Msukuma AKINUKISHA Bungeni, Atikisa, Dunia Yamfuatilia

  Рет қаралды 495,546

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Күн бұрын

Пікірлер: 333
@azizarashid8633
@azizarashid8633 6 ай бұрын
Hongera sana mbunge, magufuri kafariki kabaki magufur part two mungu msaidie wasimuue
@VicenteMajaliwa
@VicenteMajaliwa 6 ай бұрын
Msukuma ongeza juhudi kutusemea Ssi maskini mungu atakusimamia😮😢😢😢❤👏👏👏👏👏
@PeterKamera
@PeterKamera 10 ай бұрын
Hongela sana msukuma japo wakiona umewaweka wazi madhaifu yao lazima waanze kukuchukia Ila usijali tupo pamoja❤❤❤❤
@AbdalahChalo
@AbdalahChalo 5 ай бұрын
Msukuma hakika mm nimekuamini sana katka kutetea wananchi ongera sana na mm nakuelewa sana,kwann hawakuelewi ingawa wanakuelewa hao,pia namuombq mh.speaker ajifunze kutoka kwa msukuma
@leticiageorge
@leticiageorge 10 ай бұрын
Big up 💪 sana mh . Msukuma ,tunahitaji watu kama hawa sasa 💪💪💪
@PendoKyambik
@PendoKyambik 8 ай бұрын
Wanyonge tusiojiweza mahakamani nimateso matupu kisa wew ni masikini hujiwezi asante. Wew mbunge mungu akulinde
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 8 ай бұрын
Yaani huyu mbunge jamani yupo very nice hongera msukuma huko kanda ya ziwa huyo ndio mbunge sasa
@ghuhenjasper8666
@ghuhenjasper8666 10 ай бұрын
WUUUUUUUWI!!! HIVI MH. RAISI AMEUSIKIA NA KUUONA HUU UDHALIMU NA UNYAMA WANAOFANYIWA WAFUGAJI KWENYE MIFUGO YAO AMBAPO NI DILI LA WATU FULANI NA NI WIZI MTUPU KAMA WIZI MWINGINE. Hongera saana MSUKUMA
@venancemboge5001
@venancemboge5001 10 ай бұрын
Rais yeye ndo nani kwani unadhani hajui kama Kuna wananchi wanaonewa.
@AnasiAbasi
@AnasiAbasi 9 ай бұрын
Mungu akuongezee fikila.make sisi tulisha kubali matokeo.
@jaccobojeremia9626
@jaccobojeremia9626 9 ай бұрын
Mh;msukuma uko sawa kabisa nchi yetu iko upande wa matajili tu na siyo kwa masikini kama sisi Mungu pekee ndiye mteyezi wetu🙏🙏🙏.
@mariamhemedy-kx9ds
@mariamhemedy-kx9ds 9 ай бұрын
😊😊😂😂
@salehethedone267
@salehethedone267 9 ай бұрын
Mungu akuwekee ndugu❤
@ashiimohmedi6051
@ashiimohmedi6051 5 ай бұрын
Good my brother" mgungieni. mtungi wa gases hyo wazir wa wa hesabu za serikali" naona hpo itapendeza zaidi" hatutak apate tabu" na mafta ya petrol" msukuma mungu akupe maisha marefu na afya njema" acha sis tunyanyasike ila wao" wale vzr" 😭😭😭yaan da inauma sana"
@mwinamilamatogolo3902
@mwinamilamatogolo3902 8 ай бұрын
Msukuma achukue form ya urais anafaa☑️
@ericaishengoma429
@ericaishengoma429 8 ай бұрын
Asante sana sauti ya wanyonge mh. Msukuma
@FiniasEnock-uv7lo
@FiniasEnock-uv7lo 9 ай бұрын
Kwa kweli mweshimiwa mkusukuma unadhibitisha uumbaji wa Mungu, ama kweli mungu hawezi kukupa vyote ila msukuma mungu amekupendelea huo ubongo wako ni zaidi ya computer ndugu yangu una akili nyingi shule kwako ni kupoteza mda tu. Congratulations to you mbunge wangu.
@MagrethPaschal-pq6cf
@MagrethPaschal-pq6cf 4 ай бұрын
Jaman msukuma big up sana kwa kaz zur
@imanimulumbilwa6056
@imanimulumbilwa6056 8 ай бұрын
Magari yataunguwa sana,Gesi sio nzuri
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 9 ай бұрын
Daaah huyu msukuma.. respect sana yaana hata wangekuwa watatu tuuu. Hili bunge lingekuwa bunge kweli kweli.🙄
@damianionyango8590
@damianionyango8590 6 ай бұрын
Tuwe na mbunge mmoja msukuma wengine watoke
@mepukorypashina3335
@mepukorypashina3335 8 ай бұрын
Mungu akulinde uliko na akuongezeee muda wa kuishi msukuma 🔥🔥🔥🔥
@MatelephonLukumay
@MatelephonLukumay 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana tena San tukiwa na wabunge kama wewe Tanzania tungekuwa pali
@valentinamushy
@valentinamushy 9 ай бұрын
UKO vizuri sana msukuma
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 10 ай бұрын
Hongera sana msukuma jitahidini tuu sisi wafugaji sijui ratisi wetu anatuchukuliaje baada ya muda mfupi ujao jamii ya kimaasai watakuwa wamefutika tanzania
@KimbilimaSocial-dy9cl
@KimbilimaSocial-dy9cl 9 ай бұрын
Nakwann gas tutumie Vibaya namna iyo wakati Uku mtaana gas mtungi mdogo 24000 wakati Mtungi mdogo hilitakiwa Tuuziwe 5000 na mtungi Mkubwa ule wa kukonect Na pret inatakiwa tuuziwe 17000 hili tuweze kupikia Hata maarage na siyo Tuendelee kuikata miti Yetu kwa hajili ya mkaa GAS KWENYE GARI MAANA YAKE NINI SASA
@JosephMtweve-qr4dp
@JosephMtweve-qr4dp 5 ай бұрын
Wabongo tumekosa maariifa
@FaridaAbuu-n1j
@FaridaAbuu-n1j 5 ай бұрын
Msukum ww nikopi ya magufuli🎉🎉🎉🎉❤❤😂
@BernadethaSimba-qi4dw
@BernadethaSimba-qi4dw 5 ай бұрын
Poropoganda hizii jamani tuwe makini na mitano mingine ya mateso siku zote walikuwa hawaoni maisha magumu ya wananchi wacha mtuhudumie kwa Tasafu kwani ndivyo mtakachi Mungu anawaona sana mwisho mnyonge hana haki
@HappyHappy-n2z
@HappyHappy-n2z 8 ай бұрын
Mweshimiwa msukuma bigap❤😂
@GalosiKapanga-ge3rc
@GalosiKapanga-ge3rc 6 ай бұрын
Safi apewe cheo kikubwa nawabunge wengine wafanye hivyo
@MasabudaJames
@MasabudaJames 8 ай бұрын
Nakuelewaga Sana msukuma,Bawelage bigwe
@TwahaMchomvu
@TwahaMchomvu 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂 msukuma chukua🎉🎉🎉yako
@EmmanuelNdiyogi-yj3mi
@EmmanuelNdiyogi-yj3mi 8 ай бұрын
Mungu awe Kinga kaka uwe rahisi
@VeronicaJohn-l5s
@VeronicaJohn-l5s 5 ай бұрын
Mungu akuongoze katika kulitumikia taifa letu🙏🙏🙏
@MariamMichael-d4j
@MariamMichael-d4j 9 ай бұрын
Mungu azidi kukupa hekima baba
@mihwelaboniphace
@mihwelaboniphace 7 ай бұрын
Nimempenda sana huyu mbunge
@HappyHappy-n2z
@HappyHappy-n2z 8 ай бұрын
Msukuma uko sawa waanze na hayo magari ya mawaziri kufunga hiyo gesi😢
@BertharGodmarc
@BertharGodmarc 7 ай бұрын
Ndio baba ubarikiwe na Mimi nimesoma agrovet Sina mtaji Wala kazi
@TemboSambara
@TemboSambara 2 ай бұрын
🎉 🎉🎉 maua kwako mzee
@raymondclemence4412
@raymondclemence4412 10 ай бұрын
Very good,elimu kidogo akili nyingi.usiogope msukuma kaza buti usiogope matukio ya bungeni.😢😢
@jaspajafeth6015
@jaspajafeth6015 8 ай бұрын
Sijui niseme nini ,ila inatosha kusema kuwa unafikra bora za ujenzi wa taifa
@GeorgeMtimu
@GeorgeMtimu 7 ай бұрын
Jamani apewe ulinzi wanaweza kumuua kwamaana walikuwa wengi kama yeye watetezi wawa nyonge
@EmanuelPeter-i6l
@EmanuelPeter-i6l 8 ай бұрын
Msukuma umeongea vema hasa hao tanapa wanaotesa wananchi wakome kuchezea mifugo
@makobe.23
@makobe.23 7 ай бұрын
Asee😂😂 wabunge wote wanapaswa kufata nyayo zako
@chanovitchcharz1285
@chanovitchcharz1285 8 ай бұрын
Uko xaw brother
@Malaikalaizer-d2q
@Malaikalaizer-d2q 7 ай бұрын
Umeongea ukweli broo
@HilarinaNgatimwa
@HilarinaNgatimwa 8 ай бұрын
Magu part two, hongera sana kwa ujasiri
@janethedward4631
@janethedward4631 5 ай бұрын
Yn wakitokea km Hawa 5 tu Tanzania itakuwa ktk ubora wake. Ila Sasa Tanzania ukisema ukweli unapotezwa chap
@BashiruSelemani-sk5rs
@BashiruSelemani-sk5rs 5 ай бұрын
Kiongozi.bora ndiyo uyu.ongera msukuma
@MaryamuOmary
@MaryamuOmary 10 ай бұрын
Mheshimiwa msukuma unaakili sana pambana hojazako zinagusa wengu tunakuombea duwa kwamungu
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 8 ай бұрын
Msukuma uko sawa sana kweli kusoma siokua na akili akili unazaliwa nayo safi msukuma
@GeofreyAlphonce-l7u
@GeofreyAlphonce-l7u 6 ай бұрын
Tusemee sisi wanyonge baba
@RichardBhoke-ix1gs
@RichardBhoke-ix1gs 5 ай бұрын
Musukuma uko vizuri sana Hua unaongea ukweli mungu akupe maisha malefu🙏🙏🙏
@BarakaMussa-bg2nl
@BarakaMussa-bg2nl 8 ай бұрын
Mungu akutienguv
@SajuBoy-x7h
@SajuBoy-x7h 7 ай бұрын
Big up sana mheshimiwa you are my roll modal
@Motv07
@Motv07 5 ай бұрын
Asante musukuma natamani nchi nzima tungekuwa wasukuma tungeelewana san
@emanuelsila
@emanuelsila 7 ай бұрын
Tunakukubali ❤
@RichardsonBwenya
@RichardsonBwenya 7 ай бұрын
Mungu akulinde
@sadickcheyo2324
@sadickcheyo2324 9 ай бұрын
Wamebaki wachache sana kwenye hii inchi wanaoteteea wananchi😢😢😢
@AminaLibisa
@AminaLibisa 10 ай бұрын
,😂😂😂😂😂 msukuma hana baya 😅😅😅wasukuma oyeeeeee
@Paulningurinyi
@Paulningurinyi 5 ай бұрын
Mungu ukusadiye
@SimonMasanja-k1d
@SimonMasanja-k1d 5 ай бұрын
Mungu ameweka kitu kwa wasukuma wanauwezo mkubwa sana
@AllydidaszachariaDidaszacharia
@AllydidaszachariaDidaszacharia 7 ай бұрын
Saffff sana😅
@HamadRamadhan-v8f
@HamadRamadhan-v8f 8 ай бұрын
Watanzan tun bid tushikamane tuachen unafk jamaa msukuma yuko sawa
@abdulkarimmgunya513
@abdulkarimmgunya513 7 ай бұрын
Pamoja sana msukima🙏
@BenjaminiZephania
@BenjaminiZephania 7 ай бұрын
Ni htariiii ogipa
@NicksonIsilam
@NicksonIsilam 6 ай бұрын
Tusemehe masikini tunateseka
@Idebrant_oscar22
@Idebrant_oscar22 7 ай бұрын
Kwel hiiii nchi niya matajili tu maaan
@user-ww9sw7vl8k
@user-ww9sw7vl8k 7 ай бұрын
Nakubali sana msukuma. Acha hao wapiga makofi ndo fani yao
@damianionyango8590
@damianionyango8590 6 ай бұрын
Kweli msukuma
@Tatoo-b1c
@Tatoo-b1c 8 ай бұрын
Pis kwa msukuma ww ndio mwanaumeeeeee
@RamadhaniMussa-ku3xd
@RamadhaniMussa-ku3xd 6 ай бұрын
Hongera sana
@Philiponawet
@Philiponawet 7 ай бұрын
Bro oo at a uwaaa watuuu
@VinnyMaestro-wq6hv
@VinnyMaestro-wq6hv 7 ай бұрын
Yes your wright
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c 8 ай бұрын
WAKIIRUHUSU BANGI TUTAVUTA MPAKA NYENGINE TUTAKULA
@aizzyashery5564
@aizzyashery5564 10 ай бұрын
Sa mbona mnaongea ongea hovyo tu msukuma Yuko hatar safiii sana
@user-kp8mk6tu6e
@user-kp8mk6tu6e 7 ай бұрын
Tutetee wayoge huku mwanza 2:55
@LaurentMatigili
@LaurentMatigili 7 ай бұрын
Superb
@mulebamnaku4130
@mulebamnaku4130 5 ай бұрын
😮msukuma oyeeee
@FestoKachunkwa
@FestoKachunkwa 7 ай бұрын
Msukuma😂yuko sawa sawa
@IsackStephano-g7t
@IsackStephano-g7t 8 ай бұрын
Hongela mungu akutunze
@AlexKinunda-j9l
@AlexKinunda-j9l 10 ай бұрын
Msukuma ni mbunge ambaye namkubali sana .point za msukuma ni point za kututea sisi walala hoi.Naomba wananchi wa jimbo ambalo atoka mbunge msukuma mlichakua mbunge mtetezi sana tu .ukifika msimu wa uchaguzi akapewe tena kura.
@YohanaGodfrey-m1i
@YohanaGodfrey-m1i 8 ай бұрын
Mungu akulide popote ulipo kabas kwa kazi nzuri
@NemboyaMtaa
@NemboyaMtaa 7 ай бұрын
Nembo ya mtaa
@IssaMwinamila-vj5wy
@IssaMwinamila-vj5wy 4 ай бұрын
Hogela musukuma kwKulisema hilo na wew tunaku tengemeya
@SifaelMpagike-gt1gz
@SifaelMpagike-gt1gz 5 ай бұрын
Uko sahihi mabarabara mufindi hali Tete. Tufanyie kazi miundombinu ya wananchi jamani..
@NdamoCharles-g2u
@NdamoCharles-g2u 6 ай бұрын
Tuwakilishe msukuma mwenzetu
@MzeeMkoloni
@MzeeMkoloni 6 ай бұрын
MUNGU Akubariki sana msukuma ww unayo hofu ya MUNGU
@user-yg5cz2bz1i
@user-yg5cz2bz1i 7 ай бұрын
Nakukubali sana Kaka.
@ShauriMarekera
@ShauriMarekera 9 ай бұрын
Ww mbunge mola akujali san
@BenedictorKabadi
@BenedictorKabadi 4 ай бұрын
Uko vzr kaks
@NkubaStar
@NkubaStar 9 ай бұрын
hii tanzania ya mchongo
@stevenshija2848
@stevenshija2848 9 ай бұрын
Hahah safi sana msukuma 🫡
@katamaboy
@katamaboy 9 ай бұрын
Chuma hichi
@MariamAlly-y5e
@MariamAlly-y5e 9 ай бұрын
Kweli kbs
@AbdalahMachupa
@AbdalahMachupa 7 ай бұрын
Nakukubali Sana
@VashtChisongela
@VashtChisongela 10 ай бұрын
Jamaa anaongea kwa uchungu Sana daa haya mi maisha ya watu
@HazraRamadhan
@HazraRamadhan 5 ай бұрын
namuona john pombe mpya lm very happy
@Richrochlucas
@Richrochlucas 9 ай бұрын
King msukuma ww ni mwamba
@TeudaMbutwa-s8t
@TeudaMbutwa-s8t 9 ай бұрын
Namkubali sanaaaa huwa anaongea point
@DamianNdege-gh3tj
@DamianNdege-gh3tj 10 ай бұрын
Wabunge mpungunziene msukuma tarifa muacheni azungumze ukweri
@evangelicalmiraclesfellowship
@evangelicalmiraclesfellowship 9 ай бұрын
Msukuma Sema na mungu akubariki
@EsauMasu
@EsauMasu 7 ай бұрын
Shikamoo mubunge wetu
@JumaIssa-e5n
@JumaIssa-e5n 9 ай бұрын
Musukuma tunakuaminia Hongera sana
MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.
10:48
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 58 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 50 МЛН
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН
MSUKUMA "AVURUGA" bunge Zima, AKINUKISHA Balaaa!!!!!
10:02
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 330 М.
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 58 МЛН