MPAKA HOME: ANAPOISHI ENOCK BELLA, CHUMBANI, JIKONI, CHOONI MCHUMBA AKE AFUNGUKA...

  Рет қаралды 141,440

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 198
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
Bella unaakili nyingi Sana sijui kwanini mnapotea vijana wenye vipaji halafu wapiga kelele ndo wanaotrend duh hizi timu hizi zimepoteza wasanii wazuri like huyu kaza broo kipaji unacho toa ngoma tutakusaport Mimi shabiki yako
@alineolivia2392
@alineolivia2392 3 жыл бұрын
Man huu uteam umepoteza wasanii wazuri
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
@@alineolivia2392 kabisa ndg
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 3 жыл бұрын
Wasafi ndio wanafanya wengine wasijulikane
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 3 жыл бұрын
Msdanganyane huyu jamaa hajui kitu
@listerlujiso774
@listerlujiso774 3 жыл бұрын
Huyu kaka nimempenda Bella inaonesha ni mstaarabu sana Mungu akuongoze Bella upate hitaji la moyo wako ktk maisha yako amen
@marycianajulius8831
@marycianajulius8831 3 жыл бұрын
Nimekupenda kaka yaan huna makuzi unaongea kiustaarabu Sana enock 💕
@paulomwalimu6731
@paulomwalimu6731 3 жыл бұрын
Ata mim mwenyewe naupenda Sana wimbo wake wa sauda daah! Ngoma Kali Sana kwa wanayo ujua
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
Jamaa anajua kujieleza interview haiboi mtangazaji nawe pia uko vizuri Mungu awabariki sana
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 3 жыл бұрын
Hongera Bella
@zainabzz7241
@zainabzz7241 3 жыл бұрын
Kukupenda ndo kitu najuaga mungu akupe maisha marefu na akupe mke bara 💗💗
@geophreytobias3353
@geophreytobias3353 3 жыл бұрын
Huyu jamaa yuko real sana, big up, Mungu atatenda mema
@jullypendo966
@jullypendo966 3 жыл бұрын
Nakupenda sana kaka unaongea ponit sana mungu akupe haja za moyo wako nmekupenda bule🥰🥰🥰
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
So humble Bella 💗😍
@rachelmbeyu4385
@rachelmbeyu4385 3 жыл бұрын
Kijana mtanashati. Hana masifa wala maringo. Mungu ukuongoze kwenye kazi zako.
@worldoffuraha7709
@worldoffuraha7709 3 жыл бұрын
Kumbe enock nimtu humble saana dah let me talk to diamond kijana yuko vizuri saana
@moneyrick268
@moneyrick268 3 жыл бұрын
True life janangu ✌️ hauja pretend hata kidogo
@benox5062
@benox5062 3 жыл бұрын
Enock mkweli sana 💪💪💪 mola akujalie
@12322879
@12322879 3 жыл бұрын
Unaishi maisha halisi mdogo wangu..👍👏🏽🙌
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Joomon nimekapenda dogo akili nyingiii barikiwa sn
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 3 жыл бұрын
Vile Mwijaku anafanya sivizuri, Mombasa Kenya for Diamond akija Kenya tutampa tuzo
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣sasa 001 alimpa kiba mke wafkr mond atafaulu kweli
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 3 жыл бұрын
Mondi alipata mtoto Nairobi 😀😀😀
@emmanuelgervasnzohagera9949
@emmanuelgervasnzohagera9949 3 жыл бұрын
Nakubali xn enock....ni mstarabu sana ....love you song sauda
@ibrahimashery5418
@ibrahimashery5418 3 жыл бұрын
I appreciate brother enock
@dianasospeter1708
@dianasospeter1708 3 жыл бұрын
Wow penda sana enock❤❤❤❤
@khatibuofficial1593
@khatibuofficial1593 3 жыл бұрын
Oyooooooooooo leo nimekuwa wakwanz nakubali sana global
@chrisbackfix8736
@chrisbackfix8736 3 жыл бұрын
Alie gundua jamaa anajibu kwa akiri sana gonga like
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 3 жыл бұрын
@Enock anaongea ki ustaarabu sanà....namkubal yuko vizur kwenye kuimba👏🏼👏🏼
@najma3268
@najma3268 3 жыл бұрын
Inoki cjamaliza kukusikiliza lakini , nimependa kukusikiliza, yaan unaongea vzr pia mkweli
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 3 жыл бұрын
Kawa handsome sikuhz huyuu
@hamissahamissa105
@hamissahamissa105 3 жыл бұрын
Enock unajitaidi sana kwa usafi hongera kwailo
@violetpaulsen1741
@violetpaulsen1741 3 жыл бұрын
Jmn Enock ni mstaarabu endelea hivyo hivyo utafanikiwa sana Mungu yu nawe na mtangazaj uko vzr
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 3 жыл бұрын
Kumbe Bella ni handsome boy mashaallah😍😍
@fatmasaid7093
@fatmasaid7093 3 жыл бұрын
Bella I love your voice 💕😍
@dianasospeter1708
@dianasospeter1708 3 жыл бұрын
Pole sana Bella kwa kumpoteza mama yako kipenz😭😭❤
@biusimohamed1049
@biusimohamed1049 3 жыл бұрын
Mm nampendaga huyu kaka ( enock)
@zuusalum2020
@zuusalum2020 3 жыл бұрын
Mashaallah.... Mungu akuongoze ....daima
@thisiszai2045
@thisiszai2045 3 жыл бұрын
Mpaka home mtangazaji kabadilishwa Yuko uzuri lakini🤗
@budagala3092
@budagala3092 3 жыл бұрын
Enock Bella song walifuata jina..much love bro
@allywilson4155
@allywilson4155 3 жыл бұрын
Very simple like me Ongera sana
@kbtv3621
@kbtv3621 3 жыл бұрын
Ongera sana mtangazaji uko vzr sana naomba uendelee kama ivyo ila Bella Ana eshima sana Asante
@kelvincharles2247
@kelvincharles2247 3 жыл бұрын
Yupo smart sana kwenye Mahojiano
@aishkombo6383
@aishkombo6383 3 жыл бұрын
Good Enock Una confidence
@StephenBonyo-iv4ug
@StephenBonyo-iv4ug Жыл бұрын
Napenda sana ananvyoyajibu maswali bwana enoki .
@hehegirl116
@hehegirl116 3 жыл бұрын
Dah nmempenda jaman alaf anasaut nzur sana
@emilianaemmanuel7318
@emilianaemmanuel7318 3 жыл бұрын
Mhh naskiza na kuangalia nikismile waooooo umenifurahisha
@binttsulu647
@binttsulu647 3 жыл бұрын
Huko sawa kaka bella
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 3 жыл бұрын
Kijana safi kwa kumuelezea mama yetu samia
@jleeclassic9853
@jleeclassic9853 3 жыл бұрын
Peace and love enock
@zulekhanyange7484
@zulekhanyange7484 3 жыл бұрын
Mtu mstarabu mnoo😊
@miriam7186
@miriam7186 3 жыл бұрын
Bella ana sauti nzuri
@faridaessa7844
@faridaessa7844 3 жыл бұрын
Nimekupenda bure enock
@kpetres2872
@kpetres2872 3 жыл бұрын
Siku nikitaka kujiuwa ntaanza kwa kuuwa waliouwa sanaa kwanza . Bella unajua, kaka unajua ngoma yako ya pili ni kali😭😭😭😭
@AmeenaTanzania
@AmeenaTanzania 10 ай бұрын
❤❤❤❤Napendaga unavyo ongea kweli wengine wangesema chen hojii au wangesema izo gali ulizoziona apo njee zakwangu umejisemea ukweli 🎉🎉🎉piya nimecheka unaongea uku tv inakuchanganya alafu umeshindwa kuvumilia 😂😂😂😂
@fajdikhamisi608
@fajdikhamisi608 3 жыл бұрын
Namkubali Sana bella
@priscakalasa3453
@priscakalasa3453 3 жыл бұрын
Sikujua Kama Bella ni bonge la Kaka mwenye akili sana,I mean kichwa chake Kiko gud ,ametulia
@romakoko2292
@romakoko2292 3 жыл бұрын
Uyu kijana anaongea ukweli kabisa nampenda sana
@elizabethlizy2731
@elizabethlizy2731 3 жыл бұрын
Nice Stewart nakukubali sanaa
@mcdanta6919
@mcdanta6919 3 жыл бұрын
Jamaa Yuko pic Sana aise namkubali sana
@francesexavel9518
@francesexavel9518 3 жыл бұрын
Pole sana bro kwa kumpoteza mama pia bigp sana kwa nizam nzuli bro
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 3 жыл бұрын
Enock anajielewa sana huyukaka
@mwanaishaalfan3145
@mwanaishaalfan3145 3 жыл бұрын
MashA Allah
@mmn7480
@mmn7480 3 жыл бұрын
jamani nampenda enoki sjuw yuko wapi maana kapotea kwenye game
@emmanuelkhisa8453
@emmanuelkhisa8453 3 жыл бұрын
254::Enock Bella is my Man bna,nlimpenda tangu YAMOTO BAND adi sai,ila nidhamu kumbe unayo ya hali ya JUU 😂 mno.MOLA akubari 😂 BROTHER na JAMII yako.Leta v2 mpya.
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 3 жыл бұрын
ENOCK NAMPENDAGA SANA MASHALAAA
@binttsulu647
@binttsulu647 3 жыл бұрын
Kidogo kafanana na harmonize
@esterdoriye4304
@esterdoriye4304 3 жыл бұрын
2b honest enock kaka mzur
@saumubai593
@saumubai593 3 жыл бұрын
Pole sana enock
@mataka-y5z
@mataka-y5z 3 жыл бұрын
Enock very good sana bro
@joycekimaro6685
@joycekimaro6685 3 жыл бұрын
Hongera Enock, Ila mtangazaji tabia yako ya kutangulia mbele na kufungua makabati ya watu hovyo uache kama angekua ameweka vitu vyake private??? si Kila kitu lazima uone, Ipo siku utafungua makabati ya watu umwagikiwe na Upupu mbona utanishkuru
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 ati amwagikiwe na upupu sasa itakua akaweka upupu kabatini ili iweje
@habibasalehe9609
@habibasalehe9609 3 жыл бұрын
😀😀😀😀
@joycekimaro6685
@joycekimaro6685 3 жыл бұрын
@@mimahmimah1595 Ndio Kuna watu wanavitu vyao wamevihifadhi🤣🤣,,,,, Sasa yeye andelee kufunua visivyo muhusu kwenye Makati ya watu mara madishi ya chakula bila ruhusa,,, ipo siku atashkuru ushauri wa wawatazamaji
@lakuchumpa9724
@lakuchumpa9724 3 жыл бұрын
Jamaa anaongea vzur sana hafake wala hadanganyi
@scolanasary672
@scolanasary672 3 жыл бұрын
Jamn inno kwel unapenda siasa adi tv chanel n TBC
@nshimirimanafelix7493
@nshimirimanafelix7493 3 жыл бұрын
Interview nzuri sana bro alafuunaishi maishayako pambana sana
@christinajmnkenyi724
@christinajmnkenyi724 3 жыл бұрын
Huyu kaka nmempenda coz hafeki maisha anayoyaishi ndo anayoyasema
@kassimally5358
@kassimally5358 3 жыл бұрын
Wangekua kina fulani tungedanganywa balaa bg ap broo
@deewyzeeofficial3512
@deewyzeeofficial3512 3 жыл бұрын
Yan we acha2 tungepigwa kiswahili hatari
@xdseww262
@xdseww262 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@olivervalentino9788
@olivervalentino9788 3 жыл бұрын
Good boy 🥰
@preciouspeter2897
@preciouspeter2897 Жыл бұрын
Mchexhi xana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 жыл бұрын
Nakubal.sna mwamba nimekupenda bure
@suleimanalkindy5731
@suleimanalkindy5731 3 жыл бұрын
Mtangazaji si sahihi kusema "moja ya kitu unachopenda" unatakiwa useme "moja ya vitu unavyopenda". Maana yake kuna vitu zaidi ya kimoja unapenda, kimojawapo kikiwa.....
@shakombomwangauri633
@shakombomwangauri633 3 жыл бұрын
Ukoloni mambo leo.Mkoloni mweusi anadhulumu vijana weusi.Sitaki kuamini baada ya miaka yote na sifa rufufu za Yamoto band mafanikio hayaonekani.@Said Fela yako wapi matunda ya Mziki wa Yamoto na Enock!
@erikimethod6246
@erikimethod6246 3 жыл бұрын
@@shakombomwangauri633 ww ulitaka awe na mafanikio gan?
@esnathmwangupili6796
@esnathmwangupili6796 3 жыл бұрын
Nakubaaaali
@tanialucas4579
@tanialucas4579 3 жыл бұрын
Yani Bella nimusutarabu sana natamani music wake wafanyikiwe namupenda sana
@giftstartv6394
@giftstartv6394 3 жыл бұрын
nampenda sana enock bella mie kutoka burundi
@genxonlinetv2219
@genxonlinetv2219 3 жыл бұрын
Nice bro
@saidmnene2987
@saidmnene2987 3 жыл бұрын
nice
@yahayaally9193
@yahayaally9193 3 жыл бұрын
Hongera enock
@maryjonh311
@maryjonh311 3 жыл бұрын
Mtangazaji ongea sauti yako acha kuiga
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 3 жыл бұрын
Nice home
@kapesamjenga5168
@kapesamjenga5168 3 жыл бұрын
Hivi lebo hazimuon huyu jamaa, mana ukiachana na kujua kuimba kingine ana akili sanaaaaa
@tanialucas4579
@tanialucas4579 3 жыл бұрын
Yani natamani sana apate mutu atakaye muswidia wakumupushi mbeke asonge mbele nimemufatia muda murefu kwanini watu hawamusaidii jamani
@nasrimikidady1325
@nasrimikidady1325 3 жыл бұрын
Big up sana jamaa huyu
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Amazing man
@ryhislamminamuonamsengetu9111
@ryhislamminamuonamsengetu9111 3 жыл бұрын
Mtangazaji..m mbea
@reymasenya6450
@reymasenya6450 3 жыл бұрын
Mungu Hakutangulie Enock
@mariamumuniss1338
@mariamumuniss1338 3 жыл бұрын
Interview nzuri sana
@gracekaniki789
@gracekaniki789 3 жыл бұрын
Usitumie makorie enoc sio mazuri hyo
@razalo4651
@razalo4651 3 жыл бұрын
💟
@zaraally2295
@zaraally2295 3 жыл бұрын
Kwahyo hawakupewa zile nyumba 😰😰😰😰😰
@kagarukifred7372
@kagarukifred7372 3 жыл бұрын
Mamenager ni wezi
@laurarose1521
@laurarose1521 3 жыл бұрын
Huyu uzr adanganyi sio kama hao wa kujionesha
@kagarukifred7372
@kagarukifred7372 3 жыл бұрын
Siyo Kama Harmonize angekuwa anaojiwa Harmonize sasa mgejutaa
@fredrickdaniel2224
@fredrickdaniel2224 3 жыл бұрын
Bro unatangaza vibaya Sana yani .kuwa ww unaboa kurudia rudia maneno
@edwinoduor2421
@edwinoduor2421 3 жыл бұрын
Wabongo wambea kweli
@khatibuofficial1593
@khatibuofficial1593 3 жыл бұрын
Mr enok
@nadiaahmada7092
@nadiaahmada7092 3 жыл бұрын
Nakukubar sna🙌🙏
@hasnaa8868
@hasnaa8868 3 жыл бұрын
MashaAllah
@samwelnyamhanga2265
@samwelnyamhanga2265 3 жыл бұрын
Malaya kwanza kumskia msanii akiwa mkweli enok hapendi kujipa vitu asivyo kuwanavyo nime kubari sana
@glorianikiza92
@glorianikiza92 3 жыл бұрын
Mulifa vizuri kurudisha iki kipindi
@tatungole412
@tatungole412 3 жыл бұрын
Jamani mbna hap hana besi😵😵😵 alaf nimempenda bure😁😁😁😁😁
@jumaaliy21
@jumaaliy21 3 жыл бұрын
Asante kak
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 3 жыл бұрын
Nimekupenda bure
@lusekeloemanuel5313
@lusekeloemanuel5313 3 жыл бұрын
Nampenda Sana huyo dogo
@hazelbrown9299
@hazelbrown9299 3 жыл бұрын
Hivi Nyumba kama hio Kodi inakua bei gani? Natafuta Nyumba mimi
@israeleliah7163
@israeleliah7163 3 жыл бұрын
Maneno mengi Sana mtangazaji punguza kidogo
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 жыл бұрын
Hyu jmaa hna hta roho mbay
MPAKA HOME: ANAPOISHI TUNDA MAN NA FAMILIA YAKE, ANA WATOTO WAZURI
34:26
Global TV Online
Рет қаралды 213 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
Mpaka Home MAISHA HALISI YA MUIGIZAJI MTANGA UTAPENDA
16:30
Mbengo Tv
Рет қаралды 241 М.