MSTAAFU ANATULETEA DINI NA IMANI ZA MALAYSIA. RAISI HAJUI..MUULIZENI MAMA MIKOPO ANAFANYIA NINI..?

  Рет қаралды 2,353

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Ай бұрын

Пікірлер: 21
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 26 күн бұрын
piga kazi mtumish 🎉
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 27 күн бұрын
Asante sana pastor kwa kujitoa mhanga. Mungu akulinde maana wanaosema ukweli Tanzania wanafuatiliwa wanapotezwa
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 29 күн бұрын
Upo vizuri sana Mtumishi
@josephkmarwa7425
@josephkmarwa7425 24 күн бұрын
Watanzania...wamelaniwa..kwa..kulizika..na..umasikini..wafikira.nani..kawaroga.😭😭😭🙏
@josephkmarwa7425
@josephkmarwa7425 24 күн бұрын
Watanzania .wamezibwa .ufahamu. wamebaki..kulilia..na. maisha..wanayoishi 😭😭😭
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 28 күн бұрын
Mizizi ya mstaafu,nimirefu toka kuzimu adi mizizi nayo ina mizizi,,huyu anaye kopa bila faida,kuna siku mbarikiwa alisema ipo siku atakuja kiongozi ambaye atasema ,waliokopa walipe wenyewe na watoto wao Mungu ikumbuke tz
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 27 күн бұрын
Nakuunga mkono. Ila wakati huo atakuwa anapeta Dubai. Mnampatia wapi
@hassannuru7399
@hassannuru7399 24 күн бұрын
@@namsifubwana2152 kukapa kaanza kambarage,kwahiyo naye itabidi afufukuliwe alipe
@anitasita7153
@anitasita7153 25 күн бұрын
MKOPAJI NA MSTAAFU NIA YAO NI KUUZA NCHI
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 28 күн бұрын
Tumepewa lidudu
@user-gv7sd4oi6q
@user-gv7sd4oi6q 23 күн бұрын
CHANJO
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 28 күн бұрын
Mapastor siku hiz wanakatisha tamaa wao wengi wanajitajirisha wenyewe na majumba na magari ya kifahari bora kutoa kwa watoto yatima
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 28 күн бұрын
Kutoa kwa yatima ni vitu viwili tofauti na kutoa kwenye madhabahu ya mtumishi wa Mungu wa kweli,,kutoa nikanuni tangu Enzi
@user-ib8fv7jy9g
@user-ib8fv7jy9g 29 күн бұрын
Mtumishi ubarikiwe Sana, kiukweli unachokisema ni Kweli kabisa.
@sarahjames2287
@sarahjames2287 29 күн бұрын
Anapeleka zanzibar bro!!mama anaupiga mwingi
@hassannuru7399
@hassannuru7399 24 күн бұрын
wewe baki na imani yako au hiyo imani mpya unaletewa wewe ? kuwa muwazi nabii,kuna imani inaitwa ya kimalaysia au ni imani mpya ? alafu fanya mahubiri ya dini yako kwa kondoo wako achana na rais wetu.
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 22 күн бұрын
Kwani huyo Rais si na wake pia ? Au ni wako wewe peke yako? Rais ndio kiongozi wa waTanzania wote usilete ubaguzi swala la maonyo au ushauri ni swala la Mungu au binadamu na binadamu , wewe itakufurahisha nini kama nchi ikaharibika kwa kukosa ushauri ? Hata maoni ni ushauri na serekali yoyote duniani inaongozwa na watu au wanachi kwa kuangalia matatizo Yao ,malalamiko Yao ,maoni Yao ,maonyo Yao ,ushauri wao nk , wanao SEMA waache waseme ,wewe wa kutokuelewa endelea kubaki hivyo usiwagawe watu kwa ufahamu wako ,watanzania wanamuombea mama na wanatamani afanye mambo mazuri na mema zaidi Ili wanachi wawe na furaha ,amani ,utulivu ,na upendo ,Mungu ambariki mtumishi wake Mungu bariki Tanzania .
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 43 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 45 МЛН
🌊Насколько Глубокий Океан ? #shorts
00:42
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 113 МЛН
MUNGU ANASIMAMISHA WAKATI NA MAJIRA. SAA YA MAMA IMESIMAMA
24:55
huduma ya kristo
Рет қаралды 7 М.
MCHUNGAJI MSIGWA KUHAMIA CCM NI MUNGU KAMUAGIZA AU NI TAMAA YA MADARAKA.
30:26
KIJANA ALIYECHOMA PICHA YA RAISI. MSIMFUNGE ANAJITAFUTA
32:27
huduma ya kristo
Рет қаралды 27 М.
LIVE: RAIS SAMIA AMZUNGUMZIA SUGU " WANASEMA NI MTUKUTU"
32:40
Millard Ayo
Рет қаралды 7 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 179 М.
WAKRÌSTO WANA NYANG'ANYWA FUNGUO
27:18
huduma ya kristo
Рет қаралды 720
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
0:31
PANDA BOI
Рет қаралды 21 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
0:25
Watch Me
Рет қаралды 29 МЛН
I Can't Believe We Did This...
0:38
Stokes Twins
Рет қаралды 28 МЛН
🤣❤️
0:46
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 919 М.