Unaweza kuta hao sio wahusika na wahusika walijua wakifanya hilo tukio watakaodondoshewa msala ni hao.. Mungu asimamie
@JosefuSwai17 күн бұрын
Iyo Iko wazi
@manish-fp1fb17 күн бұрын
But kwa watalaam watajua tu sio wao au ni wao.. hapo mashahidi na vielelezo vinginw vitaamua hiyo kesi.
@JacklineMwaleleka16 күн бұрын
Hata mm naona Kuna pesa inaongea
@whoisfauna18 күн бұрын
Nilikua staki kusema jambo ila kutoka kucheza mpira wote mpaka naowaona mpo na pingu mikononi daaah naomba haki ya mtoto ipatikane lakini pia kesi ichunguzwe kwa kina. Mnaweza sema humjui mtu na anachofikilia lakini hawa watu upande wangu sina hakika kama wanaweza fanya kosa hili na kama wamefanya nawaombea sana kwa mwenyezi Mungu na pia kama mmefanya hilo jambo kweli namuomba mungu atuepushie sisi wenzenu mlio tuacha mtaani!
@Oman-b1e18 күн бұрын
Jaman watuhumiwa uwazanii kbxaaa duuh kwel usimwamini mtu kwenye maisha yako😢😢😢😢😢😢
@musapfute660818 күн бұрын
Umeambiwa n watuhumiwa WA mauaji,,, hujaambiwa n wauwaji
@Oman-b1e17 күн бұрын
@@musapfute6608 kwan mm nimesema wauwaji apo
@hopejohnson735218 күн бұрын
Binafsi siwezi kuhukum maana sina ninachokijua hata hao wastakiwa wanaweza wakawa hawajaua ila wanahisiwa mungu tusaidie😢😢
@Yana_queen118 күн бұрын
Do you think Jeshi la Police limekurupuka tu ..kwanza ukiangalia vzr ktk hao watuhumiwa Kuna mmoja kafanana sn na mtoto (Trace back kuhusu yale mauaji ya yule mtoto albino ..jeshi lilikamata watu 9 na miongoni mwao kulikuwako na wahusika
@AnithaThadeo-n2i18 күн бұрын
Mtoto kafanana na mama ake bana acha uongo@@Yana_queen1
@josephineokama220018 күн бұрын
@@Yana_queen1nilihisi baba atakua muhusika watu wakakataa jamani sitaki kuamini kama kuna baba yake hapo kahusika
@Thomasj-o6e18 күн бұрын
Hta kma jeshi halikurupuki ila hao ni watuhumiwa tu bado kuthibitika kma ndio wauwaji@@Yana_queen1
@liberatusjackson504518 күн бұрын
Kawaida😂😂😂😂😂😂@@josephineokama2200
@DeboLaizer-m4c18 күн бұрын
Shida sio kufikishwa mahakamni, shida ni kwamba jeee, haki itatendeka kweli au rushwa itachukua nafas yakee 😢😢😢😢
@JumanneNyamaranya-m6j18 күн бұрын
Kweli kabisa tatzo tz 2nazingatia rushwa kuliko haki
@DeboLaizer-m4c17 күн бұрын
@@JumanneNyamaranya-m6j ni atarii et
@samwelmwangi918517 күн бұрын
Idara ya upelelezi ifanye kazi yake vizuri kwa kushirikiana na Ofisi ya mwendesha mashtaka ili haki ya mtoto aliyeuawa ipatikane. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ShijaMdee18 күн бұрын
Ubambikaji wakesi kwakweli imekuwa mkubwa sana hapa tz usicheke likimkuta mwenzako maana bado tunaishi na watu wenyechuki kwaiyo kuomba Dua tu lisikukute mtihani😂
@AdamYusuf-x4l18 күн бұрын
Kweli maana wauaj mara wengne wanakamatwa wengne
@JumaJoely18 күн бұрын
Eee mungu mlinde mwanangu
@JosefuSwai17 күн бұрын
MUngu yupi😊
@RehamAlmamari17 күн бұрын
iv unanin lkn wew😂😂😂 et mung yup😮😂😂😂@@JosefuSwai
@MATEOJOSEPH-nc8gf18 күн бұрын
Eeh Mungu walinde watoto wetu kwa watu wabaya
@emmycharles846318 күн бұрын
E Mungu ww ndio unajua huyu mtoto alikuwa na hal gan akiwa chini ya watu hawa,,alihangaika huku na huku kuona kma mama yke anatokea lkn haikuwa rahic, alixema nn kaul gan aliitoa ww Mungu wajua, pumzika kwa Aman mwanangu 😭😭😭
@gloriaatupele909018 күн бұрын
Inauma sana nimewaza kama ulivo waza Mungu hakimu wa haki atahukumu
@VochamanMan18 күн бұрын
Pole sana wa Tz🇹🇿 😭😭😭 wote imetufikia abali adi uku kwetu msumbiji Mozambique 🇲🇿
@ContentSmartphone-rq6po18 күн бұрын
Poleni na nyie kwa maandamano
@Salsabiil1218 күн бұрын
Huko nako msumbuj watu wanauwana km nini huku mimi kuna ndugu yangu aliuliwa huko huko yaan Hawa watu sasahiv wamekuwa km wanyama
@GlorydavidJeremiah17 күн бұрын
Pande zipi mwenzangu huko Hali ikoje?
@GlorydavidJeremiah17 күн бұрын
Huku tunahofu kubwa sana watu wamekua kama wanyama
@VochamanMan17 күн бұрын
@@ContentSmartphone-rq6po Asante sana na Kweli Sisi uku tupo na mandamano
@MashaMbwana17 күн бұрын
Alhamdulillah 🙏
@AliK-tc2et13 күн бұрын
Kweli sura sio tabia
@euniceyaledy18 күн бұрын
Mungu tunaomba haki itendeke🙏
@AngelMazola15 күн бұрын
Uyu kaka wa Boda sizani kama kweli anausika uyu😢😢😢😢
@alphoncelaurent945418 күн бұрын
Hapo hamna wauaji ebu semeni ukweli tu jicho la tatu😅😅
@kulwastima399318 күн бұрын
Mbona huyu mtuhumiwa white anafanana na mtoto aliyeuwawa.
@nikkimbishiunju240218 күн бұрын
We naye punguza kiherehere kwanza hujui kufananisha kausha tu.
@nikkimbishiunju240218 күн бұрын
Kuna white hapo au kwenu huyo ndio white?
@EmmanuelSamweli-fk3nv18 күн бұрын
Kweli
@AnithaThadeo-n2i18 күн бұрын
Mtoto kafanana na mama ake bana achen mambo yenu
@babyscosh17 күн бұрын
Kwasabu milard kapost naamini Ila mungu naomba haki ipatikane japo ndo hv mtoto harudi tena hao wahalifu wahojiwe nani kawatuma na je kwasababu gani na wamepewa kiasi gani cha pesa😭😭😭😭😭
@ChichiMackson17 күн бұрын
Daah ni kweli sheria ichukuliwe lkn kwa haki na uchunguzi mkubwa binafsi vijana hao naona wameingia kwenye msala na wao si wauwaji
@SaidMtagwa17 күн бұрын
Hapo hakuna Muuaji. Godlove ANAHUSIKA. Kwa Asilimia 98/% Kifo. cha Huyu Dogo Atuonyeshe Mtoto Mwingine Aliyekuwa nae Karibu kama huyu Ila Mungu Ata KUELE LEZA Mchana Kweupe.
@lilyjones358418 күн бұрын
Hii kesi ichunguzwe vizuri. Chief Godlove aisaidie polisi. Maana inaonekana anafahamu mengi kuhusu kifo cha mtoto Greyson. RIP Baby Boy 😢
@MuzdarfatPius-cs2ut16 күн бұрын
wakaka wenye uchebe nitaanza kuwaogopa sasa😢
@rithaurassa17 күн бұрын
Sasa wamepata faida gani zaidi yakukamatwa kiulaini kama kuku wa kideri hata majitu hayajifunzi yanapambana na ukatili tuu.Mrudien Mungu enyi wadhalim.
@nisilemwakyula779717 күн бұрын
Mungu atutazame wanao
@upendoShabani-ci8ek18 күн бұрын
Ukweli anaujua mungu juu ya watuhumiwa hao.
@godfreymushi696618 күн бұрын
Waandishi wa Tanzania hawana uwezo hata kidogo elimu elimu elimu bongo kila.kitu ni fix
@Kellyhakizimana9218 күн бұрын
Aasah watu 😭😭😭 kwani mtoto mdogo kawafanya nini 😭😭
@safiaothman517518 күн бұрын
Wanyongwe. Je,na yule mama wa Arusha aliyemuua kwa kumchinja mtoto wa jirani mbona hatujasikia tena taarifa ya uchunguzi wa polisi ikiwa ni pamoja na mtuhumiwa kufikishwa mahakamani? Na uchunguzi wa kifo cha Mzee Ally Kibao vipi?
@MatikuKess18 күн бұрын
Dah
@sabinashabani116518 күн бұрын
Hamuna cha haki hapo mtoto kafariki nikumuombea tu mungu amulaze pema peponi inauma sana mimi kama mama pia. Nigeona mtoto kaludi hapo nigesema haki itapatikana
@mkanash314417 күн бұрын
Ni hao kweli...au ndo kama kawaida yenu
@SalumuRamadhani-y4y17 күн бұрын
Utaskia mademu tunapenda watu wenye ndevu ona sasa wenye Ndevu wenyewe wauwaji
@manish-fp1fb17 күн бұрын
Ni watuhumiwa, mtu yoyote anaweza kuwa mtuhumiwa.
@Ramadhanmpare18 күн бұрын
Mh pole sana
@kanaelinassary17 күн бұрын
Yani kwa hesabu la haraka hao sio wawaji muaji yupo wamekaa tu Yani natamani mzee agekuwepo hay yasigetokea maana naye muwaji agekufaa😊
@Gwen584518 күн бұрын
Kwahiyo sio chief Godlove tena
@magrethmbuma304518 күн бұрын
Khaaaaaaa😢
@SharifaNguzo16 күн бұрын
Nao wafe
@GraceAntony-q4f18 күн бұрын
Tusiwaonee huruma watu ambao hatuwajui kiundani , watu wenye muonekano wakipole smart do wabaya sana, kuliko wanao Onekana kijambazi,Dunia imebadirika, haki ya mtoto ipatikane aliwakosea nini?.
@NoelKisharubu17 күн бұрын
Kimtazamo2 wanaonekana sio wa usika mama wa mtoto mbn hayupo kama niaki yao mungu ata wasimamia ukifanyika uchunguzi usio wa mchongo
@KundiBusumba17 күн бұрын
Wangemkamata na mama yake kwanini aende kukesha mpka asubuhi , alikuwa na mpango gan😢
@mariamshibanda335818 күн бұрын
Daaaah uyu mtuhumiwa wa mbele
@martinasteven76418 күн бұрын
Duuh! Ni watu ambao walikuwa na jojo karibu na nilikuwa namuonaga huyo kaka wa mbele maeneo ya ofisini kwa jojo
@SofiaMasawe17 күн бұрын
Mdhuree balaaa
@AdelinajescaOswald17 күн бұрын
Muuwaji ni huyo frmaso Godlove mweeeeenyewe! Alijuaje mtoto ana nyota kali? Karagabao! Sisi wa rohoni tunajua! Katoto kenyewe kako msikule! Kaburini kuna gogo! Mnapigwa kiini macho kwamba ni mtoto kumbe ni gogo. Yanafanyika mazingaombwe!
@firdausqutty206717 күн бұрын
Moyo wangu unauma namuonea huruma huyo boda boda ni kama hana hatia.
@hajimosaidi16 күн бұрын
Hapa ndo utaukumbuka ulewimbo wa tunda man spack na madee unaitwa nipe ripoti kuna kipande spack kaimba.... KESI SIOYANGU MWENYEPESA AMENIPAAA sasa hiyo ndo tamaduniyetu Tanzania hatakama kesi sioyako utapewatu
@VanesaSwanga17 күн бұрын
Vibaba vizima
@meryshekoloa96118 күн бұрын
Huyu mtoto ni WA mtuhumiwa huyu mweupe huenda
@FadhiliMwakoba-iy6pr17 күн бұрын
Mmesema watu wasiojullikana harafu mmewakamata watu wawili kumbe mnawajua watu wasiojulikana
@anifamickidard455518 күн бұрын
Mmmh sidhani kama wanahusika ila Damu ya mtoto haitaenda bure
@maclucky414916 күн бұрын
Je ni kweli wametenda kosa hilo?, au ni mwendo wa scenario tu.
@AlbertoEmmanuel-z2i17 күн бұрын
Mbona hawafanani kabisa nakama niwao wakiritu iri wasiisumbue mahakama wanaweza kupunguziwa kifungo
@kanaelinassary17 күн бұрын
Ivi jamani hii tanzania ikoje ebu nambie mtu amewa na anajulikan kabisa kuwa amewa serikali inasema eti uchuguzi unafanyika hay amepatikan muwaji unampeleka makamani akafanye nini sasa badala ale chuma kama alivyo muwa
@alphoncewilliam432517 күн бұрын
😢😢
@frankmlinda118118 күн бұрын
Magomvi ya ndoa sometimes yanapelekea mauaji kwa watoto mimi binafsi naliamini jeshi la polisi kitengo cha upelelezi .watatenda haki.
@PaulGesso18 күн бұрын
Wanapaswa kujichunguza na hata hvo...kama watabainika....wanyongwe hadharani
@kanaelinassary17 күн бұрын
Me ndo maana niliapa kuwa mwizi au muwaji akipita aga zangu me nateketeza mpaka mzazi wako yani nitakikisha akuna kesi ya polic wala mama yake mahakam yatakuwa mimi yani hiyo nilikula kiapo nikiwa tumboni yani ata kama mzazi uziki ila kaburini utazama nakwambia kwasababu wazazi wegi wanakania watoto wao sasa me nahaza na mwanao alfu nakuletea utumbo wake upik alfu ndo nikuwe ili iwe fuzo kwa wahiz na wawaji
Twende mbele turudi nyuma police wanafanya kazi pamoja na mapungufu yote kuna watu wangepoteza haki zao
@LuganoMwalwembe18 күн бұрын
Hao 2 ndo walipiga yule mtoto na kumua kweli ni hao kweli da
@AllyHamran18 күн бұрын
Huyu mshutumiwa tu bado hajatiwa hatiani kwaiyo tuache kumlaani.
@AlbertoEmmanuel-z2i17 күн бұрын
Baba wamtoto oji yuko wapi wanawake acheni tamaa mbona hujampereka kwa mchungaji iri awe baba yake wakiroho unafata utajiri mtoto mmemtoa nyie wenyewe
@Mokami_org17 күн бұрын
Sina hakika katika hilo
@JamsAlly18 күн бұрын
Haingii Akilini Kwnn Yani 😢
@ashurahaji479415 күн бұрын
Mutupatie muendelezp wa kesi na hao wasifungwe wanatakiwa wamwagiwe petrol wachomwe tu
@sophiakimaro517416 күн бұрын
Shida sio mahakamani.shida ni kwamba waliofikishwa ndio wahusika?na baba wa marehemu yupo wapi jamani?
@nadraalsaid186217 күн бұрын
mmmm hao makaka mbona ni mijotu ya maana sana hapa dem aseme ukweli tu kuna jmbo hapo
@SihabaAbdallah-li6dx17 күн бұрын
Tujue vizur kapigwa kisa nn
@paulabelleghe45118 күн бұрын
wakaka wenye ndevu kama za rickrouse nawaogopaga atar
@jafarymohammed325117 күн бұрын
Epsod 2 huyu ni babaake mtoto
@SalumuRamadhani-y4y17 күн бұрын
Swala sio ni nani amewatuma ao jamaaa hapo ndio kwenye changamoto
@liberatusjackson504518 күн бұрын
Watu wakiwa wanakilufa ndoo na fasii yakuishii ww msoma comment inaongezeka waspo kufa. Unakufa ww 😂😂😂😂😂🎉Mungu anasema frahienii kilajambo maana hamjuii mdaa wala nyakat😂😂😂😂😂🎉
@Niabebewamor41318 күн бұрын
Wakaka wazuri miloho Yao michafu maskini katoto kamekufa kwa mateso sana daaaaaaa😭😭😭😭😭mpka utumbo umeguna walai
@SeifJuma-l8t18 күн бұрын
Mbona unasema miroho michafu kwan ukwelnuxhaptikan c bdo
@MaximeMasinga18 күн бұрын
maskin ndo misara inatuangukiaga t usikute hao hata hawahusiki
@suzyclement389918 күн бұрын
Bado haijathibitika
@SeifJuma-l8t18 күн бұрын
@@MaximeMasinga kwa kwel
@saidantugwa767117 күн бұрын
utumbo wich? acha kuhukum czan kma hao n watuhumiwa
@DismartDelvis-g1c18 күн бұрын
Watu wasio julikana mwandishi mbn uelewek watu wasiojulikana wasingekuwa wamekamatwa .hao wanajulikana tayar.
@Nody_official18 күн бұрын
Wakilambishwa makaaa ya mawe vizuriii tuuu mbona watasema nan aliwatuma
@carlos2044418 күн бұрын
Kama utafatilia Aya Mambo kwa umakini mkubwa na kufatilia kiundani siku Hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili alafu ukasoma text yangu vizuri na kwa utulivu mkubwa Utagundua kwamba mimi Sina Lakusema Asanteni sana.😥
@euniceyaledy18 күн бұрын
😭 nilikuwa makini kweli kutaka kujua umesema nini kumbe huna hata la kusema😮
@Peaceman-S18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂🙆🏿♀️🙆🏿♀️🙆🏿♀️🙆🏿♀️😃
@emmanuellupiga18 күн бұрын
yani kwa kweli
@acreyjohnson740718 күн бұрын
Kuma ww😂😂😂😂
@JokhaJokhaabla18 күн бұрын
Katika coment niliokua nikiisoma kwa umakini ni hii subhanallah nimejua kucheka loh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AgnesNyatato18 күн бұрын
Mimi siwez kusema chochote maana wangu sijuwi keshoyao yazakuwa walio uwa ni mtu na mkewe
@Allymwande18 күн бұрын
Mambo
@HalimaMima-m4r18 күн бұрын
Mtot hana hatia yoyote
@allenkwaya859418 күн бұрын
Na muuwaji hawi vile,wale kasingiziwa Tu
@AlbertoEmmanuel-z2i17 күн бұрын
Ndo faida yababa wahiyari wanawake mjifinze kitu hapo
@leonardramiye820718 күн бұрын
Sasa wanataka nini kwa mtoto mdogo hiviii😭😭
@manish-fp1fb17 күн бұрын
Swali linalokuaga gumu, ni pale unaulizwa siku ya tukio ulikuwa wapi?
@MustafaMohamed-f8n18 күн бұрын
Atr
@TumainiAkyoo18 күн бұрын
Kweli hapo haonekani muuaji jamn
@tumamwinyi40218 күн бұрын
Sheria nichukue mkondo wake haki ipatikane
@remidusmwanandenje-yy5gs18 күн бұрын
Duuuuu😢
@Keyjop18 күн бұрын
Ni mm tu sijaelewa au?
@McT-m1m18 күн бұрын
Sijaona muuaji hapo fanyeni uchunguvu kwa mara nyingine au basi polisi naombeni samahani kuingia kazi yenu haya mtatuambia ukweli lakini kama kweli wamehusika
@monicamassawe343518 күн бұрын
Uchunguzi ulifanyika ln mpk kufikishwa mahakaman
@JamesZakayo-o2f18 күн бұрын
Balaaa tu
@EstherJerald-tc6ct18 күн бұрын
Serikali ina mkono mrefu Mengine yanafanyoka kimya kimya
@ShebbyTheparadiso-hf6fz18 күн бұрын
Sasa wamuue mtoto kwa ajili ya nn kuna kitu kimejificha
@AksaRaphael16 күн бұрын
Sina uhakika kama ndo hao
@MaximeMasinga18 күн бұрын
inawezekana hao ni msara t maskini umewaangukia usikute alohusika ni mwingn kbs daaa hii ndo dunia hujafa hujaumbika
@Salimaisaac18 күн бұрын
Yes umeona kama mm kwel 😭😭mm roho yangu himekataa sio hao kbs ni kam vile hajuwii chochote kinacho hendelea
@MaximeMasinga18 күн бұрын
@Salimaisaac we acha t dadaang dunia ina mambo sana yaaan hao jamaaa mungu awasimamie t ila naamin hawahusiki walofany hvo inawezekana wanachek t
@magrethmbuma304518 күн бұрын
Jamani mbona mtoto kafanana na huyo mkaka mkubwa mkubwa
@sabrinamkandawile601718 күн бұрын
Wapuuzi sana
@anitavictor-ig1jp17 күн бұрын
Sasa mtoto aliwakosea nn???😢
@ChrisOrganic-p2g18 күн бұрын
Daah siku hizi bana sijui tunaelekea wap mwenyewe nimekoswa panga mwezi ulio pita kisa watu wanataka kuiba pikipiki aisee wanangu Dunia imeisha hii tumrudie tu Allah
@romwaldoamsi278318 күн бұрын
😢pole
@megaace36118 күн бұрын
Pole bro
@elickmaendeleo114118 күн бұрын
Pole sana bro usiache kupambana na umtangulize Mungu mbele
@SalhaSewando18 күн бұрын
Allahuma amina
@JokhaJokhaabla18 күн бұрын
Mtihani sana pole sana Allah azidi kukulinda na uzidi kuomba na kumshukuru M.mungu
@RaphaelKyando18 күн бұрын
Kama ndio wamehusika kuua hawa jamaa ni wapumbavu sana 😢
@meddycr18 күн бұрын
Mijitu yanguvu kumbe mishetwani ipo kwenye kampeni