MSIGWA AKIMBIA INTERVIEW - AULIZWA MASWALI MAGUMU AKATAA KUJIBU - ''HAMNA MASWALI YA KUNIULIZA''...

  Рет қаралды 6,895

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MSIGWA AKIMBIA INTERVIEW - AULIZWA MASWALI MAGUMU AKATAA KUJIBU - ''HAMNA MASWALI YA KUNIULIZA''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 43
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@musa-v3f
@musa-v3f 4 ай бұрын
Msigwa yuko right maswali yalikuwa ya kipumbavu...watu wengi Tanzania wanaituhumu mahakama kwa rushwa lakini hawaachi kwenda mahakamani. Msigwa anamtuhumu Sugu sio Chadema kama institute..
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 4 ай бұрын
Kaka hawawez kuelewa hao. Kwasbb hawafanyi tafit za kutosha na zenye akil. Wanajadl hoja kw UMBEA na ushabiki. Be objective. Me wamenikera sana. Bora msigwa kajiongeza chap akakata simu maana wanampotezea muda wake tu.
@adammbuba7230
@adammbuba7230 4 ай бұрын
Vijana mmeuliza maswali mazuri sana
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 2 ай бұрын
Mzee msigwa umekwisha sasa
@ramadhanimambya6569
@ramadhanimambya6569 4 ай бұрын
Good questions
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 4 ай бұрын
Mwandishi ameuliza maswali magumu Msigwa akakwepa kujibu
@farusaimon3490
@farusaimon3490 4 ай бұрын
😀😀😀🤣🤣🤣 Jamani, achaneni naye huyo Msigwa, atakuwa amepigwa pini, kafungwa zipu huyo! Mnataka apelekwe kusikojulikana?
@ayubujohn8320
@ayubujohn8320 4 ай бұрын
Anajitahidi kuigiza ukweli😅
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 4 ай бұрын
Hata Marekani police hawafanyiwi kampeni za uchaguzi kuchaguliwa. Mkuu wa majeshi kuna nchi anapigiwa kula ?
@samgwazay1208
@samgwazay1208 2 ай бұрын
msigwa amezingua. huyo Hana swaga.chadema akili kubwa sana, huyo tamaa ndio zinamsumbua.
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff 4 ай бұрын
Mmmh! Intavyuu😮
@farusaimon3490
@farusaimon3490 4 ай бұрын
Hapa Tanzania hakuna mtendaji wa kitongoji.
@philemonkafyulilo7128
@philemonkafyulilo7128 2 ай бұрын
Sasa hayo ya uteuzi nani hajui ?
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 3 ай бұрын
Kweli chama sasa hakina ajenda kila mtu anazungumza lake
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 Ай бұрын
Ajitambui
@farusaimon3490
@farusaimon3490 4 ай бұрын
Msigwa anaonekana kuwa kijana wa mtaani/msela, hana mbele wala nyuma.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 4 ай бұрын
Chanel ni ya mafisiyemu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 4 ай бұрын
Kua msomo ina maana gani?
@moddysunshine6618
@moddysunshine6618 4 ай бұрын
Msigwa yuko sahih. Kajiandaeni vizuri kumuhoji .
@msabahaali758
@msabahaali758 4 ай бұрын
mmeuliza upumbvu nyinyi bcs hawezi kuzungumzia issues iliokuwa imekatiwa rufaa
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 ай бұрын
Yan ww kigeugeu ivi unajitazama kweli?
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 4 ай бұрын
Rufaa ya Msigwa haijaelekezwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA
@AloyceSiwingwa
@AloyceSiwingwa Ай бұрын
Wahuni ni chama kinachotegemea kusaidiwa na polisi kila chaguzi
@munyeradeogratias9342
@munyeradeogratias9342 4 ай бұрын
Wahuni
@DaudiMinzi
@DaudiMinzi 4 ай бұрын
Tv Haina hata mvuto kwenye maswali mbona star tv huwa wanauliza maswali mazuri
@giftkalenge418
@giftkalenge418 2 ай бұрын
ninyi mnachanganya kmtuhu mwenyekiti Rufaa amekata Kwa kamati kuu halafu mtu akisema mahala hajazenda haki no katika level Ile iliyofanyika maamuzi ila katika taasisi hiyohiyo kunakuwa na ngazi nyinine
@mangenyanyondo8691
@mangenyanyondo8691 4 ай бұрын
Mkajiandae mna maswali ya uchonganishi
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 4 ай бұрын
Chama cha wahuni hicho ukiwauliza masuali basi wanapanic 😂😂😂😂😂😂
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 3 ай бұрын
Aisee nyie mnajua kuuliza maswali,basi naomba umuite Msemaji Mkuu WA Serikali mumulize Kuhusu SWALA la CAG YALE MAJIZI YATAFIKISHWA LINI MAHAKAMANI?
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 4 ай бұрын
Nyie waandishi mtuambie basi mwenye maamuz y rufaa ni mbowe peke yke km m/kiti au ni kamati kuu au ni nani? Heb wachen propaganda zenu. Na kupotezeana muda. Mnaboa et. Bora mzungumzie mambo yenye tija mfano Rais kafuta ada ya kidato cha 5 na 6. Au mhamasishe watu wafanye mazoez y viungo il kupunguza sukar mwilin n.k
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 4 ай бұрын
Maswali mazuri sema huyo msigwa ni kilaza
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 2 ай бұрын
😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@DaudiMinzi
@DaudiMinzi 4 ай бұрын
Hicho chombo ni Cha ccm
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 4 ай бұрын
Democracy mnayoizungumzia nyie ndo aliyotumia yeye kutolazimishwa kujibu mnachotaka nyie. Kwani ni lazima ajibu jibu mnalolitaka nyie??
@BenjaminChiseo
@BenjaminChiseo 4 ай бұрын
Hakuna maswali hapo kwanza nyinyi wote ni vilaza kabisa
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 4 ай бұрын
Sio maswali hayo dogo.
@ThomasAlute
@ThomasAlute 4 ай бұрын
Wapumbavu sana nyie wadada mnazungumza nini hapo
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 4 ай бұрын
Mtangazaji /mwandishi ni kibaraka wa CCM
@hgrintercon9537
@hgrintercon9537 4 ай бұрын
Hopeless questions
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 4 ай бұрын
Chadema ni kundi la wahuni hawana lolote
@wahurumasibale6155
@wahurumasibale6155 4 ай бұрын
Hata ccm ya akina bashite na sabaya ni zaidi.
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
Chadema Media TV
Рет қаралды 61 М.