mmmh uyu mweshimiwa mwakyembe ni Mjanja sana. kushindana nae kimazungumzo inakubidi uwe makini sana. hakawii kukutoa nje ya mstari ndani ya sekunde moja.
@johnmunga18577 жыл бұрын
nilipotez iman yng 2015 baada kuckia lowasa anagombnia urais kupitia ukawa( chadema) hapo ndio nilipo amin kuwa dunian kuna watu wanafk sana na wa uwaji...tangu ile cku na maisha yangu ctK kuja kupga kura tena
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
John Munga wew unampinga lowassa kwaufisad lkn apoapo unaiunga mkono kijani ilioikausha nch kwaufisad miaka 53 siulofa uwo ccm haisafishiki kwa kivuli chalowasa
@johnmunga18577 жыл бұрын
+Said poleni kwa msba Kinidi kuna comment gan nimeunga mkono kijan mm cyo mpiga kura tena maana sias za bongo unafk...cyo wakin lissu walio kuwa wana mponda lowasa cyo mboe alikuwa ana mpnga lowasa cyo lema, mnyika, halima mdee na wengn walio kuwa wana mpinga lowasa waache hapo ndio ni napo sema wote wale wale
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
John Munga pinga ufisad waccm wamiaka 53 nchi haiendi kwaufisad wao usishabikie bumba namaugizo ya vongoz waccm yakweli wameyakalia kimyaa
@hamisimwinyimussa75447 жыл бұрын
chadema no comments tanzagiza no comments why?hii ndio Tanzania ya wanafki leo siwaoni hapa mkitukana.
@joycemashikolo90967 жыл бұрын
Hamisi Mwinyimussa hahahaaa umeona eeh
@hamisimwinyimussa75447 жыл бұрын
Nahimana joyce yani hawa jamaa hawapendi ukweli wanapenda kukurupuka kwa mambo yakijinga sasa hapa waseme Lowasa aliitia Tanzania hasara ya kiasi gani ,leo wanasema anafaa kua raisi.wanachekesha Sana.
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Hamisi Mwinyimussa hamna kitu apo pumba ccm wameifisd nch kwamiaka 53 kwaufisad leo mnataka kujisaficha kwa mgongo walowasa aendelee nakes alioiyach nape asilete pumba zake zakisiasa
@hamisimwinyimussa75447 жыл бұрын
Said poleni kwa msba Kinidi sawa ila ukweli utabaki ukweli jamani.tuache kushabikia tu panapo ukweli basi pawe na ukweli.
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Hamisi Mwinyimussa Mim nakushangaa wew unaeunga mkono ccm walioifisid nch kwa miaka 53 leo wanataka jisafisha kwa lowass 1kwaza ikatae iyi ccm kwaufisad wao walio ufanya
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
safi mwakyembe nimekuelewa fisadi yule yule eti leo anafaa huhuhuhuh kabali wanayo maamae chezea mwakyembe wew
@mwajumasaidimwajumasaidi41627 жыл бұрын
Hassanova junior haha haha. wazri❓
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Hassanova junior Fisad 1 nahao 100 walioko kijani bora wep hawezi kuisafish kijani ilio ikausha nchi miaka 53 kwaufisad leo wanatka kujificha kwa kivuli chalowasa hatudanganyiki
@fazeelshomary87437 жыл бұрын
points
@solomonmwisala1577 жыл бұрын
makufuli siwezi kumpa kura yangu 2020
@christophermahawi98067 жыл бұрын
Hekooo!!! hao vidume wanaolelewa na Lowasa wapoo! waambie hao ndio watanzagiza iko siku tutawafukuza na wasanii wao wachochezi wakaishi Congo tushawachoka.
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Christopher Mahawi hahahah wamekaa
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Christopher Mahawi Hamna kitu apo fisad 1 alieoko upizan nahao 100 walioko kijani borawep wameifsd nch miaka 53 haiyendelei leo mnatka kujificha kwa kivuli chalowasa mtadangnywa nyny tu mnaopewa flana nakofia bas
@sulaimsameer26687 жыл бұрын
Usifanye kosa 2020 pombe sio chai Team lowasa..Richmond is nothng is something imetengenezwa nthng is called richmond
@YamunguYb7 жыл бұрын
Mwakyembe pasua baba hawa wahuni tu tena hovyo kabisa fisadi Lowassa
@FredymaswiMwita-oj6gv9 ай бұрын
😢
@dvjtwentyfivedecember43987 жыл бұрын
yani mtu anaingia na chupa ya pombe bungeni!! halafu ndio tuwape nchi hawa watu jamani!!! hapana mimi kura yangu kwa magufuli 2020
@abrahamchimbuli46947 жыл бұрын
prophet shepard bushiri
@masoudseif81607 жыл бұрын
Dvjtwentyfive December ok
@beatuchillu68137 жыл бұрын
toa uongo kuma ww ulimuona na iyo chupa mbwa ww sijui December
@sulaimsameer26687 жыл бұрын
Bashitee ww huna lolote
@shabanaman46607 жыл бұрын
hujitambui
@bobramaso8257 жыл бұрын
Liibuliwe Tena Sakata La RichMond Sio Wabunge Wanakula Kodi Zetu Tu..
