MTOTO (14) ATOROKA NYUMBANI KWA SIKU 5 AKIOGOPA KUGOMEWA, BABA AFUNGUKA MAELEZI YALIVYO MAGUMU

  Рет қаралды 56,248

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 404
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n Ай бұрын
Pole mzazi mwenzangu unajitahid kulea mtoto akue vizuri ila hao watoto wasasa ni mtihani kwetu Allah atamlinda atarudi salama Inshallah
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o Ай бұрын
Baba Tariq.. masha'allah wew ni baba bora unapoona mzazi anafatilia sana watoto jua kua huyo ni mlezi mwema insha'allah allah akupe subra atapatikana akiwa salama.
@saadallah6287
@saadallah6287 Ай бұрын
Pole sana izo ni steji za watoto atatulia akikuwa
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 25 күн бұрын
Usidanganye :kubadilika ni Bahamian. Ombeni sana Mungu aingilie kati.
@user-sw6uo6rv6j
@user-sw6uo6rv6j Ай бұрын
MUNGU atutie nguvu kua mzazi c kitu rahic Allah atuogoze ktka ulezi na watoto wetu wakubali makosa yao wawe watoto wema inshallah
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 Ай бұрын
Aaaamin
@GloriaChrisostoms
@GloriaChrisostoms Ай бұрын
Baba mm kama mzazi naomba nikushauri ukimpata usimpige tena zungumza nae kilafiki atakueleza mengi sana na kama unavyosema una imani kubwa sana mwenyezi mungu basi mlilie mungu na kwa uwezo wa Allah atabadilika
@chobushaka7650
@chobushaka7650 Ай бұрын
Hata akiongea nae hata ukimpatia anachotaka yoote na yale yaleee. Mimi mwanangu niliongea nae saana na nikampatia akitakacho ikiwemo kumuhamisha shule mbali mbali
@JoyceMartin-n7j
@JoyceMartin-n7j Ай бұрын
To​@@chobushaka7650
@elizabethmwalo8424
@elizabethmwalo8424 Ай бұрын
Hope umempata mtoto wako, na ukimpata mpeleke approved school?
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Huu umri wawatoto wetu ni mbaya sana😢 nami kijana wangu ana15 ana nisubuwa sana na vile namlea mwenyewe baba yake hajali ni shida tupu. Tuwaombee kwa Allah awaongoze 💔😭
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Amyn
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
AaminaYaarabi
@user-zw6xv1vt1p
@user-zw6xv1vt1p Ай бұрын
Mm wakwangu anamiaka kumi na tatu ananisumbua hadi nalia
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 Ай бұрын
ALLAH NI MKUBWA NI TEGEMEO LETU MAOMBI YA DUWA ZIYADA
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
Amen
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we Ай бұрын
Pole kaka utampata mtoto wako inshallah mungu akufanyie wepes
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 Ай бұрын
POLE SANA BRO MWENYEZI MUNGU AMREJESHE SALAMA
@user-gy6xz5xh3f
@user-gy6xz5xh3f Ай бұрын
Pole Sana Ndugu MASHA ALLAH Ww Ni Mumin Uko Na Imani IN SHA ALLAH Atamlinda Popote Aliko Nasiha Yngu Inuka Usiku Uswali Rakaa Mbili Umuombe ALLAH Akurudishie Tareq Salama Salimini Na Wala Usimpige Mpe Maneno Mazuri
@magrethkapinga1811
@magrethkapinga1811 Ай бұрын
Mzazi Mwenzangu nakuelewa sanaaa polee sanaaaa huu ni msiba kwa watoto wetu awasikiii kabisa Yan umri huo watoto ni wasumbufu mno mno Mwenyezi mungu atufanyie wepesi kwa vizazi vyetu vya Sasa
@marypwanye8943
@marypwanye8943 Ай бұрын
Baba Tariq wewe ni baba Bora sana, zaidi kumdhibiti ili awe mtoto mwema. Mungu ni mwema sana utampata mwanao kwa sababu unamtakia mema.
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Ай бұрын
Pole ndugu yangu M/Mungu atakufanyia wepesi mtoto wako apatikae akiwa kwenye hali salama In Sha Allah. Na kwa baraka za M) Mungu na Mtume tunaomba Amuhidi ajekua mtoto mwema katika wema Yarabi.
@user-gy6xz5xh3f
@user-gy6xz5xh3f Ай бұрын
Na Cc Tutakufanyia Dua Kma Mzazi Wenzako Kwani Leo Mtihani Kwako Na Kesho Kwetu iN SHA ALLAH ALLAH Atatuhifadhia Watoto Wetu Amin
@ChikuOmmary-ii2xf
@ChikuOmmary-ii2xf Ай бұрын
Pole mzazi mwenzangu ni mitihani watoto wetu mungu atawafanyia wepesi watoto wetu.
@IliM-hf5ku
@IliM-hf5ku Ай бұрын
Watching from saudia aribia.wewe.baba..very.good
@mariyamgharib940
@mariyamgharib940 Ай бұрын
Allah awahidi watoto, Mungu afanye wepesi aonekane kiukweli Tariq baba anaumiya apo wallah
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo Ай бұрын
Pole bb mungu akupe dubra kwa kweli tunamwuomba mungu amwuhifadhi huko aliko Jamani ni mtihani hawa wtt Mungu awaongoze
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
Pole sana mzazi , watoto wengi ktk umri huu wanasumbua sana, wanataka kujaribu kila kitu, dawa ukiona amekuwa sugu wa fimbo mwite kaa naye mfanye kuwa rafiki yako na shida huyo Taric amekuwa na marafiki wengi mno msaidie pindi akipatikana apunguze marafiki. MUNGU AMLINDE ARUDI SALAMA.
@hasnakid
@hasnakid Ай бұрын
Ameen
@batwelkamnyukatv
@batwelkamnyukatv Ай бұрын
You must be a strong father. Atarudi tu kijana, na atakushukuru baadaye. Your treatment seems to be normal to your boy.
@user-xs3uh1xp1g
@user-xs3uh1xp1g Ай бұрын
Pole Sana baba tarqi....mungu amlinde mpaka arudi inshaallah
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 28 күн бұрын
Pole kaka yangu watoto wanatupasua tu vichwa lkn Allah atulindie
@ChikuOmmary-ii2xf
@ChikuOmmary-ii2xf Ай бұрын
Huo ni mtihani sio kwako tu wote tupo na shida hiyo kama una uwezekano hebu mpeleke shule ya bodng ya kiislm.mungu atamfanyia wepesi
@HanenMgeni
@HanenMgeni Ай бұрын
Wee huko ndo anaenda kua sugu bora awe mbele ya macho ya mzazi rahisi kumdhibiti
@TullyMwakibete-xt5xm
@TullyMwakibete-xt5xm Ай бұрын
Pole sana kaka yangu,ndo mitihani tunayopitia wengi saizi,umri huu ni changamoto,wana mambo mengi balaa,hawataki kusoma,kila kitu wanajua wao,
@user-ps3oy3nx3k
@user-ps3oy3nx3k 15 күн бұрын
Kikubwa subra,pole sana Allah atamrudusha
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Ай бұрын
Subhanallah pole sana ALLAH amlinde huko alipo arudi nyumbani salama..
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t Ай бұрын
Pole mzazi mwenzangu hki kizazi tutafanyaje Mungu wangu tusaidie tuwaleeje watoto
@victoriapatrick9840
@victoriapatrick9840 Ай бұрын
Awa watoto watauja kutuua siku sio zetu😢 naishi na mtoto wa kaka angu akiamua kupotea nyumbani ata siku 3 mtatafuta mtatulia akijiskia anarudi mwenyewe kama amna kilichotokea. Tena ana salimia anaingia kuoga anatulia kiroho safi. Mwenyez Mungu atusaidie kua mlezi ni jukumu gumu sana. Mungu alinde watoto wetu..🙏
@ExcitedAtv-qx5pt
@ExcitedAtv-qx5pt Күн бұрын
pole sana kaka Allah atamrejedha
@MwanahamisiBwanga
@MwanahamisiBwanga 10 күн бұрын
Watoto n changamotooo sanaa jamaniii mm wa kwangu amentesaaa jamanii daa polee sana sana watoto hapanaa
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 Ай бұрын
Pole sana ndugu. Yaani kutowachapa watoto kunatutengenezea Bomu la Abari.MUNGU atusaidie wazazi.
@chakumabdallah9939
@chakumabdallah9939 17 күн бұрын
Me nabutua vizuri tu jaman😢😢
@AshuraSaid-hh5us
@AshuraSaid-hh5us Ай бұрын
Pole sana mzazi mtoto unamjari sana inshalaah utampata ukimuona umfanyie Dua sana sana Kwa nguvu za mwenyezi mungu atakupa sana pole unamaumivu makari sana
@victoriarwerengera4831
@victoriarwerengera4831 Ай бұрын
Hapa wazazi tunahangaikak kulea, watoto wenyewe wana mambo yao...halaf wengine mnasema wazazi wanashindwa kulea 😭😭😭😭😭
@user-wm7gu8os2i
@user-wm7gu8os2i Ай бұрын
Subhallah pole sana baba targ Allah atakufanyia wepesi ataruditu usha uri wangu amka usiku swali mube duwa mtoto.wako atarudi.tu inshaallh ila pia usiche kwenda vituo vyote vya steni yangari utampata
@LydiaMussa
@LydiaMussa Ай бұрын
Pole sana ukimpata usimpige ongea naye kama rafiki pia mahusiano na mama mlezi ushauri wangu endelea kuwa mpole ukimpata atakueleza kilichomsibu.
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 Ай бұрын
Hivyo vitu atakua anaenda kuuza ,Kama hata nguo zako zinapotea ndani ,inawezekana hata kwenye makamali usikute anacheza.
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Ай бұрын
Pole sana Mungu wngu wtoto wa Sasa tumuombe Mungu tu unajitahidi kupambana mnoo malezi hayana ujuxi kabisaa
@JosefuSwai
@JosefuSwai Ай бұрын
Kweli kabsa
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Ай бұрын
Aaa
@user-mz2ue7up2l
@user-mz2ue7up2l Ай бұрын
Mungu ni mwaminifu sana naamini atarudi na mwenyezi Mungu Atambadilisha na Atakuwa mtoto mzuri sana kwasababu unatamani Akae kwenye maadili mema Mungu Amekusikia Baba Amini Mungu Ni mwema, pole sana kwa Changamoto hizo
@user-qg7fw7si5i
@user-qg7fw7si5i Ай бұрын
Mungu naomba usimamie watoto wetu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Yani wakishaingia pale kwenye balehe eee,hawaambiliki jamani😢,Mungu tu ATUSAIDIE.
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 Ай бұрын
ALLAHUMA AAMEEN YAARB ALAAMEEN NA ISLAAM JAMII 🤲🤲
@GraceHizza-lc9zp
@GraceHizza-lc9zp Ай бұрын
Hapo kuna kitu nimegundua watoto wanaolelewa na mama wa kambo ni shida kila ck mtoto wa kambo anashida mkorofi yani kila akiludi baba anakuta makosa ila wengine huwa hawakosei
@jerusalemsuccess4562
@jerusalemsuccess4562 Ай бұрын
Nguo zako au zake zinakwenda wapi? Wanatumia kuwapelekea wachawi na washirikina wawaharibie maisha. Huyo mtoto ni karashika, yaani watoto wanatumiwa kuzimu. Kaka hebu nenda u tube, tafuta Promover tv tafuta muhubiri shekhe Mnashani alikuwa akihubiri burundi. U tube andika promover tv burundi. Huyo shekhe alikuwa mchawi gwiji sasa ameokoka. Wapigie promover tv jactam msafiri wakuunganishenna shekhe Omary Mnyeshani Naamini promover tv watakusaidia. Pole sana kunatatizo lisilo la kawaida linamsumbua mtoto
@kinasaba
@kinasaba Ай бұрын
Pole sana ndugu yangu Kheri Mkamba. Mungu azidi kumlinda kijana na apate kujitambua vema. Usikate tamaa katika kumtafuta na akipatikana, ujitahidi kuongea nae kwa urafuki na upendo. Hakika atakua na atabadilika. Mungu akupe busara zaidi kiongozi.
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 20 күн бұрын
Yaan wanasumbua jaman hata kuoga ukimwambia hawataki mm nimeamua kunyamaza tu,
@user-yr7uy7vr4c
@user-yr7uy7vr4c Ай бұрын
Pole sana ndugu yangu, MUNGU amlinde Tariq huko aliko arudi nyumbani salama
@ashaomari8209
@ashaomari8209 Ай бұрын
Allah akufanyie wepesi atakua salama na atarudi kwa uwezo wa Allah.pole sana kaka naju hali ulonayo mungu akupe nguvu umtafute mwanao
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Kaka mtoto huyo mtafutie bording zile za watoto watukutu atakaa sawa huyo. Allah jaalia apatikane salama In'shaallah
@hellenmgonja6137
@hellenmgonja6137 24 күн бұрын
Pole mkamba
@JoyceMartin-n7j
@JoyceMartin-n7j Ай бұрын
Pole sana mzazi Allah atamfanyia wepesi arudi salama.
@lellovenance5702
@lellovenance5702 Ай бұрын
Pole sana mzazi 😢 Mimi nilisoma St Anthony nilianza kuenda mchikichikini hukoo ni kawa mteja wa dawa za kulevya
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 Ай бұрын
Pole sana mzee ukimpata mwanao mpeleke kwa wataalamu wa saikolojia na ushauri nasaha wanaweza kumsaidia akabadilika.
@user-rm9iz3yi5c
@user-rm9iz3yi5c Ай бұрын
Pole sana Ila miye naona huyo mtoto anauza ili hapate Pesa za kuzurula maana awezi kutoroka bila nauli kwahiyo anakuwa anauza apate nauli ya kupeleka anapopataka
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo Ай бұрын
Pole mzazi Mungu amwuhifadhi huko aliko amrudishe salama nyumbani
@Gracemagoma-mi9ub
@Gracemagoma-mi9ub Ай бұрын
pole mzazi mwenzangu unayopitia nimepitia pia
@pilisilakilawila5657
@pilisilakilawila5657 Ай бұрын
Pole sana kaka uyo mtoto muweke boding shule ya kidini atabadilika.
@user-xb2qd6ik6d
@user-xb2qd6ik6d Ай бұрын
Boarding ndiyo hakufai kbs kwa sasa Watoto wanafundishana tabia mbaya ajabu huko Jamani tuendelee kukaa nao tu na kupambana nao
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
​@@user-xb2qd6ik6dkama anapenda mpira wampe support waweza mlazimisha kitu nacho yeye Hana oby nacho
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 Ай бұрын
Pole sana bro Mungu akutetee atarudi tu Mungu wetu ni mwema sana
@neemaraphael8732
@neemaraphael8732 24 күн бұрын
Pole mzazi mungu amrudishe salama
@khadijamasele9005
@khadijamasele9005 Ай бұрын
Pole sana baba Tariq,Mungu atusaidie apatikane Inshallah
@mwajumasuleiman9767
@mwajumasuleiman9767 Ай бұрын
Mungu,amuondolee.matatizo..eemungu.tusaidie..watoto.wetu
@florakaria3793
@florakaria3793 Ай бұрын
Pole baba Tarik. Hawa watoto Mungu tu atusaidie.wangu alipotea Miiaka 7 na akarudi nikampeleka shyle na akamaliza salama , ila bangi alivuta mpk basi.Tuwaombee mno😊
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo Ай бұрын
Namomba mungu allaah taabaraka wataallah. Akufanyie wepesi ktka mtihani huu mzito wa malezi, khakika watto wanatusumbua sana. Mungu atufanyie wepesi ktka masala mazima ya malezi
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Ай бұрын
Sio siri kulea hiki kizazi cha Tik Tok ni ngumu saana.Mungu atusaidie hawa watoto wanajua mambo mengi mnooo!!
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Pole shekhe rika hilo n mtihani Allah akusaidie🎉
@annajohn175
@annajohn175 Ай бұрын
Pole sana baba Mungu amlinde mtoto apatikane salama Mungu akutie nguvu
@laylayl5166
@laylayl5166 Ай бұрын
Mungu amrudishe salamaa na amuongoze. Watoto wetu wamekuwa mtihani
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Ай бұрын
Mungu ambadilishe yaani watoto wa umri huu wanasukbua sana dah..Mungu amrudishie akiwa hai.
@AishaHussein-en3wf
@AishaHussein-en3wf Ай бұрын
Dah roho inauma sana,kama kutwa moja ujaona mtoto inauma,jee uyo rafiki yake muulize vizuri,saa nyingine makundi yanaaribu sana ila mungu amlinde uko alipo,arudi salama,asiingie vishawishi vibaya
@hidayampakate2380
@hidayampakate2380 Ай бұрын
Allah akupe subra ndugu yangu watoto wa hivyo mtihani katika familia mungu amlinde inshallah
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Mtihani watoto changa moto. Allah atupe subra kwa wingi
@Henricovicent
@Henricovicent Ай бұрын
Amina
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Ай бұрын
Pole sana,Baba Tariq yaani Mtoto mzuri anaonekana mpole,lkn ndo hivyo jamani Dunia hii, Mungu utuhurumie uzao wetu kamani hasa Watoto wa kiume adui anawawinda tena huyu ni mzaliwa wa kwanza dah Mungu wangu😭😭
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 Ай бұрын
Pole sana
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Ай бұрын
Pole sana .je kapatikana
@user-pw9ne1by9u
@user-pw9ne1by9u Ай бұрын
Mungu atamfanyia wepesi inshallah atarudi akirudi usimfokee ongea nae kwa utaratibu atakuewa na atakaa sawa kwa uwezo wa mungu tu
@joharifarahani2739
@joharifarahani2739 Ай бұрын
Jamani omba yasikukute mm baba yngu sio mpgaji alikuwia anaongea nae kirafiki lkn mtoto alitumia mwanya huo ...alisumbua alikuwa kama chokolaa alikuwa anakula nje siku tatu mpka wiki mtoto aogi apigi mswaki Yani hovyo....apo alikuwa anamiaka 13...mpka mm nilipo mchukua na shemeji yke nilipo kuwa nafanya kazi mm nishamba sana polini ...ila kulikuwa na uzio kila kitu ndani ...alipo kuja na shemeji yke alikuwa kama chokolaa muhuni hatari...alipofika nikamwambia karibu uje unisaidie kulea watoto...nashukuru mungu mdomo wangu ulisaidia sana nilikuwa na msimanga kweli kwa makosa yke...kwangu kulikuwa na ufugaji wa kuku basi nikawa namwambia nenda kaudumie kuku ..ila kwenye kuoga kufua kupiga mswaki ilikuwa shida ila shemeji yke alipambana sana ...kumlekebisha...alitulia akawa mtoto mwema ..kilichotokea kaka yngu akaja kwangu na mama kumchukua Ili aende kumsaidia kazi za nyumbani kaka yngu wamekaa nae mwaka na mtoto kabadilika Tena walipo ona hivyo wakamrudisha kwa mama... Sasa huko ameanza ujeuri atulii nyumbani na wazazi wakiongea asikii anawajibu vibaya...Sasa anaomba nikamchukue Tena na mm nimegoma nimesema hapana mtoto akialibika wananirudishia akiwa mwema wananinyanganya...wazazi wa kike wanachangia sana...
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Ай бұрын
Pole kwa mtihani
@ZaitunShenga-wn1ij
@ZaitunShenga-wn1ij Ай бұрын
Huyu kaka ni muwazi sana watoto dah! Tuwaombee sana jamani yaani tuwaombee watoto mm hata sijui nisemeje tuswali sana ña kufunga kwa ajili ya watoto wetu ili Allah awape mwongozo mwema..ni machungu wazazi tunapitia mengi kutokana na watoto.. na wazazi tujaribu kuwa na ushirikiano kwenye kulea watoto hata kama tuko mbalimbali.. yaah Allah twakuomba tulindie watoto wetu..
@tanzaniawomenyouthempowerm267
@tanzaniawomenyouthempowerm267 Ай бұрын
Hyo jangwani unayoiongelea Kuna wavuta bangi kinoma ..Kuna vijana wapo kule wale wanaotega shule wanaenda kubana kule .... Si sehem salama kaka. Mtafute shule ya boarding yenye masharti magumu. Nilipataga wa namna hii nikashauriwa nimpeleke jitegemee na nikawaeleze changamoto..hv naongea yuko UDOM. chuo kikuu.Yani alibadilika mazima akawa.mtoto mwema
@salamuushawji2044
@salamuushawji2044 Ай бұрын
Pole sana...huyotumuombee MUNGU amrejeshe akiwa salama....huyo inaonekana ameshaanza kuingia kweny makundi...Huko bondeni mchikichini ni hatar sana kwa watoto.....kuna maharibiko sana.....hakufai kabisa .ameanza tabia za udokoz na icwe ameanza kuvuta unga huko mchikichini bonden .
@chobushaka7650
@chobushaka7650 Ай бұрын
Yaani huyu mtoto anatabia za mwanangu kabisaaa MUNGU ATUSAIDIE watoro wanatuumiza na kututesa jamaaniii
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Ай бұрын
Mnoo tumuombe Mungu sana watoto akuna ujuzi kulea wanapenda mno.kamali siku hizi wtoto wa kiume.jama Mungu atamlinda na atamuweka sawa uwezi kuacha kumuadhibu inauma. Mnoo
@upendomollelu7260
@upendomollelu7260 Ай бұрын
Pole baba inaskitisha mnooo Mungu akusaidie kuhusu huyo mtoto
@user-mr5yf1hp7t
@user-mr5yf1hp7t Ай бұрын
Pole kaka ukimpata mpeleke bodng kakae huko atatulia
@user-se4tm2bw2b
@user-se4tm2bw2b Ай бұрын
Mungu atusaidie hongera baba kwa kumfatilia mtoto
@suzanaEliya
@suzanaEliya Ай бұрын
Mmm mtoto wake mzuri mwenyewe kaka chunguza na mama wa kambo huenda haelewani na mtoto na ukimpata mpeleke bodi akakae huko shule awe anarudi likizo tu
@ukhtyrehemaabdy2830
@ukhtyrehemaabdy2830 Ай бұрын
Hekima ni nzur sana Allah atulindie watoto wetu
@user-hl8gf5rx8i
@user-hl8gf5rx8i Ай бұрын
Bole sana ila kama uwezo upo mpeleke boding
@SesiliaFaustin
@SesiliaFaustin Күн бұрын
Umeongea ukweli tabia hairithishw kutoka mtummoja kwenda Kwa mtu mwingine especially friend kama mtu haup tayr kuipokea
@user-gu6hk6pj6u
@user-gu6hk6pj6u Ай бұрын
Pole. Kaka angu.
@user-eu6ql9zl7n
@user-eu6ql9zl7n Ай бұрын
Makuz ya watoto Mungu atusaidie hasa umr huu
@victoriagalinoma4532
@victoriagalinoma4532 26 күн бұрын
Pole Mungu ataliwezesh a hlli
@KibibiMwalimu-pg8fg
@KibibiMwalimu-pg8fg 27 күн бұрын
Kwani huyo kaka hana mke hapo ndani? Huyo mtoto huwa una muadhibu sana ndio maana amekukimbia. Punguza adhabu kwa mtoto
@FaridaKaduguda
@FaridaKaduguda 18 күн бұрын
Hata sijui😅😅😅😅 hasira za maisha anazihamishia kwa mtoto. Hawa wababa wa smrt. Wanaonekanaga nje tu. Ndani wanakuwaga na tabu. Utamuona nje msataarabu ndani sasa!! 😢😢
@johnboscolugome6022
@johnboscolugome6022 Ай бұрын
Pole sana kiongozi kama inawezekana wasiliana NAMI yaliyokukuta nimepitia mimi
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Maaskini huyomtoto. Mungubamuingoze kumbe mama yake anaumwa nayeye kutoloka akisikia si atamtia presha tena
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Ай бұрын
Usikapige jaman kanaonekana kapole Ni mazingira tu kaliyokulia
@RahmaDua-u6r
@RahmaDua-u6r 20 күн бұрын
nikweli kaka hatamimi ni ahuyo mtoto hatami kusoma anataka mpira namiyaki nihiyohiyo Allah atarahisiaha
@neemapaul9073
@neemapaul9073 21 күн бұрын
Hakika Hy na baba Bora sana Kwa mtt
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Ай бұрын
Pole sana kaka
@user-cx7rh6jt6y
@user-cx7rh6jt6y Ай бұрын
Daah pole sana mzazi huu umri ni shida jmn
@ESTHERKamala-qp7gi
@ESTHERKamala-qp7gi 17 күн бұрын
Kaza usikate tamaa pia mwombee pia
@linahmacha370
@linahmacha370 Ай бұрын
Mzazi kama mzazi uko sahihi ila kama unaisha na mke mwingine hapo nyumbani mmmmh jaribu kufanya uchunguzi pengine kuna sababu inje na happ unayosema watoto wanapitia magumu sn Mungu ndyooo anajua
@jerusalemsuccess4562
@jerusalemsuccess4562 Ай бұрын
Sikuhizi watoto wanaunganishwa kuzimu, wanafundishwa uchawi na tabia nyingine mbaya mfano mapenzi ya jinsia moja, madawa, wizi. Lkn sasa wachawi na washirikina wanawatumia sana. Watoto.
@mwesigaelipidius-e4o
@mwesigaelipidius-e4o Ай бұрын
Ok
@salamamango520
@salamamango520 Ай бұрын
Pole sn.muombe mungu atakusaidia
@azizaali687
@azizaali687 Ай бұрын
Allah awafanyie wepesi apatikane mambo ni mengi sahivi baba anaongea kwa uchungu
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Irene Uwoya
Рет қаралды 91 М.
NEW‼️ MABUYU MATAMU SANA  YA BIASHARA NA YENYE FAIDA KUBWA SANA
8:07
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 739 М.