Aliekuja hapa baada ya jamaa kuomba msamaha agonge like
@pci_tanzania3 жыл бұрын
🤣
@didassikombe4125 жыл бұрын
Mimi ni mtumishi wa MUNGU naomba nishauri kidogo kwamba MUNGU ASIPO ULINDA MJI WALINDAO WAKESHA BURE, lakini pia kuna neno linasema HAKI HUINUA TAIFA, kwa hiyo basi tusifanye mambo ambayo yanakinzana na mapenzi ya MUNGU. Haki/ Hekima ni ufunguo wa mambo mengi. Nashauri yasitumike maneno yasiyo na staha kwenye harakati zetu zote. Be advised accordingly.
@nimrodsigulu62492 жыл бұрын
Tayari mtumishi waneshajibiwa
@islamjarwan14762 жыл бұрын
katika maisha yangu sijawahi hata siku moja kukisema chama hiki kwajinsi kinavyojiendesha mambo yake ila leo ndo mara ya kwanza, "kama tatizo ni huyu mtu basi chama kimtoe na kimawajibishe ili abebe msalaba wake! na kama tatizo ni chama ndo kimefikia hapo kukosa nidhamu na ueledi heshima na uzalendo basi kiwanda chetu kilichokuwa tukikiamini na tunakitegemea kikituzalishia viongozi wa nchi hii basi kimefilisika huyu ni kijana aliyetuonesha ishara ya kuwa kiwanda chetu kinachotuzalishia viongozi kimeshakufa, hivyo basi moja kati ya haya mawili lifanyike haraka eidha kifanyiwe ukarabati hiki kiwanda au sisi wananchi tufungue kiwanda kingine ili tupate bidhaa bora mpya ya kisasa yenye kutuzalishia vijana na viongozi wetu wenye nidhamu, ueledi heshima na uzalendo.
@damasndomi9375 жыл бұрын
Mwenyekiti uvccm taifa hongera sanaaaaaaa...
@kamgomoli36505 жыл бұрын
Naona kuna unafiki mwingi wa kujifanya mnawaenzi akina Kikwete na Mkapa wakati ukweli ni kwamba mnawasema pembeni kwamba wao ndio walioipeleka nchi pabaya. Mkiwa kwenye majukwaa ya wazi ndo mnajifanya kuwaenzi.Unafiki mtupu!!!
@jifunzekusamehe45274 жыл бұрын
Mungu akusamehe kwaruga chafu hizo
@felixkamkala33035 жыл бұрын
Vivaaaaaa Mwenyekiti
@umiy19715 жыл бұрын
eweeeee....hiyo balaa weee! kiongozi akisema hivyo wananchi wasemeje ?
@daudmsekwa83025 жыл бұрын
Ccm oyeeeeee, piga kazi Mr chairman
@funditour4425 жыл бұрын
Mavi mavi tu hapa
@evansmlalo40495 жыл бұрын
Kwa mtu yeyote aliyesoma haya anayofanya Musiba sio upuuzi kwani anaigawa nchi. Kama Jeshi la Polisi halioni subirini vita vya wenyewe kwa wenyewe katika uchaguzi wa 2020. Vinginevyo bila uchaguzi kusimamiwa lazima zitapigwa. Mimi tayari nina jambia. Nchi hii kama haitawasimamisha kina MUSIBA kumfanyia Magufuli kampeni niwahakikishie 2020 tutapigana mbaya sana. Tutaanza kumpiga mfanyiwa kampeni Magufuli Musiba ni wa mwisho. Kila anayemfanyia Magufuli kampeni kabla ya mda tutapiga tu.
@emmanuelmwangwa8255 жыл бұрын
Moja ya mambo ambayo yanaonesha kufa haraka kwa ccm ni jinsi Viongozi wake walivyo frustrated. Mtu anatukana matusi hovyo hovyo hizo ni frustrations
@chrisantgeorge36775 жыл бұрын
Tangu 1995 ndo mlianza kuisubiri ife mkiwa na NCCR
@godfreymollel69035 жыл бұрын
True
@mlengwawanemba68635 жыл бұрын
Huwezi kuwa CCM iwapo huwezi Kutukana wala kama huwezi fitna na roho mbayaaaaa kama mchawi... Yaan haiwezekani.
@aliabdallah26265 жыл бұрын
c kauli nzuri kwa anae jitambua
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
Matusi ya nini kaka jaribu uone
@onetoanotherglory20245 жыл бұрын
Aisee
@gililwise5 жыл бұрын
Ee Mungu uichome kwa moto midomo ya hao wanaoongea maneno ya ovyo kwenye jamii uitakase amina
@claudiopaul60925 жыл бұрын
Saf sana jembe
@tatuyussuf75745 жыл бұрын
Haya sawa
@mnawaladauda14255 жыл бұрын
chadema wamekwisha Kwa magufuri wataishia kunawa ttu
@josephnchunga30195 жыл бұрын
Safi sana waambie vipofu na mafisadi walio zoea rushwa ongea wachane hao.
@missmoona44975 жыл бұрын
Achen kutukana watu, hayo maneno machafu uliotumia ikitokea vyama vingine vinaongea hivyo inakuwa problem kubwa lkn wengine sawa tu, nimeliongea hili sababu mm sina chama, chama changu ugali nswaru, pia sipend kuona mtu anaongea lugha chafu katk jamii
@anwarbabubabu88875 жыл бұрын
Matusi hajengi ni upofu
@hamedmaskari5185 жыл бұрын
Hayo matusi ndio waliyo baki midomoni mwao wamepoteza Dira za kisiasa kwani iyo serikali anayo nani sasa ivi chadema au Act
@japhetmwamlenga31625 жыл бұрын
Mbona chadema ndo wanaongoza kwa matusi ya nguoni huwa husemi
@deustutu11625 жыл бұрын
uhuni tumia lugha nzur kama kijana anayejitambua
@salmamasuod14725 жыл бұрын
Ccm ni wajibu wenu kusimamia mali zetu na nyinyi amjengi hospital hamna pexa pexa ni za wananchi so uo ni wajibu wenu na mmechelewa sana kutuletea maendeleo
@munuoisaack4185 жыл бұрын
Hapo uliposema utawatia wake za watu mimba umeongea pumba wala huna sifa
@Burange6665 жыл бұрын
Ukisikia senge la ccm kubwa ndilo hili hata kuongea halijui sijui makufuli anayaokota wapi hii misenge maana imefikia hivi sasa mijitu inaropoka kwenye mikutano yao ya ccm kuongea hawajui bora amtie mimba mamayake huyu ndiyo walivyofundishwa na ccm kutiana mimba vichaa wamekuwa wengi ccm.
@dr.tumainiandrea69575 жыл бұрын
Ni kwamba tunapokuwa tunaonga hasa tuwe na mtiliko wa hotuba kwenye maandishi. Na tuufuate Tukisha komaa katika kuzungumza tunaweza kutoa kichwa na mtiliko ukawa poa Mtu anapokuwa anaongea Kuna hormones zinaongezeka, na kwa kawaida huwa hatujisikilizi. Hivyo tunaweza teleza kwa sehemu Dr. Tumaini
@chamyluna80302 жыл бұрын
Huyu mjinga kaishia wapi
@witneskilinda50343 жыл бұрын
ccm kiburi kimekomaa maneno km hayo hayafai kutolewa na kiongozi
@uhurunamaendeleo61275 жыл бұрын
Kauli mbaya
@deogratiuskapulwa88745 жыл бұрын
kwani unafanya kazi ili usifiwe?na ukishasifiwa,next?
@leodigardiusdesderi31295 жыл бұрын
Mambo ya nisaidie kulea madhara yake ndo aya
@hidayaswai31193 жыл бұрын
Kauli mbovu mbovu za nini sasa. Hapakua na neno mbadala la kuelezea hili mpk mfano huo wa ovyo ?
@juliusjosephat51103 жыл бұрын
ivi nikweli kwenye huo mkutano akuna mtu alielingana na mama yako ww kijana
@bonifacekalima46845 жыл бұрын
Hao ndio vijana wa MZEE walio lewa MADARAKA,,mwenye akili yake hawezi kuongea ujinga huo...
@Deoathanasmbongo7 ай бұрын
Ndo uwezo wake wakufikiri umefikia hapo
@kenybenjiz78505 жыл бұрын
Duh Ova
@stanleymfikwa82375 жыл бұрын
Hufai kua kiongozi . Maneno gani hayo mpuuzi wewe. Kwanini huna busara wakati wewe nikiongozi? Hakuna kabisa point yakuongea? Busara ni jambo jema sana hasa kwa kiongozi. Tambueni kwamba kiongozi sio tofauti na mtu asie na cheo. Viongozi wengi hua wanahisi wao ni zaidi ya watu wengine na bila kusahau kua uongozi nikijiti cha kupokezana. Na ndomana wengi wakiachishwa kazi huzimia kwa presha na hata kufa kabisa. Tatizo nikujisahau nakuona wao ndowatu wengine mifano ya watu. Viongozi msiojitambua badilikeni.
@kelvinmichae7285 жыл бұрын
sasa mbona hapo ni wazee wote Maana umesema wewe ni m/kt uv ccm lkn naona uko na wazee wote
@victorbwagila83025 жыл бұрын
Dah! Ndo hawa baadae wanapewa uwaziri
@mohamedbawazir81555 жыл бұрын
Blaaa Blaaa Blaaa
@odenlwila83902 жыл бұрын
Hivi huyu anamdanganya nani si mpo wenyewe kwani simnafanya mnayo taka upinzani haupo mbona mchumia tumbo huyu
@praxedamkwila88255 жыл бұрын
Maneno haya sijayapenda kabisa Mungu atusimamie,kama kiongozi anatumia lugha ya namna hiyo!
@sabraham53085 жыл бұрын
Hii ndio CCM,wanaifanya nchi hii ni mali yao,na wengine hawana haki,hiyo ni ndio mantiki yao,ni kansa ndani ya damu yao,wao ni bora zaidi,mantiki hii ndio inayowadumaza wengine,wasiijue haki yao,tunajiroga wenyewe.
@mrsramadhani24004 жыл бұрын
Bwege
@azinambwambo67485 жыл бұрын
Mmmmhhhh!!!Makubwaa!!!
@ukhtyalpha13445 жыл бұрын
Wewe ni mhuni mmoja ulokuwa huna mbele wala nyuma Watanzania ndio ccm yenu hawana points za maana kukwambieni maana hawana uwezo wa kukutekelezeeni wabakuoneni mnafurahishwa na matusi kutukana upinzani ndio furaha zenu na ndio maendeleo yenu amkeni jamani shida hii waliopokeleanini upinzani na hawawezi tuna kuomba Mfalme MMungu uloumba mbinu na ardhi utuonfoshe watu hawa hata heshima ya kuzungumza inawashinda
@tecnof12325 жыл бұрын
Hivi huyu amepewa uongozi kwa weledi wake au kwa kujuana? Vp ccm wacheke na mtu huyu au pia ndio sera izo? Mhuni huyo hafai hata kwa chambo!
@alexmwita54265 жыл бұрын
Nyerere alikuwa chama tawala ila aliruhusu vyama pinzani alikuwa na lengo la kuleta demokrasia na mtazamo mpana, ili chama kilicho madarakani kisibweteke. bila vyama pinzani magufuli hasingekuwa raisi leo hii
@edwarddaniel56835 жыл бұрын
Pointi
@allyomari6805 жыл бұрын
Mimi nasema tu kama hutaki acha ccm walianza kutukana viongozi waupande wapili wakawa wanaangaliwa tu ileikaenda ikawa kama jipu lá laana limepasuka pwaaa wanaanza kutukana viongozi wao nani asiejua kama nape kazunguka kila kona kumtukana lowasa nani asiejua makonda alimpiga Mzee walioba sasa huyu kutukana ataachaje eti wanajinasibu wanajenga barabra huyu jamaaa namuona kama mfugaji hivi anajua barabara huyu jamani anajua barabara majitu kama haya yanatakiwa yaende hayata Nairobi wakaone barabara
@avocadotz29465 жыл бұрын
Hayo siyashangai kabisa, kama Katibu wake kawa ambia wazee wabumbavu yeye nani mpaka awe naheshima kwa Wananchi,
@omaryweza72935 жыл бұрын
Tatizo siyo lako tatizo aliyekupa dhamana, mpuuzi wewe
@yohabumlelwa58945 жыл бұрын
ulitaka usikosolewe wana haki ya kusema hakuna kitu wataalam wanasema ukiona kuna mfupi jua mrefu yupo ukikubali kila kitu hapo wapinzani maana yao kuwepo hakuna acheni maneno ya shombo ni b kawaida kukosoa mwajibu sio kutoa maneno ya ovyo akiuliza mtu unavojibu kwa hekma nachojua ndo kujuza watu wajue vizuri ila ni mtizamo tu
@hamedmaskari5185 жыл бұрын
Sasa awo wanao sema kuwa mwinyi mkapa kikwete hajafanya kitu ni nyinyi wenyewe sasa munamwambia nani ayo maneno msiba kila siku anawatukana hao marais wastafu nyinyi mmekosa Dira na 2020 muchukue ivo ivo kwa nguvu si semi kuiba mana kuiba inakua afadhali kuliko kuchua kwa nguvu
@hassanmirambo5645 жыл бұрын
hamed maskari bila shaka hujishughulishi na kibarua chochote kazi ni kushinda kijiweni na stori za kike
@hamedmaskari5185 жыл бұрын
@@hassanmirambo564 wala hujakosea hakuna la kufanya hata wewe kama vp njoo tusaidiyane
@hassanmirambo5645 жыл бұрын
hamed maskari nimetoka Msikitini sasa nipo kwenye daladala naelekea kwenye kutafuta mkate wa kila siku hebu hizo clip jihesabuni vijana wa Kiislam mpo wangapi ndio mjue mnatudhalilisha kiasi gani
@hamedmaskari5185 жыл бұрын
@@hassanmirambo564 mbona sikufahamu wewe unatoka msikitini halafu unanitukana bila ya kosa lolote
@zakariasteven42705 жыл бұрын
Kweli wewe ni mjinga sana yan
@raphaelmrisho15205 жыл бұрын
Duuuu kweli CCM inahazina
@shedrackbryson67975 жыл бұрын
Kuna bibi apo kama asomeki vile 😆😆😆😆😆😆
@baruchristopher1335 жыл бұрын
Unajiona kidumee😀😀😀 Mkeo amekupa watt ulee anajua baba yao mimi
@hassanmirambo5645 жыл бұрын
Christopher Baru hata wewe huyo ulieambiwa na mama yako kuwa ndiyo baba yako siyo mama yako alizaa na kaka yake huyo unaeambiwa ni mjomba wako ndio baba yako halisi tena usitake nitoboe siri kwa huyo baba yako aliyebambikiziwa wewe
@salummuhija44355 жыл бұрын
Hakuna tatizo hapo msikuze mambo point nyingi kaongea mmenasa hilo la mimba tu basi!!
@amnaalshabani27775 жыл бұрын
Keulimisha ni vizuri saana kuliko matusi
@sss3s8675 жыл бұрын
Kichaa wewe. Kwani wananchi hawaoni kama ni Sawa au sio Sawa.
@dionizkipanya23555 жыл бұрын
Hakuna Kitu Kilicho Ua Halmashauri Kama Kutoziruhusu Kukusanya Kodi
@jonijojoss91815 жыл бұрын
Angekuwa mpinzan huyo ni jela bila kes
@majaliwamsigwa15705 жыл бұрын
Jonijo Joss hata mkutano usingefika mwisho
@mosesmwaisela24555 жыл бұрын
Wewe ndio unamwalibia Rais. Domo châfuuuuuu
@mwanamutemi5 жыл бұрын
huyo muangalieni tarehe yake, bila shaka hamjui babake ni nani !!! Lugha jukwaani kama hizo ni wanaharamu waso na haya huweza kusema !!!
@mohamedbawazir81555 жыл бұрын
CCM stands for Chama cha Majambazi Stupidity za kutukana angeanza Na Dada zake kuwatia mimba Mkosefu wa Adabu na asipewe tena Microphone 🎤
@kasimugullum58625 жыл бұрын
Huyunae ameshaanza kutukana kama watanguliziwake akina Nape.
@noresajoseph63365 жыл бұрын
Huyu nae punguan tu
@giannajoji79445 жыл бұрын
Vijana ni nguvu kazi lakini hekima hakuna kauli gani hii yakutoa mbele ya wazazi km hivi??ovyo kabisa!!
@idduyusuph94085 жыл бұрын
Muuni tu uyu asamehewe ukiina kijana yupo ccm awez kuwa na upeo mkubwa wakufikilia na ukimkuta ccm kijana anafikilia vzr Basi ujue kanunuliwa tika nje ya ccm
@karolikinigu47325 жыл бұрын
kila mwanzo unamwisho wake
@rodenmgata39175 жыл бұрын
usihamasishe ugomvi tunapenda aman
@mrishomindu42315 жыл бұрын
Mimi CCM lakini sikubaliani na kauli za kikhanithi Kama hizi za mpumbavu huyu OIL chafu. Tujifunze ustaarabu kupitia kwa watu wa pwani Bagamoyo Dar Tanga na pwani yenyewe.
Magufuli alipoingia alikuta mikopo hii inatolewa kwa hiyari itolewe isitolewe hamfanyi chochote. kabla ya Magufuli alikuwa nani ? ndiye Raisi ambapo fedha hizo zilikuwa zinatolewa kwa khiyari . ndo alikuwa hafanyi kazi huyo aliyekuwepo kabla ya Magufuli.
@josephinemacha71125 жыл бұрын
Jamani mwanamke aeshimiwe ndiye aliyekuzaa wewe
@godfreymollel69035 жыл бұрын
Hiyo kauli ya mwisho utaijutia
@othmanhaji18325 жыл бұрын
Lugha irekebishwe. Inatosha kuwafahamisha kwa wepesi wa lugha badala ya ugumu wake.
@danielmanyama45044 жыл бұрын
Acha upuuzi wewe ! Nyie ndo mnaifanya ccm ichukiwe na wananchi kwa kufikiri mnaisadia ! Upuuzi unaousema mbele za watu ukifkri unaisadia ccm kumbe ndo unaibomoa acheni ujinga wa kutuaribia ccm yetu wachumia tumbo nyie!
@gilbertmaganga99985 жыл бұрын
Nyinyi mnafanya mikutano ila wenzenu mnawazuia sasa huyu ni mbunge wa jimbo gani
@wilifredmbowe23865 жыл бұрын
Gilbert Maganga akamutie mama yake mimaba kwanza
@ramadhanseif45645 жыл бұрын
Kauli za kisenge
@athumanichato96443 жыл бұрын
Kauli mbaya Sana unaongea ww
@winndelule23025 жыл бұрын
Mnajua msimlaumu uyu kaka....mbna hao wa mama waliopo hapo ndo kwanza wamecheka wakat neno lilitolewa hapo sio zuri.....wao ndo walitakiwa kua mstari wa mbele kuzomea ili yule kaka ajue kua neno alilotumia sio zuri
@missmoona44975 жыл бұрын
Win Ndelule, hawajielewi hao wajionea mauza uza too
@humphreymkony89155 жыл бұрын
Hivi ni mpaka utukane ndio uonekane unhutubia? Tatizo ni Elimu yetu. Watu wamesoma lakini hawajaelimika.
@chiefyougar18365 жыл бұрын
chadama apo wangkamatwa daa Hii nchi nixhida juu yashida
TUMUOGOPENI MUNGU ZAIDI KULIKO KAZI ZETU,TUKUMBUKE TUTAKUFA NA KISHA KULIPWA JUU YA YALE TULIOKUA TUKIYAFANYA..CHUNGENI NDIMI ZENU NA NI HERI MKANYAMAZA KULIKO KUONGEA MAMBO YATAKAYOWAVUNJIA HESHIMA ZENU
@abdulwalidali45675 жыл бұрын
Huyu anawasha nyuma utatiwa mimba wewe na mamayo nshenzi kama mitusi mitusi tuu kudadadeki kanyaga senge la ccm hilo
@saidimigembe70365 жыл бұрын
we mwenyewe apo ulipo umeshapewa mimba mana icho kidomo domo kama malaya
@japhetmwamlenga31625 жыл бұрын
Huu nimkutano wa vijana lazima chombeza ziwepo
@f.a60435 жыл бұрын
Huni ushetani kua kijana sio lazma uwe na maneno machafu huo ni ujinga kama unaona ni sawa nenda ukatekeleze alichosema huyo mwehu halafu utaona kitakachokupata!!
@paulonyangasi7085 жыл бұрын
Wameamua eti n kweli watanzania mnafumba macho hamuon kinachofanyika kweli?
@kenybenjiz78505 жыл бұрын
Ametumia lugha kali sana
@majaliwamsigwa15705 жыл бұрын
Umeanza kama jagwa,tumia hekima huo ni uchochezi
@mosesmwaisela24555 жыл бұрын
Mnao chekelea matus namna hii ufahamu unawatosha kweli. Unajifanya unamnadi Rais. Asie jua utendaji wa mweshimiwa ni nani?
@steveherclles22955 жыл бұрын
Hutubia wanawake hapo na wazee c vjana tuache tulivyo make tunamaamz yetu pia