I love this man for free, open heart, down to earth, very composed, he loves God, humble the list continue, l prayed to God for his safe return, faithful God his back in one piece, a country needs people like him, may God protect him always.
@jackart37394 жыл бұрын
Kama bado unaangalia hi 2020march gonga like hapa
@ramadhanali25489 жыл бұрын
The BEST interview ever, Mo is wonderful, Salama tuletee watu kama hawa wenye muelekeo.
@Bbwaoy9 жыл бұрын
napenda sana kuangalia interviews za watu walio fanikiwa kimaisha au matajiri au the most successful individuals kwa lugha ya wenzetu... kitu ambacho nime jifunza toka nianze hii hurka ya kufatilia interviews za style hio.. ni kwamba "the most successful people think, act, speak, behave, almost 99% different from low life individuals" kitu kingine success needs TIME am gonna put that in capital letters... jamaa alianza 1998 kutafuta utajiri / biashara tuseme lakin its upto this moment ndio tumsikia sasa kua ana pesa according to FORBES, so take lets say 2013-1998= 15 years, so guy roughly ali hangaika for 15 Years kuweza kufika kwenye pick aliyopo sasa which shows a degree of patience and determination he has. Congratulations! at some point am inspired.
@salmaqueen43826 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde urudi salama kaka yetu na hao waliokuteka walaanike laana zote mbaya Amen..
@Emedroadtocanada6 жыл бұрын
tangia moo atekwe sina raha katika nafs yang na namuomba ALLAH amlinde huko aliko na inshaallah atapatikana akiwa salama. 2gther from soni lushoto tanga tanzania
@shekhekhandereizer5596 жыл бұрын
Emed Ibrahim sio ww tu brother laiti tungekuwa nauwz wakujua awa wachawi walipo asee kaka wangenda kututeka wote
@mohamedpius14596 жыл бұрын
Yaani tupo wengi roho inaniuma sana sina raha natamani hata nitambue alipo wapi ila naamini yupo salama Nina imani hyo mungu amsaidie
@gladnessmahimbo37796 жыл бұрын
Emed Ibrahim m
@bushiliapollo57905 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@husnatgamaah13356 жыл бұрын
Yaa Allah kama ulivyomvusha nabii yunnus kwenye tumbo la samaki, ya Allah kama ambavyo uliufanya moto kwa Nabii Ibrahim ukawa barid, Allah tunakuomba na huyu mja wako mo popote alipo umrudishe salama Yaa Rabb😢😢😢
@mercy85439 жыл бұрын
Kwakeli Mo Dewji anasema ukweli ...I give you lots of respect!!even in UK your dad help lots of Tanzanians. Please keep doing what your doing. And mkasi producer you have one of the best program in tanzania.
@soloelly29578 ай бұрын
Kati ya interview bora Tanzania, stay blessed for doing this.
@isayawilsonabongo48669 жыл бұрын
very inspiring...ni mfano mzuri kwa vijana wengine...kwa kweli tunatakiwa tuamke tukafanye kazi hasaaaaa....biashara. I salute you Mr. Mo....endelea kupambana ukawe mwanga kwa wengine....
@annaniasbyarugaba57885 жыл бұрын
Nani bado anaangalia November 2019
@chrissargeofficial96095 жыл бұрын
Mimi nipo nawe
@isshaqhamad76314 жыл бұрын
Na mm
@MaarufuChambuso9 ай бұрын
Mashaalwaa unamaona mungu akulinde boss umenipa mwangaza❤️❤️❤️
@luise-lottefidan57866 жыл бұрын
Sad that he is gone...poleni from Kenya living in Germany. Have learnt a lot from him Dankeschön
@nyash25426 жыл бұрын
luise-lotte Fidan gone???
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
What! Mo alifariki
@joellumala32067 жыл бұрын
Love the interview
@rayaali75516 жыл бұрын
Kaka mo nnakuombeaa duwaa kwa mungu yaaraby akulinde na akutowe kwenye makucha ya mayahudi haoo yaaraby akufanyiee kila la wepesi yaaraby mmungu awatiee imaani na huruma haoo walio kutekaa YAARABY mmungu watiee imaani kwakilaa aliee shiriki kwa kudhulumiwa kakayetu mo kama walivyo amrisha atekwee basi mmungu watiee imaani na uwafanyiee moyo mwepesi wakutowa ambri arejeshwe kwa usalama na afya yake YAARABY jaaliyaa mo wamrejeshe akiwa yuhaii AMEENA YAARABY 🙏🙏🙏🙏🤝🤝
@TheNdaki8 жыл бұрын
Hii ni interview nzuri Sana na pia nimejifunza mengi kupitia Mohamed Dewji. Natamani sana siku moja kufanya mambo kama haya aliohadisia... Ntajitaidi kutimiza aliyotushauri Mo. *Mungu nisaidie katika hili.Amen!
@salmaalimusa5475 жыл бұрын
AMIIN
@lashylewisy26653 жыл бұрын
2021
@hopemandelae4 жыл бұрын
Hii ni mojawepo wa shoo za mkasi zilizonipendeza sana....vijana tujitume na tuweke Mungu mbele.
@dennie30009 жыл бұрын
This was the best interview since nimeanza kuangalia mkasi.
@maggymm73029 жыл бұрын
+denis ildephonce with influential person
@christinanjau62017 жыл бұрын
denis ildephonce
@ashasheha44837 жыл бұрын
Mashaallah nakuomba uje kuwekeza na zanzibar ili tufarijike na sisi
@rahillhamidu17046 жыл бұрын
exactly
@adamrafikimwambuluma32885 жыл бұрын
kabisa
@princelee22646 жыл бұрын
Honesty is an expensive thing don't expect it from cheap people! I love this😘💕💕..........Jaman mrudisheni mo wetu ! Mungu simamia maisha ya mtu huyu Amen. Soon Mo atarudi akiwa salama naamini Mungu anaona hili kwani hawezi ruhusu mwenye haki wake ateseke kiasi hiki....
@ahmedalwy8 жыл бұрын
this is my favourite episode of mkasi,like that man,God bless u.got inspired by this man,need more interview like this.
@mzamiloothman63594 жыл бұрын
Zombi
@ahmedalwy4 жыл бұрын
@@mzamiloothman6359 zombie not zombi 🤣 mad man 🤣
@bettykibale44499 жыл бұрын
That's very great and inspiring !!
@frankbunini98983 жыл бұрын
It was a fantastic interview
@mdeeboy8466 жыл бұрын
Allah atamsaidia mja wake,vile vile serikali yetu imara inafanya kazi usiku na mchana,hivo kila kitu kitaenda sawa.Mungu Ibariki Tanzania
@fahdijabir12702 жыл бұрын
Salute kwako Dada Salama 🙋♂️🙋♂️🙋♂️
@nuruaud82719 жыл бұрын
Such an inspiration
@fraitmgala59662 жыл бұрын
Ndoto yangu ni kufungua kampuni kubwa ipo siku mungu atanifanyia wepesi ndoto yangu itakuwa Kweli ❣️❣️
@ingabireshakira96312 жыл бұрын
Allahum amina Mungu atajalia inshallah🙏🏼
@diamondplatnumz.9Mviews.2days Жыл бұрын
😂
@thabitngangila8562 Жыл бұрын
Kua na ndoto shida Je mpango wa company unao?
@tiktokTviral6 жыл бұрын
One of the greatest Gift from God is that kuwa huyu #MoDewji anayo hekima na always GOD WILL BE ON HIS SIDE ALL THE WAYS UP.. 🗽🌍🌟👌🙏😢
@mtoto_wa_kiba79mo_fayatz766 жыл бұрын
..Riba {Dhambi ya Riba ni Zaidi ya MTU aliyefanya mapenzi na Mama yake Mzazi}😊😊😊Tupige kazi,Pepo ni yetu sote
@abuumaisarah65955 жыл бұрын
Kweli kaka
@imanimatabula31096 жыл бұрын
Wow thanks Mohammed Dewj. Dah you have inspired me a lot.
@zahramunir85966 жыл бұрын
MO.. u r nice boy.! Mungu akulinde huko waliko kupeleka' maskiin kijana wewe wamekudhulumu.! subra kwa family na wazee wako.!
@florenceholmen83048 жыл бұрын
Duh! Learned a lot!!!! Bonge moja la interview👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@yahyashaaban18815 жыл бұрын
Mita ya nguo milion 100 duh ! Kwa siku/mwezi/mwaka br ? Wonderful hongera sana
@annastazyahemed10189 жыл бұрын
interview bomba kuliko zoteeeee....dah!inatia moyo sana
@malkiawarda83039 жыл бұрын
very inspiring interview
@nebatmwangomba84276 жыл бұрын
Dah mo hongera sana Mungu wako akutie nguvu sana kwa elimu hii nimejifunza kitu kikubwa. Nataman sana kufikia malengo hayo
@robin_MMM9 жыл бұрын
this is epic and inspiring.salama next time invite abubakar bahressa(son of said salim bahressa) for interview.I hear he is the master mind behind bahressa's success in business. we would like to hear something from him.
+Steven Mamba sio kila kosa linalofanywa na mtoto ndio kusema katumwa na mzazi wake
@geoffreyengatkinson9 жыл бұрын
+Steven Mamba but i think of you complain it wont change anything
@TheNdaki8 жыл бұрын
+Steven Mamba "The society prepares the crime..the criminal commits it" Ndo maana hata leo hii watu wameekewa sehemu za kuvukia barabara salama mfano "zebra cross" lakini hawazitumii badala yake wanajivukia ovyo sehem wanazotaka. *Maana ya mfano hapo juu ni kua Matatizo ya Tanzania yanatokana na mfumo ulioandaliwa au kutengenezwa na Taifa (Tanzania) ndio maana unakuta makosa hayo.
@jumamchina26986 жыл бұрын
poln
@lastbreezy49316 жыл бұрын
mashaallah kaka upo vizur Allah akulinde hilo na lingine
@anatymatiath45176 жыл бұрын
Jaman Masha Allah Mungu atamrudisha huyu kaka Wallah anahekima Sana Allah atamfanyia wepes arud salama
@parfaitkalemela71505 жыл бұрын
Naipenda interview hii 👍🏾✅
@jamaliyuda88028 жыл бұрын
more dewj lov u and keep it up.... binadam tumezoea kukosoa ucjal ndyo chachu ya maendeleo yako na kwetu sote hakuna aliyekamilika..........
@evammile78766 жыл бұрын
Eeh M/Mungu Naomba umlinde Huko aliko na utusaidie Apatikane Inshallah
@elizachota63617 жыл бұрын
🤗🤗jaman maneno yapo good san mmenifungua tumacho thanks mkasi na mo😗
@ibnhassan20034 жыл бұрын
dewji kasema anataka kufungua "benki zitazotoa mikopo midogo kwa riba nafuu" alafu salama akasema "in shaa allah mungu atakusaidia", ajui maskini kwamba Allah kwenye quran katangaza vita na wala riba
@K-STARGLOBALTRADERSCOLTD7 жыл бұрын
Salama please interview more great people like MO instead of bongo flavor artists only But so far it's the best show I've ever watched.big up
@hassanesaide84692 жыл бұрын
M
@muneramuhammad11346 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah mungu akubarikii akuepushe na hasad☝Baraka allah fikk❤
@saloujohn36396 жыл бұрын
Usijali kaka wanaosema umerithi,..u my champion bro..u so humble and mostly i like from u u so humble
@karthala66766 жыл бұрын
I feel for him and his family. Pray for him to be found safe and sound InshaAllah
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Allah akupe uzima uko uliko wakuachie ukiwa salama, najikuta nalia kwa mtihani huu uliokukumba, Allah mfanyie wepec mja wako aachiwe akiwa salama.
@salimhullk41346 жыл бұрын
Daaagh yani brother wangu umeniamsha akili yangu sanna na hadi sasa sijui upo wapi Umeniwachia Majiraha makubwa sanna na Namuomba mungu Akulinde na kila sharii By Salim Mohammed Awamy from znz
@AlAl-sd9pl3 жыл бұрын
Nemeipenda Sana mungu naomba unfungulie pazia LA mafanikio napia usinipe majivuno pale nitakapo fanikiwa 🙏🙏🙏🙏
@rebeccacheyo3 жыл бұрын
So good, Who’s watching in 2021?
@Relaxation_972 жыл бұрын
december 2022 naicheki tenaa
@benjaminmike97786 жыл бұрын
Sijawahi kumsikia mo ata ugomvi na mtu yeyot, MUNGU MSAIDIE HUKO ALIKO AWE SALAMA, AMIN
@rahillhamidu17046 жыл бұрын
ameen
@allahisone63868 ай бұрын
HADI SASA??? MANARA WALIKOSAN
@Elly_corner9 жыл бұрын
very inspiring....thanks for the show
@theafricanphilosopherqueen30326 жыл бұрын
Hongera,nimetazama kutoka Kenya,mwapendeza sana,mungu alinde Mo
@JosephAdam-e9w3 ай бұрын
Eti namm sikumoja ntakaa niesabu ata million nne🙏🙏🙏🙏
@GodfreyMwenesho-p6m28 күн бұрын
Usiogope Ndugu
@sakinaomar3016 жыл бұрын
Umenifundisha kitukikubwa MO M'Mungu akulinde akupe Afya njema miaka mianane
@karimkarachiwalla70739 ай бұрын
Very inspiring story from a fellow African.
@muneramuhammad11346 жыл бұрын
Allah y tawil umrak✋lkn towaa sadaka sanaa brother mungu akuhifadhy na akulinde na hasad👍👍👍❤❤❤
@halimamasai22346 жыл бұрын
Jamani nye mliomteka turusishieni mo wetu salama maana ni mtu muhimu sana kwa nchi hii leo ndo nimesikiliza intavyu yake maashaallah ni mwanaume wa maaana sana
@paschalmganga56805 жыл бұрын
Hamida Hamdani
@nickmpanzi8 жыл бұрын
ameajiri zaidi ya watu 28,000 Tz. big up sana.
@komododrag52324 жыл бұрын
U are an inspiration👋
@HassaniNdundu6 ай бұрын
Mungu akupe afya daim
@MoRasheed6 жыл бұрын
Alhamdulilah Mo kaachiwa. Oman tumekuombea dua sana
@bb-fe9su8 жыл бұрын
safi sana kaka angu mungu akuongezee inshaalah
@faudhiasalum72794 жыл бұрын
Moooo.. 🔥🔥🌹2020
@almericksakafu50236 ай бұрын
Aisee watu wapo smart naangalia sana clips za hii interview sikuwaza kama aliongea 9 years ago mwamba ni inspirational🏌️♂️
@gerraldbukelebe15786 жыл бұрын
Good inspiration MO well done we'll still love you too
@ospesa59 жыл бұрын
thanks Salama kwa hakika nimepata faida kubwa leo
@athumanfadhili94296 жыл бұрын
Nimeelewa zaidi kuhusiana na hilo na nmpenda sana ndg. yangu Dewji MOO
@yusufukazamba23915 жыл бұрын
Hapo nimekukubali Mr mo ni kweli kumsema MTU kuwa ni mchafu ni dhambi mbaya sana hata Bwana Yesu alikataza kuwahumu wengine Mathayo 7:7
@labanbishirabandi37405 жыл бұрын
Excellent mr mo
@floressaabasi12994 жыл бұрын
2020...nan yuko hapa
@rahillhamidu17046 жыл бұрын
mashaAllah mungu akulinde mahala ulipo na upatikane salama Allah kareem
@karthala66766 жыл бұрын
Alhamdulillah Mohamed has been found safe and sound. I have been praying Allah to spare his life. We have to learn from experience, InshaAllah he will review the way he moves around the country. Soooooooo happy he’s ok alhamdulillah
@kiluviasamia63286 жыл бұрын
yarabi mfanyie wepec Mo hao waliomteka wamuachie akiwa salama.
@khassanaly4976 жыл бұрын
Kiluvia Samia
@aldanaudana26336 жыл бұрын
Amin yarabi ishalla kwani wangelimwambia awape pesa siangeliwapa tu lkn wametaka tu kumfanyishia
@lizzybethsafari47686 жыл бұрын
Good guy
@albetopola2035 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Boss
@saadsalum32536 жыл бұрын
Amepatikana wacha aendeleye kupiga kazi moo dawej
@stelladomani44296 жыл бұрын
Jamani mo,Mungu akulinde urudi salama.nanyie watekaji hamna huruma kabisa Mungu awalaani.
@jamilashabani858010 ай бұрын
Maa Shaa Allah ❤
@surayammanga81906 жыл бұрын
Mungu nakuomba mlinde huko alipo arudi salama na watekaji Mungu husika kikamilifu najua ww wajua kila kitu kuhusu mor ww ulie mlizi wa kila kiumbe Mungu wa mbingu na ardhi wafedheheshe hawa waliomteka huyu kijana
@godfreydionis56569 жыл бұрын
I appreciate u guy!
@kaygrekogreko81496 жыл бұрын
Mimi ndiyo leo nimepita kibahati tu na nimependa sana maelezo yake na hasa ukizingatia body language unakuja kuta anachokisema KINAMTOKA MOYONI
@nm563429 жыл бұрын
Pongezi zangu kwa Team "MkasiTv".. Ongezeni interview na watu tofauti kama hii hapa. sio star wa muvi na miziki tu. nice job. Salama is an amazimg person
@rsautoservice9845 жыл бұрын
I like this guy,
@edwinkatunda54295 жыл бұрын
I'm proud of him mungu akupe afya bora MO 😄😄😄
@marycelineevergreen92578 жыл бұрын
yahhhh nasonga mbele tu safi sana MO ni dawa ni hiyo!!
@shifaaal-baity45036 жыл бұрын
Masha Allah
@mwanajumaomahundumla65046 жыл бұрын
Yaaa Allah mfanyie wepesi Mo Dewji arudi salama yaliyompata huyu ndio yalimpata Dr Shika. Najisikia vibaya sana
@allahisone63868 ай бұрын
Eeweeeeeh_🤔
@salmaabed85796 жыл бұрын
inaumiza sana mungu akusaidie tunakuombea sn
@mayamohamad7106 жыл бұрын
😁😁😁Mo amesharudi mm nitaamia singindaa
@deborahjustine97046 жыл бұрын
Nic interview
@officialsalim39556 жыл бұрын
Allah akusimamie Mohammed
@wariobaanton33236 жыл бұрын
best interview ever in mkasi
@wariobaanton33236 жыл бұрын
jamaa anaongea points tu
@EdgarKimutai4 жыл бұрын
Very bright chap, Tanzanians should put him in leadership
@mpendakiswahili30532 жыл бұрын
Wewe rudisha ujuaji huku kwetu
@franciscomasungulwa35756 жыл бұрын
Salama na Team yako....Uwelewa wenu wa mambo ya biashara ni mdogo sana kuweza kum-interview MO ila hongereni kwa kujaribu na kupata opportunity hiyo.
@adamrafikimwambuluma32885 жыл бұрын
pumbavu ww kamu interview ww
@yeshuasweapon43844 жыл бұрын
@@adamrafikimwambuluma3288 In true broo
@salimnasser24099 жыл бұрын
asalaam aleykum. ...*kijana video njema...umefahamika....nia njema. pia Nakupeni hao watatu(hasa bint) as `Brilliant Mola ibariki Tz.
@emmanuelzakayo9966 жыл бұрын
Very educational interview
@ushindieliya2785 жыл бұрын
2019 aise mpaka tajiri anakopa milioni 800 bado hazitoshi unaongeza bilioni 600 Ndio nafuu