MSWAHILI : TAZAMA MAENEO MAALUM YA KUCHUMBIA ZANZIBAR/ KAZI YA PAKA NA UROJO KWENYE MAPENZI

  Рет қаралды 96,461

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 193
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 3 жыл бұрын
Hongera Mzee Omari kwa Kuhifadhi Mazingira, Africa twa hitaji Watu kama Wewe, Isitoshe Wa hitaji kipewa tunzo na Wahifadhi wa Mazingila Dhuniani 👏🏾👏🏾👍🏿👍🏿♥️🇰🇪🇹🇿
@Chemba67
@Chemba67 3 жыл бұрын
Huyu Tour Guide yupo vizuri sana...... anafahamu vitu vingi mno na anafafanua vizuri mno.........
@abdulhakim4650
@abdulhakim4650 3 жыл бұрын
Vizuri saana zembwela unatupa raha mwambiye babu saalum Akupeleke kurasini kabisa kwa chalewanja babu
@zamoyonimaulidmangile7016
@zamoyonimaulidmangile7016 3 жыл бұрын
Jinsi mnavyokula hakika watanzania tunapendana sana,, siasa zisitutenganishe 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@aaa64sa13
@aaa64sa13 3 жыл бұрын
Wasafi✌❤🇹🇿. Ramadan Kareem
@geofreyukason
@geofreyukason 3 жыл бұрын
Salute kwa babu zembwela... 💥💥🔥🔥🔥🔥🔥
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 3 жыл бұрын
Hongera broo, unajua kusoma sio kwenda skuli2 bl hata kutembea pi ni kusoma Tfdhl jaribu kutembea na sehem mblmbl za Zanzibar ili tupate kujifunza zaidi hasa kupitia jamii, michezo, kilkimo na hata sanaa Hongereni sana Wasafi Media Cha mwisho ningekuomba Zuchu akutembeze kwao na sio Zuchu tu bali hata wasanii wengine ili tujue uhalisia wao
@sk-wj9or
@sk-wj9or 3 жыл бұрын
Nimekipenda sana hiki kipindi. Mtangazaji na mwenyeji wake wameuma sana. Nimejifunza mengi sana.
@abdallahsalehstar8221
@abdallahsalehstar8221 3 жыл бұрын
nimekuwa nimesha ki miss hiki kipindi hongera sana mswaili wetu zembwela na ramadhan karim WCB
@paulsylvester7877
@paulsylvester7877 3 жыл бұрын
Beat tamu sana , nan anapenda iwe background ya kipind muda wotee gonga likes kama umeielewa
@sirmwangangi4497
@sirmwangangi4497 3 жыл бұрын
Babu zembwela amefanya kazi saafi tu...background ipo safi tu
@dullysaid9785
@dullysaid9785 2 жыл бұрын
Haha umekuja zenji umejuwa mtu wa kumtafuta coz that guy Broo hachoki kuongeeea..hah I lyk it
@jafarmohd1509
@jafarmohd1509 3 жыл бұрын
Heshima kwko babu zembwela unajua kwa kwel mungu akuweke miaka mingi
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 2 жыл бұрын
Good job babu zebwela from Saudi 🇸🇦
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 3 жыл бұрын
mimi ni manyema kutoka Congo Lakini kuna maswali mimi huliza kwa wazee wangu na jibu iko wazi asilia ya watu waCongo imetokea Tanzania, sio Congo zote apana ni sehemu nitakutajia mpaka Leo ukifika hiyo sehemu tunaongea swahili zamani hata hiyo ki lingala hatukujua kuongea wala kifarasa hiyo sehemu tuli kuwa na wazee wetu mzee Mwinyi, hasani Mwinyi, abdala Mwinyi, Mwinyi swingi, wako wengi mpaka Sasa wako, tuna sehemu kama pemba, ungunyha, mambasa Sasa kama manispaa hiyo sehemu imeatirika historia yake kutokana na vita ya Congo, wanategemea Sana kilomo Lakini kosa inatokea wale wazee katri wanapokufa na historia inakwenda ikipotea pole pole, na zile sehemu uislam ni asilimia 80% ukristo ni dogo Sana.
@christinashirima3287
@christinashirima3287 3 жыл бұрын
Jmn hiki kipindi kinanipitaka siku za j3 saa 3 lkn sijajua kinarudiwa lini na saa ngap anayefahamu tafadhali anijuze🙏
@flavianchuwa4370
@flavianchuwa4370 3 жыл бұрын
Tulimmisi sana zembwela akiwa mitaani hii ndio wasafi 🙌
@fatumafatuma1459
@fatumafatuma1459 3 жыл бұрын
MASHALLA Allah kipindi kizuri upo na Bwana Salum namuona pembeni
@wisemanking001
@wisemanking001 3 жыл бұрын
This is credible. Big up kaka kutoka marekani 🇺🇸
@GARDEN423
@GARDEN423 3 жыл бұрын
I used to appreciate your work since you are as working to East tv still now you kill it #The King of Uswazi life #Zembwela
@mtmt4220
@mtmt4220 2 жыл бұрын
Hongera sana babu Zimbwe pindi lako nilikubali sana
@lutfiarashid8770
@lutfiarashid8770 3 жыл бұрын
Mzee nae Yuko vizuri...kaelezea kwa ufasaha kabisa
@bongochoice8757
@bongochoice8757 3 жыл бұрын
Ramadhan Kareem
@erickngatunga2359
@erickngatunga2359 3 жыл бұрын
zembwela.....the legend is back.
@barakahyoungmaster3990
@barakahyoungmaster3990 3 жыл бұрын
Safii Sana mswahili ndani ya wasafi tv. Nimeenjoy
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 жыл бұрын
Nilimic uswazi kama uswazi😘😘😘😘🧚‍♀️😘💞
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 жыл бұрын
Mwenye kujua jinsi ya kutengeneza urojo naomba anipatie maelekezo Tafadhali
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 3 жыл бұрын
Mtandanaoni ingia utapa upishi wa urojo
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 3 жыл бұрын
Pindi letu tulilotukisubiria kiukweli namkubali @zembwela akiwa katika pindi km hili kisha kaanzia home kabisa hemu wale tulio tukisubiri nyoosha kidole ☝️ tujuane
@zizourisacher5939
@zizourisacher5939 3 жыл бұрын
Duuuh Mzee OmaR KatishA Sanaaaaa MazingirA YetU TuikuzE TUIlinDE.
@zamoyonimaulidmangile7016
@zamoyonimaulidmangile7016 3 жыл бұрын
Nimefarijika mmeweka mjini youtube🔥🔥
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Ugali waitwa SEMBE yakhee...Nilikua nao TPS moshi, They are good people ila wa ugunja na wa pemba wanakataana sometimes
@feiz3180
@feiz3180 3 жыл бұрын
Hizi ni ardhi za wenyewe. watu wamenyang'anywa na wengine wamevamia. Kwa kuwa serikali yatu haikuwa ina thamini mali za waliokuwa wamiliki, walifanya watakavo. Kama ni mimi sikubali kujenga kwenye ardhi ya kudhulumu. Ni kheri nikaenda kwa mwenyewe kumuomba. Haya iko siku mutajibu dhulma hizi.
@IfahamuTanzania
@IfahamuTanzania 3 жыл бұрын
Sheikh nishushe hapo mchumaniiiiiiiii yakheeeeeeee!!😁😁😁😁😁
@abdullahamadmwinyi8233
@abdullahamadmwinyi8233 3 жыл бұрын
🤣🤣
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 3 жыл бұрын
Ulivyoondoka kule upande wa pili na uswazi ikakosa mvuto, Zembela unajua Ila sijui kama unajua kuwa unajua.
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Nipo USA 🇺🇸LKN NINA HAM YA VITU VYETU VYA NUYUMBI VYA ASILI
@khamisraskashandago2694
@khamisraskashandago2694 3 жыл бұрын
Mwenyeji fundu alfu anaonekana anajua mengi haswa🤣🤣
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 3 жыл бұрын
"Fundu" maana yake nini?
@fatoomhabesh7236
@fatoomhabesh7236 3 жыл бұрын
Hi
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 3 жыл бұрын
Zembwela :hii nini Mwenyeji:ndo huo urajo Zembwela :eh! Hahahahaha karibu zenji kaka
@hechaaclassic
@hechaaclassic 3 жыл бұрын
Talented Babu Members💥🔥
@hechaaclassic
@hechaaclassic 3 жыл бұрын
Babu Zembwera 💥🔥
@mohamedvuaa1579
@mohamedvuaa1579 2 жыл бұрын
Itapendeza zaiei ikiwa ukieka sauti sindikizi kulingana na mazingira ya uswahilini husika muambie producer abdili kulingana na sehemu tuekee ya kizenji uswahilini kunautajiri wa mziki bhanaa
@kassimomar7589
@kassimomar7589 3 жыл бұрын
Zanzibar ni njema atakae najeee
@nzalalilajr2145
@nzalalilajr2145 3 жыл бұрын
bonge moja la kipindi🔥🔥🔥
@rwechungulamtungilei1865
@rwechungulamtungilei1865 3 жыл бұрын
Umerudisha kipind chako Cha uswahilin
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Kipindi kizuri ahsante wasafi
@burhantvtzonline5417
@burhantvtzonline5417 3 жыл бұрын
Big up brother Zembwela
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 Жыл бұрын
#MSWAHILI
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 3 жыл бұрын
Du Kajitahada sana Hyo Omary
@gitumakula6947
@gitumakula6947 3 жыл бұрын
Safi sana kuwa na kipindi tulimisi sana
@veronikaboaz5452
@veronikaboaz5452 3 жыл бұрын
Sana mswahili
@SUNDAYMRGAMINGTZ
@SUNDAYMRGAMINGTZ 3 жыл бұрын
jamani tuleteeni kingine tunampenda mwalimu zembwela
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 3 жыл бұрын
Daah umenikumbusha sana kipindi cha 'Uswazi'.lilikua ni bonge la kipindi
@sirajibakari8150
@sirajibakari8150 3 жыл бұрын
kazi zur
@ajizakdeclassic7608
@ajizakdeclassic7608 3 жыл бұрын
Dah Huyu mzee Fundi snaaa
@nzalalilajr2145
@nzalalilajr2145 3 жыл бұрын
mwenyeji umepata babu zembwela🔥🔥
@tamranadiya2962
@tamranadiya2962 3 жыл бұрын
Uroja upo hata kwetu Mombasa bhana
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 2 жыл бұрын
Tamra waambie lakini jirani zetu hawa tu wamoja
@glorynaftaly2963
@glorynaftaly2963 3 жыл бұрын
Uyu ndiye zembwela tuliyekua twamjua na kumtaka, karbu sana nadhn hii ni uswazi ingine tofauti ni Chaneli tu
@burhantvtzonline5417
@burhantvtzonline5417 3 жыл бұрын
Kaka Zebwela hapo ulipata mwenyeji 😄😄😄
@thaniali3030
@thaniali3030 3 жыл бұрын
Niceeeee
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 3 жыл бұрын
Mama kachangamka huyu mdaji laki 2,tanzania Raha kweli, kijani imenivutia hasa.
@Zena-h4p
@Zena-h4p Жыл бұрын
Wazazibar kwa urojo ndio weyeeewe
@samanyaswai2883
@samanyaswai2883 3 жыл бұрын
Kweli Mswahili
@adnanidarous3117
@adnanidarous3117 3 жыл бұрын
Dah I love home zanzibar
@apostleoscarnyakungachuma3510
@apostleoscarnyakungachuma3510 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😁 umenena zembwelaaaaa wanatongoza naaaavijanaaa kulebe sooooooon
@malikzafarani172
@malikzafarani172 3 жыл бұрын
Pindi tam sana naenjoy sana kutazama pindi afu kazia nyumbani kabisa @zembwela saluti
@muzlyzam
@muzlyzam 3 жыл бұрын
Home Sweet Home
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Mbona zima??
@zuwenajuma2927
@zuwenajuma2927 3 жыл бұрын
Nimekumbuka uswaziiiiiiiiii bora umeleta hik kipind
@mwadinihaji5678
@mwadinihaji5678 3 жыл бұрын
Very nice kipindi
@jumamakame417
@jumamakame417 3 жыл бұрын
Mwenyeji wako yuko vzr,kwenye history
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 3 жыл бұрын
nzur
@joshjoseph6916
@joshjoseph6916 3 жыл бұрын
Kipindi hiki kinarushwa lini na mda gani wasafi TV?
@IbrahimAhmed-cz6om
@IbrahimAhmed-cz6om 3 жыл бұрын
Jumatatu saa tatu
@IbrahimAhmed-cz6om
@IbrahimAhmed-cz6om 3 жыл бұрын
Usikuu
@pembemussa2804
@pembemussa2804 3 жыл бұрын
Huyo Salumu atakua alikua Konkii au Msela wa zamani hapo Zanzibar maana aijua vizur Zanzibar na vichochooro vyake🤭
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 3 жыл бұрын
Hahaha mm umenikosha ulipo towa hiyo Mia tu du kweli ww mswahili
@abubakarsaleh2410
@abubakarsaleh2410 3 жыл бұрын
Zembwela kaelewa Tungule?...Tungule ni Nyanya😀😀
@amonamosi6981
@amonamosi6981 3 жыл бұрын
🔥🔥
@boniphacerweyemamu2118
@boniphacerweyemamu2118 3 жыл бұрын
NYOKA NI NYOKA HATA HAKIJIVUA GAMBA HII NI WASAFI
@ashtray1512
@ashtray1512 3 жыл бұрын
Ilo beat nimejipata naimba withso....wathso
@KeKe-vp8nl
@KeKe-vp8nl 3 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@josephkomba64
@josephkomba64 3 жыл бұрын
Nimetaman wallah 😋😋😋
@GIANTMAN_TZ
@GIANTMAN_TZ 3 жыл бұрын
hela yako tu zanzibar pazuri uts enjoy sana.
@josephkomba64
@josephkomba64 3 жыл бұрын
@@GIANTMAN_TZ ni kweli
@jakayamati3510
@jakayamati3510 3 жыл бұрын
Huyu mwenyeji wa Zembwela nimemuelewa sna hana mteru
@mudolyomanziri5955
@mudolyomanziri5955 3 жыл бұрын
Afadhar kimeanza hik kipnd namkubal mswahil huyu
@ibrahibakar1167
@ibrahibakar1167 3 жыл бұрын
Zembwela unatisha kutoka kwenye uswazi hadi kwenye mswahili
@makiwilson2322
@makiwilson2322 3 жыл бұрын
Pamoja sana
@Zena-h4p
@Zena-h4p Жыл бұрын
Maeneo yetu
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 жыл бұрын
Uswailini yataka'moyo sn babuuu good sn
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 3 жыл бұрын
Ndio naww ukae huko
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 жыл бұрын
@@kidjhdf7568 mmmmmm🙄🙄🙄mm?
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 3 жыл бұрын
independent ndi au
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 жыл бұрын
@@kidjhdf7568 itakuwa ngumu sn mm😳
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 жыл бұрын
@@kidjhdf7568 nije kutolewa jicho ao meno😳🤔
@mudriqhamidu6031
@mudriqhamidu6031 3 жыл бұрын
Nilikuwa ninakisubilia sn hiki kipindi cha mswahili kitawashika sn lika zote
@donaldmhulula6888
@donaldmhulula6888 3 жыл бұрын
Nakubar
@omaromar1818
@omaromar1818 3 жыл бұрын
Kalorado привет?
@saikomkumbwa4812
@saikomkumbwa4812 3 жыл бұрын
Maulidi kitenge wapi mzee baba pacha wa zembwela
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 3 жыл бұрын
Hiii kazi zembwela mmepatia kweli
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 2 жыл бұрын
Huku Europe huwezi kununua kitu mukala pamoja. Kila mtu na chake.
@ibrahibakar1167
@ibrahibakar1167 3 жыл бұрын
Mie nimeshakunywa urojo
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 3 жыл бұрын
Saffiii
@tamemahmad9902
@tamemahmad9902 3 жыл бұрын
Ati nitapuyanga 😂😂 msemo wa kwetu zenji
@seifchembela4346
@seifchembela4346 3 жыл бұрын
Tupo pamoja mzee wa uswahilin
@mussamussa8181
@mussamussa8181 3 жыл бұрын
Daaa mda mref mmetumia
@aliyahyaissaissa7423
@aliyahyaissaissa7423 2 жыл бұрын
Mzee yuk sw , ila chaknee nimefurh sn iyo kitu tammmm
@pound_tz7248
@pound_tz7248 3 жыл бұрын
Mitaa yangu hiyo kaka
@alidslv9883
@alidslv9883 3 жыл бұрын
Mitaa gan hii
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 3 жыл бұрын
HAYO MAKARASI AU MAGAZETI YA WINO KWANI UGONJWA UNAKUJA BAADAE WEWE UACHE USHAMBA
@masudigatoto6494
@masudigatoto6494 3 жыл бұрын
❤❤❤👍
@meckcassius3983
@meckcassius3983 3 жыл бұрын
Hapo sasa mzee mmemuweka kwenye sehemu yake
@victormwakenja8977
@victormwakenja8977 3 жыл бұрын
Legend zembwela
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
VITUKO VYA MPOKI KWENYE KITCHEN PARTY GALA 2021 (SASA WAONESHE)
15:57
Dina Marios tv
Рет қаралды 732 М.
GB 64 AIBUKIA ISHU YA SIMBA KUFUNGIWA NA CAF MECHI YA CONSTANTINE,
15:40
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 2,4 М.
TATIZO UZITO
23:00
ITV Tanzania
Рет қаралды 1 МЛН