MPIGA PICHA WA

  Рет қаралды 1,684,292

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Katika Kuadhimisha Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa Msanii Diamond Platnumz Leo Amemkabidhi Official VideoGrapher & Photographer Wake Lukamba Gari Jipya Aina ya Altezza, Ikiwa Maalum kwa Ajili ya Kumrahisishia Swala la Usafiri Kutokana na Kazi zake Ambazo Wakati Mwingine Anakutana na Mazingira Hatarishi Ikiwa ni Kuchelewa Kutoka Kazini na Kwenda Kufanya Kazi Maeneo ya Mbali.

Пікірлер: 528
@Apo_onlineTV
@Apo_onlineTV 6 жыл бұрын
Eeeeebhana mungu wetu sote daaaaaah jaamaa kabless sana lukamba mond hiyo lzm mungu akuongezee boss
@mercyj7419
@mercyj7419 6 жыл бұрын
Aiseee hii imenitouch sana....Diamond Mungu akubariki sana...na Lukamba baba kaza buti..kp up with the hustle it pays....👏👏🙌🙌
@naymah3560
@naymah3560 6 жыл бұрын
Diamond kwa upendo unao uonyesha na mambo unayo yafanya ktk hii nchi m/ mungu akujalie kila lenye kheri na wewe na pia akujalie umri mrefu Nasibu Abdully !
@hawanaseb4815
@hawanaseb4815 6 жыл бұрын
Kaka mondi nakukubali sana mwenyeezimung azidi kukupa moyo WA upendo hivyo hivyo
@kaukaroofing
@kaukaroofing 4 жыл бұрын
hawa naomba suport hako tu dada sikiliza ngoma mpya inaitwa mood linki hii hapa usiache kusunscrine kzbin.info/www/bejne/moaogZaPa96tb6c
@komboomar8275
@komboomar8275 6 жыл бұрын
Mfanyakazi wako ukimtunza vizuri bac lazma akuheshimu na aheshimu kazi yako much respect mond huko ndio kusaidia
@esterkarine5780
@esterkarine5780 6 жыл бұрын
watu wanakusemea bure eti ww ni freemason Lakini wanashindwa kuelewa kama wewe ni mjanja unatafuta baraka kila kona , Duuh kupana ni moyo kweli . God bless U Diamond
@aminamkamba4244
@aminamkamba4244 6 жыл бұрын
+veronica lufingo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@WORLDCUPHighlights-df3fg
@WORLDCUPHighlights-df3fg 6 жыл бұрын
Ester karine kweri
@kaukaroofing
@kaukaroofing 4 жыл бұрын
sikiliza ngoma mpya inaitwa mood linki hii hapa usiache kusunscrine kzbin.info/www/bejne/moaogZaPa96tb6c
@jaynationtz1935
@jaynationtz1935 2 жыл бұрын
Hi kzbin.info/www/bejne/gIebiqF8p76tjMU 👈🙄🙄
@zuuhans5252
@zuuhans5252 6 жыл бұрын
Kila kheri chibu dee na hongera san lukamba kwa kaz mzur uloifanya
@fatmambarak9672
@fatmambarak9672 6 жыл бұрын
Daaah kama umeangalia zaidi ya mara moja nipe like nikutambue So emotional
@mercyj7419
@mercyj7419 6 жыл бұрын
Yaani nimeirudiarudia hii video mpk basi...very touching😪😪😪
@fatmambarak9672
@fatmambarak9672 6 жыл бұрын
@@mercyj7419 indeed dea
@brightonabel8391
@brightonabel8391 6 жыл бұрын
Simbaaaa
@abracadabratz5294
@abracadabratz5294 6 жыл бұрын
Fatma Mbarak daaahh inaa tiaa hamasa xanaa
@fatmambarak9672
@fatmambarak9672 6 жыл бұрын
@@abracadabratz5294 sanaa tu
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 6 жыл бұрын
Nothing is more payable like hardworking lukamba you Deserve! Umeniliza napenda watu wanaofanya kazi kwa bdii na kujituma
@kimkimmie3435
@kimkimmie3435 6 жыл бұрын
I keep saying if there’s anything I love Diamond for , is ,,, his generosity!!!! Ukweli usemwe !not many people have such heart . Thank you Diamond even though saa zingine uko na madharau esp to women, I decide to focus on your good side ,,very generous 👌🏼 I’m Kenyan born living in +61
@omarywaziry8403
@omarywaziry8403 3 жыл бұрын
Exercise, exexceexecx, exxexex ed Cecelia, Cecilia, exercise, Cecelia, ex, ex, c, ex, exercise, x, de, c
@saharasheekh5073
@saharasheekh5073 4 жыл бұрын
Jamani huyu kaka mwenyezi mungu ampe moyo huo huo wa kusaidi 🤲😭💕
@oswardmgaya7400
@oswardmgaya7400 5 жыл бұрын
Sana diamondi nadhani upo vizuri ingawa mti wenye matunda hurushiwa sana mawe Ila misaada unatusaidia sana
@hawanaseb4815
@hawanaseb4815 6 жыл бұрын
Yan nimejikuta na mm nalia Duuh
@praxedadominic6892
@praxedadominic6892 6 жыл бұрын
Na mimi nimejikuta nalia jmn
@mustafasuleiman1362
@mustafasuleiman1362 5 жыл бұрын
Nyie nyote wajinga pana nn chakulia wapumbavu
@esterdaniel6229
@esterdaniel6229 5 жыл бұрын
Na mi nimelia dogo anaadabu
@chandinhaalberto4834
@chandinhaalberto4834 4 жыл бұрын
Na mimi nimelia
@suleymanally4729
@suleymanally4729 4 жыл бұрын
Wallah unalana unalilia ushenziii hahahhha pole dadaaaaaaa allah awaongozee watu walilia pep nyie mwalikia diamond
@magehkihwele8274
@magehkihwele8274 6 жыл бұрын
Hongera saaaana lukamba ulivo itwa ivo na kunyoosha kidole una onekana ni mtu mmoja mstaarabu saaana Mwenyez mungu akubarika saaana Diamond ndomana unafanikiwa
@levismshua2050
@levismshua2050 6 жыл бұрын
Siku zote nikikutazama najiona mm kwakweli wewe ni zaid ya zawad kwa vijana big up diamond wa dunia
@naomikongara6755
@naomikongara6755 3 жыл бұрын
I have cried 😭 congrats to the young man
@fallymetoo191
@fallymetoo191 6 жыл бұрын
Kazi ni kipimo cha UTU Big Up Lukamba BarakAllahFeek🙏
@innowarako328
@innowarako328 6 жыл бұрын
Diamond your the one and no one like u coz u're done this which have never ever doned by any one
@estherbebe2303
@estherbebe2303 6 жыл бұрын
Oh Diamond is such a sweetheart 😩💙
@depsmilindi8424
@depsmilindi8424 2 жыл бұрын
Allah azidi kukubariki kijana diamond.... You deserve yote unayo na kila atuwa.... Allah azidi kukuwekeya wepesi
@monilahcruz7293
@monilahcruz7293 6 жыл бұрын
Hii kitu imetachi dar daimond unajua kucheza nakili zetu
@salmasalehe5411
@salmasalehe5411 4 жыл бұрын
In by
@faridabakari8511
@faridabakari8511 6 жыл бұрын
Mashallah mashallah big up bro😍😍😍😍😍😍😍🇰🇪😗is big up bro. D
@kenedie9022
@kenedie9022 3 жыл бұрын
Sasa diamond ashajua siri ya kumpendeza mungu ....na Mungu asikubali ukatoka dunianj bila kumpokea huyu yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako 😭😭😭😭
@stallonenjoroge6331
@stallonenjoroge6331 4 жыл бұрын
These boy is soo humble he deserves it
@vanessajames1567
@vanessajames1567 6 жыл бұрын
Hongera Diamond Mungu akuzidishie
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 жыл бұрын
Jaman maisha haya walala masikin waamka Tajiri, mungu tubadilik nasiii🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@mercyslim2043
@mercyslim2043 2 жыл бұрын
Diamond baba lao 😍
@mariamgracendunge8070
@mariamgracendunge8070 4 жыл бұрын
So touching...ukifanya bidii...sure there is reward
@elizabethmweu4735
@elizabethmweu4735 3 жыл бұрын
Good advise to the young people..... Kwamba wafanye kazi kwa bidii. Thanks Diamond Platinumz
@dinahdinah3290
@dinahdinah3290 6 жыл бұрын
daah mungu akubarik diamomd jamn mpka nimelia lukamba maskin jamn😢
@jackemanuel8983
@jackemanuel8983 5 жыл бұрын
mungu akupe maisha marefu diamond, nakuona manara kwa mbaliii
@benshichenga5406
@benshichenga5406 3 жыл бұрын
Diamond you have a good heart . Keep it up Lukamba
@kerinekaisa4524
@kerinekaisa4524 5 жыл бұрын
Diamond is so humble to earth....
@samirababy2628
@samirababy2628 4 жыл бұрын
Naomba ataaa angalau nikutane na daimond so that's aone my talanta inshallah 💖
@yuvenalalphonce5978
@yuvenalalphonce5978 6 жыл бұрын
Maskini lukamba alivyoitwa ...nani kaona alivyonyoosha mkono.!? Inaonyesha ana adabu sana.!
@khadijaomar3299
@khadijaomar3299 6 жыл бұрын
Yah
@gracejames2573
@gracejames2573 6 жыл бұрын
😭😭😭
@mercyj7419
@mercyj7419 6 жыл бұрын
Yaaani Kweli kabisa nimeona...km vile yupo darasani maskini😣😣😣....he looks very innocent....I hope hawatompora na hilo gari jamani..😣😣😣
@salmadonne6327
@salmadonne6327 6 жыл бұрын
Lukamba ana adabu sana mungu amujaalie
@juliuskato5100
@juliuskato5100 6 жыл бұрын
YUVENAL ALPHONCE sana boss hanuniwi
@puritykairuthi4049
@puritykairuthi4049 5 жыл бұрын
wow...lovely... may God bless u diamond for ur kind heart
@dianajiana6804
@dianajiana6804 6 жыл бұрын
Oòoooh my God. Cutting onions 😭😭😭😭😭😭😭 so emotional. GOD BLESS YOU DIAMOND
@OphoroTube
@OphoroTube 6 жыл бұрын
Anastahili kwa 100% tena ni kama amechelewa kulipata
@visionstudios6804
@visionstudios6804 6 жыл бұрын
Ophoro Tube mi nkadhan anamiliki siku nyingi
@biasharanamafanikiotv.8561
@biasharanamafanikiotv.8561 4 жыл бұрын
@@visionstudios6804 kzbin.info/www/bejne/pqGvXoWgq9qYrNU 🙏 Itakilujenga Sanaà
@djbravo687
@djbravo687 3 жыл бұрын
@@biasharanamafanikiotv.8561 ydfgggfddu
@ochinjojarahaofficialmusic2343
@ochinjojarahaofficialmusic2343 3 жыл бұрын
Napenda huo ndio moyo waubinadamu Brother DIAMOND PLATINUMZ🙏🙏
@mejumaaharunigaluzagaluza9249
@mejumaaharunigaluzagaluza9249 3 жыл бұрын
God bless you simba mola akuzidishie upendo zaidi kwa waja maupendo daima +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mussakeita8838
@mussakeita8838 6 жыл бұрын
Hahaaaaaa Lukamba kanyoosha kidole kama yuko darasani vileee nipooooo...hahaaaa safi sanaaa
@nasrudhinkhan6024
@nasrudhinkhan6024 6 жыл бұрын
Mussa Keita heshima bro
@theresiamushi8006
@theresiamushi8006 3 жыл бұрын
Yan ad nmeumiaa rohoo
@mariaana9808
@mariaana9808 6 жыл бұрын
You are the man, people would wish to have ,God bless you Kaka.
@merewefrank6593
@merewefrank6593 2 жыл бұрын
Diamond Asante sana unatufurahisha
@fatumasamiasuluhuog8696
@fatumasamiasuluhuog8696 2 жыл бұрын
Naseeb ana roho nzuri cna nawashangaa wanaomsema vibaya kisa wivu ila Mungu yupamoja nae daima nampenda cna diamond🥰🥰
@tulizolaurent1518
@tulizolaurent1518 6 жыл бұрын
Diamond hakka unawasaidia weng sanaa.Mungu akzdishie,pia aksamehe Kwa mapngfu yakooo💞
@allymariam8499
@allymariam8499 5 жыл бұрын
Hongera lukamba endelea na nidhamu broo
@KomeraRwanda-
@KomeraRwanda- 2 жыл бұрын
Mungu akuzidishie kaka mpendawatu. Hilo tu, cz I'm speechless bro.
@lashalashira3003
@lashalashira3003 6 жыл бұрын
May God bless you diamond may you continue to help your fellow brothers big up WSB
@jazelkimani9093
@jazelkimani9093 6 жыл бұрын
Simba uko sawa, so thankful
@kaukaroofing
@kaukaroofing 4 жыл бұрын
sikiliza ngoma mpya inaitwa mood linki hii hapa usiache kusunscribe kzbin.info/www/bejne/moaogZaPa96tb6c
@esthermaneno3516
@esthermaneno3516 5 жыл бұрын
Ubalikiwe sana kwakua unakumbuka kuludisha vazira Mungu akuzidishie ulipo punguza
@Wardda27
@Wardda27 6 жыл бұрын
Daah Kaka M Mungu akuzidishie.
@cholokoajay8869
@cholokoajay8869 4 жыл бұрын
Da diamond nimtumzuri mwenye eshema alivumilia mengisana uyu brother wangu lukamba Mpakaanalia kakalukamba iyonibaatiyako mungu amekujalia mshukurusana mungu
@mswanjiru6944
@mswanjiru6944 6 жыл бұрын
Wow diamond be blessed
@Pascal1122
@Pascal1122 4 жыл бұрын
Asante Diamond kwa kumuzawadiya kijana kama mimi duuu nashikwa nabutwaa aseeeee asante
@zahraramadhani6253
@zahraramadhani6253 6 жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie jamani 😍😍😍😍
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 6 жыл бұрын
Wewe mtoto ni mtawala mwema. Umetoa sadaka hiyo najua mungu atakulipa zaidi. Huyo uliyempa gari hata kwa muonekano ni kijana muadirifu. Ubarikiwe sn
@gracewangari4873
@gracewangari4873 3 жыл бұрын
Congrats Diamond that's good for supporting your works big up
@jafalkhatib7422
@jafalkhatib7422 2 жыл бұрын
Mamb vp
@jafalkhatib7422
@jafalkhatib7422 2 жыл бұрын
Mm kwann
@bmkmsanii3997
@bmkmsanii3997 2 жыл бұрын
apo sawa hivyo dio inafaa kuagalia wafanyi kazi wao.....bro diamond tunakupenda sana big up man bmk msanii kutoka kenya respest
@bettyladouce3029
@bettyladouce3029 6 жыл бұрын
Diamond u got a good heart
@ggtt8145
@ggtt8145 4 жыл бұрын
Hadi nmelia❤❤❤❤ngai mingu akubariki diamond
@helenampewa9582
@helenampewa9582 6 жыл бұрын
pnda san lukamba jmn, asant diamond kwa zawadi hiiiii
@halimawaziri7677
@halimawaziri7677 6 жыл бұрын
Woow mashaaAllah
@dastansimpanzye5558
@dastansimpanzye5558 4 жыл бұрын
Kama bado unatazama video hii mwaka 2020 na unamkubali Diamondi kwa mchango wake, weka like hapa
@pamojaeddz8913
@pamojaeddz8913 6 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba kaka diamond, napenda Sana harakati zako, mziki naoupenda ni Hip Hop ila mtu akifanya vizur nasema japo sio mziki naoupenda mm, Mungu akubariki kaka
@bunny_dailylife
@bunny_dailylife 4 жыл бұрын
Waaaaaah so touching God bless you mond
@hadijakoga7587
@hadijakoga7587 6 жыл бұрын
Mungu baraki kazi y'a Diamond
@nginahgracey1653
@nginahgracey1653 5 жыл бұрын
Maskini anakaa soo obedient..he is soo happy wallai hakuexpect ...
@lizaabraham1608
@lizaabraham1608 6 жыл бұрын
Be blessed diamond u r so amazing
@dorinben7096
@dorinben7096 3 жыл бұрын
Kazi nzuri LUKAMBA . Endelea vivyo hivyo na MWENYZI MUNGU atakubariki zaidi na zaidi
@tausak4568
@tausak4568 6 жыл бұрын
Mungu akuzidishie mond 🙏🙏but the boy is cute huh 😂🙈💖💖
@aishasilaji5759
@aishasilaji5759 6 жыл бұрын
Daimond wewe mungu azidi kubariki
@rosesamka6523
@rosesamka6523 5 жыл бұрын
Yani mpaka umenitoa machozi diamond....si kawaida hiyo.be blessed
@vailethramsi7201
@vailethramsi7201 3 жыл бұрын
Mungu Akupe wepesi wamafanikio zaid my brother
@jenipherchristopher2230
@jenipherchristopher2230 6 жыл бұрын
Hongera sanaa dangote
@yuladmwinyi5697
@yuladmwinyi5697 3 жыл бұрын
Dah hela bana huy nd lukamb mbn km tofaut
@priscarmwamlima9523
@priscarmwamlima9523 6 жыл бұрын
Hongera lukamba umeniliza hata mimi
@costabanzi1692
@costabanzi1692 2 жыл бұрын
braza uko vizuri mungu akusaidi ivoivo
@peterkitika5576
@peterkitika5576 3 жыл бұрын
Kwakwel nmeangalia had machoz Mumgu akuinue zaidi
@izboynyigu265
@izboynyigu265 6 жыл бұрын
Daaahh lukamba kidole chake kimenitouch sana mpaka nahs kulia
@tropicaltv7520
@tropicaltv7520 4 жыл бұрын
Diamond ni mtu mmja konk Sana anawakumbuka wengi Sana mungu aendelee kumunyooshea mkono wa heri na baraka tele WCB WOYEEEEEEEEEEEE🙋🙋🙋🙋
@flintkatunga4131
@flintkatunga4131 6 жыл бұрын
Yoooo diamond you are so amazing guy, we wish to learn more about you being good heart , @ Malawi we go on listening over and over your songs
@estherbatumike2495
@estherbatumike2495 2 жыл бұрын
Una stahili kuwa hata raisi wa inji baba una roho nzuri sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@noahkipkemoi486
@noahkipkemoi486 3 жыл бұрын
It is really sweet to appreciate ones sole efforts. Good work brother
@mercywanjiku9136
@mercywanjiku9136 6 жыл бұрын
Woiye Lukamba is such a humble guy
@moprizer5654
@moprizer5654 5 жыл бұрын
Good Sana my bro my pacha diamond platnum
@kinawari9944
@kinawari9944 6 жыл бұрын
Kama umeamini magekimambi shavu limemshuka shuuuu wap like yangu
@shamsahussen1059
@shamsahussen1059 6 жыл бұрын
Mashaallah mgu akubariki diamond plat
@LeyianMarkPhotography
@LeyianMarkPhotography 4 жыл бұрын
We mkarimu sanaaa
@queenmakasi7768
@queenmakasi7768 4 жыл бұрын
So nice Nasib Abdul (Diamond Postman) God be with you for Everything which you do hakika wewe ni wapekee
@bridgetphiri5663
@bridgetphiri5663 3 жыл бұрын
Thank God for you 🙏🙏🙏
@shabanisalumu4366
@shabanisalumu4366 6 жыл бұрын
Hongren kwakwel
@consolathakiwia5433
@consolathakiwia5433 6 жыл бұрын
proudly chibu kwa kumpa gari lukamba he deserve
@esperancenathali
@esperancenathali 4 жыл бұрын
Diamond Mungu aendelee kukupambania
@mariamdahal4955
@mariamdahal4955 6 жыл бұрын
Allah akuongoze Nasib in sha allah uzidi kuwaona walo chini yako.
@eunicesaumu7486
@eunicesaumu7486 6 жыл бұрын
I like it amazing 👌👏👏👏
@deejayrisasimakd1577
@deejayrisasimakd1577 3 жыл бұрын
Kweli you have done him a good thing umesaindia sana nipe like tukisonga
@ismailbushir5325
@ismailbushir5325 2 жыл бұрын
Hongera kwako diamond platinum
@mckingdto
@mckingdto 5 жыл бұрын
Baraka kubwa sana mungu akubariki zaidi
@nabateraaggie7225
@nabateraaggie7225 6 жыл бұрын
Thanks for the giving heart di may God continue blessing you
@bellauwase8908
@bellauwase8908 6 жыл бұрын
God bless you Diamond ❤️🙏
#DIAMONDPLATNUMZ ALIVYOMLIZA MAMA MLEMAVU WA MIGUU/ AMPA BAJAJ MPYA
8:26
DIAMOND Ampa Bajaj Mama Mlemavu Tandale
55:26
Global TV Online
Рет қаралды 447 М.
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 27 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 11 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 70 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 110 МЛН
AHMED ALLY AFUNGUKA A-Z VURUGU WALIZOFANYIWA LIBYA, INAUMA
15:03
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 32 М.
Diamond Platnumz alivyowaacha hoi wanachuo Nairobi kwenye THE TREND
28:08
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 27 МЛН