Naona baadhi ya wabunge wanachukua notes, aliyeona kama mimi gonga like chini, Prof. Kabudi hongera sana kwa nondo hizo you are full of knowledge, skill and power.
@selinamashoko24906 жыл бұрын
Sheria ndo Msingi wa Utawala na Mamlaka yoyote hapa duniani,hongera sana mh.Prof.Kabudi kwa somo safi sana...ubarikiwe!
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
Nilifurahi ulipoteuliwa, Chapa kazi, toa somo wataelewa tu. safiiiiiiiiii sanas.
@janmsekela7 жыл бұрын
Asante sana Prof. Kabudi
@IsaacJavan7 жыл бұрын
Amazing! Amazing!
@mamahustru7 жыл бұрын
Mbona TUNDU LISSU kakimbia darasa leo? Angepata somo la kumfaa kwenye kelele zake. Safi sana Prof.Kabudi.
@georgemassebu20836 жыл бұрын
Mtu kama huyu ndiyo unapoona kuna watu wanaijua sheria yenye tija.badala ya wale wanaotumia sheria kupalaza palaza tu kutafuta sifa za kisiasa (Tundu Lisu).Kabudi ni bingwa aisee.nampa big up sana huyu mzee
@elisantewawa30477 жыл бұрын
hichi kichwa Mungu kilindi kiishi maisha marefuuuuuu
@adinanjuma24577 жыл бұрын
Wabongo tuna-brains nzuri sana....Duuuuuh!
@margarethsolomon98237 жыл бұрын
Uko vizuri wape somo. Wasituchanganye, lawama kila siku.
@adamnjovu12837 жыл бұрын
Hongera Baba kwa somo maana watu wengi hatujui sheria na umuhimu wake
@muhinazuberi10297 жыл бұрын
Adam Njovu
@onesmojeremia97137 жыл бұрын
Prof ,nimekukubali sana duh,!!
@omarjumanne44717 жыл бұрын
Onesmo Jeremia umamaliza kuwa mkweri safi Sana
@hindisaidi50977 жыл бұрын
ahsante, vyama ruzuku vimepata darasa zuuuri.
@mohamedliwassa22086 жыл бұрын
Nakuelewa sana professor paramagamba kabudi kuliko yule mwenzio wa mwanzo
@godfreyruta55105 жыл бұрын
Mh Kabudi pambaneni tumechelewesha sana na wanasheria walikuwa hawataki kwenda kutenda matendo ya harali kwa taifa lao tena mbaya zaidi wanakuwa (malayamalaya)
@EcoEssence_wellness7 жыл бұрын
He's transformed me....
@mamahustru7 жыл бұрын
Safi kaka. Wapinzani walizidi kudanganya watoto. Na naona Lissu kakimbia somo, alitaiwa awepo asikilize kwa maini.
Moyosafi Tundu yupo anatikisa kichwa tuuu....nimempenda Raisi wetu kutuwekea watu wanaoelewa. Hii itapunguza sela za watu waliotaka kutupotosha.
@mamahustru7 жыл бұрын
Kweli nilioa Tundu alipoingia, alikuwa hayupo mwanzoi Yaani Prof Kabudi natamani nimnunulie soda. Sasa sijui UKAWA utakuwa umoja wa nini. Maana kawapa somo kwanini waingereza walituandikia sie katiba wakati wao hawana. PATAMU HAPO. Maana wasmi aina ya Akina LISSU walikariri tu darasani, sasa inabidi waanze kutafakari waliyo yasomaga.
@simonmadiba20533 жыл бұрын
Professor kabudi ni balaa
@nyarukamoramadhani73177 жыл бұрын
Nchi hii inahitaji watu wa aina yako, congulaturation our president.
@andersonmartins76747 жыл бұрын
"don't dare me! " thank you professor Kabudi. "we spoke when the law was the law and when the president was president " Haaa asante professor
@sdawalokole94897 жыл бұрын
we spoke when the law was law and when the president was president............kabudi raha
@modernfarming59387 жыл бұрын
Tigahwa Mugongo tundulisu hapa kapata mkali wake
@mamahustru7 жыл бұрын
Umeona ehh. Na Tundu kakimbia somo
@nicholausrutayuga58657 жыл бұрын
Vicent Paul Nadhani huyu wataendana na Tundu, kwani Tundu anaumizwa sana na wasioelewa sheria na historia vizuri. Mambo yakieleweka kwa wote tutafika mbali
@bigdad18167 жыл бұрын
Huyu ndio professor aliyebobea katika sheria Leo amewapa full dose ya kweli kabisa na lissu amejifunza Leo na kelele zake Professor nyinyi ndio mnaotakiwa kufanya Kazi Raising big up big up
@mamahustru7 жыл бұрын
Yaani Prof Kabudi natamani nimnunulie soda. Sasa sijui UKAWA utakuwa umoja wa nini. Maana kawapa somo kwanini waingereza walituandikia sie katiba wakati wao hawana. PATAMU HAPO. Maana wasomi aina ya Akina LISSU walikariri tu darasani, sasa inabidi waanze kutafakari waliyo yasomaga.
@johnmangombe80193 жыл бұрын
Moja ya mawaziri bora kabisa kutokea tz
@WardahEssential-ub4tk Жыл бұрын
Baaaado sijaona tanzania hii profesa kama kabudi wengine wote kanyanga
@faboge5 жыл бұрын
Schooling the damaged Kenyan System! Totally sweet!
@mussamussamussa84447 жыл бұрын
Wafundishe muheshiwa maana kuna Watu wanajitia midomo sana wape somo wana kuelewa muheshiwa
@davidlauliankitinya30357 жыл бұрын
nmependa sana perception yako honorable mp(minister) your enough minister on that position
@adamukalinga8477 жыл бұрын
SAFI PROF NIMEKUKUBALI
@selestinokidua8847 жыл бұрын
ulikuwa wapi kipindi chote ...kweli tanzania ina hazina nzuri sana ya viongozi
@mamahustru7 жыл бұрын
Umeona eeh. Yaani Magufuli ndo amenifanya nitambue kuwa Tanzania ina vichwa vingi. Kikwete alikuwa wa ajabu sana, uongozi wa serikali hakuweza na maoni ya wasomi alikuwa hasikilizi. Labda inabidi Uwe kichwa kutambua vichwa wenzio.
Imebidi nikusikilize tena na tena Prof.Kabudi kwa kutoa Elimu maridhawa.Wape somo hao waliopata 'PASS' ktk shahada zao za sheria.
@franciscomohamedjumanne11367 жыл бұрын
Noma sana
@monyijosephnyamarasa86407 жыл бұрын
hawa ndio mawaziri tunao wataka wakweri, uwazi, na uzarendo pia, RAIS watafute Kama hao wasaidie taifa hili nina hakina tutafika pazuri
@harounali16267 жыл бұрын
kumbe wasomi wapo CCM lakini waliwekwa kando kwa saba za kisiasa tu kwani mwana siasa hapendi wasomi kwa kuzani unaweza kumpiku kwa kutumia elimu yako. Watanzania wanajuwa umuhimu wa katiba nasheria, lakini viongozi wetu ndio wenye kuikiuka katiba na kuikanyaga sheria. sasa kwa waziri huyu Lisu ajipange kwa hoja vizuri.
@abeidmayanga8097 жыл бұрын
daaaah amakweli viatu vimepata mvaaji aseee
@zeelamipango7 жыл бұрын
Tumekuelewa mzee kwa fikra za haraka haraka unastahili kuwa ulipo
@abdulrahmanhassan92544 жыл бұрын
Kama mtu hana uwezo wa kujielezee anasauriwa awe akipendelea kuwasikiliza viongozi kama hawa pole pole na yeye uwezo wake wa kujielezea utaongezeka na kujiamini
@juniorjotham15247 жыл бұрын
duh aisee professor pitia Kwa mango unywe soda ntalipia
@mamahustru7 жыл бұрын
HUYU Prof. amenifanya nikubali wanaotaka kutenganisha uwaziri na ubunge. Kuwa mawaziri sio lazima wawe wabunge, ili raisi aweze kuchagua yeyote yule anayefaa kuwa waziri. Nawazia umahiri wa huyu Prof., Prof. Mbarawa, Prof. Ndalichako, na Dr.Mpango. Kuna vichwa vingapi huko kitaa ambavyo havitaki michezo michafu ya siasa za majimbo, lakini wangeweza kuwa hazina na msaada mkubwa katika kuhudumia wananchi kwa kuongoza wizara?