@venancebasil46567 жыл бұрын
mwakembe anaakili sana...ila anavyoitumia sasa
@edsonsign94417 жыл бұрын
acheni ushabiki! huo ndy ukweli wenyewe, Lowasa mlimtukana sana leo mnakata kumsafisha, hasafishiki mlishamchafua.
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Edson Sign Na ccm haisafishiki kwaufisad nampk leo wanalindana kwamaovu naufisad miaka 53 nchi inarasilimali haendelei kwa ufisad wakijani
@vedastodunstan69257 жыл бұрын
Millard Ayo, kwanini Miongozo na Taarifa au habari ya Nassari umeikata lakini majibu umeyaacha? Umeanza kutumika vibaya aisee. Hii habari haijabalance.
@ngakisaliharuni13737 жыл бұрын
Mi nampongeza Wilbrod Slaa kwani alikuwa mkweli na akasimamia ukweli
@florameza95297 жыл бұрын
ccm wanafiki sana mbona enzi za rowasa hukusema?
@christophermahawi98067 жыл бұрын
Flora Meza hakuanza yeye ni hao wanaotaka kugeuza kinyesi kiwe ugali,kwa nini ukawa walimpokea Lowasa ambae wao ndio walimlaani kwa ufisadi, je leo iweje wanaaza kumsafisha? so hao ndio wanafik.
@edsonsign94417 жыл бұрын
angesema nn?
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Christopher Mahawi kambi kuu yaufisad niccm nahawezi kjisafisha naufisad wao wamiaka 53 nch haindelei kwaufisad wao amalizie kes yauvamiz hakuna kulindana hatutk pumba zake
@christophermahawi98067 жыл бұрын
Said poleni kwa msba Kinidi sasa mbona wapinzani wanatuangusha kwa kuwapokea mafisadi kutoka ccm? wapinzani na ccm ni sawa tu.
@tkahwili7 жыл бұрын
Hahahahahaha! Dr. Mwakyembe (PhD) kawapa jamaa za uso kama Chid Benz kabla hajawa teja yaani ''...Mikono vululu yaani papapapapapapapapa, WAMEKAA''
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Theo wamekaa hahahah
@tkahwili7 жыл бұрын
Hahahahahaha!! hatari sana. Unajua haya mambo watu wanayapeleka sana kishabiki kuliko reality.
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Theo Fisad 1 aliekuwepo upinzni nahao100 waliopo kijani bora wep musijifiche ufisad wenu kwa kuvuli chalowasa nchi nitajr lkn haiend kwa ufisad wa kijani
@uniquereazon677 жыл бұрын
angeingia na chupa ange tapikia rangi zetu za taifa
@dottomondo1927 жыл бұрын
Uyo mwakyembe hajielewi kabisa dakika 10 point 1 anazungukaaaa,mbona amepanic sana mawazir wa inji hii bana..B-)
@honestbalilo95197 жыл бұрын
Mwakiembe nafikiri anajiongelea mwenyewe kuhusu konyagi aliyokamatwa nayo wala sio Nasari! The man looks drunk and scared while talking
@joycegodfrey41666 жыл бұрын
saf mh mwakyembe
@charlesmagere90207 жыл бұрын
lowasa ndyo fisadi mkuu na papa tzania.... hii ni kauli ya mbowe na mnyika na ushahidi wanao
@steveprosper40844 жыл бұрын
Baba umri unaenda sahizi upo kwenye uzee sasa hekima umeamua kuipoteza mwenyewe
@samwelindabukakiye62507 жыл бұрын
nishidaaa,makonda akiwajia juu wanalalamika,then wanataka tuwape kura,wapi na wapi,
@JosephDesideri7 жыл бұрын
Public Interest?
@dismassilay95967 жыл бұрын
hawa jamaa waache kutuchanganya Jana mwiz Leo so mwiz asafishwe kwa ssabun gan? labda 2020
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Dismas Silay wanatuchanganya sana
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Dismas Silay Nao ccm ndokabisa hawasfishiki kwaufisad wamiaka 53 nchi inarasilimali lkn haiendelei nampk leo watu wanapiga dili zaufisad ccm haiwez kujisafisha kwa kivuli chalowas
@lukassebastian2637 жыл бұрын
Lissu asipokuwepo bungeni Mwakyembe huwa anaongea sana, kweli paka akiondoka panya hutawala. Mwakyembe kamezwa na itikadi sio tena msomi huru.....
@edsonsign94417 жыл бұрын
kwa lisu ana nn cha kumzidi mwakyembe? huo ni uelewa tu. hata angekuwepo angefanya nn? kwanza muwe mnajiuliza Lowassa wakati anatuhumiwa alikuwa chama gan? na nyinyi mlisemaje? leo mnataka kumsafisha cyo rahisi.
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Edson Sign Mzizi mkuu kwa ufisad ni ccm ikatae iyo tumefika apo tulipo kwaufisad wa kijani miak 53 lkn leo unaishabikia siulofa uwo kataa yote km umkweli
@YamunguYb7 жыл бұрын
lucas sebastian lisu boya tu yeye nani mmeambiwa pelekeni Bungeni tena muone moto wake lowassa hasafishiki
@beatuchillu68137 жыл бұрын
mwakyembe hajielewi n wale wanasheria hewa
@mnyembzeskipper48397 жыл бұрын
Ww ni boya
@mussamussamussa84447 жыл бұрын
😂😂😂 fisadi kawa mgombea uras , hao wapinzani hakili zao finyu hata 2020 wataendelea tu kusubiri na ma pombe mpaka bungeni, hawana mtu wanae huyo huyo fisadi na kwa huyo nafasi ya ikulu msitegemee
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Sharifs Mussa hahahahah mwakyembe amewakalisha
@mwajumasaidimwajumasaidi41627 жыл бұрын
Sharifs Mussa 🙀 🙉🙉
@umrahmaissa77247 жыл бұрын
Hassanova junior . hawa Jamaa wamekamatwa pabaya, hawana hoja sasa hv, wanakurupuka tuu kila siku.. watz tumefunguka tumeshawaelewa.....watakaaa sana.
Sharifs Mussa fisad 1 alieko upizani naelf 1000 walioko kijani bora wepi ? nachi hii imefika apo ilipo kwa ufisad wa ccm miaka 53 sasa mnataka kijicha kwa kivuli cha lowassa
@burtonsatshop20617 жыл бұрын
Nassari hajapinga ina maana aliingia na pombe.....hawajamaa bhana eti wanataka nchi 😄😃😃😄😄😅😅😅
hiv inakuwaje? mtu ametuhumiwa kwa wizi na akajiuzuru inakuwaje waandishi feki mnamwita mtu waziri mkuu mstaahafu? huyu mtu alistafia wap? na kama kweli hadi leo kama serikali inaendelea kumpa stahiki za uwaziri mkuu mstahafu hakika ni kosa la kisheri. mtu huyu alituhumiwa akajiuzuru na hao hao wapinzani ndy waliolikalia kidedea lowasa ajiuzuru leo inakuwaje leo wanahangaika kumsafisha. pumba kabisa Nasar Chapombe.
@stewardheaven83827 жыл бұрын
Edson Sign basi jiite wewe na badili katiba na mshahara na allowance zake kama waziri mkuu mstaafu uchukue wewe.Elimu yako ndo kikwazo chako unajua kuna ainavngapi za kukoma utumishi wa umma?? je unajua kuna aina ngapi rasmi za wastaafu serikalini???
@burtonsatshop20617 жыл бұрын
Lowasa ni zaidi ya fisadi ni jambazist hilo linaeleweka
@stewardheaven83827 жыл бұрын
Burton Jorde una ushahidi majambazi ndo haya yaliyopitisha mikataba mibovu ya madini,sasa yanatuletea miswada ya dharura na makinikia.majambazi ni walioanzisha mahakama ya mafisadi na mpaka Leo hawajamshitaki Lowassa.Kama kweli lowassa jambazi wamshtaki huko mahakamani ndo tutajua jambazi nani na kibaka nani
@ramadhanibrahim76197 жыл бұрын
Mbona amkumpeleka Mahakamani km ushahidi upo?Mnatuchanganya tu viongozi wetu
@josephjulius33737 жыл бұрын
nikishiba basi haya mambo ya siasa watajuana wao fanya yako utasumbuka bure kufuatilia siasa
@hamissrajabu67307 жыл бұрын
onamambo ya mbowe ccm walikata ww ukamsafisha jamaa kasema yuko Tatar kuomba apumzishwe na rais ashugulikie hela zetu na kwautawala huu sjui itakueaje yani MTU atatamani kuishi kongo
@MassayOnline7 жыл бұрын
Hamiss Rajabu mahakama ya mafisadi iliyoanzishwa kazi yake nini?
@salimmasatu76377 жыл бұрын
we mwakiembe hauna jipya kz yako ni kutapatapa tu cku hz .
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Salim Masatu ukweli unauma kumanyoko
@mwanahamisrashid77877 жыл бұрын
kwani wakati aiba alikuwa upinzani?Alikuwa ccm na mkamkumbatia
@duuudaud38167 жыл бұрын
kalale mbeleee mfyuuuuu. unatetea tumbo lako mfyuuuuuuuuuuu
@mathiaslisu11457 жыл бұрын
pumba tupuuuuu ulishindwa nini ukiwa mwenyekiti eti umesoma sheria
@edsonsign94417 жыл бұрын
pumba zinatoka wapi? au kwa kuwa unaitwa lissu? huo ndy ukweli achen ushabiki wa kijinga, mlimsuta sana Lowasa leo mtaweza kumsafisha?
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Edson Sign hapana ukweli apo mengi wmeyakalia nchi wameifisid miaka 53 kwaufisad leo wanatka kujificha kupitia lowasa ccm haisafishiki kwa ivoo atupe ripot yauvamizi au atasubir mpk makonda atoke ccm huu niunafk sana
@salmaothman1536 жыл бұрын
huyo ndo mwakyembe pasua kichwa
@kayayooisaac41287 жыл бұрын
Njaa haina msomi
@ngometvarusha40307 жыл бұрын
wewe mwenyewe juzi tu umesema kuhusu swala!la Mkuu mkoa wa dar kwamba haja hojiwi.
@shabanimtua84867 жыл бұрын
Mbona wewe kwa bashite unasema hiyo ripoti ya haikuwa na ulingani,kuwa ni ya upande mmoja,wewe kwa lowasa hata kama ilikuwa na ushahidi mbona hukumuhoji? ugonjwa uliokuwa unaumwa uliingia akilini?
@shabanimtua84867 жыл бұрын
usitishe watu
@experymassawe61107 жыл бұрын
MZEE mbona anapanik? afu makofi ndo yanayo MPA mzuka ama? we are tired of this,khaaa
@marcelngusa29227 жыл бұрын
watanzania c wajinga tunafahamu sana siasa leo hii mnataka lowasa asafishwe huyo huyo fisadi karudi chadema kawa mzr achani ubovu ,afu Nasari ataingiaje amelewa kuchukua hii nchi bado sn mlimfukuza zitto mtasubili sana ndo maana mnamchukia magufuli kumbe ni wanafiki wakubwa ,watanzania co wehu achani mchezo wen
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Marcel Ngusa Izo nipumba tu ufisadi apo niccm miaka 53 nchi haiendelei kwaufisad wao mnatka kujificha kwalowasa kwakua kaja upinzan hamsafishiki
@saidpolenikwamsbakinidi62327 жыл бұрын
Marcel Ngusa ccm haisafiki hata useme vip wao ndio walio ifikisha nchi apo ilipo kwaufisad wamiaka 53 ndiomana hampt rizaa zawananch zanzbr natanganyika
@shabanhanti40507 жыл бұрын
Marcel Ngusa maendeleo gani unataka ww wakati ndege hamtaki reli hamtaki daraja la kigamboni, kutumbuliwa mafisadi hamtaki, hostel chuo udsm hamtaki. sera ya chama mmeitupa ya kupambana na ufisadi
@abdullyibonko76587 жыл бұрын
huyo mwakyembe na zoba tu kama haikuwa nahaja yavkumuhoji lowassa kwann wanataka kumuhoji bashiteeee?? na wakati ushahidi upo kumbaaaaav
@florameza95297 жыл бұрын
mwakyembe ni kweli? kaingia na pombe?
@winifridamungure89867 жыл бұрын
huna jipya upo upo tu. unatafuta umaarufu huna lolote
@ndakamasabini80716 жыл бұрын
Wizara ilipata mwenyewe na wengine wanapokurupuka tu kuleta hoja za kujipendekeza kwa waliowatuma wataibika Hongera Mh Mwakyembe na una full confidence kwa sababu una uhakika na unachokisema
@hassanmohdallyally95527 жыл бұрын
mm sijamwelewaa muheshimiwa kabisaa sijajuaa anaongea nn naona watu wanajazibaa
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Hassan Mohd Ally Ally utaelewaje na unyumbu umekujaa
@mussashabani33457 жыл бұрын
loasa alikua ccm nakafanya ufisandi akiwa ccm nakawambia kama kunamtu mwenyeushahidi anipeleke mahakamani kunaaliyetokea acheni kutuchanganya
@malickmakatta60897 жыл бұрын
Hassan Mohd Ally Ally huwezi kujua kwa sababu ya uelewa wako mdogo