Рет қаралды 15,682
#fuvulamkwawa #chiefmkwawa
CHIFU ADAM ABDUL ADAM SAPI II MKWAWA MWAMUYINGA
Ni mtoto wa tano kuzaliwa katika familia ya watoto watano
Mama yake anaitwa Shamra Abdul Mkwawa
Ni mtoto wa kiume wa pekee
Alizaliwa Mwaka 2001 tarehe 10 mwezi wa 8 katika Hospitali ya Mkoa Iringa
Kwa Sasa anatarajia kujiunga na masomo yake kwa ujuzi wa Software engineering ngazi ya Diploma huko Malaysia