MWANRI ALIAMSHA DUDE UPYA "MNATUVIRIGA NIMELETA KWERE, WACHA HIYO KABISA"

  Рет қаралды 194,724

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 240
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 5 жыл бұрын
Huyu jamaa ni foreman wa kiwango cha dhahabu. God bless Mwanri.
@dn.n4983
@dn.n4983 4 жыл бұрын
Hakitoka rais muda ukisha mpeni huyu mweshimio mkuu wa mkoa ni mtu anafanya kazi kweli kweli ubarikiwe sana
@Boaz22
@Boaz22 5 жыл бұрын
Kama umesikia down the line,.gonga like😂😂😂😂😂😂
@dennishyera6127
@dennishyera6127 4 жыл бұрын
Mkuu ni jambe tokeapo but akipewa wizara mambo yatanoga. Tz Itakuwa kama Toronto cause Rais jembe waziri jembe .God bless Tz.!
@eliazarinyakiema1969
@eliazarinyakiema1969 5 жыл бұрын
Huyu ndiye mkuu wa mkoa wa tz 😁😁😁👍
@victorjames3730
@victorjames3730 5 жыл бұрын
Mkuu wa TZ....
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 5 жыл бұрын
True
@dopeysera6902
@dopeysera6902 4 жыл бұрын
Vipi kuhusu mheshimiwa Bashite
@joseygaudence1886
@joseygaudence1886 5 жыл бұрын
Sauti ilio pewa mamlaka na Mwenyezi Mungu kusudi mambo yaende Bam bam😂😂😂😂
@japhetv6157
@japhetv6157 4 жыл бұрын
😂😂
@denishamka8657
@denishamka8657 4 жыл бұрын
Nakupenda Sana MH MWANRI
@Moses1997
@Moses1997 4 жыл бұрын
Sauti kubwa hadi Maiki imewekwa mbali ,,,,hahahahaaaa Mwanri ni FIREEE🔥🔥🔥🔥
@sylvestermihale404
@sylvestermihale404 4 жыл бұрын
Mzee wa sukuma ndani, Heee wachaa hiyoo, wacha kabisa😂😂😂😂😂.
@kambiibrahim415
@kambiibrahim415 5 жыл бұрын
RC uko vzr sana tena sana piga kazi sisi tuko bega kwa bega na wewe Mheshimiwa. HAPA KAZİ TU
@shemsaroja975
@shemsaroja975 5 жыл бұрын
Next President of United Republic of Tanzania ! IN SHAA ALLAH .
@yunusyusuf4614
@yunusyusuf4614 4 жыл бұрын
wallah we gonna be happy forever wallah huyu mtu aananifurahishaa many people wanaisi ni comedy ila anafanya kazi yake safi sana
@tentofgracechurch3504
@tentofgracechurch3504 4 жыл бұрын
Mimi ni mkenya but I fully support he can do excellent
@shebaminde7656
@shebaminde7656 5 жыл бұрын
DMO welcome to the world imeisha hiyoo😃😃😃
@ezekielevarest9215
@ezekielevarest9215 4 жыл бұрын
😆😅😂
@jacobletema3681
@jacobletema3681 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais, huyu Mkuu wa Mkoa mpandishe cheo ni mfuatiliaji mzuri sana wa miradi ya serikali na ana uchungu na fedha za serikali na pia ana uchungu na maisha ya wananchi. Big up sana Mzee wa Toronto.
@kakurukakurupacha859
@kakurukakurupacha859 5 жыл бұрын
Sasa hizi ndo habari za kuangalia zikala mb zetu sio upuuzi wa penseli na ujinga
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 5 жыл бұрын
Kakuru Kakuru pacha 😁😁😁😁swadakta
@josephisaya8166
@josephisaya8166 5 жыл бұрын
Kabisa
@benedictordaniely8332
@benedictordaniely8332 4 жыл бұрын
Muombe mh.raisi akuteue na wewe, maana ili ujue mrefu na mfupi lazima kuwe watu wawili n.k.
