MTANZANIA ALIYESAFISHA VYOO JAPAN HADI KUMILIKI VIWANDA VITATU "NALIPWA LAKI KWA SIKU"

  Рет қаралды 142,254

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

David Mulokozi ni mtanzania ambaye alijisomesha mwenyewe nje ya nchi nchini Japani ambapo miongoni mwa kazi alizokuwa anazifanya ni pamoja na kusafisha vyoo kwenye club kwenye mahoteli pamoja nakuwahudumia wazee ili kupata fedha kwa ajili yakuendesha maisha yake
Mulokozi anasema baada yakumaliza kusoma alirejea nchini na baadaye aliajiriwa kwenye makampuni mbalimbali na baadaye aliweza kupambana na kwa sasa anamiliki viwanda vikubwa vitatu.

Пікірлер: 278
@laodapigfarmmrduroc8327
@laodapigfarmmrduroc8327 6 ай бұрын
1. Nidhamu ya fedha ni muhimu 2. Bidii na maarifa juu ya kazi ni muhimu 3. Jifunze kafanya savings 4. Chagua right investment 5 Consistency
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 ай бұрын
Unawezakua navyo hivyo vyote na bado maisha yakawa yaleyale
@omanoman2044
@omanoman2044 5 ай бұрын
Hakika nauvumiliv kwa san tuy
@erastomedard3873
@erastomedard3873 3 жыл бұрын
Ni kweli nimependa Point Moja hapo Mr David amesema kwamba ukitaka kufanikiwa usichague cha kufanya
@rosejohn4914
@rosejohn4914 5 ай бұрын
Nauvumilivu
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 3 жыл бұрын
Ukihamua unaweza Haijalishi utaanguka mara ngapi Mtangulize Mungu kisha jitume utafanikiwa.
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Kweli my
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 5 ай бұрын
Duh!Si ni huyu huyu amehojiwa na Millard Ayo juzi hapa.Kweli kaanzia mbali,acha saiz ale bata.
@godfreythomas6623
@godfreythomas6623 Ай бұрын
Ndio huyu ndugu
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 5 ай бұрын
Hongera sana Mlokozi... Namkumbuka sana aliishi Kibondo
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Katiba ya Tanzania ikiruhusu Watanzania wanaoishi nje kuwa na uraia pacha kwa shida nyingi walizopata nchi za nnje zimewapa ujuzi mkubwa. Wangepewa fulsa ya kuja kuwekeza nyumbani kama wazaliwa wangeweza kuchangia kwenye uchumi kwa ujuzi wao na fedha kidogo walizochuma na kuweza kuajiri Watanzania wengine. Hakuna kisomo kama kutembea nchi za kigeni na kujionea na kupanuwa mawazo. Hiyo inaitwa university of life ina nguvu kushinda ya chuoni. Tembea uone, tembea usome na macho.
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
Ngoja nipambane uku kwa warabu mpaka nitemize rengo langu lnshallha maisha popote pale sema inauma unavyo kaa mbali na family pia uzima ndo kitu cha muhimu tuko tunasugua vyoo vya warabu mwaka wa sita ss alhamdullha na bado sijakata tamaa Allha bless me lnshallha
@Taindy
@Taindy 3 жыл бұрын
Kweli kazi ni kazi. Tusidharau kazi yoyote. Nimejifunza kitu.
@musahmichael3480
@musahmichael3480 3 жыл бұрын
nikajuwa tz unabeba tufali fundi msaidizi unalipwa 10000 haujala nauli mnajenga mbagala unakaa mbezi kwa msuguli unafika nyumbani na 5000 hautuma na yakutolea kesho inatakiwa ufike saiti una 3000 ufukoni wasindikizaji kama sisi mafundi ujezi kama mm piteni hapa like comments
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 5 ай бұрын
Hapo kutoboa kimaisha sahau labda utoboe siri😅
@NISRICHUMA
@NISRICHUMA 5 ай бұрын
Kijana wa ovyo wwe
@kevinmary7129
@kevinmary7129 5 ай бұрын
Huna nia au tu huna akili tu mimi nimefanya hizo Kaz usadizi wq fundi ujenz mwaka 2006 had 2011 unalipwa elf 2 sio elf 10, nauli unatembea ,chakula unakula ukoko wa jero unatunza 1500 had nikajisomesha had form 6 had chuo kikuu leo niko pahali fulan afadhali
@emanuelmarco5767
@emanuelmarco5767 2 ай бұрын
👍
@swaumuomary2767
@swaumuomary2767 3 жыл бұрын
Kila hatua dua ujacr uvumliv na kuthubutu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽😥😥😥😥 mungu atujaalie na cc wengine kwa kaz tunazozifanya
@BandaClassicBarbers
@BandaClassicBarbers 3 жыл бұрын
Inshallah 🤲
@amour5535
@amour5535 3 жыл бұрын
Ameen swaumu shoga yangu ujambo
@swaumuomary2767
@swaumuomary2767 3 жыл бұрын
@@amour5535 sijambo nambie
@amour5535
@amour5535 3 жыл бұрын
@@swaumuomary2767 powa mm jay wako 💃💃💃
@swaumuomary2767
@swaumuomary2767 3 жыл бұрын
@@amour5535 binaadam tumeumbiwa kusahau nijuze pls
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 3 жыл бұрын
Jamaa mpambanaji. Ila sikupenda kuanzisha kiwanda cha kutengezea ulevi. Ulevi wake utawaangamiza wote watakaokunywa kwani Bwana Mungu kakataza kunywa ulevi.
@josephlorri431
@josephlorri431 5 ай бұрын
Wewe usitumie kilevi,tuachie... wengine wanamfanya Mungu shemeji yao..kwamba wanammudu hadi wanampangia..acheni hizo, Mungu ni wa wote
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 жыл бұрын
Good jobs speaking up my.brothe
@halimahalima1488
@halimahalima1488 5 ай бұрын
Sasa ni bilionear 2024 my brother congratulations 👏
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 жыл бұрын
Hawa ndio wanatakiwa kufundisha ujasiriamali sio wale ma professor john kitabu hawana hata vibanda vya tigo pesa lakini wanafundisha ujasiriamali, big up
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@saloomidd1084
@saloomidd1084 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅hawajawahi kuuza hata pipi na sigara halafu wanawafundisha watu watoboe kwenye biashara
@konde24ful
@konde24ful 3 жыл бұрын
Hakuna kazi ya kuzalaulika, kazi ni kazi tu. As long as inakupatia Pesa.
@simonbura7890
@simonbura7890 5 ай бұрын
Sasa ni 2024, ameshakuwa billionaire
@kyaro5945
@kyaro5945 3 жыл бұрын
Well done, brother, waambie watanzania. Wana madharau sana.
@mackrinadominik1412
@mackrinadominik1412 3 жыл бұрын
Hongera sana Mr Mulokozi kazi nzuri
@leocadiyaleocadiya3765
@leocadiyaleocadiya3765 3 жыл бұрын
Big up my boss David mlokozi vijana wako tyupo nyuma yakoo
@tanzaniatourismclubonline3394
@tanzaniatourismclubonline3394 3 жыл бұрын
Hongera sana david ni hatua nzuri aseee. Me eda
@youngbilioners4631
@youngbilioners4631 3 жыл бұрын
Wangekuwa wanatag KZbin kama tunavyo tag Instagram ningemtag mpumbavu mmoja south Africa sema umu aiwezekani
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Anzisha chuo chanuwekezaji wa kizawa maana unayo shule hai. Hata kujieleza kwako umetulia kama maji ya mtungi. Hongeracsana.
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Hongera sana kaka hakika ukitaka kufanikiwa usichague kazi
@lufufumkudesimba6244
@lufufumkudesimba6244 3 жыл бұрын
Kila mmoja anaeshimu atua tumejifunza kitu kupitia ili safi sana
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Kwel lufuu. Umu na umu nakumbuka nilikuonaga umu yutub
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Ndio watu wanaanzia mbal. Amejusomesha kama mimi nilikuwa, wakat mwingine napenda kujisomesha hata vikozi
@raysonngowi4679
@raysonngowi4679 3 жыл бұрын
Q quality
@zuluphanassor1473
@zuluphanassor1473 3 жыл бұрын
Hongela Sana kaka
@ndutajusto4635
@ndutajusto4635 5 ай бұрын
Daa mlokozi mungu kakuona barikiwa sana tuangalie na sisi kama mungu atakubariki hadi natamani mafanikio yako na mimi siku moja nije kuwa kama wewe amina
@nsiaelieza9568
@nsiaelieza9568 3 жыл бұрын
Kaka bigup. Nimependa lifestyle yako ya maisha. Nimejifunza kitu kwako.
@rashidykihunga3962
@rashidykihunga3962 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana kama... mm sichaguagi mishe zote kazi ukicheka nasonga.
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Safi kaka umeongea vizuri sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
Woooooow 🙏🙏 nime pata kitu 💥
@eliamsigwa7326
@eliamsigwa7326 3 жыл бұрын
Ama kweli mtafutaji hachoki hongera sana
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Hongera kwa kuwafundisha vijana kuto kuchagua kazi. Waache ubishoo.
@marifaadolphine3571
@marifaadolphine3571 3 жыл бұрын
Kazi ni kazi, mzarahukazi hufa maskini.
@sufiansaid2023
@sufiansaid2023 3 жыл бұрын
Asante millard, ila mafanikio ya jamaa hayaja tokana na kusafisha vyoo bali mapambano ya hapahapa ndani ya nchi
@youngbilioners4631
@youngbilioners4631 3 жыл бұрын
Kumbe nawewe umeherewa kama mimi
@gelaskiwango2628
@gelaskiwango2628 3 жыл бұрын
Congratulations 🎉 brother
@jayotv2024
@jayotv2024 3 жыл бұрын
Haya mahongezi ya menipa moyo asante sana
@abeidbhuzo520
@abeidbhuzo520 5 ай бұрын
Mwamba kabla hajajenga hekalu lake
@hussainsajin9915
@hussainsajin9915 3 жыл бұрын
Mashaahl
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 3 жыл бұрын
Honger
@pendael02
@pendael02 3 жыл бұрын
Vijana wanafikiri huko nje kuna kula bata. Kuna shidaa
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
Mimi nishaosha vyombo hotelini sana, kupaki mizigo pia kwenye godaoni baridi ile mbaya, na kuwapa chakula wateja nikitembea mpaka nikirudi kwangu hata kusimama siwezi
@beatricemdoe2850
@beatricemdoe2850 3 жыл бұрын
Shida kubwa hawajui tuu
@godfreymbuya2659
@godfreymbuya2659 3 жыл бұрын
Waebrania 12:2....
@mafujotv2238
@mafujotv2238 3 жыл бұрын
Big up 👍👍
@fadhilinuru1976
@fadhilinuru1976 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana mtu wangu umesomea kibondo shule ya msingi wilayani kibondo mkowani kigoma
@publicadvisor6952
@publicadvisor6952 3 жыл бұрын
Kazi nzuri lakini Tanzania haihitaji viwanda vya pombe! Hapo ndipo tunapofeli. Bora hata hicho cha madawa! Pombe zinadhoofisha uchumi in a long run!
@patrickKitambo
@patrickKitambo 5 ай бұрын
Sure
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
🙏🏼😍
@priscadaniel7
@priscadaniel7 3 жыл бұрын
Naamini IPO Siku nitapata
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 3 жыл бұрын
Kazi ni kazi tu.
@jonasjames686
@jonasjames686 3 жыл бұрын
huwa nataman kuwa 1st viewer sio mbaya leo nmekuwa wa3
@laurinfred2931
@laurinfred2931 3 жыл бұрын
,😅😅 imekusaidia nn sasa kwenye maisha yako bro
@dickymediapro4179
@dickymediapro4179 3 жыл бұрын
Hongera kwa mafanikio hayo😆😆
@elnestinamgeni5232
@elnestinamgeni5232 3 жыл бұрын
Mungu akusimamie daima
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 3 жыл бұрын
Naenda tokyo jamani. Tz tunabeba zege kisenge alafu unapewa elf 10 kwa siku tokyo pananifaa
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 3 жыл бұрын
Kipimo corona utakiweza kipya
@trending7174
@trending7174 3 жыл бұрын
😂😂😂
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 жыл бұрын
bwa shee, anapata buku 5 kwa siku na anakua tajiri, wewe unapata mpunga mrefu sana, ila malengo yako bado.
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
Mbona kazi za ujenzi zina pesa, kupiga plasta chumba kimoja ni zaidi ya laki 1
@cyprianbernard907
@cyprianbernard907 3 жыл бұрын
saf sana
@tanzaniatourismclubonline3394
@tanzaniatourismclubonline3394 3 жыл бұрын
Mkurugenzi sikuelewi?? Long time sana
@nothingtoworry4558
@nothingtoworry4558 3 жыл бұрын
Mmefanana Sana Kama pacha
@avitusandrew1393
@avitusandrew1393 3 жыл бұрын
Yea
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anaweza kuja kuwa bilionea wa future
@mariaemmanuelwanjamawanjam1950
@mariaemmanuelwanjamawanjam1950 5 ай бұрын
Maono yako yametimia kweli kawa
@innocentkaduma5821
@innocentkaduma5821 5 ай бұрын
Dah mwamba ndo huyu kahojiwa mwaka huu kua na oesa zaidi noma sana watu wanapga step aisee
@frankakuno.9511
@frankakuno.9511 3 жыл бұрын
Nipe connection niende huko nipambane na hivyo vyoo 😂
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 3 жыл бұрын
😃😃 subiri corona kutangazwa imeisha
@stephenhosea1113
@stephenhosea1113 3 жыл бұрын
Ha haha ha ha
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Hahah,na ukipata mchongo unistue
@hlimakh293
@hlimakh293 3 жыл бұрын
Honger San kak ila na mim naomba uniunganishie huk kweny kufany usafi
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 жыл бұрын
Mkipata na mm jmn,tutonyane
@hlimakh293
@hlimakh293 3 жыл бұрын
@@jescajulius8023 jaman kumbe na ww unataka
@amour5535
@amour5535 3 жыл бұрын
@@hlimakh293 ukipata nishtue
@hlimakh293
@hlimakh293 3 жыл бұрын
@@amour5535 usijal mpenz
@hlimakh293
@hlimakh293 3 жыл бұрын
Alaf kama vile nakujua mpenz
@yakfizahran4536
@yakfizahran4536 3 жыл бұрын
Namuamin maneno yake wafric ndo tunaofanya izo kazi nchi za njee wenyewe hawafanyi izo me pia nafanya usafi nje ya nchi na naisaidia family yangu uzuri to Allahdull
@salmamussa786
@salmamussa786 3 жыл бұрын
Na mimi
@beatricemdoe2850
@beatricemdoe2850 3 жыл бұрын
Na Mimi pia
@salmamussa786
@salmamussa786 3 жыл бұрын
@@beatricemdoe2850 ww upo sehem gan
@mamirokongx195
@mamirokongx195 3 жыл бұрын
Safi kabisa, pambaneni wapendwa. Wengine uvivu tu
@happinesskeraka8684
@happinesskeraka8684 6 ай бұрын
Aisee hana organization yoyote ya kujifunza. Nimependa hajachoka kupambana
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
Na mimi nategemea kuwa tajiri karibuni in sha Allah ndani ya miaka 2 Allah akipenda nitawaalika muje munitembelee kwenye villa langu na muone biashara zangu mwenyewe. Sasa hivi naendelea kuosha vyombo hotelini, na mbaya zaidi nikifika kazini vyombo vimejaa mpaka chini hata pakukanyaga hupati
@graceramadan5396
@graceramadan5396 3 жыл бұрын
Connection dear wapi hiyo please
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
@@graceramadan5396 wapi naosha vyombo unataka kujuwa
@graceramadan5396
@graceramadan5396 3 жыл бұрын
@@utaani1 nataka unipe connection jaman nije kuosha vyombo ulaya nimechoka vya waarabu dubai
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
@@graceramadan5396 una visa wewe. Subiri zogo la corona limalize tutaongea
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Tuunganishe na cc basi dear.
@elibarickmayo7173
@elibarickmayo7173 5 ай бұрын
3 years ago, hatimaye sasa hivi ni Bilionea
@renatusrweyemamu6611
@renatusrweyemamu6611 3 жыл бұрын
Huyu ni noma kesho na keshokutwa tutamtafutia mbali
@janethsalutary8991
@janethsalutary8991 6 ай бұрын
Uliona mbali aiseee jamaaa amejenga kasri la maana limezinguliwa juz tu hapa
@DrMbonea
@DrMbonea 5 ай бұрын
Nimekuja kujibu comment yako uliona mbali
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 3 жыл бұрын
New billionea
@CKN9897
@CKN9897 3 жыл бұрын
Mungu yupo
@kennitohnyash8201
@kennitohnyash8201 3 жыл бұрын
Tz hakuna corona kaka braza😊🤭
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 жыл бұрын
Hongera kaka David kazi ya kusafisha vizee imekupa baraka
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 3 жыл бұрын
Ina pesa Sana hiyo wazee hasa hapa marekani kwa Saa dola 25 na una fanya masaa 12 piga hesabu kwa siku
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 3 жыл бұрын
@@gooddeeds162 mimi napata 4500 kwa mwezi Kodi kwa mwezi na Lipa 750 nabakiwa na 3750
@hajerjasem7981
@hajerjasem7981 3 жыл бұрын
@@jovovichmedia9424 jamn tutafutiane bas mm pasport ninayo
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 3 жыл бұрын
@Zawadi Issa zipo tena Zina tafuta watu sababu watu wengi hawataki kuzifanya zipo Tele nguvu yako tu kuosha vyombo kwenye mahoteli kulea vizee na watoto mataahira kazi za maghala kwenye viwanda ujenzi na usafi ina tegemea upo mji gani Mfano mimi nipo hapa Washington dc wanalipa kwa Saa kuanzia dola 15 hadi 20 miji mingine dola 10 au 12
@dalianakerefu490
@dalianakerefu490 3 жыл бұрын
@@jovovichmedia9424 tusaidiane jamani mimi niko Oman lakini hakuna masilahi kabisa yani nafanya basi tu tusaidiane plz
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 2 жыл бұрын
Baadhi ya watu wanadharau hata wadada wanaofanya kazi za ndani ughaibuni.wakati wao hawana hata kitu chochote
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 5 ай бұрын
Word
@hancymachibbula4355
@hancymachibbula4355 3 жыл бұрын
Mwamba anipe hyo connection nizame hapo tokyo laki kwa siku nyingi sanaa aysee
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Hahaha
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 жыл бұрын
Unaweza pata zaidi ya laki na HAMSINI kwa siku ukizungumzia wenzetu UK wanapata kati ya pound 70 hadi 100 KWA siku laki 250 hadi laki 300 kusafisha wazee usichezee na Queen£ iko juu juu juu
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
@@d.a.t3383 tupeane michongo basi
@pendael02
@pendael02 3 жыл бұрын
Kaoshe miguu ya wazee
@amour5535
@amour5535 3 жыл бұрын
@@d.a.t3383 nipe connection please
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 3 жыл бұрын
Wacha tutumikekama watumwa Tujetuishi kama wafalume Tusichoke, walatusikale tamaa Timu shakala tujuwane🤜🤛
@MunaMuna-tn3go
@MunaMuna-tn3go 2 жыл бұрын
Uko cku tutasahau machungu
@vero57
@vero57 3 жыл бұрын
Mtangazaji naona maisha MAZURI
@godfreymillardayoripota3002
@godfreymillardayoripota3002 3 жыл бұрын
Hahaha mdogomdogo
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 3 жыл бұрын
asahv anakuw mbv t
@bensonkaile9606
@bensonkaile9606 3 жыл бұрын
Now this is a nit content about enterprenuership na sio zile documentation za ujanja ujanja za market networking
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 жыл бұрын
Serious Nimeziona humu kama mara mbili na hawaelezi wanafanya vipi 😅😅😅
@mosesmwaipopo4382
@mosesmwaipopo4382 5 ай бұрын
INTERVIEWEE LEO HAJATULIA KABISAAA
@user-bt5kv8ik4y
@user-bt5kv8ik4y 5 ай бұрын
😢😢
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
Gudi
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 3 жыл бұрын
Arusha kin Murokozi 😂😂😂😂😂😂
@renatusrweyemamu6611
@renatusrweyemamu6611 3 жыл бұрын
Ukweli umuweka mtu huru
@michaelmisana650
@michaelmisana650 5 ай бұрын
Saf sana jamaa pambana
@krey_music7108
@krey_music7108 3 жыл бұрын
M wa nne
@abuumakamba887
@abuumakamba887 3 жыл бұрын
Nitumie namb ako mkuu
@marryblass8247
@marryblass8247 3 жыл бұрын
Maisha malengo
@jarsjam8894
@jarsjam8894 3 жыл бұрын
Waeleze wanawake wenu easier wavivu
@testtest1608
@testtest1608 3 жыл бұрын
3
@novatidamian7236
@novatidamian7236 3 жыл бұрын
Ninyi watanzania mna hakili zauhafifu kidogo hakuna jazi ambayo hailipi. Unapo tangaza kuwa alisafisha vyoo inamanisha kuwa nikazi ulio kwisha kidharau. Sasa basi nikuulize hivi wewe ulikuwa hujui kamahata hapo Tanzania zinafanyika? Acheni ujinga wenu.
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 3 жыл бұрын
Uko sawa kabisa watanzania dharau uko mbele sana. Niko ufaransa Hilo kazi alizokwisha zifanya Huyu kaka hapa ufaransa bila diploma y’a Kwao Hupati haswa ya kusafisha wazee ndio kabisa tena lazima uwe nesi.
@abubakari.i.gwandi5972
@abubakari.i.gwandi5972 3 жыл бұрын
Diploma ya course gan
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 3 жыл бұрын
@@abubakari.i.gwandi5972 Kama unaishi ufaransa huwezi kubisha kwa kill nilichokiandika la Kama uko nchi nyingine huwezi kunielewa
@halimasalehe1731
@halimasalehe1731 3 жыл бұрын
Wakwanza
@slicehamfrey3504
@slicehamfrey3504 3 жыл бұрын
Mungu akubariki
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 2 жыл бұрын
Ayo tv ongezen maiki yapili mnapumulia maiki moja covid
@tumainimano9953
@tumainimano9953 5 ай бұрын
Uyu mtangazaji pole yake
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Brother naomba unifanyie mpango ni ende nikafanye hizo kazi, kama unaweza kaka yangu. Natamani sana. Ila kizungu hakipandi. Inawezekana?
@ramadhanishabani1738
@ramadhanishabani1738 3 жыл бұрын
Mbona ata hapa tz fursa zipo nyingi tu.
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
@@ramadhanishabani1738 broo kwa tz ni kazigani ufanye kwa siku uingize laki 1?
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
@@ramadhanishabani1738 brother anasema alikua akiosha vyombo kwa mahoteli, kusafisha vyooo na kuwafanyia wazee usafi. Kk yangu!! Kwa tz hiyo kitu ipo? Alafu ona huo mshahara wake. Iaki 1 kwa siku, kwa mwezi je?
@ramadhanishabani1738
@ramadhanishabani1738 3 жыл бұрын
@@myunaniniahmad6463 kufanikiwa kimaisha haijalishi unapata kiasi gani cha pesa bali inatakiwa uweze kusave kile unachopata na uweze kukiendeleza..Kama ukishindwa kukimanage kidogo kikubwa utaweza vip?maisha ni kutumia akili tu..
@nuuringoogle4104
@nuuringoogle4104 2 жыл бұрын
Kazi nikazi tu kwaulaya huwahawachekani ni Afrika tu
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
Watu wanatoka mbaliii kimaisha , Subra ndiyo muhimu
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp 5 ай бұрын
Wakiona tumefanikiwa wanatuita malaya ama freemason maumbwa sana
@catholicvibemusic3151
@catholicvibemusic3151 3 жыл бұрын
DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248
@anahna6788
@anahna6788 3 жыл бұрын
UKIONA UNAFANYA KAZI NCHI ZA WATU MSHAHARA MTAMU UJUE HATA BEI ZA BIDHAA ZA MADUKA I NI BEI GHALI SANA TENA SANA YAANI PESA UNAWEZA LIPWA NZURI LAKINI MWISHO WA SIKU ZINAYEYUKA KUPITIA GHALI YA BIDHAA ZA KUJIKIMU
@ramachina2277
@ramachina2277 3 жыл бұрын
Kabisa yaani
@mrdrz2805
@mrdrz2805 3 жыл бұрын
Etiiiii
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 жыл бұрын
Kweli kabisa, pesa unayo lipwa hutegemea uchumi wa Nchi uliyoko,watanzania huona ohh pesa nyingi lakini haina thamani kulingangana na ulipo kama Nchi zilizo endelea pesa haina thamani bidhaa ni bei na rent, electric, gas na transport ni ghali sana, mtu atasikia oh lk moja kwa siku Sio nyingi kwa Nchi uliopo
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 3 жыл бұрын
Sio kweli bidhaa gani hizo ni ghali sisi tupo huku kama chakula ni Sawa na Bure mavazi pia na tuna tuma pesa kwa Familia acha kupotosha watu bana hujafika una Anza kudanganya watu pesa ipo huku
@mosimba467
@mosimba467 3 жыл бұрын
@@jovovichmedia9424 pesa ipo hata hapa Tanzania ni kujipanga tu kwani mlioko huko wote mnapesa? Acha mawazo mgando
@man-kereborbocrew8528
@man-kereborbocrew8528 3 жыл бұрын
Home sweet home
@ramajoel7008
@ramajoel7008 3 жыл бұрын
Waafrika awafanyi hizo kazi huku kazi zipo nyingi kazi za vyoooni vip vyooo visafi na wasafishaji wenyewe wajapan na miaka hiyo ambayo yeye yupo Japan hizo kazi za kuwasafisha wazee ilikua hakuna wanafanya wenyewe wajapan waafrika tupo na tunafanya kazi nyengine tofauti na ni nzuri tu
@jackyngowi9
@jackyngowi9 3 жыл бұрын
Daaaah kwa hiyo tunapigwa changa la macho hapo ama?? Maana c kwa jinsi alivyojielezea jamani
@ramajoel7008
@ramajoel7008 3 жыл бұрын
@@jackyngowi9 Kazi zipo lakini hakuna mtanzania anayefanya hizo kazi
@jackyngowi9
@jackyngowi9 3 жыл бұрын
@@ramajoel7008 Aiseee sawa maneno ya watu bhana kila mtu anaongea vile awezavyo so mtu ukifata ya mtu ndiyo hivyo bt kwel kaz zipo bhanaaa japo mie huko cjawahifika ila nna ndugu yangu Yuko huko na anafanya kaz nzur tu hadi ako na kampun zake huko
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 2 жыл бұрын
Kwani ukisikia choo cha japani unakifananisha na choo gani hapa bongo?
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 5 ай бұрын
😅😅 kama ya ikulu
@user-hn1co2cv6v
@user-hn1co2cv6v 5 ай бұрын
Mafanikio ni kitu chenye uvumilivu na muda
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 5 ай бұрын
KUMBE MULOKOZI ametok mbali acha sashv ale Bata
@user-bt5kv8ik4y
@user-bt5kv8ik4y 5 ай бұрын
Maisha usikubali kufeli
@lutenganocharles7194
@lutenganocharles7194 3 жыл бұрын
Mambo ya Japan na hcho kiwanda Ni vitu viwili tofauti kasema Japan ilikua miaka ya 90 then akarud bongo akaajiliwa miaka 5 ndo akapata experience wakaanza na million 20 so mambo ya Tokyo sio yaliyompa hvo viwanda
@selanyikatv
@selanyikatv Жыл бұрын
Japan wanalipa vizur Leo nimetok sait kuzibua choo chaajab nimeambiwa boss kasafiriii
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 19 МЛН
Visiting the Divorced Women's Market in Mauritania 🇲🇷
9:40
Joe HaTTab
Рет қаралды 19 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН