Kitu Zitto Kabwe ameongea mbele ya Rais Magufuli Kigoma

  Рет қаралды 104,712

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Пікірлер: 48
@safari20091
@safari20091 7 жыл бұрын
Mimi nilidhani somo la Democrasia na Uzalendo lianze kufundishwa kuanzia ngazi ya shule za msingi, kwa kumaanisha. Ni Kazi sana kumuelewesha MTU aliyekomaa akakuelewa, tukianza na watoto itatusaidia. Watu wanakazi ya kupinga Kila jambo lisemwalo na viongozi, liwe Nzuri wanapinga Tu!
@cheobaking1861
@cheobaking1861 4 жыл бұрын
Duuuhhhh zito we htr umebadilika tena hahahhaha kweli kunavinyonga w2
@tobokingeleja9555
@tobokingeleja9555 4 жыл бұрын
Huyu jamaa mnafiki sana
@johnathanas8205
@johnathanas8205 3 жыл бұрын
Genius uyo ww
@MakoyeAman
@MakoyeAman 7 жыл бұрын
hahahahahahaahahahahhaa Zitto bwana>> na huyo ndo zitto wa ACT ambayo watanzania tunaamini ni chama cha ukombozi>>>> #kaufyataMkia
@alinanusweedward3761
@alinanusweedward3761 6 жыл бұрын
ulitaka aikosoe serikali
@michanomichano4931
@michanomichano4931 7 жыл бұрын
yuda yuda yudaaasssss
@daktar_kapaku_natural529
@daktar_kapaku_natural529 4 жыл бұрын
Hilo ndio tatzo lako zitto umekua nimtu usie na msimamo wewe ndio msaliti wetu unakula kote kote dhambi yako itakutafuna
@janethmrishi5370
@janethmrishi5370 3 жыл бұрын
Umeonaeeee mbaya uyooooi anamtafuna rais wetu chini kwa chini uzuri watanzania tumeisha mjua ccm oyeeeeeee
@mnayahika8890
@mnayahika8890 7 жыл бұрын
Kweliiiiiiii
@edsonmwaibanje129
@edsonmwaibanje129 7 жыл бұрын
On point
@jesusnetworkministry
@jesusnetworkministry 4 жыл бұрын
Siasa bwana hahhahahahahah
@selemaninkiko5714
@selemaninkiko5714 7 жыл бұрын
Kweli tunataka maendeleo....
@gapablessgadison6863
@gapablessgadison6863 2 жыл бұрын
Nakuomba zito urudi bungeni maana unasema kwa hekima zote
@radhiasalum833
@radhiasalum833 7 жыл бұрын
rahaaaa
@fatumamaiga8496
@fatumamaiga8496 3 жыл бұрын
Unatembea na unafiki wako we Ni hatari sana
@manyweletheboss6053
@manyweletheboss6053 7 жыл бұрын
kigoma unga bei gani watu wanashindia pipi kutwa mzima
@selemaninkiko5714
@selemaninkiko5714 7 жыл бұрын
Manywele Theboss kigoma ya wap hyo wanashindia pipi
@janethmrishi5370
@janethmrishi5370 3 жыл бұрын
Labda wew ndy unashindia pipi sisi tunakula kutwa Mara tatu ukiwa mvivu kweli utashindia pipi
@janethmrishi5370
@janethmrishi5370 3 жыл бұрын
@@selemaninkiko5714 muongo huyo jamaaa ndy wasaliti wenyewe hao
@janethmrishi5370
@janethmrishi5370 3 жыл бұрын
Hu yo ndy uzarendo tunao utaka penye mazuri sifia ,,japo unamabaya yako
@petershuma1896
@petershuma1896 6 жыл бұрын
Saida kslor
@ccmmbweawajangwani3505
@ccmmbweawajangwani3505 4 жыл бұрын
Mnafki
@stevenseleli1410
@stevenseleli1410 7 жыл бұрын
Afrika bora wazungu wangeendelea kututawala tu tungekuwa mbali..
@merrysabina7798
@merrysabina7798 7 жыл бұрын
yuda tu mbona hiyo haitishi huyo ni mnafki
@daudimaguha9447
@daudimaguha9447 7 жыл бұрын
unajua ni vigumu, sana africa kuhusu democras, watu wanaona fahari mpinzani ambaye anapinga tu,naona coment nacheka wanataka upinzani wa akina, lema africa inahitaji utawala,
@safari20091
@safari20091 7 жыл бұрын
Wataelewa tu siku moja Rais anamaanisha nini, Badala ya kupima maendeleo, watu wanapimanisha vyama. Democrasia haiko hivyo.
@stanleyshedrack2386
@stanleyshedrack2386 7 жыл бұрын
Shobo tupu
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 жыл бұрын
Tuelewe maana ya siasa hawaeleweki
@lutusammid571
@lutusammid571 7 жыл бұрын
yuda escariot
@emmydzoo8729
@emmydzoo8729 4 жыл бұрын
Hata ujipendekeze hupati kura yang
@purryselestine4000
@purryselestine4000 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂magu anatamani amtie risasi zitto
@racheldauson9471
@racheldauson9471 5 жыл бұрын
Hahaha kumbe na ww umeliona hilo
@kpetres2872
@kpetres2872 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@halimambwego8287
@halimambwego8287 7 жыл бұрын
AYO umebinya leo si kawaida yako kulikoni jembe langu mtu wangu wa nguvu
@davidmtwigu4996
@davidmtwigu4996 7 жыл бұрын
yuda iskariote upo umekonda mbyaa au sio mbunge
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 3 жыл бұрын
Maendeleo ya kigoma yanaletwa na chama Cha CCM
@saidkipara3296
@saidkipara3296 3 жыл бұрын
Nyoo ata wengne hatukijui
@tripple_jonline5741
@tripple_jonline5741 7 жыл бұрын
zitto kabwe the best good leader magufuli mfikilie na zito kumpa uongoz
@ahmedmtani9428
@ahmedmtani9428 5 жыл бұрын
yuuuuuuuuda hiyo!!
@simonmajigop5890
@simonmajigop5890 7 жыл бұрын
ACT kwishenei hamna chenu tenaaa
@mmungalubunga4404
@mmungalubunga4404 4 жыл бұрын
Hapo sio bunge lazima aongey hivyo awezi kumzalilisha rais mbele ya uma
@khatibumwalimu591
@khatibumwalimu591 4 жыл бұрын
Kigeugeu mtoto wewe ila wewe ni muislamu itakugarimu tu kwa unafiki wako, utavuna ulicho panda
@ghtnimzee2417
@ghtnimzee2417 7 жыл бұрын
Njaaaaaa
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 7 жыл бұрын
KAMA NJAA YA MBOWE ALIVYOLIKARIBISHA FISADI LOWASSA CHADEMA KUUA UPINZANI. "NILITAKA KUSIMAMISHA MRADI WA RICHMOND/DOWANS LIKINI NILIPATA AMRI KUTOKA NGAZI ZA JUU KUENDELEA NA MRADI" vs " MRADI WA RICHMOND/DOWANS ULIKUWA MZURI KIASI CHA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MAREKANI( HILLARY CLINTON) KUJA KUZINDUA MRADI," FISADI LOWASSA.
@ghtnimzee2417
@ghtnimzee2417 7 жыл бұрын
Mwenyekiti alishaondoka, he will be the next to. Go.
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 7 жыл бұрын
NA BADO WATALITEUA TENA KUGOMBEA URAISI HALAFU LITASHINDWA KWA % KUBWA ZAIDI KULIKO LILIVYOSHINDWA 2015. BAADAYE WATATIA AKILI KWAMBA BABA WA TAIFA , MWL. NYERERE ALIKUWA SAHIHI KULIKATAA KUGOMBEYA URAISI!! HAHAHAHAHHAHA!!!!!
@emmanuelluoga46
@emmanuelluoga46 7 жыл бұрын
ZITO ANATIA AIBU KIKWELI
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 189 МЛН
MAGUFULI - "NILINYWESHWA SUMU, KIKWETE ALINIFUKUZA, SIKUKATA TAMAA"
33:43
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Global TV Online
Рет қаралды 553 М.
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,1 МЛН
SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"
11:24
Global TV Online
Рет қаралды 465 М.
ZITTO YAMKUTA BUNGENI / WABUNGE WATAKA AADHIBIWE / HUU NI UMALAYA
28:51
Gangana Info Channel
Рет қаралды 104 М.
Kicheko cha Mama Magufuli Igizo la Vijana Kumbukizi ya Hayati John Joseph Pombe Magufuli Kawekamo.
16:44
Archdiocese of Mwanza - Jimbo Kuu la Mwanza
Рет қаралды 190 М.