Mimi S01Ep10 (TV Series)

  Рет қаралды 30,905

Elizabeth Michael

Elizabeth Michael

Күн бұрын

Пікірлер: 112
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 2 ай бұрын
😂😂steve mapenzi yamekubeba !! Hutaki kusikia naomi!! Akitajwa
@mamasalhat
@mamasalhat 3 ай бұрын
Sipendi Luka anavyo jichekesha jikesha😏
@EfremuMwasumbi
@EfremuMwasumbi 3 ай бұрын
Mtambalike uko vizur napenda unavyoigiza uhalisia
@kwisa4899
@kwisa4899 3 ай бұрын
Jamaaa anajua sana hakuna kama yeye
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 Ай бұрын
Huyo ako sawa kabisa
@ZawadMbura
@ZawadMbura 3 ай бұрын
Baba Steve kama "Didy" vile "just doing the damn job"😂
@MercyMwalimu-x6m
@MercyMwalimu-x6m 13 күн бұрын
Munajuwa kuigiza ❤
@fatmaameer5333
@fatmaameer5333 3 ай бұрын
Nzuri sana daaa asantee
@OfficialElishamaMulokozi
@OfficialElishamaMulokozi 3 ай бұрын
Naomba usiache msamaha tulivyokumbuka nahitaji kila movies 😂M.I.M.I jamani lulumichael.
@MauaNassor
@MauaNassor 3 ай бұрын
😂nani ameona kma msomi ameshanz kufall in love 😅😮
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 ай бұрын
Kitamlamba tuu
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@danielaugustino705
@danielaugustino705 3 ай бұрын
Ah😅😅😂😂😂😂 bro tupoooo mpakaaa mwishooo...
@DostyLukosi-qv5me
@DostyLukosi-qv5me 3 ай бұрын
Mama Steve know her responsibilities I appreciate her yupo makini and know what she do in each and everything for herself and her family,,big up
@fatumasuleiman6989
@fatumasuleiman6989 3 ай бұрын
Pinto ni kazi ya naomi huyu dada noma😂
@NasmaJuma-g8w
@NasmaJuma-g8w 3 ай бұрын
Aisee mambo yamenoga❤❤tunaomba muendelez❤❤❤❤❤❤
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly 3 ай бұрын
Naomi 🎉🎉🎉🎉 dhahabu is 🔥🔥🔥🔥🔥
@gloryjimson9831
@gloryjimson9831 3 ай бұрын
Yaani hawa ndio mashoga wa kweli🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZuleykhaIsmail-rc5ly
@ZuleykhaIsmail-rc5ly 3 ай бұрын
@@gloryjimson9831 shoga👯‍♀️ anaibeba shida yako km yake 🙌👌
@aminaabubakare1973
@aminaabubakare1973 3 ай бұрын
Nakuchukia nick
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 3 ай бұрын
😅😅😅😅😅luga za kwenye meli
@DorcusKissia
@DorcusKissia 3 ай бұрын
Movie nzurii❤❤❤❤
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr 3 ай бұрын
Heeeehh luka jmn😂
@QueenHenrick
@QueenHenrick 3 ай бұрын
Msichelewa kutupa mwendelezo jmn
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr 3 ай бұрын
Shoga yake naomi 😂😂😂😂😂
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 Ай бұрын
Steve amelewa mapenzi
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 3 ай бұрын
Sasa Brian katoka kumwambia vivi hata muacha kwenye shida yoyote nahii mimba 😢😢😊
@victoriashirima470
@victoriashirima470 3 ай бұрын
Itakua ya Brian kwa sababu muda aliobakwa hata kama aliconcieve dalili bado
@julianasamwel9089
@julianasamwel9089 3 ай бұрын
Duuuuh....mimi ni 🔥🔥🔥
@bestbitakwate
@bestbitakwate 3 ай бұрын
wekeni option ya kudownload itakuwa vizurii
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 ай бұрын
Itabidi ufe😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LeahBenson-py6ld
@LeahBenson-py6ld 3 ай бұрын
Ila Naomi😂😂😂
@Daniella249
@Daniella249 3 ай бұрын
Naomi wewe mbna umeenda kuharibu nyumba ya watu 😅😅😅
@monicaalute3143
@monicaalute3143 3 ай бұрын
Uongo zambi hiyo mimba ningempa huyo mwanamke misso chap nola woga wallah
@sophiaazizingaiwa3857
@sophiaazizingaiwa3857 3 ай бұрын
@@monicaalute3143 wee huyo nick na akili zake hizo si atawachoma wakiwa ndani
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 3 ай бұрын
Ningeimezea madawa mpaka ingetokelea mbali 😂😂😂😂
@JoyceWazir
@JoyceWazir 3 ай бұрын
Brayan nakuonea ulum 😢
@aksafredrick5665
@aksafredrick5665 3 ай бұрын
Ila dhahabu jamaniiii 😂😂😂😂
@MaryTesha-le2ql
@MaryTesha-le2ql 3 ай бұрын
Yaan anaheka heka kinoma
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Nicky ww jamen mbinguni utapaskia
@FaithJovin
@FaithJovin 3 ай бұрын
Naomi amempeleka wapi yule mwiz wa mume wake😅😅😅😂😂❤
@SunnahAmry
@SunnahAmry 3 ай бұрын
Atumuoni tena tangu avuliwe wigi 😅
@AshaJuma-dz6hq
@AshaJuma-dz6hq 3 ай бұрын
Aisee Naomi ❤ unanifanya niikosa movie nakonda😂😂😂
@ElizabethGervas-mp4us
@ElizabethGervas-mp4us 3 ай бұрын
Sio ww ni pepo😂 Ngoja tulikemee toka pepo, shindwa, mwache anenepe hata akikosa move😂
@AshaJuma-dz6hq
@AshaJuma-dz6hq 3 ай бұрын
@@ElizabethGervas-mp4us 😂😂😂🤣🤣🤣hili pepo lishindwe kabs
@UmmyJumaa
@UmmyJumaa 3 ай бұрын
Muendelezo nzuri
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 ай бұрын
Yaani wewe Steve ni mbishi tulia kitakukuta kitu
@AshaJuma-dz6hq
@AshaJuma-dz6hq 3 ай бұрын
Wa mwache apigwe na kitu kizito cha naomi😂😂😂😂
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 ай бұрын
@@AshaJuma-dz6hq ndio atakumbuka maneno ya baba yake
@AshaJuma-dz6hq
@AshaJuma-dz6hq 3 ай бұрын
@@esterkimalio8846 hakika
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂​@@AshaJuma-dz6hq
@MalkaNinik
@MalkaNinik 3 ай бұрын
Yani yeye hata picha haoni wala.akili.haifikiri
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 Ай бұрын
Joseph uko sawa
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 Ай бұрын
Joseph na Mimi aki mumenimaliza
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 Ай бұрын
Mimi aki ati JOSEPH 💗
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 Ай бұрын
Mimi you are terrible aki
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 Ай бұрын
Mimi unakula kuku na mayai
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 Ай бұрын
Steve fungua macho sasa Mimi simukweli
@OmarJaffar-fw4lt
@OmarJaffar-fw4lt 3 ай бұрын
naom anakisasi chake nahii family ya Steve
@KingNamber
@KingNamber 3 ай бұрын
Jamani suite svp
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 3 ай бұрын
Yani huyu Nick huyu ni wa kum p.didy huyu 😂😂😂
@MaryTesha-le2ql
@MaryTesha-le2ql 3 ай бұрын
Ila Nick jmn 😢😢😢 hii scene yake ina hatar kila cku kumliza Briyan wetu mae ety dume mtu shababi
@jenipherangelo1740
@jenipherangelo1740 3 ай бұрын
Anakwaza sana
@joycemichael4086
@joycemichael4086 3 ай бұрын
Hivi hii Mimi inarushwa kwenye king'amuzi gan
@REE526
@REE526 3 ай бұрын
Hii ilishawahi onyeshwa TVE hapa naona kama anairudia ila aichoshi ni nzuri
@sabratally7688
@sabratally7688 3 ай бұрын
Sangapi hyo
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 3 ай бұрын
Viviane mh hiyo sio mimba ya nick kweli
@gloryjimson9831
@gloryjimson9831 3 ай бұрын
Na mimi nimewaza hivo
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 3 ай бұрын
Ila Naomi 😂😂😂😂😂😂
@Salama123-iw7hj
@Salama123-iw7hj 3 ай бұрын
Lulu ❤❤❤🎉🎉
@ElizabethKaroli-k9f
@ElizabethKaroli-k9f 3 ай бұрын
😂mwendelezo
@brendachibura6040
@brendachibura6040 3 ай бұрын
Hii series Tam jmn
@ManirampaRodrigue-pl6mx
@ManirampaRodrigue-pl6mx 3 ай бұрын
Mimi niko tu
@mwakaathuman5637
@mwakaathuman5637 3 ай бұрын
Uyu niky smenishinda mwenzenu😭😭
@hidayignas
@hidayignas 3 ай бұрын
familia ya Joseph tayr imeshaharibika
@gloryseleman6088
@gloryseleman6088 3 ай бұрын
Naomi 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 3 ай бұрын
Glory unanisumbua huku kwenye tamthilia
@FaithJovin
@FaithJovin 3 ай бұрын
Tunaomb ya kumi na moja
@mwakaathuman5637
@mwakaathuman5637 3 ай бұрын
Ina zidi kubamba
@rebeccazagabe
@rebeccazagabe 3 ай бұрын
Naomi jamn sio kwa zarau iyo 😱
@ireneevaristo5552
@ireneevaristo5552 3 ай бұрын
Shoga angu dhahabu yaan muda wote yupo tayr kwa kazi😂😂😂😂😂
@REE526
@REE526 3 ай бұрын
Apoi kila mda mzee wa kazi
@HekimaJames
@HekimaJames 3 ай бұрын
Usicheleweshe muendelezo bas😢
@EvaemmanuelMondea
@EvaemmanuelMondea 3 ай бұрын
Naomi we kiboko
@saraphinamalyi3506
@saraphinamalyi3506 3 ай бұрын
Naomi😂
@normanleslie4248
@normanleslie4248 3 ай бұрын
wekeni subtitles za kizungu, ifike mbali zaidi
@HappyCandy-x9v
@HappyCandy-x9v 3 ай бұрын
Usikute hii kutoka mpk mwakan tuombee uzimaa
@REE526
@REE526 3 ай бұрын
Hata kwenye TVE kipindi icho sijui iliishia njian maan ghafla nimepotea kama hii nyingine😊
@hutahuta1170
@hutahuta1170 3 ай бұрын
Naomi 😂😂
@Atikaally
@Atikaally 3 ай бұрын
❤❤❤
@YolandaMahenge-nf2gf
@YolandaMahenge-nf2gf 3 ай бұрын
Brian 😮
@AkimanaDomie
@AkimanaDomie 3 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RozPeter-s5z
@RozPeter-s5z 3 ай бұрын
Naomi hajatulia hata kidg
@Nailaty564
@Nailaty564 3 ай бұрын
Isarito simpendi lipo kama mzimu
@olicej7837
@olicej7837 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 umeona
@MalkaNinik
@MalkaNinik 3 ай бұрын
Yani hata silielewi.pia mm
@leahsambala7773
@leahsambala7773 3 ай бұрын
Hiyo nyngne tunasubiria mpka lini???
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 2 ай бұрын
Nicky bna dharau hivo?
@vanessaenock1337
@vanessaenock1337 3 ай бұрын
episode ya 11 ukowap sasa
@JohnJekela-n8y
@JohnJekela-n8y 3 ай бұрын
Nick😂mkorof
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 3 ай бұрын
Sanaaa anakera mno
@evamoshi6917
@evamoshi6917 3 ай бұрын
Naomi kiboko unamtakia joseph kifoo??
@estherkeba24
@estherkeba24 3 ай бұрын
Kwanini Bryan amfwatilie naomi? Au kisa mama yake?
@sophiaazizingaiwa3857
@sophiaazizingaiwa3857 3 ай бұрын
Namuonea huruma Brian
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 3 ай бұрын
Acha kabisa, yule jamaa fala sana, mi ningempiga panga la makalio
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 3 ай бұрын
​@@nickmoshi8243😅😅😅😅😅mbona panga la makalio
@sophiaazizingaiwa3857
@sophiaazizingaiwa3857 3 ай бұрын
@@nickmoshi8243 😂😂😂😂 Kuna jela na jela Kuna manyapara
@omanbahla1511
@omanbahla1511 3 ай бұрын
❤❤
Mimi S01Ep11 (TV Series)
25:36
Elizabeth Michael
Рет қаралды 26 М.
Mimi S01Ep37 (TV Series)
26:55
Elizabeth Michael
Рет қаралды 11 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
MAJI YA SHINGO SE01 EP 22
24:57
empire lokoma series
Рет қаралды 13 М.
Mimi S01Ep24 (TV Series)
27:48
Elizabeth Michael
Рет қаралды 23 М.
Huba jumatano hii ijayo
1:58
Gado Baden
Рет қаралды 1,9 М.
Mimi S01Ep18 (TV Series)
24:02
Elizabeth Michael
Рет қаралды 23 М.
SAMAHANI ASANTE | ep 19|
19:50
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 68 М.
Mimi S01Ep08 (TV Series)
22:03
Elizabeth Michael
Рет қаралды 28 М.
Mimi S01Ep15 (TV Series)
26:10
Elizabeth Michael
Рет қаралды 27 М.
MY DAUGHTER  I ep 12 I
16:21
CLAM VEVO
Рет қаралды 365 М.
MKOBA WA MAMA Episode [ 28 ] {S2 }  Tradition & Love story
38:09
TANU PLUS+
Рет қаралды 3,2 М.
Mimi S01Ep36 (TV Series)
25:56
Elizabeth Michael
Рет қаралды 24 М.