл бұрын
Sasa Kama Sina kazi jaman inakuaje
@ifozatv2513
@ifozatv2513 5 жыл бұрын
Dah! Wachumia 2mbo
@robertjunior9916
@robertjunior9916 5 жыл бұрын
Mara paaap katumbuliwa na Mkulu hahahahaha
@jostababeli6704
@jostababeli6704 5 жыл бұрын
Naanza kuamini Tz kuna udictector, huyu Mkuu wa mkoa kasema ukweli leo.
@Manassehpm
@Manassehpm 5 жыл бұрын
kumbe hicho kidudu ni kwa ajili ya kukusanya mapato!!!
@rubamann
@rubamann 5 жыл бұрын
Dizaini ya wa aina hii wakichukuwa Nchi watakuwa wabaya kuliko Magufuli, Idi Amini, Rodrigo Duterte, Mobutu. Akiwa Rais wengi watakufa.
@ramadhanmanko4614
@ramadhanmanko4614 5 жыл бұрын
Mwaipopo huanamkubali namuona katuliiia anamsikiliza mkuuwake
@saadsalum3253
@saadsalum3253 5 жыл бұрын
Tumeishiwa sasa duhhh kodi yakichwa kama kawaida kidumu cha mapinduzi
@mwitafrancins3998
@mwitafrancins3998 5 жыл бұрын
Duh!kweli hii kali yeye anaogopa kufukuzwa kazi ila watanzania wanyonge wakandamizwe hey
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 5 жыл бұрын
Kodi kodi kodi kodi kodi....
@azizamkindi1784
@azizamkindi1784 5 жыл бұрын
Usitumie nguv ww kama mtu hana biashara hakina umuhim sio vyema tumia busara mhe
@saymarsaymar4654
@saymarsaymar4654 4 жыл бұрын
Mrembo Aziza
@davidnicholaus5304
@davidnicholaus5304 4 жыл бұрын
Mmmmm huko tabora kazi ipo
@charznyamaresa5571
@charznyamaresa5571 5 жыл бұрын
mhhhhhhhhhhh mnatafuta hela serikali ya magufuri mpaka hela zamisiba mnazitaka
@danielnjau372
@danielnjau372 5 жыл бұрын
Sukuma ndani
@isaackchambo2642
@isaackchambo2642 5 жыл бұрын
Watu kama hawa wanao payukapayuka hovyo ndio baba mwenye nyumba anawapenda na watadumu madarakani,maana ni ile methali ya kipofu kuongoza vipofu mwisho ni kutumbukia wote shimoni.
@elikarimugayewi3105
@elikarimugayewi3105 5 жыл бұрын
Hapa hamna namna maana ni amri ya mkubwa. Hapa hamna cha sheria. k. m. TRA. Hii ni nyundo tofauti toka kwa mkuu wa kaya kwenda wakuu wa mikoa kwenda kwa wakuu wa wilaya kuja kwa watendaji kata na vijiji, na kuangukia raia! Haikwepeki. Siri: fuko kuu halina hela.
@jonasshadrack9308
@jonasshadrack9308 5 жыл бұрын
Ndg mkuu wa mkoa. Igunga tumelipia vitambulisho tar 14.04.2018 lakin mpaka Leo February 2019 hatujapewa vitambulisho na tumelipia
@aginiweyessayakyando9855
@aginiweyessayakyando9855 5 жыл бұрын
Nimesha fyeka wote nileteeni wengine 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pigapesa1013
@pigapesa1013 5 жыл бұрын
kaongea vizuri RC.
@ivankagoma9982
@ivankagoma9982 5 жыл бұрын
Kosa lingine😂😂😂😂😂
@mkobapoli915
@mkobapoli915 5 жыл бұрын
Mie kwa vile ni mjukuu wangu nisingekaa bila kucheka na kujikuna, mammmy! chagulagha.
@abdallahmchange1370
@abdallahmchange1370 5 жыл бұрын
Kitambulisho ni cha wajasiriamali Sio cha uraia Mzee sikuungi mkono
@christophersailen8004
@christophersailen8004 5 жыл бұрын
Huyu jamaa yuko vizuri huyu no mwalimu kwasababu kama umueliwi gani were utakuwa tutusa alafu atakuwa anajuwa kuwabadilisha watu kama mtoto aspomuekewa basis akapimwe wkili
@allyrashid1235
@allyrashid1235 5 жыл бұрын
Huyu mkuu wa mkoa siyo haiwezekani akaongea maongezi haya halafu watu wamekaa kimya huu ni upuuzi na installers kukemewa
@arnoldlyimo8088
@arnoldlyimo8088 5 жыл бұрын
huyu faza kazidi kutafuta kiki sasa
@kawiliabdul1476
@kawiliabdul1476 5 жыл бұрын
Soma hiyooo.
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 5 жыл бұрын
😂😂nikishushwa tunashuka wote 😂😂
@meshacksamson5224
@meshacksamson5224 5 жыл бұрын
Kwa huyu mkuu wa mkoa raisi hakukosea kabisa,yuko vzr na kazi yake!!!!
@kadotete4040
@kadotete4040 5 жыл бұрын
Yaelekea kilimo tanzania ni adhabuu eee
@ntulimwaihola7085
@ntulimwaihola7085 5 жыл бұрын
hiyo ni kodi ya kichwa hapo mmegeuza tu hadi msiba pancha
@eneamwaipola6833
@eneamwaipola6833 5 жыл бұрын
Akifukuzae asemi toka nchi imeuzwa
@shebbytz7111
@shebbytz7111 5 жыл бұрын
Sasa anaekwenda kupalilia umlipishe kitambulisho elf 20. Mbona majbu yako waz jamaan. Hvyo vitambulisho gawen bure halaf mkusanye kod kwa mliowagawia kwa Maana mtakua mnawafaham ni wap wanapatikana,,, Wapen vitambulisho bure muone Kama hawatachukua sasa.
@gabrielibrahim5842
@gabrielibrahim5842 3 жыл бұрын
Umeerewa tofauti iree nikiererezo chawewe kutokunyanyasika popote erfu 20000kitu gani unakunywa bia ngapi au soda ngap leave mwakaa uwe mwerewa taifa litajengwa na SS watanzania hakuna bib Kodi mihimu Sana ulaya imefanikiwa kwa Kodi za wananchi wake
@yaspizaro1447
@yaspizaro1447 5 жыл бұрын
sukuma ndaniiiii😂
@feezdidthis2220
@feezdidthis2220 5 жыл бұрын
inasikitisha
@kulwaabdulrahman6196
@kulwaabdulrahman6196 5 жыл бұрын
ni hatari !! na inabidi utupe ajira zako maana unatutisha saana
@kulwaabdulrahman6196
@kulwaabdulrahman6196 5 жыл бұрын
@Francis Osodo mbona unashoboka na comment zenu pita mbele huko kama huna ajira ni ww
@kulwaabdulrahman6196
@kulwaabdulrahman6196 5 жыл бұрын
anavyosema !!!! kabla hajaondolewa atawaondoa wao kwanza !!!! angekuwa baba yako kaondolewa unajisikiaje
@kulwaabdulrahman6196
@kulwaabdulrahman6196 5 жыл бұрын
m nilitegemea unataongea vitu vya msingi kama hiv!!! na c vinginevyo⏳
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 5 жыл бұрын
Kama unataka kwenda haraka nenda mwenyewe kama unataka kwenda mbali twendeni wote
@wolfafricanboy3682
@wolfafricanboy3682 5 жыл бұрын
Mchungaji sukma ndan wala ubwabwa sukuma ndan watazamaj sukma ndan
@allyathumani1632
@allyathumani1632 4 жыл бұрын
Huyu anafaaa kuwa mkuu wa mkoa wa pwani
RC MWANRI TENA - "Fukuza kazi wote, Weka Kwenye Lori Sukuma Ndani"
7:13
Global TV Online
Рет қаралды 249 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
RC MWANRI ALIVYOMBANA INJINIA MPAKA KAMKATAA BOSI WAKE "
6:21
Millard Ayo
Рет қаралды 187 М.
"SOMBA WOTE WANAOFANANIA NA WIZI WEKA NDANI" - RC MWANRI
7:16
Millard Ayo
Рет қаралды 803 М.
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН