MIRAJI |CHAMA ANASAJILIWA YANGA SISI BADO MAZUNGUMZO NAE| BRAND YA CHAMA WATU WAMEMSAHAU MUTALE😢

  Рет қаралды 75,028

Finest Online

Finest Online

10 күн бұрын

Пікірлер: 344
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 8 күн бұрын
Hatimae na miraji huyu hapo sasa hapa moyo wangu burudanii mzee saidi nishamsikiliza ❤❤
@ifmknowledgepower7333
@ifmknowledgepower7333 8 күн бұрын
Miraji Mimi nakuombea siku moja uje kuwa moja ya viongozi pale Simba, akili kubwa sana mwana unayo 🎉
@errydeo8865
@errydeo8865 6 күн бұрын
Kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti!! Kwa UZOEFU gani! Kwa historia gani ya uongozi hata wa timu ya mtaa? Kuongea bila kuwa na majukumu is easy! Uongozi sio kitu rahisi!
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 8 күн бұрын
Miraji kuna muda nakuelewa kuna muda sikuelewi lakini all n all❤❤❤uu
@stevensosipita
@stevensosipita 8 күн бұрын
Milaji taratibu mabega ya chagamba tunamtegea usije kumtengua
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 8 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@moseskmbusi2149
@moseskmbusi2149 8 күн бұрын
Tunamtegemea hasa hasa kwa ajili ya mazungumzo na mzee wetu saidi, bhana
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 8 күн бұрын
Tofauti ya miraji na mzee said ni : Chagamba akimuhoji mzee said anapata faraja na kucheka Miraji xaxa ni kipigo tuuu
@moseskmbusi2149
@moseskmbusi2149 8 күн бұрын
@@B.M-ix4rz ni sawa lkn miraji huwa anaficha ukweli ana dili na ushabiki wa timu, lkn mzee side ni mkweli mtupu tena anasema potelea pote tunazaliwa mara moja na tunakufa mara moja na kww kuwa wamezoea kuteka na kutuweka ndan watatuweka ndani mno
@stevensosipita
@stevensosipita 8 күн бұрын
@@B.M-ix4rz dah namuonea huruma sana chagamba si kwa mikofi hiyo ila mwambieni miraji anamuumiza sana chagamba
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 8 күн бұрын
KIBU DANIS is Fantastic PLAYER MAKOCHA wote wakubwa waliopita SIMBA, wamemkubali SIMBA
@drallan6879
@drallan6879 8 күн бұрын
kibu Denis sio fantastic goal moja Kwa msimu assist moja huo ufantastic upo wapi?
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 8 күн бұрын
Vp kuhusu Chama
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 8 күн бұрын
@@drallan6879 MPIRA NI ZAID YA GOLI NA ASSIST. GOLI NI MCHAKATO, NA ASSIST NI MCHAKATO. Watoto wajuZi hawajui MPIRA
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 8 күн бұрын
@@drallan6879 NGOLO KANTE Ana GOLI ngapi na assist ngapi???
@twalibkibiriti8990
@twalibkibiriti8990 7 күн бұрын
Na ilikuwa mnampiga mawe vbaya mnooo
@HakimBakar
@HakimBakar 8 күн бұрын
CR7
@AllyMagige
@AllyMagige 8 күн бұрын
Miraji bigap
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 8 күн бұрын
Akili kubwa miraji, hongera broo
@user-kw3bq4mb2l
@user-kw3bq4mb2l 8 күн бұрын
Jamaaa anajua sana soka👏👏
@majaliwaandulile8379
@majaliwaandulile8379 8 күн бұрын
Hapo miraji ndiyo napokukubali ukweli wako tu
@josephsiame5373
@josephsiame5373 8 күн бұрын
Hakuna asiyempenda chama ila ndugu kunawakati usiwe mtumwa wa mapenzi utajikuta kubaki hapohapo bila maendeleo
@denishaule6314
@denishaule6314 8 күн бұрын
What he has said is its ok for him to leave but simber fc must recognize his contribution to simba…respect kwa chagamba
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 8 күн бұрын
Kwahiyo Bora umchukie mtu bila 7bu
@trice_yanga
@trice_yanga 7 күн бұрын
shida ni baadhi ya mashabiki huwa hatujielewi unakuta unamtukana mchezaji mpira haupo hivo
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j 8 күн бұрын
Yes,akitoa MZEE SAID anafuata MIRAJI Mahojiano bora sana this moment CHAGAMBA
@alexsikab6433
@alexsikab6433 8 күн бұрын
Siwezi kumzarau chama juu ameyafanya mengi kwa ajili ya Simba nitamuweka moyoni ijapokuwa amehenda utopolo nitamshabikia lakini mm Niko Simba 100%
@user-fi2gf6ks7h
@user-fi2gf6ks7h 2 күн бұрын
Kolo tulia acha uboya makolo ni mafala
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 6 күн бұрын
MIRAJI kwakwel wewe unaujuwa mpira pamoja na management yeyote ya mpira wa miguu..! upo vizuri sana nakukubali.....!
@user-cv4yi5hz9b
@user-cv4yi5hz9b 8 күн бұрын
Tunapiga kweny mshono 7:01 🔜🤲🏻🤲🏻🏆💚💚 yanga bingwa 🏆🏆😊😊😊
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo 8 күн бұрын
Miraji miraji chama ameisha usifananishe na kibu Denis mwenyewe huamini kama anaweza cheza dakika 90 apo TU umekiri mwenyewe Sasa wanini na mshahara wake unaujua pia chama mpira ukimshinda anachochea migomo kwa wachezaji wengine kamuharibu phiri na miqsoni kaizoea timu vibaya adi viongozi anawadharau aende apisha wachezaji wa kisasa ww Kaa utulie
@josinatrderss
@josinatrderss 8 күн бұрын
Miraji ulisema unasubiri thenk you ya chama.leo unalaimu uongozi na unajua ni duka ,inonga na manura yote ni maduka
@deonatusdaud4640
@deonatusdaud4640 7 күн бұрын
Uwe unaskiliza kwa makini..anachokikataa milaji n zarau anazoletewa chamq n viongozi..
@SimonSamson-wp5ik
@SimonSamson-wp5ik 7 күн бұрын
Wewe chiz subili sasa c ndo msimu imefka toa unayoamin maduka afu tuone kama hata utachukua hata kikombe Cha chai ndo maana munaitwa madunduka 😂
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 8 күн бұрын
Maneno ya maana kama haya ya Miraji huwezi kuyapata kwa Kisugu CHAWA, mzaramo TUMBO wala yule KOFIA la JOKERI...!...Big up Miraji
@user-ht5tc5yv5t
@user-ht5tc5yv5t 8 күн бұрын
Hahahaaaa kofia la joker😂😂😂 kinaitwa pass million
@JacksonFrances
@JacksonFrances 8 күн бұрын
😂😅😂😅 Eti Kofia La Jokeli "
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 8 күн бұрын
Kocha aliyepo haitaji kutengeneza mifumo kumzunguka Chama swali ni kwanini siku za hivi karibun makocha wengi walioingia Simba hawakuwa wakimuelewa
@BADILIJUSTUS-fs3oo
@BADILIJUSTUS-fs3oo 8 күн бұрын
Amechoka tumejivua mzigo mkubwa kabisa chama alikuwa ashachoka hawezi ata kukimbia huku nahuku timu inacheza kumzunguka yeye mbona mwanzo alikuwa anazunguka Kila sehemu kiungo kiungo et ndio tatizo kubwa Simba kwanini wakati chama yupo kwani hakuwaga namba nane mwanzo amechoka atafia yanga huko
@user-jo5ts1se2i
@user-jo5ts1se2i 8 күн бұрын
Simba
@omarysauti7450
@omarysauti7450 8 күн бұрын
Chama kaenda sawa ❤tunaomba mtuletee wazur zaid maana mtatuuwa
@dicksonfondo3078
@dicksonfondo3078 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂hamtakufa bn ila chamoto mtakiona
@IbraMwakipesile
@IbraMwakipesile 8 күн бұрын
Mimi nakubali maneno Yako miraji napenda ukweli Bado usajili Mimi sielewi kabisaaaa
@mikidadymanga1346
@mikidadymanga1346 8 күн бұрын
Appreciate you ankor l@miraj
@paschaziaalobati9946
@paschaziaalobati9946 5 күн бұрын
Nakukubali kabisa
@AbasiyaKingalu
@AbasiyaKingalu 8 күн бұрын
Yupo kwa ulaya alikuwa Michael Owen alikuwa Manchester United kaenda Liverpool na akarud ten Manchester United babaaa
@deniwisdomsanga6561
@deniwisdomsanga6561 8 күн бұрын
Owen hakuwahi rudi Liverpool
@jumamgeni6403
@jumamgeni6403 8 күн бұрын
Mimi niyanga rakini milaji unakuwaga mkwer xan tatizo mpira we2 unaendeshwa kisiasa
@Sanjey-vp1fm
@Sanjey-vp1fm 8 күн бұрын
Cc tunaumia zaidi tukifungwa na mtani na kwenye gem zetu na mtani chama was nothing alikua anatuhujumu kwenye gem izo lkn c kwamba chama kashuka kiwango hapana. Tunampenda sana, katufurahisha sana lkn mechi za mtani kutuhujumu bora aende tu.
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 8 күн бұрын
Una uhakika?
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 8 күн бұрын
​@@mohdkhatib223bado dawa haijawaingia ngoja ligi ianze tuwape ingine
@chrisantusnditi8670
@chrisantusnditi8670 7 күн бұрын
Kwani uwanjani alikuwa anacheza Chama peke yake?Iweje awe anaihujumu Simba?Ni mara ngapi Simba wamepata matokeo wakati Chama yupo benchi?Kwa misimu miwili ya nyuma kabla huu wa 2024,umeangalia namba za Chama akiwa Simba?Unatambau kwanini namba za Chama mwaka 2023/2024 kwanini zinaonekana zimeshuka?Mambo mengi na muda mchache, subiri matendo kwenye uwanja kwa tripple C,hapo utajifunza kitu
@user-ic2cb9gm2j
@user-ic2cb9gm2j 8 күн бұрын
Miraji akilii yko ni level nyengine lkini wengine ni mavuvuzelaa
@ifmknowledgepower7333
@ifmknowledgepower7333 8 күн бұрын
Viongozi wawe watulivu kiakili kumudu mambo kukaa kwenye mstali mnyoofu🎉
@emmanuellongon3136
@emmanuellongon3136 8 күн бұрын
Chama hakimbiii ,hauwezi kuwa na mchezaji ambaye amekuwa mkubwa kuliko timu
@user-vr6wt5rr5v
@user-vr6wt5rr5v 8 күн бұрын
Nakubali sana wanaa 😂😂ila chama tumesha mubeba imeisha iyooo 💛💚💛💚😂😂
@raphaeltanzania
@raphaeltanzania 8 күн бұрын
miraji umeongea vema kabisa na chama alistahili thank you mapema mno ili kutuliza mioyo yetu hapa wanatugawa na kutusambalatisha vilivyo viongozi wetu
@Izzoh2021
@Izzoh2021 8 күн бұрын
Miraji huo ndio udunduka mlio nao unamwacha mtu mwenye magoli 10 unampa mkataba mtu mwenye goli moja kibu hohohoh,chama hamjamwacha chama ndiye kawaacha hohoho ndio mana bado wanamtaka uwongozi wa simba haujielewi na hawajui nn wanataka
@mzongekibwana838
@mzongekibwana838 7 күн бұрын
😂😂😂chagamba ilo bango la BIMA miraji atalitoboa😅😅😅
@adamchihungi
@adamchihungi 8 күн бұрын
Sasa milaji Chama angepewa thank you mapema wakati mkataba wake ulikuwa unaishia mwezi wa Sita mwishoni
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 7 күн бұрын
Labda angemlipa yeye kuvunja mkataba 😂
@ReginadAloyce
@ReginadAloyce 8 күн бұрын
Gambaaa chagambaaaaaa 🎉🎉gambaaa baba
@idiidi-rq5gk
@idiidi-rq5gk 7 күн бұрын
Yebhagamwe
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 8 күн бұрын
Kweli kaka miraji pale msemaji Mimi Kila siku namwambia msemaji asipende kumsifia wachezaji wanarogwa kabra hata awaingia uwanjani,mfani ukuta wa yeriko onana Fredi fungafunga babakari Sali tuliambiwa alimkaba ronado sasa yakowapi niwengi mno
@JamesKatabazi-sf3pf
@JamesKatabazi-sf3pf 8 күн бұрын
Mabega hyo miraji utatuulia ch@gamba wetu
@McbarakaeventsTz
@McbarakaeventsTz 6 күн бұрын
MIRAJI ni mtu wa football na anajua sana 🫡🫡
@ifmknowledgepower7333
@ifmknowledgepower7333 8 күн бұрын
Hekima ya Neno hili limenijenga zaidi "Kunawakati lazima upoteze unachokipenda ili kikujenge kuwa imara zaidi, lakini kama haujajitambua kinaweza kikakupoteza au kukuharibu zaidi🎉🎉
@yanshuking
@yanshuking 8 күн бұрын
Ahmed ally ni msenge sana abaporojo nying mno wanamtumia vby mno
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 7 күн бұрын
Miraji nakuelewa sana, tutakuja kuaibika halaf tutatafuta majib ya nn kimetokea
@user-uf6rp7pp2l
@user-uf6rp7pp2l 7 күн бұрын
Miraj always namuelewa ila leo naona kuna sehemu tumetofautiana kimawazo na kiuelewa! Binafsi ishu ya chama kuondok lazima ingeleta tuu mgawanyiko kwa mashabik na hili wala sio ttzo la viongozi coz huwez control hisia za watu. Lkn pia Chama amekuwa legend wa simba soo kitendo cha yeye kwenda kusign kwa wapinzani wakubwa wa simba lazima wangetokea watu kum-crush. Mfano ikitokea leo mchezaj kipenzi wa Al-ahli akaenda zamalek jua kuna mashabik wengi watam-crush kwa sabb hyo. Soo nafikir issue ya chama wala viongozi hawajatugombanisha bali ni hisia tuu za baadhi ya mashabiki baada ya yy kuhamia kwa wapinzani.
@Shadia544
@Shadia544 8 күн бұрын
😂😂😂Miraji na chagamba jamaniii nilikuwa namsubili miraji na chagamba wangu 😂😂😂CHAGAMBA LEO BEGA HUNA 😂😂😂😂😂
@jamesmakaranga1170
@jamesmakaranga1170 8 күн бұрын
😊
@JeanclaudeCiza-tw5ee
@JeanclaudeCiza-tw5ee 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@chricjoseph1340
@chricjoseph1340 8 күн бұрын
Miraji kaumia chama kuondoka bn Hana lolote😂😂😂😂
@davidjohn540
@davidjohn540 8 күн бұрын
Hapo Miraji unazingua, kwahiyo mchezaji haiangaliwi kwenye Namba zake tu. Na huwezi kumpa Chama heshima kubwa hivyo kuliko Club, bro haipo hiyo kwanza utambue mchezaji wako alishakuwa na mahusiano na maadui kitambo na alishaonesha utovu wa nidhamu kitambo. Kuhusu THANK YOU haikubaki yake tu zipo nyingi zinakuja
@deonatusdaud4640
@deonatusdaud4640 7 күн бұрын
unausibitisho...???
@MusaDadi-pd3jd
@MusaDadi-pd3jd 8 күн бұрын
Miraji kama kuna mtu imemuuma sana chama kwenda huko utopoloni amfuate huko aliko Atuachie simba yetu
@user-fi2gf6ks7h
@user-fi2gf6ks7h 2 күн бұрын
Lazima chama awapige bao nyie makolo kwinyo
@JosephLamau-yq1lx
@JosephLamau-yq1lx 8 күн бұрын
Sawa miraji Mimi mpenzi clip zako zote kwa hili😮😢😢unakosra Acha Aende
@SuleimanIbrahim-lp7qs
@SuleimanIbrahim-lp7qs 8 күн бұрын
Kaka miraji umengea vibaya sana asante
@aloycebina8968
@aloycebina8968 7 күн бұрын
Watu atujachukia chama kuondoka watu wanamchukia chama kwenda yanga labda ujaelewa
@hassanramadhani2816
@hassanramadhani2816 8 күн бұрын
Uko vizuri miraji
@FredyPeter-rq8hj
@FredyPeter-rq8hj 8 күн бұрын
mabega hayo unapo kuwa unamuhoji milaji unatakiwa uwe nagad yatakuja kung'oka ❤❤
@bauchahamad5333
@bauchahamad5333 6 күн бұрын
Chagamba Huna mpango wowote basi nenda yanga ujinga tu nenda kwa mzee mwenzako
@DanielChaula
@DanielChaula 8 күн бұрын
Cr9
@user-zr9jl3hn6c
@user-zr9jl3hn6c 7 күн бұрын
Miraji upo sahihi kabisa, chama sio tatizo la Simba kushuka
@EdsonMdagachule
@EdsonMdagachule 8 күн бұрын
Kaka Miraji yupo sahihi kabisa
@azizimaketa2060
@azizimaketa2060 8 күн бұрын
Hatuwezi kuathirika kila jambo lina muda wake. Hakuna mtego hapo Hata Kibu mm simkubali angeondoka tuu nae
@mussaandrew2083
@mussaandrew2083 7 күн бұрын
Naam Chama ni mkubwa
@user-wm4nq2vk2e
@user-wm4nq2vk2e 7 күн бұрын
Wewe ndo una matatizo ya kumganda mchezaji mmoja😊
@mrajani786
@mrajani786 6 күн бұрын
Huyu ansema mtego maana yake nini Wewe haufamu chama gari model ya zamani lifetime yake ni Mwaka moja tuu na chama alikuwa anataka dola milloni moja mkataba mpya hata mo alikuwa full stop
@muhidiniwadhifa3600
@muhidiniwadhifa3600 7 күн бұрын
Kila kitu kinamwisho wake wacheni mambo yenu hayo aachwe waje wengine, unamkumbuka madaraka sleiman , Nteze John , Suleiman Matola
@user-ms8nt6ql9k
@user-ms8nt6ql9k 6 күн бұрын
Yani miraji bwnaa
@user-yy8sd9ib5b
@user-yy8sd9ib5b 8 күн бұрын
Nimekusoma mzee baba
@user-xz2vl8up5e
@user-xz2vl8up5e 8 күн бұрын
miraji acha jaziba hakuna anae ubeza ukubwa wa chama au uwezo wa chama miraji tukubali mabadiliko tunaitaji kzazi kpya Tim ilisha poteza muelekeo tunaitaji kuijenga Simba mpya bila chama
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 8 күн бұрын
Miraji unakuwaga na mihemko sana .. siyo siku ile tumepigwa tano ulisema kuna wachezaji wametupigisha shoti? Siku ile Chama wamegomabana fitness coach hukusema Chama ni tatizo? Leo unalalamika nn Chama kuachwa?
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 7 күн бұрын
Ronald kwend Madrid kurud United au sio dabi
@ngwilunyiga2447
@ngwilunyiga2447 7 күн бұрын
Mambo bado san simba inatisha sijuwi itawaje
@kigura_jr
@kigura_jr 7 күн бұрын
Hivi chagamba unawezaje kuhimili makofi makubwamakubwa hvo kutoka kwa miraji 😂😂😂
@betrosychangula5581
@betrosychangula5581 8 күн бұрын
Miraj hapo unafel cham hadharauliw ila watu wanataka kumwondoa mioyon mwao tunapaxwa kuwafikilia wanao kuja kuitumikia ximba xio chama tena tumwache aende alafu unalazimixha thank you y cham ilitakiwa mapema kixhelia ulitak ximba wamlipe kw xabab mkatab wake ulikuwa hauja ixha n ndio maan hata yanga wamexbir mbak amalize mkatab wak ndio wamtangaze
@NathanChilwa
@NathanChilwa 8 күн бұрын
chagamba we mvumilivu sana Kwa hayo makofi ya miraji
@user-ib2ew9ec3d
@user-ib2ew9ec3d 7 күн бұрын
Acha ushamba Broo chama ninani achaufala aendetu nimaamuzi yake
@user-zy6vq6lz7z
@user-zy6vq6lz7z 5 күн бұрын
Acha na wewe hapo Umefeli ulitaka abaki hadi lini, tuambie
@ChristopherMoshi
@ChristopherMoshi 8 күн бұрын
Milaji uko sahihi viongozi hatuna aseee
@josephshishira6301
@josephshishira6301 8 күн бұрын
Chama hakupewa thank u mapema kwa sababu mkataba wake ulikuwa unaisha trh 30 Juni
@mgomaadamu8498
@mgomaadamu8498 8 күн бұрын
Kwani mpaka leo wameshampa thank you?
@amaniomar1755
@amaniomar1755 8 күн бұрын
Mwamba Maramoja nlikua nakungoja sana
@AmanziRajabu
@AmanziRajabu 7 күн бұрын
Miraji utamuuwa chagamba sio Kwa mikof iyo ya bega
@WILLIAMBONIFACE-zh9hv
@WILLIAMBONIFACE-zh9hv 8 күн бұрын
❤❤namkubalisana milaji bigap
@user-sy4wf5ll4o
@user-sy4wf5ll4o 7 күн бұрын
Ahamed Ali muambieni aache kuwasifia wachezaji sana anawapaka mafta mno hiz nisimba na yanga babu
@user-ls9ig9lk3t
@user-ls9ig9lk3t 8 күн бұрын
Mwanangu miraji aka benchika
@nicholausnoely6190
@nicholausnoely6190 7 күн бұрын
Miraji utamvunja bega chagamba
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 8 күн бұрын
Chagamba miraji big up
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 8 күн бұрын
we miraji ni mpumbavu sijwahi kuona ata siku moja, uizungumzie simba vizuri kila siku nikuitoa kasoro hakuna ata siku moja ukaiongelea kwa uzuri.
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 8 күн бұрын
Huyu nae ni mnafiki sana. Juzi tu yeye ndie aliyekuwa anaongoza kutaka Chama aachwe kisa tu alishiriki kuhujumu mechi ya goli 5 Simba ilipo fungwa na utopolo.
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 8 күн бұрын
wewe ulitaka akae mpaka mpira uishe???acha aende zake uko utopolo fc ,SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤🎉🎉🎉WAKALI WA KARIAKOO
@januarysungura8119
@januarysungura8119 8 күн бұрын
Wewe hamia naye yanga kwani kama mkiwaambia tu walete wachezaji zaidi unatatizo gani , kwanini tumsifie mke wa jirani ? Usitake kutuingiza kwenye biashara za watu wewe au huoni kuendelea kumpamba chama ni kuipamba yanga, hata kama akienda akirudi tutampokea ila kwa sasa tunatamba na timu yetu
@user-fq5lh1uu6d
@user-fq5lh1uu6d 7 күн бұрын
Miraji cku atakuja kumuwamba makofi chagamba bila kutaraji 😂😂😂 au kumvunja mabega kabsa😂😂😂
@TwahiliSelemani-j7f
@TwahiliSelemani-j7f 8 күн бұрын
Mwamba uko vizr sana
@KayandaJoel
@KayandaJoel 5 күн бұрын
Milaji anamzuka
@paschalcleophace9628
@paschalcleophace9628 8 күн бұрын
Miraji utamuumiza mabega chagamba 😂😂😂
@abdulahabdi480
@abdulahabdi480 6 күн бұрын
Miraji utamumiza huyo chagamba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@graysonpiggy5304
@graysonpiggy5304 7 күн бұрын
Kwel
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 8 күн бұрын
Milaji uko pw sana🎉🎉🎉🎉🎉
@winfridapeter9455
@winfridapeter9455 6 күн бұрын
Panadol umekunywa chagamba😅😅😅
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 8 күн бұрын
Sasa nani kagawanyika sisi mashabiki tume mupa kilalaheli kwenye timu yake mupya kwani chama ni mwana chama wa simba tambuwa wachezaji Wana pita
@NajimaAbduli
@NajimaAbduli 8 күн бұрын
Hata boss wetu ni msenge mtu hana maamuzi ya haraka
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 7 күн бұрын
Kama unamtaka Chama ondoka naye, ulitaka Chama abebwe mgongoni..?
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 8 күн бұрын
Wewe acha kuchochea ujinga waache viongozi watengeneze timu huwo ni ujinga au nawewe ni utopolo
@hamiduomar1316
@hamiduomar1316 7 күн бұрын
Ttzo wenzako roho zinawauma hao wachambuz koko c makolo wenzako hawakutaka awe mwananch na bdo watazidi kuumia wachambuzi wenyewe hawajacheza mpira hao
@ibrabetho3450
@ibrabetho3450 8 күн бұрын
Aliondoka okwi kwenda utopolo kumbuka ulitaka chama akae milele Simba
@veelmng7746
@veelmng7746 8 күн бұрын
Mchammbuzi na Shabiki bora kabisa Tanzania always anaongea mpira
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4,9 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
DRUMS OF WAR: Why THIS must be handled with extreme Caution…
24:11
Самое Романтичное Видео ❤️
00:16
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4,9 МЛН