@bonifacemohono3486
@bonifacemohono3486 4 жыл бұрын
Penseli
@mustafaseif164
@mustafaseif164 4 жыл бұрын
Wasenge hao
@abasmwika3432
@abasmwika3432 5 жыл бұрын
For the first time Engeneer amejisikia vibaya Sana kwenye taaluma yake halafu nimtu mzima sasa Dah Pole sana Faza. Haha eti kaa chonjo!!!
@evancevlado5049
@evancevlado5049 4 жыл бұрын
Nakuja hapa nakula vichwa vya watu kama vitano hivi😂😂😂😂
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 4 жыл бұрын
Kubabeki Mwanri ni kisanga! Kama umeskia ''nikija nakula vichwa kama vitano" hebu gonga like
@mohamedimganga1481
@mohamedimganga1481 4 жыл бұрын
Saf sana mkuu wa mkoa yan na unguwa na uku kwetu wangenyoka
@andreymalisa1625
@andreymalisa1625 4 жыл бұрын
Wanaume tunafeli wapi yaani ukali wote hua nje kufika ndani kimya 😂😂😂😂😂😂 Mbaya zaidi mke mtanga...
@shabanikamsawa424
@shabanikamsawa424 4 жыл бұрын
Olewa ww kama unamuonea wivu alie olewa
@jtlehhema
@jtlehhema 4 жыл бұрын
Huyu RC Mwanri ni kiongozi Mungu kamuumba vema kabisa.. Such a brilliant leader
@victorjames3730
@victorjames3730 5 жыл бұрын
Uyu mkuu wa mkoa Nampenda sana
@georgelucas8031
@georgelucas8031 4 жыл бұрын
Mungu amlinde Mkuu wa mkoa Aggrey
@bettarwazir9955
@bettarwazir9955 4 жыл бұрын
Nyooosha watu aooooo mwaka 2020 nakupa ulaisi
@zakstv7368
@zakstv7368 5 жыл бұрын
Nakula vichwa vitano hapa😁😁👍nampende sana huyu mzee
@emanuelseka7581
@emanuelseka7581 4 жыл бұрын
Inaumaa sana jamani amkeni watanzania weka ndani
@petermichael1297
@petermichael1297 Жыл бұрын
@innokirigiti
@innokirigiti 4 жыл бұрын
"Nakula nakula vichwa vya watu kama vitano ivo ile tuelewane hapa" 😀😀
@benedictmujuni2283
@benedictmujuni2283 4 жыл бұрын
Hiyo kauli ndio iliyonichekesha hadi machozi yakatoka
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 4 жыл бұрын
Vaeni element atakula vicjwa vya watu kama watano hv ili ku escape fanyeni kazi yake vizuri bjaaas
@selemanivanmkungu4637
@selemanivanmkungu4637 5 жыл бұрын
KAMA NA WW UMESIKIA MSALIKA ANAITWA LIKE
@abdulkillya2655
@abdulkillya2655 5 жыл бұрын
Kama hakuna mlango panakaaa panabaki kama cubicle 😂😂😂😂😂😂😂😂
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 3 жыл бұрын
Nimekumis mzee
@abdulmtitu7478
@abdulmtitu7478 5 жыл бұрын
Nakuelw xn mh RC hasa kwny hyo commanding voice,,pga kaz baba tupo nyuma yako
@ngederemkatamkaachuwakineg5239
@ngederemkatamkaachuwakineg5239 5 жыл бұрын
Nataman sana angekua mkuu wa mkoa wa singida
@mudikibari8111
@mudikibari8111 4 жыл бұрын
Natamani sana angekuwa mkuu wa mkoa wa dodoma
@nachatvonline2996
@nachatvonline2996 4 жыл бұрын
SITAKI KUSKIA MASWALI HAPA, ACHENI KWEREEE, SITAKI NGONJERA HAPA, NIKIJA HAPA NIKUTE MLANGO HAUPO MNAN'GOKA
@ccmmbweawajangwani3505
@ccmmbweawajangwani3505 4 жыл бұрын
Uyu mzee apewe uwaziri mungu abariki asimamie haki zaidi
@georgeerick3140
@georgeerick3140 4 жыл бұрын
Good, good!!!!yan tungepata watu kama hawa agrey mwanri na lengai sabay nchi hii ingefika mbali!!
@lasteckmmary9741
@lasteckmmary9741 4 жыл бұрын
Injinia kaa chonjoo
@favourmusic4692
@favourmusic4692 5 жыл бұрын
Daaah uyu mwanri ni jembe kweli kweli moja ya uteuzi bora wa mh rais ni huyu jamaa
@ancomagutanzania7068
@ancomagutanzania7068 4 жыл бұрын
MMETUVILINGISHA SIO DMO WELCOME TO THE WORLD IMEISHA IYOOOOOH
@christinasolomon8156
@christinasolomon8156 4 жыл бұрын
Binafc kabla uongoz wa MAGUFUL nilitamani sana awe WAZIRI MKUU hapo ndipo ingenoga sana coz namfuatilia sana tang akiwa N/WAZIR TAMISEMI.
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 11 ай бұрын
Huuuuu mlangoooo kwaninii hamjawekaaa Hapa😎
@shehemnazi127
@shehemnazi127 5 жыл бұрын
Nakukubari Sana,mkuuu.
@lazaronkanga409
@lazaronkanga409 5 жыл бұрын
DMO welcome to the world 😃😃😃😃
@baragatimaingu5623
@baragatimaingu5623 5 жыл бұрын
Hahaahha na ww umeinyaka kumbe😃
@OmanOman-sm6dv
@OmanOman-sm6dv 3 жыл бұрын
Bora ungekuwa raisi wew maana uwongozi huu hata siuwelewi
@sylvesterdominic5997
@sylvesterdominic5997 5 жыл бұрын
Number one✔👏
@kyaloronny5407
@kyaloronny5407 4 жыл бұрын
tarehe 15..wiki ijayo..wanachoooo
@allyshafi4391
@allyshafi4391 11 ай бұрын
injinia injinia injinia kaitwa mara tatu😅😅 na Mh Agrey Joshua Mwanri
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 4 жыл бұрын
Huwa nakupongeza Sana kazi zako
@ayoayoo1222
@ayoayoo1222 4 жыл бұрын
Mheshimiwa rais magufuli uyu rc mpeleke da er salaam alafu nyonda mwenye manano ya kanga mwenye kufanya kazi mitandaoni mtafutie sehemu nyengine uyu ndio anafaa dar
@gwakisakaswaga5249
@gwakisakaswaga5249 4 жыл бұрын
Hata mtuletee Makonda watano hatutaki ...tuachieni chuma chetu....endeleeni na kutafuta kiki nyie!!!
@DaudyEmanuely
@DaudyEmanuely 5 ай бұрын
Mkuu🙌🙌🙌
@kibekran10
@kibekran10 4 жыл бұрын
Kondoo wa kafara namba moja
@jonaslameck1563
@jonaslameck1563 4 жыл бұрын
Hizi ndio habari za kulusha na zilifaa zilushwe insta sana.cy habar za kiba na mond sijui pencel hovyooooooooo😀
@man.lule.585
@man.lule.585 4 жыл бұрын
Mkuu wape disprine hao wazembe wazembe wanaokula jasho lá Kodi zetu bila Kuwa na hofu ya Mungu.
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 5 ай бұрын
Yani ukisimama mbele ya huyu baba akikuuliza swali uwe na majibu ya kueleweka la sivyo😢😢😢😂😂😂😂
@danielyared4880
@danielyared4880 4 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wa Tanzania
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 5 жыл бұрын
eeeeeee usiniambieee...kamba zakoo hapa😂😂😂😂🙌
@polloz77
@polloz77 5 жыл бұрын
Huu si wakati kubembelezana fanya kazi kwa ajili ya maendeleo ya taifa Hapo safi sana Mkuu wa Mkoa kwa maana hawa watumishi wafanya kazi kwa mazoea lazima wabadilike waende na kasi ya CCM
@mohamedjimia3535
@mohamedjimia3535 5 жыл бұрын
baada ya magu agombee urais huyu 2025 aise inchi itakuwa kama USA
@antonyhope8031
@antonyhope8031 4 жыл бұрын
Engineer kashindwa kujibu maswali babu wa watu,hajui mwanri hadanganywi kwenye mambo aisee,babu rekebisha kabla hujatolewa kafara
@mchunguzitv8891
@mchunguzitv8891 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 mwanri agombee urais jamani
@nyamweririchard5945
@nyamweririchard5945 5 жыл бұрын
Hahaaaa,,Sasa kama hakuna mlango frame umeweka za Nini?? Hahaaaa,MB zangu zimeenda kiharali
@georgefaustini8890
@georgefaustini8890 5 жыл бұрын
Namtaman sana aje kilimanjaro
@mwarabutoleolamwisho7879
@mwarabutoleolamwisho7879 5 жыл бұрын
best of the best,waY to go...
@hawarassi5408
@hawarassi5408 4 жыл бұрын
Nakula vichwa vitano ndo tutaelewana vizuri mzee huyu shida😅😅😅
@jonaslameck1563
@jonaslameck1563 4 жыл бұрын
Nikija tena hapa nakula vichwa vya watu kama vi5 hivi hapa
@mohamedkassimu8789
@mohamedkassimu8789 4 жыл бұрын
Tanzania bila mwanri haiwezekani!!
@frankmandaya4141
@frankmandaya4141 4 жыл бұрын
Mzee magufuli hukukosea kumteua huyu mzee, tunaomba mlete shinyanga maana kuna madudu ya hatali huku
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 5 жыл бұрын
Huyu mkuu yupo vizur sana
@jaydon3361
@jaydon3361 5 жыл бұрын
Huyu jamaa anafaa kuwa headmaster wa shule niliosomea
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 4 жыл бұрын
Unamshusha hadhi
@fabiankyando1189
@fabiankyando1189 5 жыл бұрын
Piga kazi mkuu tunakuelewa sana
@samwelhechei8537
@samwelhechei8537 5 жыл бұрын
Frame za nini kama hakuna mlango?
@HappynessZengo
@HappynessZengo 3 ай бұрын
Ningekuwa nauwezo ninge mrudisha😂😂
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
YAANI I LOV MKUU WA MKOA WA TABORA , NO JOKE !!! , HIVI NDIYO TUTASOGEA , ASANTE SANA BABA NCHI ITASOGEA TU.
@shabanimwema7334
@shabanimwema7334 4 жыл бұрын
Hahahaha kondoo wa kafara namba moja engineer
@salimlaizer597
@salimlaizer597 4 жыл бұрын
Uwepo utaratibu ili awe mkuu wa mikoa yote Tanzania bara awatie dicsplien wote wanaolala
@christinamagogo28
@christinamagogo28 4 жыл бұрын
Nomaaa sana
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 4 жыл бұрын
Huyu jamaa nampenda sana
@wamasumoxulex5911
@wamasumoxulex5911 4 жыл бұрын
Akitoka Magufuli ni Zamu ya Mwanri hatumtaki yeyote kutoka CCM zaidi ya Mwanri
@HamiduChamboko
@HamiduChamboko 5 жыл бұрын
kitendo cha kutransfer hela from one place to another.ujue wizi ushafanyika
@claudsanga2129
@claudsanga2129 4 жыл бұрын
Sukuma ndani wote 😁😁😁
@stevenilevensoni2227
@stevenilevensoni2227 4 жыл бұрын
Minajuwa mwaka 2026 ua27majariwa raisi mwari waziri mkuu
@wazirikalingachannel6824
@wazirikalingachannel6824 4 жыл бұрын
hahhahah umepatia sana
@davidmalangahe4712
@davidmalangahe4712 4 жыл бұрын
Hivi viongozi kwa nini majukumu yenu mpaka msukumwe na viongozi wenu was juu? Rc mwanri chapakazi Tabora.
