Рет қаралды 255,580
RC MWANRI Aaagiza Kumsimamisha Kazi Afisa Ushirika
Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameagiza Mamlaka za kinidhamu kuwasimamisha kazi baadhi ya watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Uyui wanaosimamia Sekta ya Kilimo na ushirika kwa kushindwa kutekeleza baadhi ya majukumu yao ikiwemo kuwaacha wakulima waendeshe kilimo cha Pamba pasipo kufuata kanuni za kilimo cha zao hilo.
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitte GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.co....