MKE amchongea MUMEWE kwa MAKONDA- "AMENIDHULUMU MAGARI YANGU, NILIKUWA MZURI AMENICHAKAZA SIMTAKI"

  Рет қаралды 43,874

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 123
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 4 ай бұрын
Baba MAKONDA,Hongera kwa kazi ngumu Mheshimiwa. Nimekusikia umetamka neno " KESHO MAGARI YAPELEKWE CENTRAL " Baba Makonda unaijua Arusha😮😮😮😮 Kesko hukuti Gari yoyote hapo na hata Yadi hiyo inawezekana ikauzwa leo Usiku😮😮😮
@frankwarembosaloon5316
@frankwarembosaloon5316 4 ай бұрын
Mimi naendelea kutabiri makonda niraisi ajae watanzania
@hamisimahenge5807
@hamisimahenge5807 4 ай бұрын
Kwa hili nakupongeza sana Mr. Paul Makonda!!!!, Mungu akubariki sana
@brigethsauzand3926
@brigethsauzand3926 4 ай бұрын
Mh. Makonda Mungu Wangu akakupe hitaji la Moyo Wako ukiombacho Kwa Mungu kikafanikiwe maishani mwako
@NeemaSendula
@NeemaSendula 4 ай бұрын
Eee!!Mungu mbariki Mh.Makonda na umupe ilinzi wa maisha yake na awes rais wa baada, uwapige upofu maadui zake wote wanaomchukia na wasio mpenda bali wewe Mungu umuinue kwa kadiri upendavyo baba, umlinde na katika safari zake zote na makazi yote na familia yake Amen!!
@MageChami
@MageChami 4 ай бұрын
Makonda Munge akupe maisha marefu unafanya kazi ambayo inakubalika machoni pa mwenyenzi Mungu
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
Ameen ameen ameen 🙏🙏🙏🙏
@Pixxmoleli
@Pixxmoleli 4 ай бұрын
Mungu aendelee kukutunza kaka yangu Makonda
@Franciscagaidon
@Franciscagaidon 4 ай бұрын
Makonda ni mkuu wa mkoa wa kipekee mungu akutunze 2:57 2:57 2:57 2:57
@Olkokolatvlive-pb3zd
@Olkokolatvlive-pb3zd 4 ай бұрын
Sawa Mheshimiwa mkuu wa mkoa Arusha Paul makonda 😢kazi yako ni nzuri sana bila shaka wananchi wamekuwa na amani Kwa msaada wako
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 4 ай бұрын
Wakuuu wamikoa wote wangekuwa kama wewe Nchi ingefika mbali kupenda kuonana na wananchi
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 4 ай бұрын
kabisa
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 4 ай бұрын
asilimia kubwa ya wanaume wanaopenda wanawake wenye hela ni matapeli
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 ай бұрын
Ni sahihi ni vijitu vivivu na matapeli mwanaume mkweli akipata mwanamke Tajiri watakua matajiri zaidi ila wengi wa wanaume vibaka huwinda wanawake wenye pesa ili wawadhulumu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 ай бұрын
​@@FahadAbubakarindo mshtuke sasa mke Kwa sisi matajiri we zenu,msiende Kwa hao kapuki😂
@mariamjamali1444
@mariamjamali1444 4 ай бұрын
Na wanawake wanaopenda wanaume wenye Hela wanaitwaje?!
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 ай бұрын
@@mariamjamali1444 wote ni matapeli tu
@JumannePangapanga
@JumannePangapanga 4 ай бұрын
Mungu ambariki makonda Kuna wakuu wamikoa wengi kwanin hawajifunzi kwake huyu hakika kiongoz Bora ni zawad Toka kwa mungu haandaliw na binadamu
@mustafamandindi6434
@mustafamandindi6434 4 ай бұрын
Kwa uwezo wa mungu muheshimiwa makonda kupitia huruma yako na unavyowaona wanyonge ckumoja mungu atakupa kiti kukuu ktk nchi hi na pia atakulinda kila uingipo na utokapo nakuombea dua sana sana makonda
@gudydavid
@gudydavid 4 ай бұрын
Makonda unafanya kazi kubwa sana god bless you.
@VickEdson-z1d
@VickEdson-z1d 4 ай бұрын
Naona umagufuri ndani ya makonda
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 ай бұрын
Makonda ni kama RAIS,amemfunika hata mkuu wa nchi Kwa popularity,aise
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 4 ай бұрын
Dah makonda ww bs tu mungu akuweke mpez unaroho nzr
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 4 ай бұрын
Nchi hii kuna watu wanateseka sana. Mungu ambariki huyu mkuu wa mkoa.
@allahisone6386
@allahisone6386 4 ай бұрын
AMEN
@svt3
@svt3 4 ай бұрын
Kwa kweli kuolewa na mwanaume wa roho mbaya ambaye hakuthamini ni shida tupu utapitiya na unaweza ata poteza u hai
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 4 ай бұрын
@svt3 punguzeni tamaaa kwenye Mali ambazo hujatafta😂😂😂😂
@svt3
@svt3 4 ай бұрын
@@liberatusjackson5045 sasa hapo ni kinyume mali ni ya mke magari yako kwenye jina la mke mme ahana chake hawezi kuuza magari sasa ni kunyokowa nyokowa vyuma kama mwizi
@svt3
@svt3 4 ай бұрын
​@@liberatusjackson5045 hii kesi ni mme mwenye tamaa magari yako kwenye jina ya mke hakuna kilicho kwenye jina ya mme mme mwenyewe mwizi mpaka anauza vyuma kimoja kimoja sababu haana haki ya kuuza ngari nzima ambayo hamiliki wanaume pambaneni msitumainie vya wanawake
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 ай бұрын
Weeee hapa kasi tu,
@martinjonathan4595
@martinjonathan4595 4 ай бұрын
Acheni kuchinja Magali yawakezenu nyie wadudu
@lovenessfracis
@lovenessfracis 4 ай бұрын
😂😂😂😂kweli chuma makonda unanipa Raha sana Mungu akutangulie🙏🙏😂😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 ай бұрын
Yni watu wanalipwa ushuru na wananchi 😢😢😢😢 yni kuna muda namuaza magufuli adi kichwa kinaniuma YA ALLAH msamehe jpm na umuweke mahali pema pmoja na wema Ameen
@JosephuSwai
@JosephuSwai 4 ай бұрын
Kwani haya ni yaleo mifumo haifanyi KAZI tatizo sana
@masoudmsomal8774
@masoudmsomal8774 4 ай бұрын
dada hata mim nilikua namkubal sana magufuli ila mpaka sasa namkubali sana makonda sema nilitaka kisemaje magufuli ni kafiri usimuombee dua ety allah amsameh sijui ama amueke pema na watu wema naver
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 4 ай бұрын
Samia muachee makonda apige kaz usmutoe arusha
@MazikuSaid
@MazikuSaid 4 ай бұрын
Kila siku nasema weee ni rais wetu wa badae labda tu wale jamaa zetu wasiopenda haki zitendeke wakuhujumu.lkn kwa uwezo wa Allah utavuka
@JoyceManyuka-ot7sg
@JoyceManyuka-ot7sg 4 ай бұрын
Udhuri mhe una Mungu ❤
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 4 ай бұрын
Mimi nitaendelea kukuombea mpaka mwisho. Nawapongeza wazazi wako na mke wako waendelee kukuombea. Nakuja Arusha mwanangu nitakuja kukuona
@drdd774
@drdd774 4 ай бұрын
Makonda anafukua makaburi, ataweza kuzika tena?
@MaliusMaliuskagumisa
@MaliusMaliuskagumisa 4 ай бұрын
Daaaaaaaa!! Asee makonda ebu zidi kufanya mungu alicho kutuma maana kumbe akinyingi zawatu kumbe zina potea gizani bas mungu atunze uzidi kuwa taazetu sisi
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 4 ай бұрын
Yaan awe tu Rais yaan Yuko vizur
@leonardnjavike3979
@leonardnjavike3979 4 ай бұрын
Nawakumbusha wanaume tusijidanganye kuandika mali za familia kwa jina la mke ukizan unawakwepa Tra??tusubir na maelezo ya mwamba???
@JosephuSwai
@JosephuSwai 4 ай бұрын
Kule centro sio salama mkuu.watakwiba kidogokidogo mpaka yatakwisha hayo magari kuwa makini
@yustakipenya6231
@yustakipenya6231 4 ай бұрын
Kwanini viongozi hawamwigi makonda
@ZainabuMteti
@ZainabuMteti 4 ай бұрын
Makonda gombea uraisi kura zangu nakupa, hata usiponisaidia mm naamini utakaowasaidia kwasababu kura yangu iliongeza kura zako nitapata kikubwa Zaid Kwa Molla wangu Kwa kule ww kusaidia wanyonge
@sangajalala2001
@sangajalala2001 4 ай бұрын
Mm jofrey sanga toka madbila makonda ni lais ajae tanzania
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 4 ай бұрын
Mungu ni mwema saana. Usaidike tuu dada angu. Nazijua changamoto zako…
@JosephuSwai
@JosephuSwai 4 ай бұрын
Nchi haina mifumo ya utoaji haki why mkuu unashauri kurudi mahakani ukati uko akufai maliza mwenyewe kimya kimya
@judyngowi391
@judyngowi391 4 ай бұрын
Kumbe gari huwa zinachinjwa?😂😂, ndio nimejua leo
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 4 ай бұрын
kuchinjwa maana yake kila kitu kinauzwa peke yake
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 4 ай бұрын
Ukiona hivyo wewe sio mtu wa machuma ndio mana umechelewa kulijua hilo
@DickSlaa1
@DickSlaa1 4 ай бұрын
🤣🤣🤣
@MsodokiSokoine-k2x
@MsodokiSokoine-k2x 4 ай бұрын
Kaka makonda nipe namba zake uyo dada nimefurahi kasema alikua mzuri
@rasvegas8991
@rasvegas8991 4 ай бұрын
Huyu rais wa baadae
@sund2553
@sund2553 4 ай бұрын
Safi sana makonda MUNGU akuweke miaka na miaka
@juliusdonard933
@juliusdonard933 4 ай бұрын
Makonda n kiongoz bora
@bakarially253
@bakarially253 4 ай бұрын
Don’t trust the cries of women
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 4 ай бұрын
DUHU HTR XNA
@michaelluoga5131
@michaelluoga5131 4 ай бұрын
Daaah!
@petercostakisoka
@petercostakisoka 4 ай бұрын
Kwishaaa
@BakariSalum-j6b
@BakariSalum-j6b 4 ай бұрын
razima nimpigie kura raisi makonda.
@MazikuSaid
@MazikuSaid 4 ай бұрын
Jamani makonda wewe ni pacha wa maguful.hakika unamjua mungu
@ZawadianaMwangosi-is2jm
@ZawadianaMwangosi-is2jm 4 ай бұрын
Ccm hoyeee ccm mbele Kwa mbele
@JanethEmmanuel-qq2nb
@JanethEmmanuel-qq2nb 4 ай бұрын
Maskin mama joh
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka kaja na picha yake 😂😂eti kweli chumaa
@DickSlaa1
@DickSlaa1 4 ай бұрын
🤣🤣🤣
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 4 ай бұрын
😂😂😂 Kweli Chuma Daaah!!! Kweli watu wanateseka kwakweli Maana Hii Nchi Daah!!
@JoyceManyuka-ot7sg
@JoyceManyuka-ot7sg 4 ай бұрын
Ila makonda Mungu akutunze bhana aiiisee 😢😢😢 ishi sana Mhe
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 4 ай бұрын
Tunashkur Mhe Rais kwakumteuwa huyu MTU
@ElinMchaki
@ElinMchaki 4 ай бұрын
Sabina hyo imeisha
@othumanomari1589
@othumanomari1589 4 ай бұрын
Usije ukanigeuka badae mapenzi shida sna🤔
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 ай бұрын
Sasa unamuoneshaje mapenzi wako Mali zako?
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 4 ай бұрын
Hakuna dhulma mbaya mbele ya muumba mbingu kama kumdhulumu mwanamke na mtt mdgo Huyo mwiz natapeli mungu anamuona atakufa kifo kibaya sana dhulma mwisho wake hua nimbaya sana
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 4 ай бұрын
.
@RusanzuRubigo
@RusanzuRubigo 4 ай бұрын
Hiki ni chuma,tena cha reli,usije mlinganisha na chuma cha kawaida🎉🎉🎉🎉🎉
@drisayaambulatoryvetclinic1514
@drisayaambulatoryvetclinic1514 4 ай бұрын
Piga kazi makonda mwenye haki yake na aipate
@florencemeza6540
@florencemeza6540 4 ай бұрын
Wakuu wa mikoa wengine mko wapi?
@SitiSiti-mg5po
@SitiSiti-mg5po 4 ай бұрын
Kumekuchaa,,😂😂😂
@ShaibuHemedi
@ShaibuHemedi 4 ай бұрын
Kweli chuma😂
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 4 ай бұрын
Mungu akubariki Mh Makonda
@idrissaissa5607
@idrissaissa5607 4 ай бұрын
Wemakonda ww kweri chuma😂😂😂😂😂😂
@estermathias8354
@estermathias8354 4 ай бұрын
Sasa wewe dada kwakukushauri uwe makini sasa na huyo mwanaume😢mi niliachana na mbwa mmoja hakua na pesa bt alitaka kunidhuru
@FatumaMuya
@FatumaMuya 4 ай бұрын
We unasema wewe mimi ŵakwangu alinifata nyumbani inapoishi tena akiwa na nyundo lakini mimi nilikimbia na kujificha akampata mke wa baba yake akampiga hadi kumpasua kichwa.ndipo gafla baba yake alitokea akaanza kupigana nae hadi pale walipokuja police na kumchukua hadi leo yupo ndani ni miezi mitano sasa
@estermathias8354
@estermathias8354 4 ай бұрын
@@FatumaMuya yani sio siri mwanamke ukiwa na pesa nikuomba Mungu akupe mme asie na tamaa.asee ww n kama mm tu .lkn now nipo salama
@abdulymaeda2697
@abdulymaeda2697 4 ай бұрын
Mbona habari ni za mkoa mmoja tyu arusha hamna mingine
@estermathias8354
@estermathias8354 4 ай бұрын
Ukiona hivo hakuna hbr
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 4 ай бұрын
Safi sana
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 4 ай бұрын
😂😂😂kumbe ni ex wako
@Hamy1109
@Hamy1109 4 ай бұрын
Huyu mama akapimwe akili pengine zimeruka tayari. Hata anachoongea hakieleweki.
@Magehem
@Magehem 4 ай бұрын
Huyu kama sio ndio mume tapeli wa huyu mama basi ni ndugu yake, huwezi kuona mtu hana akili timamu kudai haki yake, Mungu aliye hai atasimamia haki
@goyamwinuka8842
@goyamwinuka8842 4 ай бұрын
Huna hata huruma,jitafakari kabla ujaongea hivyo.
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 4 ай бұрын
Kama Taila maneno Gani hayo ya kuongea 😏😏
@kelvin7ithuiumwasamaki987
@kelvin7ithuiumwasamaki987 4 ай бұрын
Huyu mama anajitambua Sanaa hasa kwa watu tuliobahatika kukutana nae!! Ni kichwa haswaaaa
@josephineokama2200
@josephineokama2200 4 ай бұрын
wewe ndo ukapimwe akili labda umechanganyikiwa au ninmiongoni mwa huyo aliyetajwa?
@ELIMRINGITILLYA
@ELIMRINGITILLYA 4 ай бұрын
Ole wako makonda kuingilia mambo ya ndoa na familia za watu ukicheza hatua hapo Arusha raisi Samia ata kutumbua mapema inaonekana kierere ujacha
@happymrema7487
@happymrema7487 4 ай бұрын
Mmmmm na weww ni Tapel nini
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 4 ай бұрын
Wewe ni mwizi piaa
@Peaceman-S
@Peaceman-S 4 ай бұрын
Wewe hauna akili hata kidgo
@LatifaMwandu
@LatifaMwandu 4 ай бұрын
Kwa hiyo kesi za familia ziachwe ht km kuna mtu anaonewa.. Basi watu wataogopa kuoa au kuolewa maana ukiteseka itabidi uachwe kisa ni mambo ya familia
@upendosanga9205
@upendosanga9205 4 ай бұрын
Mmmmmm weeeee
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 40 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 80 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 22 М.
MAKONDA HACHOMOKI | TUHUMA ZA SHAMBULIO DHIDI YA LISSU
5:28
Wasafi Media
Рет қаралды 6 М.
Новый друг для Снежного Барса 🐅 #животные #милыеживотные
0:58
😨 Китаянка ИРИС пробует НАШУ ЕДУ @petya_english
0:46
Настя, это где?
Рет қаралды 9 МЛН
Pop Star Falls In Love With Fan 😍
0:25
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 13 МЛН
Save the duck!!🥹🥳#nico #smartnico #funny #cute #pets
0:11
Nico_thepomeranian
Рет қаралды 24 МЛН
Did you know about this hack? 😁
0:19
Andrey Grechka
Рет қаралды 53 МЛН
Best reflex moments 💀 #trollface #edit #troll
0:24
Winshy Editz
Рет қаралды 20 МЛН