MJENGO WA CHRISTIAN BELLA NOMA ADAI MSINGI TU MILIONI 100 KATUONESHA MPAKA NDANI

  Рет қаралды 165,267

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 277
@selemanidugilo4381
@selemanidugilo4381 3 жыл бұрын
Nyumba Kali sanaaa ramani imetuliaaaaaa sana Sana nimependa jikoni na apo dining Yan dahh salute Bella nimenyosha mikono
@rashidmziray6532
@rashidmziray6532 4 жыл бұрын
vitu vya thamani kama hivyo ni muhimu supervisor awepo wa kukupa moyo kulingana hela yako nyingi uliyotumia, na kama unavyoona nyumba haijakamilika lazima mtu wa namna hiyo awepo kukupa headline za project yako inapoelekea... mtu kama huyo kijana ni muhimu katika project kubwa kubwa kama hizo na inamlazimu ajiamini na kazi yake anayofanya tatizo waswahili hatukosi cha kuongea tunapoona jambo jipya mbeleyetu... hakuna asiyependa vitu vizuri chamsingi mm nampongeza Christian bella kwa hatua kubwa aliyopiga big up sana Bro.
@kennedyjohn6788
@kennedyjohn6788 4 жыл бұрын
Tatizo sio pesa mradi kitu kinaeleweka nasem hongera sana sana umejihidi kijana
@nourumouniry7120
@nourumouniry7120 4 жыл бұрын
Msingi tuuuu million 100 nyumba ngapi hizo za kawaida daaah dunia ingekua dala dala nienda hadi kwa mungu kumuuliza
@maryjonh311
@maryjonh311 4 жыл бұрын
Tusio na mijengo tutakoma mbona
@fatmaaly3056
@fatmaaly3056 4 жыл бұрын
Astahafiru allah allah ahitaji kuulizwa dunian ataenda kutujibu akhera
@mekindossi5321
@mekindossi5321 4 жыл бұрын
Ina 100milioni test KUJENGA
@elymollel
@elymollel 4 жыл бұрын
Huamini ?
@oxtinho159
@oxtinho159 4 жыл бұрын
Nduguu msingi wa horofa 100 unafikaa
@brysonnicholaus5369
@brysonnicholaus5369 4 жыл бұрын
Naona wengine wanasema issue ya uraia,has long as amefuata sheria,sio issue,na tayari amekaa sanq tz,pia ni vizuri,hela yake kutumia hapa tz, kwanza ana sifa zote kuwa raia,mbona kuna wa tz wengi tu wamejenga lumbumbashi,
@luganoesomu5301
@luganoesomu5301 4 жыл бұрын
Wamuulize AY alijenga marekani na Diamond aliejenga south Africa Akawe ndo mkongo ndugu kabisa hawa!!
@yessecharles3155
@yessecharles3155 3 жыл бұрын
Christian bella alipewa uraia na kikwete
@Raphadebluz
@Raphadebluz 4 жыл бұрын
Ayoo tv na millardayo.com Kutoka KARATU Arusha ,,,, Rapha de bluez nawasoma vizuri Sana karibuni huku pia Kuna washkaji wanadondosha mijengo laana Nawasoma fresh watu wa nguvu.
@samsonhaule5422
@samsonhaule5422 3 жыл бұрын
Wa Congo Wana Enjoi sana, kwenye Nchi yetu, Wala hatuwa bagui.
@samanyaswai6272
@samanyaswai6272 3 жыл бұрын
Ila Nenda Kwao Uone
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 4 жыл бұрын
Aya Ni Vyema Kuwa Na Majumba Mazuri Magari Mazuri Lakini Tusisahau Maisha Baada Ya Kifo Ni Vyema Tukawekeza Sana Huko Kuliko Hapa Duniani Kwa Haya Yote Tutayaacha 🙏🙏🙏
@agapemunyi839
@agapemunyi839 4 жыл бұрын
Familia
@hallin9561
@hallin9561 3 жыл бұрын
Tafuta pesa ndugu,, kifo kipo tu ata ng'ombe watakufa,, hakuna tabu inayotesa kama umasikini na malazi,, tafuta pesa usiwe mtumwa wa iman
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 3 жыл бұрын
Moyo wa mtu na Mungu ndo pekee vinavyojua hatima yako unamsemea mwenzio hujui moyo wake na Mungu wake
@dennismrutu7824
@dennismrutu7824 3 жыл бұрын
@@hallin9561 😂😂😂😂
@hmytechnologieslimited4908
@hmytechnologieslimited4908 4 жыл бұрын
Mpambe yuko sawa kuliko mwenye nyumba
@eliudwiston4206
@eliudwiston4206 4 жыл бұрын
umeonaaa anasema wiki mbili tayari itakuwa imeisha ila sioni hiyo nguvu full udubwasha
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😆😆😆😆
@suhailaali4175
@suhailaali4175 4 жыл бұрын
Ndo kawaida ya mpambe , ana nguvuu
@mcrithawaukweli4885
@mcrithawaukweli4885 4 жыл бұрын
Kumbe na wewe umeliona hilo 😀😀
@rahimmohamed9379
@rahimmohamed9379 4 жыл бұрын
Huyo ni boksi kichwani alikuwa shemeji yake dada yake kaachwa na Bella yeye bado anavuta ndumu kwa shemeji
@rademm8924
@rademm8924 4 жыл бұрын
Naona sasa wamehamia kutambishiana mijengo. Tumsubiri mkaguzi wa hati Hbaba azikague
@henryjohn4781
@henryjohn4781 3 жыл бұрын
Ni baada ya kukutana na Ruge Mutahaba pumzika kwa amani genius
@peterchuwa5880
@peterchuwa5880 4 жыл бұрын
Yule mpuuzi dudu baya anasema fiesta inalipa lak5 kwa shoo moja xaxa mbona Bella kalipwa million kumi kwa shooo moja kweli dudu baya kachizika na maisha aliendekeza starehe na wanawake mwishowe ameishia kuishi nyumba za uridhi ya kizamani imechoka sijui kapangisha
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 жыл бұрын
Ila kusema kwake ukweli ndo maana hao wapuuzi wa Clouds wakabadilika...so dudubaya hatikiwi kulaumiwa
@maregesimafuru4199
@maregesimafuru4199 4 жыл бұрын
Dar kungekuwa na eneo kwa ajili ya macelebrates tu kama huko hollywood sijui bava..... hill carifonia , yan wao tu
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 4 жыл бұрын
😂😂😂😂mill 100 msingi duh. Haya bwana hongera lkn kujenga ni dream ya kila kijana
@mariamdina250
@mariamdina250 3 жыл бұрын
Gorofa sàwa
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 3 жыл бұрын
Mariam Dina ni ghali sawa ila sio kwa nyumba hio
@kiuwamhina2802
@kiuwamhina2802 4 жыл бұрын
Nyumba halisi sana, big up bro that's why I support your music, for real
@lisauroble31
@lisauroble31 4 жыл бұрын
Honger bella nyumba ninzuri sanas
@tatuta6529
@tatuta6529 4 жыл бұрын
Ongera kaka mjengo uko vizur sana
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 3 жыл бұрын
Jamaa mfungua milango anatembea miondoko ya Bela 😂😂 Ajenge yake na yeye
@dennismrutu7824
@dennismrutu7824 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@bonaventuremattogo788
@bonaventuremattogo788 3 жыл бұрын
😂😂😂🙌
@godfreysimbeye3444
@godfreysimbeye3444 4 жыл бұрын
Kisheria Foreigner hawezi own Land Tanzania isipokuwa for investment purpose ! Na Bella yeye ni Mkongo na si Mtazania na hiyo ni for resident purpose : Bado na pata shida hapo
@famitonawanda4831
@famitonawanda4831 4 жыл бұрын
Acha ubaguzi tz ni nchi pekee, yenye Raha dudiani ardhi ni ya mungu, kama kalipa haki zote nini tena?!, Acha husda ndugu atakufa mapema
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 4 жыл бұрын
Unapata shida kwa sababu unaroho ya kwanini, acha wivu wa kijinga .hahahahahaaaa wivu mwingine ni wa ajabu kweli. Kwani ukimpongeza utakufa?
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 жыл бұрын
@@famitonawanda4831 ukweli huo dada sio ubaguzi
@dgt6303
@dgt6303 4 жыл бұрын
Wanaokubishia ni wale wasiojua sheria na taratibu za ardhi za nchi hii. So achana nao. Mimi mwenyew nashndwa kuelewa amepataje kibali cha kujenga nyumba ya makazi
@nellymasengo1419
@nellymasengo1419 4 жыл бұрын
Maanake kwetu Congo akuna watanzania wamesha jenga ? Wala wamesha wanyanganya ma jumba zao ? Sababu siyo wakongomani ?
@nelsonmataba1426
@nelsonmataba1426 3 жыл бұрын
Fundi mnyamwezi sanaaa yaaan
@nellymasengo1419
@nellymasengo1419 4 жыл бұрын
Félicitations mon frère c'est ça être un homme
@rahimuadil3206
@rahimuadil3206 4 жыл бұрын
Jameni acheni uwongo kigamboni kiwanja bie zinajulikana alafu ciment beichini uyo msinge wa mil100000 Wapi Apo sasa
@idarouspossy8883
@idarouspossy8883 4 жыл бұрын
Wew ndio unaona uongo kwasababu huna pesa, ahahhahah pole mzee tafuta zako
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 жыл бұрын
Umeona msingi wa milioni 100 uongo mkubwa
@officialjoe8003
@officialjoe8003 3 жыл бұрын
Kwan We aliekwambia kajenga kigamboni nani au mbweni ipo kigamboni
@tatuta6529
@tatuta6529 4 жыл бұрын
Ongera kaka mjengo mzur sana
@marymfugwa847
@marymfugwa847 4 жыл бұрын
Yani mwenye nyumba ndo anaonekana mgeni!.
@Aggie111
@Aggie111 4 жыл бұрын
Congrats kwake amefanya kitu kikubwa sana
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 4 жыл бұрын
Hongera mwanangu piga buti
@ashahassan2120
@ashahassan2120 Жыл бұрын
Mm napenda sana jamani
@AbdulRahim-wp9fm
@AbdulRahim-wp9fm 4 жыл бұрын
Sema mshkaji anavimba kama uo mjengo ni wakwake yeye vile kumbe fundi tu yeye
@rumb9691
@rumb9691 4 жыл бұрын
Hongera christian bella
@tggvffhgghgh144
@tggvffhgghgh144 4 жыл бұрын
Mie tu Nalia nimeambiwa msingi tu milion kumi
@goldshukri86
@goldshukri86 4 жыл бұрын
Pole sana bana😆
@jamesmichael8681
@jamesmichael8681 4 жыл бұрын
C. Bella ni raia wa Congo. Kwa mujibu wa sheria ya Ardhi ya Tanzania. Mtu ambae sio raia wa Tanzania, hawezi kumiliki ardhi. Anaweza kupewa haki ya kutumia "kwa ajili ya kuwekeza". Mchakato wake unaanzia Tanzania Investment Centre "TIC" Bella, kama raia wa Congo amewezaje kupata kubali cha ujenzi na hati milki akiwa sio raia wa Tz.
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 жыл бұрын
Hongera bella👏👏👏
@wilbertthomas8357
@wilbertthomas8357 3 жыл бұрын
Hayo ni matumizi ya pesa hapa duniani
@jamesakhabuhaya6194
@jamesakhabuhaya6194 3 жыл бұрын
Say thanks to GOD bro
@dianadouglas9054
@dianadouglas9054 4 жыл бұрын
ukiangalia saikolojia ya watu wote hao wana igiza tu.
@diocresngaiza8096
@diocresngaiza8096 4 жыл бұрын
Sahihi. Mwenye nyumba anaelekezwa kila kitu.
@12322879
@12322879 4 жыл бұрын
Mwenye nyumba anaelekezwa umbali wa nyumba yake na beach 😂
@samtelah7578
@samtelah7578 4 жыл бұрын
Ofcoz hii sio real kabisa
@vailethmaji2158
@vailethmaji2158 4 жыл бұрын
Jamani nyumba yake mimi ni jilani yangu
@rashidmziray6532
@rashidmziray6532 4 жыл бұрын
vitu vya thamani kama hivyo ni muhimu supervisor awepo wa kukupa moyo kulingana hela yako nyingi uliyotumia, na kama unavyoona nyumba haijakamilika lazima mtu wa namna hiyo awepo kukupa headline za project yako inapoelekea... mtu kama huyo kijana ni muhimu katika project kubwa kubwa kama hizo na inamlazimu ajiamini na kazi yake anayofanya tatizo waswahili hatukosi cha kuongea tunapoona jambo jipya mbeleyetu... hakuna asiyependa vitu vizuri chamsingi mm nampongeza Christian bella kwa hatua kubwa aliyopiga big up sana Bro.
@shedracksoccerconnections1430
@shedracksoccerconnections1430 3 жыл бұрын
Engineer anadunda saaana bwana ama na yeye ni vocalist
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 2 жыл бұрын
Uyoo chawa anavyo tembea utafikiri nyumba ndo yake
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 4 жыл бұрын
Ndako ya kitoko yaya👍🏾
@douglasmichael7494
@douglasmichael7494 4 жыл бұрын
Christian bella Obama... mpaka kesho kutws bado namuelewa sana
@harunakayega5531
@harunakayega5531 3 жыл бұрын
Mkifa ndo hua tunajua uhalisia wa maisha yenu ni aibu
@user-ei2ud7gh5h
@user-ei2ud7gh5h 8 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤
@goodluckmasige5276
@goodluckmasige5276 3 жыл бұрын
Bella yupo vizuri anastahili hicho
@augustinofifi
@augustinofifi 3 жыл бұрын
unkuwa na dgree hlf hta cozi moja huwez inua 😂😂😂 kusoma ni ufala
@mariamuseifu3065
@mariamuseifu3065 4 жыл бұрын
Hongera sana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Die hard fan wa bella baby😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚
@obillaezra6205
@obillaezra6205 3 жыл бұрын
Building in Congo or Kenya while you are foreigner, is quite impossible” there are a lot of procedures to follow”
@shahamwinyi128
@shahamwinyi128 3 жыл бұрын
Mwenye nyumba anauliza eti inimasta kaja saiti yake kama mgeni hahahaha mnatufanya sisi wtt acheni kiki
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
R. I. P ruge kilikuw kichwa kile
@jumongjr5837
@jumongjr5837 3 жыл бұрын
Uyo kipele n anadunda kama Bella au kaandikwa kwenye milathi 😂😂😂
@marymabula9077
@marymabula9077 3 жыл бұрын
🤣
@olivadickson1466
@olivadickson1466 4 жыл бұрын
Mm namuomba mungu nipate hata chumba tu , hongera yako
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Utapata, alafu ipo siku utajenga mwaya, yote yanawezekana. Wengi walianza kama wewe
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 4 жыл бұрын
Land of opportunities " TZ"
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Kumbe sio mbongo ndio mana ana vuruga kifaransa
@danifordrobert4849
@danifordrobert4849 3 жыл бұрын
Jaman mbna tunatishiana maisha
@hallin9561
@hallin9561 3 жыл бұрын
Vijana wadogo wanaroho za kichawi,, sasa izo kauli za kusema ivi vyote ni vyaduniani tundae safari ya kifo ili iwe nin.. Kijana umasikini mbaya tafuta pesa kifo kipo tuu kula raha duniani
@charlesmushi3083
@charlesmushi3083 4 жыл бұрын
Mbona kama nyumba siyo yake na yeye anaeleweshwa
@briankenyan1799
@briankenyan1799 3 жыл бұрын
Tour guide anachekesha sana anavotembea
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 жыл бұрын
Maa sha Allah
@ngalawekikohingalawekikohi4768
@ngalawekikohingalawekikohi4768 4 жыл бұрын
Hii ndio mijengo ya kiume sasa
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 4 жыл бұрын
Huyo jamaa mwenye red short mbona anadunda sana kuliko kitenesi au ndo mwenye mjengo?
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 3 жыл бұрын
Huyu ndio Engineer mwenyewe
@tonnyjames428
@tonnyjames428 4 жыл бұрын
Anaruhusiwa kujenga tz
@joubertkakera6799
@joubertkakera6799 4 жыл бұрын
Mna maswali za ajabu, mbona waindi wanamiliki mijengo karikoo na posta, amuendagi kuwauliza kama wana urai wa tanzania
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 2 жыл бұрын
wasani wazaman wengi wao ivi vitu waona kwenye picha tu
@majatamsafiri4
@majatamsafiri4 3 жыл бұрын
Mtu ambae sio raia wa Tanzania anaruhusiwa kumiliki ardhi?
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 3 жыл бұрын
Katisha
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Ya, nilijuwa kama kwasababu ya mziki. Hata daimond alisema, Zaman
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Hata daimond naye alisema, Zaman shoo alikuwa analipwa pesa ndogo Lakin badaye akaanza lipwa milion kumi mboni top shoo wakasema mpigieni makofi
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Halafu kama niliiona hii video
@rukabobugalama2722
@rukabobugalama2722 4 жыл бұрын
Mjengo uko fresh kabisa
@beatricemrisho8431
@beatricemrisho8431 3 жыл бұрын
Nc house beautiful
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Baby bella...am a die hard fan😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚
@jonasngaimoko9767
@jonasngaimoko9767 4 жыл бұрын
Kaka chistiane bella unabamba sana wewe nimucongo mani wawapi
@yussufbilal9439
@yussufbilal9439 3 жыл бұрын
Mcongo anajenga Tanzania?
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 жыл бұрын
Hongera Bella
@tommillia7816
@tommillia7816 3 жыл бұрын
When you build such a house.. Have a big massive compound to match it.. Not next to you is another big mansion n a wall.. Would look much better on a massive compound.. Trust me
@hassanchauluwa7308
@hassanchauluwa7308 4 жыл бұрын
ndo rakhaa ya kuwa na fund mnyamwezi.
@ebbyramadhani
@ebbyramadhani 4 жыл бұрын
Mpambe anadunda kama kitenesi
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 жыл бұрын
Hahahaha Wapambe Nuksi, wapigwe mashuti!
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sezaboy2940
@sezaboy2940 4 жыл бұрын
Kwani huyu ana uraia wa Tanzania? Maana kama sio Raia huruhusiwi kumiliki ardhi nchini hapa
@brysonnicholaus5369
@brysonnicholaus5369 4 жыл бұрын
Atakuwa anauraia au kafanya kama investment,ni swali la sheria tu
@goldshukri86
@goldshukri86 4 жыл бұрын
@@brysonnicholaus5369 exactly
@goldshukri86
@goldshukri86 4 жыл бұрын
Uraia. Mbona wa hindi wanazo wale arabu. Uyo muafrica mwenzio bana mpongez tu. One Africa One people.✌
@benomdaile7271
@benomdaile7271 4 жыл бұрын
Sheria ya Tanzania aridhi ni ya serikali kwaiyo sisi tuna miliki maeneo tuu wakipaitaji ujue akuna ubishii kama upo kialali utalipwa gharama zako usepee.
@annkabbz8544
@annkabbz8544 4 жыл бұрын
A good question..he should not own land if he's not a real Tanzanian.However I think it's coz of corruption Indians and Somalis in Kenya Tanzania and Uganda own lands and even passports.yet there own countries would never give you passports 😪😪😪Shame..
@eliudwiston4206
@eliudwiston4206 4 жыл бұрын
Engineer wa hilo jengo mungu anamuona na huyo mpambe mungu amsaidie maana sio kwa hizo mbwembwe afu anaonekana kilaza mfano hapo juu barazani hamna ngao ya kukukinga usianguke labda kama ataweka cha mbao au welding, pia msingi wa milioni 100 babu hata kama hatujajenga hapo haupo sema kwake bela ni halali kwani pesa yake hapo imeliwa na wengi huyo mpambe tu anaonekana ni mze wa vibopa sana but hongera japo huyo mpambe kama kazidi maneno na kama ndio anasimamia kazi mimi siku hiyohiyo tunaanzishiana maswali
@sijakibwana6745
@sijakibwana6745 4 жыл бұрын
Si wanajuaga watanzania ndio mambumbumbu na kuna mijitu inakubali tuu
@edigamwaulambo6740
@edigamwaulambo6740 3 жыл бұрын
Mtu chake ila ufukara ni shida mapovu yanini sikajenga tanzania vijiba vyaninisasa
@mbilinyiandrewhumphrey2534
@mbilinyiandrewhumphrey2534 3 жыл бұрын
mcongo anajenga tz ni sawa hii?
@ismailmajala2802
@ismailmajala2802 3 жыл бұрын
Nice Sana
@jacksonleonard9337
@jacksonleonard9337 3 жыл бұрын
Fundi anatembea kiboss kuliko bosss
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 3 жыл бұрын
Yani ww mkalii waache hao wengine wale bata na kuku piia
@petit1078
@petit1078 3 жыл бұрын
Hv huyo mwny pensi ndo tembea yake au ndo ustar😀😀😀
@johnjoseph763
@johnjoseph763 3 жыл бұрын
Hahahahaa
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Sio nyumba yake hiyo nyumba yake ipo chini ardhi msingi ni amalizake
@12322879
@12322879 4 жыл бұрын
Inamaana mwenye nyumba hajui umbali wa nyumba yake na beach..mwenye nyumba ni mgeni ktk nyumba yake..ahaha Haya maigizo kama yale ya MTV cribs
@godychamy
@godychamy 8 ай бұрын
Ameenda kununua kiwanja au mbona hapajui😂😂😂
@shairanadam1443
@shairanadam1443 4 жыл бұрын
Me mwnywe nasifaa balaaa mung sku aknijaliaa lazma ntatangaza mskitn au kanisani kabsaa😂😂😂roho ziwamee vzr😂😂😂🤗
@munnawwaryaqub8524
@munnawwaryaqub8524 4 жыл бұрын
Hahaha hahaha
@shairanadam1443
@shairanadam1443 4 жыл бұрын
Munnawwar Yaqub sina kaz mbovu anii natangzaa kote s maaendleo bhna ingkuwa kitu kbya apo swaaa 😂😂🤗
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Haaaaaa nimecheka
@shairanadam1443
@shairanadam1443 4 жыл бұрын
Cathereen Exzavery 😂😂😂😂walh m natangzaa mtaani kote achna na hyu katangaza mtandaon to m koteee😂
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Mambo ya fedha
@mubarakahussein9950
@mubarakahussein9950 3 жыл бұрын
RIP Ruge unamichango kwa wasani wengi
@ebinssports5377
@ebinssports5377 4 жыл бұрын
hakuna msingi wa mil 100 hapo... nadhani mtafteni mwenye nyumba awaeleze ukweli
@eliudwiston4206
@eliudwiston4206 4 жыл бұрын
si unaona mpambe alivyo na nguvu hiyo mia inawezekana na udalali juu bado mafundi wapige mpambe mwenyewe anaonekana full vibopa
@hamadychamgui2357
@hamadychamgui2357 4 жыл бұрын
Hongera bella obama🙌🙌
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 4 жыл бұрын
Kama hamjui wasaniii wetu kuishi kama wengi wantanzania mnavyotaka ndio wanafeli msanii anatakiwa kuishi kisanii ,hii kazi sio ya kanisa wala sheckh ni kazi ya mapambio so hivyo sio sifa nikujiweka kwenye level flani na nilazima watu www aone watambue ,kwa hivi unafikiri utamuita msanii nakumlipa lakinane wewe bosi lazima ujishtukie
@enockabumba7513
@enockabumba7513 2 жыл бұрын
Haaaa wakuache
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 4 жыл бұрын
Hongera
@jumambonde7157
@jumambonde7157 4 жыл бұрын
Swali ni Je non citizen anaweza kumiliki ardhi kisheria kwa mujibu wa sheria zetu??? Jibu ni hapana ?? Bella anaweza kutujibu ameimiliki vipi hiyo ardhi hapo??
@samtelah7578
@samtelah7578 4 жыл бұрын
Tatzo la wasanii wetu wanaigiza mno mpaka kero bella anadanganya hiyo show anayopga mil 10 kwa show moja ipi hyo maana hata ukimchukua akiwa na malaika band alkuwa akpga kwa 3M na hapo ujue hyo ni band na yy akiwemo na hajawagawia wenzake, lkn pia kwa mtu msimi ukipga hesabu ya gharama ya nyumba anayosema na hizo mbili za mbwen na mbili za kwa kongo ni uongo hta kma angelipwa hyo 10M kwa show moja toka mwaka 2013 je kafanya show ngap za hyo pesa lkn hata ukitazama vzur sura zao na saut zao kma wanaigiza wote inakuaje mwenye nyumba ndo anaelekezwa kila kitu ?
@hansrahim
@hansrahim 3 жыл бұрын
Huyo chawa anavyo swing kama snoop dog
@deulkakulondwalubala2118
@deulkakulondwalubala2118 3 жыл бұрын
Mziki wa tanzanian una lipa
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
Vizuri
@mengicacoconut8144
@mengicacoconut8144 4 жыл бұрын
Jamaa anadunda tuu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Hivi bado yupo namkeo au ndo bas tena
@ezekielmbazi.8687
@ezekielmbazi.8687 4 жыл бұрын
Acha uongo hakuna msingi wa milioni 100 hapoo sema tuu kwa vile mutu ya Congo tunaelewa zao mutu ya congo
@mnomahboybright4743
@mnomahboybright4743 4 жыл бұрын
Izizingine kiki sasa
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 жыл бұрын
Ongera sana
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 27 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 935 М.
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 21 М.