@SalmaSalma-qp3xf
@SalmaSalma-qp3xf 4 жыл бұрын
Mwendo wa kazi
@kasimulau2146
@kasimulau2146 4 жыл бұрын
ANGEKUWA MAKAMU WA RAIS HUYU! NCHI INGEKWENDA MBIO ZAIDI YA SASA
@musatv9456
@musatv9456 4 жыл бұрын
Nikikuta mlango haupo na wewe haupoooo
@veileronesmo9219
@veileronesmo9219 5 жыл бұрын
Tabora hakujawahi kupoa baba wa kichaga anawawek roho jujuuu
@elvirareonard2520
@elvirareonard2520 5 жыл бұрын
Hahaha😀😀😀😂😂 hatari
@nyamangatv2004
@nyamangatv2004 5 жыл бұрын
Haaaaaaaah hadi raha hz ndizo habari acha zile za penseli
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Haaaaaa nimecheka,kweli kabisa wasituzinguwe na penseli zao
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 5 жыл бұрын
Vifaa vya 37m hazina kazi?
@jebace
@jebace 5 жыл бұрын
hivi kwa nn watanzania wachache bado kufanya kitu mpaka mfuatiliwe lakini mshahara c mnalipwa tatizo ni nn
@alexkabeho5609
@alexkabeho5609 5 жыл бұрын
Ujumbe wako ni wa busala jamani nimetamani uwe wakwangu lakini message sent, these old people inafaa watoke makazi waachie vijaana. Maana engeneer anaweka frame bila mlango 😂😂😂
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 5 жыл бұрын
Jk umeona.😁😁😁
@godwinwilson3837
@godwinwilson3837 3 жыл бұрын
Kama mlango hamna fremu ya nini?
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 5 жыл бұрын
Magufuri ampe uwaziri wa madini yatasimamiwa vizuri sana na tutanufaika sana watz
@errydeo8865
@errydeo8865 5 жыл бұрын
waziri wa madini aliyepo ni makini saana,young and intelligent... huyu labda ,mambo ya ndani...
@eliamapunda4195
@eliamapunda4195 5 жыл бұрын
nikija nitakula vichwa vya watu km wa5 hivi
@kaundajonas7531
@kaundajonas7531 4 жыл бұрын
Nakuja hapa nakula vichwa vya watu Kama vitano hiv ndo tutaenda sawa
@shd12m55
@shd12m55 5 жыл бұрын
Sipati picha hiki chuma kingekuwa cha Dar
@hamisilitatilohunamaajabu7366
@hamisilitatilohunamaajabu7366 4 жыл бұрын
Njoo Moro uwanyoshe
@Moon-wf2ec
@Moon-wf2ec 5 жыл бұрын
Kwaupumbavu zangu🤣🤣🤣🤣🤣😂😂duuuheeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
@mannabu9333
@mannabu9333 5 жыл бұрын
Duuh yaan watu bado hawabadilik tu
@mjedengwapoizon8726
@mjedengwapoizon8726 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndiyo dawa yao hiyo
@hasheembishopgaulige4803
@hasheembishopgaulige4803 5 жыл бұрын
Huyu Mkuu wa mkoa nikichwa hataki ujinga ujinga
@saidkanjitvonline5927
@saidkanjitvonline5927 5 жыл бұрын
Kichwa cha kwanza ntakacho kula ni cha kwako
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 5 жыл бұрын
Yah baba hao walinunua vifas in access Kwa nini TAKUKURU MKO WAPI
@ramyboy518
@ramyboy518 4 жыл бұрын
I love this man he's the parson
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 33 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 41 МЛН
RC MWANRI ALIVYOMBANA INJINIA MPAKA KAMKATAA BOSI WAKE "
6:21
Millard Ayo
Рет қаралды 188 М.
"MZEE WA SUKUMA NDANI"  AJA NA MAPYA MBELE YA RAIS
4:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 55 М.
RC MWANRI TENA - "Fukuza kazi wote, Weka Kwenye Lori Sukuma Ndani"
7:13
Global TV Online
Рет қаралды 251 М.
RC Mwanri Amvunja Mbavu Waziri Mkuu "Nchi inakata roho"
19:33
Global TV Online
Рет қаралды 1 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН