Kwani Samia anazitoa wapi? Hizi ni pesa za kodi zetu siyo za Samia.
@malackedson77062 ай бұрын
Huyuu mzee tumusapoti sauti ya watanzania.
@OmmyJames-xn7ji2 ай бұрын
SAUTI YA VIBAKA UCHWARA 😢😢😢😢😢
@hasanimkamba83772 ай бұрын
huyu Hana jipya tena
@christinenyagiro66622 ай бұрын
Na ninyi mnayempinga Dr. Slaa mmefanya nini zaidi ya kutuibia kila leo? Watu mnawalisha uovu tu
@christinenyagiro66622 ай бұрын
Hizo pesa zote wanazoiba ni pesa zetu zinazoibiwa zote kwani kuna nini siku hizi watu wanajua hata kamamnatutadanganya sana
@abassjuma62482 ай бұрын
MZEE unaonekana umepania kugombanisha wa Tanzania
@FrankMwakatundu-cu6bd2 ай бұрын
Labda Samia atapita kwa kishindo Kwa ujambazi lakini Kwa halali kamwe hawezi ndiyo mana ya FIGISU FIGISU NYINGI!!!!
@mbagalacharambe1142 ай бұрын
Mmmh hapo sasa TAMISEMI naona uongo kabisa
@lindajohansen92202 ай бұрын
Kama upo tamisemi tumia akili wewe. Uliona wapi mtu anamuweka mkwewe kwenye nafasi nyeti ktk nchi? Uchaguzi ni haki yetu watanzania, sio kutulazimisha kwa wizi wa kura na porojo za kishamba. washenzi wasio na maana ktk nchi yetu hawana maana lazima sauti zipazwe!
@charlesngalison75542 ай бұрын
Asante Dr Slaa umetufungua macho
@henerichmombury26822 ай бұрын
Uongo wake ni upi ndugu. Naomba unifunue nami.
@moddysunshine66182 ай бұрын
Mzee tulia tunakuandalia Ubalozi Canada
@hamidmussa8382 ай бұрын
Kwani Mzee vipi kwani utambea Mara hii?
@isimailijemedari2 ай бұрын
Chawa mtu mzima
@SengalaRajabu2 ай бұрын
Slaaha kuwa wazi ,sisi wazee tunatakiwa kuwa wakweli ,ndipo Nchi itakuwa na ukweli,simama kwenye haki pesa isikusumbue pesa kwa mtu anaejuwa pesa hasumbuliwi na pesa.Nimapito yamuda tu.
@fredrickmwakalinga63902 ай бұрын
Huyu mama hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi nashindwa kuelewa ccm wanambeba kwa sababu gani mtu anaiteketeza bara inamaana hawaoni au uchama bora kuliko maisha ya vizazi vyetu ?
@ShesheKaoneka2 ай бұрын
Huyu mzee ana laana ya kanisa, tumuonee huruma hana jipya.
WEWE MZEE MSALITI NIKUULIZE KWANZA UMEFANYA NINI NCHI HI ZAIDI YA UCHOCHEZI NA UNAFIKI WAKO ULIO JAA NAO KATIKA MAUMBILE YAKO TUMEKUCHOKA UTAKUFA KIFO KIBAYA TUBU KWANZA UMALIZE UHAI WAKO
@gidongailo71742 ай бұрын
Una maana gani unapomuuliza kafanya nini katika nchi?
@PhillipMwakibolwa-kp2fd2 ай бұрын
Mjinga wewe
@usembiphonedar56322 ай бұрын
Kama wewe hujaona kazi alizofanya katika Taifa hili, wewe unataka akufanyie kazi gani??? Wewe umefanya nn kwenye Taifa hili mpaka sasa kwa umri wako!? Hapo Dr.Slaa amefanya uchochezi gani?? uchawa wako peleka huko kwenu!
@colombanipaulo89532 ай бұрын
Hujui historia ya huyu mzee kwa hiyo hutajua amefanya nn kwenye nchi hii.
@brycesonmwamengo19762 ай бұрын
Swala uelewa lina uhusiano na uwezo wako wa kielimu! Na Elimu ni swala lako na wazazi wako. Ili uweze kuzungumzia chama kufanya nini tukiulize kiliwahia kukusanya kodi wapi? Na je wanaokusanya kodi Kwa miaka 60 wameweza kujengea wananchi miundombinu ya maji???? @@colombanipaulo8953
@ashbilan132 ай бұрын
Hee mbona anaongea mwingine body guard 8:04 na wewe umeshika micrafone 🎉😂😅
@MalkiadiNaano2 ай бұрын
Hapa sa🎉sa unachololoma ni nini, ? Kama kazi imefanyika na wananchi wanajionea kwa macho yao na ktk maeneo yao sasa uchochezi haupati mahali poleni sana,sisi ambao mtatuita wananchi wa kawaida na ninyi ni wananchi wa kundi ipi?ccm hoyee
@seifmbembe2 ай бұрын
Nyie tuonyesheni choo tu chakulipia mmejenga wapi magari mliopewa kwa msaada yapo kwenye mawe anzeni kwanza kuyatengeneza ndio muanze kupiga kelele za debe tupu watu washawajua lengo leni
@bulayankondo94592 ай бұрын
Hata kama ana kosa la usalti,lakini sasa hata hizo hoja anazotoa ni usalti?
@AhmedSalum-s9m2 ай бұрын
Slaa huaminiki hatukuamini
@ndimimaskati36412 ай бұрын
Ccm imefanya nchi ni ya familia zao.
@hassandaisa71572 ай бұрын
Huyu ni mpuuzi kwaiyo walitaka serikali isionyeshe wananchi mafanikio yaliyofanyika hali silah anaona uchungu
@fidelismwakanyamale67872 ай бұрын
Uzee maji ya moto ajuwi anaongea nini.
@RichardMsagatwa-k3w2 ай бұрын
Tcty
@OmmyJames-xn7ji2 ай бұрын
SSH HANA MPINZANI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@yosephatMasanyiwa-oh1rl2 ай бұрын
Kvp! Nyie ndo mnaosumbua taifa hili, sijui shule zinajengwa kwann tu kama bado mbuzi wengi kiasi hiki
@ashbilan132 ай бұрын
Lione linaongea nini lingepelekwa Sweden lingenyamaza Dr Samia oyeeeeee atapita kwa vishindo utaona wewe ulie tuu kwani ni uongo wewe huoni anachofanya wewe pumzika huko umeezeeka babu
@evelina96212 ай бұрын
Kuzindiliwa.kutia.watu.changa.la. Macho
@AhmedSalum-s9m2 ай бұрын
Tatizo wewe siomwenzetu hatukuamini ulitusaliti ni msaliti
@IssaAbdallah-rt2sh2 ай бұрын
We mzee jiangalie maishayako .huna hata aibu mnafiki mkubwa wewe
@yahyadenny43682 ай бұрын
Wewe ni domo ropokwa huna lolote ,ni machafu uliyoyafanya huko nyuma, uliingiza silaha kwa niaba ya makanisa ,uliina pesa za ujio wa papa ukafukuzwa ukatibu mkuu wa kanisa katoliki, ulijiunga na upinzani chadema baadaye ukarudi ccm na baadaye upo chadema, utadhani mwanamke Malaya. Acha upuuzi wako wee fala.