@yusuflittanda29497 жыл бұрын
upo sawa mawazo yako yameshabihiana na yangu. Inshaallah
@josephkyomo82357 жыл бұрын
bonge moja la waziri
@cheupemwanga33263 жыл бұрын
Nice
@frankmusa80811 ай бұрын
Taarifa mmeshimiwa spika haha jarib
@gidionseleman73185 жыл бұрын
Nani anaangalia na kusikiliza haya maneno yanayofaa kwa kila kipande mwaka 2019, maana sichoki kusikiliza...🤔🤔
@angelo3841426 жыл бұрын
Alitabiri uondokaji wa ZUMA kwa mujibu wa kanuni za Chama huko SA
@swidickbatenga77147 жыл бұрын
wasomi tunao wengi lakini hawaonekani mpaka wapitie kwenye siasa
@mohammedsalim63986 жыл бұрын
Swidick Batenga hatA ukiwateua wengí si wazalendo wanapenda masifa tu
@mohammedsalim63986 жыл бұрын
Wabunge wengi wa upinzani wanapungukiwa busara. Aidha Nadhani wanaamini mawazo yao na chama chao ndio yA maana kuliko wenzao,au wamechoka kuongozwa? hivyo hujenga dharau. Wazo lao hatA kama ni bovu wanaliona sawa hili ni tatizo la bunge letu
@mohammedsalim63986 жыл бұрын
Hawataki hatA kusoma Hao Vi digrii vyao kimoja kimoja cha sheria? Vimewalevya ndio maana wakishindwa tu ubunge wanachanganyikiwa ?sheria ni kusoma? Kichwa kimejaa Siasa lazima mambo yawe magumu kwao. Asante kabudi baelezee
@godfreyruta55105 жыл бұрын
Mmepewa nafasi na dhamana kubwa nanyi si kuliko watu wote hepukeni mikono isije ikanuka damu za wanadamu nyinyi mwajuwa uzao wenu mnaoishi nao tz makandokando yapo yatatue AMANI ITAWALE
@DeusNchembah7 жыл бұрын
Droit sous les intérêts du président
@othumanlorenzo2606 жыл бұрын
Prof Paramaganda kabudi hatari sana
@sebastiansalamba82367 жыл бұрын
Kweli Rais Magufuli no jembe maana alimuona huyu
@adrianmnzava96157 жыл бұрын
PROF,HONGERA
@dianam11616 жыл бұрын
Safi sana Muheshimiwa kwa madini juu ya nchi yetu especially in law
@DeusNchembah7 жыл бұрын
Paramagamba Kabubudi ist jetzt ein nicht neutraler Anwalt
@sospetermgeta68227 жыл бұрын
Prof. kama huyu ndio wanaositahili katika nchi maana cheo chake kinasadifu ufahamu wake katika nafasi na anaitendea haki elimu yake
@hakeemmalick76633 жыл бұрын
Prof kabuni ni jembe kali inafaa àwe Raisi ajae anaweza hazi anayo
@mamahustru7 жыл бұрын
Jamani kwanini Global wamemkta patamu hivyo? Nilitaka kusikia maoni yake kwenye matumizi ya neno MHESHIMIWA. Maana mheshimiwa anatukana na kurusha ngumi mjengoni? Wananchi wake waimshangilia mubashara?
@ayubudaniel45097 жыл бұрын
Hakuna mtu mbaya kama huyu nchi hii na huyu ndiye anayemshauri rais lkn anaroho mbaya kama nini...
@isayalaizerhunaloloteccmnd40275 жыл бұрын
Ayubu Daniel huna akili kweli kabudi aliyetetea makenikia yetu na kugundua tunaibiwa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni