Mtanzania anayeishi North Carolina,Marekani.Anatengeneza pesa nyingi katika Biashara Mambo ya Afya

  Рет қаралды 7,080

KITENGE TV

KITENGE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@donexafricangroupofcampany2528
@donexafricangroupofcampany2528 3 жыл бұрын
Asante Sana kitenge TV,MM binafisi nimefurahi jinsi umekua na utu kutembelea wezetu,Sasa nikuombe wambie wafunguwe milango kwa watanzania Sana kwenda huko pia
@boaziskk5439
@boaziskk5439 Жыл бұрын
Nami nashukuru munipe ku hela ni jenge kanisa.
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 3 ай бұрын
safi sana dada mm nipo Tanzania drive wa truck na fanya safar za kwenda congo so naomba kazi uko
@SalomeKhalfani-cm9xy
@SalomeKhalfani-cm9xy 6 ай бұрын
Dada Anna anisaidie kujilipia galama atanikata nikifika huko mie nataka kazi hizo
@pastorndunguru4870
@pastorndunguru4870 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@pastorndunguru4870
@pastorndunguru4870 Жыл бұрын
Habari za marekeni dada
@hidayahassan8014
@hidayahassan8014 3 жыл бұрын
Nakuona mzee wa kutepeta😄😄
@anjelinakaniki9162
@anjelinakaniki9162 Жыл бұрын
Mm jamani nataka kazi
@aliaden5512
@aliaden5512 2 жыл бұрын
mmm ningepata huyu jimama anilee
@alexndabatinya7953
@alexndabatinya7953 Жыл бұрын
Kazi nzuri kitenge. Lakini watanzania tubadilike, huyo dada anapata kigugumizi kutaja mshahara kwa saa. Wazungu hawako hivyo. Niwawazi ili wengine wajifunze. Au bado anahofia kulogwa? 😂😂
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Dada Anna ameshakua na Rafudhi ya kizungu sasa
@SalomeKhalfani-cm9xy
@SalomeKhalfani-cm9xy 6 ай бұрын
Kitege mie nataka hizo kazi za kulea watoto au kulea wazee nawezakupa mtu wakunilipia kila kitu anatikata nikifika
@chicharito4201
@chicharito4201 3 жыл бұрын
WEWE KITENGE NI MTANGAZAJI MSHAMBA SANA WATOTO WA MJINI WANASEMA “WAKUJA” UKIRUDI TANZANIA NENDA KASAPOTI WAJASIRIAMALI PIA WAPO KIBAO . HUKO MAREKANI KUWAHOJI UNASAIDIA NINI ? MAPATO YANAONGEZEKA TANZANIA AU MAREKANI . TAFAKARI SANA NA ACHA SHOBO KWA HAO WALIOPO HUKO .
@joejoshua7791
@joejoshua7791 2 жыл бұрын
Wewe ni mpuuzi wa kiwango cha PHD kwa Hao wanaohojiwa sio Wtz
@boaziskk5439
@boaziskk5439 Жыл бұрын
Ok
@pastorndunguru4870
@pastorndunguru4870 Жыл бұрын
Habari za marekeni dada
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 115 МЛН
Kujiunga na jeshi Jeshi la Marekani | Taratibu na faida zake
12:29
VITU VYA KUOKOTA MAREKANI (USA) UNAWEZA UZA MTUMBNA TANZANIA
14:00
Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk
12:22
EBM SWAHILI
Рет қаралды 408 М.
MKenya Anaweza Pewa Visa Akienda US Embassy Interview Pale Tanzania?
17:02
The Kenyan American Home
Рет қаралды 4 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН