MUNISHI AJIBIWA VIKALI NA DAKTARI BINGWA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIFO CHA MARCO W ZABRON SINGERS

  Рет қаралды 43,950

Tiki Tv

Tiki Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 155
@Vivia-m7g
@Vivia-m7g Ай бұрын
Poleni sana dr.Mlihitahidi sana kwa mujibu wa maelezo yako,lakini MUNGU mwenye nguvu nyingi alishapanga ya kwake.Poleni sana pia wafiwa.Mapenzi ya MUNGU yatimizwe.🙏🙏Amen.
@YunisJerald
@YunisJerald 2 ай бұрын
Amefafanua vizuri jamani😢😢doct
@freddiemanento6318
@freddiemanento6318 2 ай бұрын
Asante kwa Maelezo na kwa Kazi kubwa. Mimi nazidi kuishukuru Muhimbili naelewa kazi yao na naikubali, BABA yangu alifanyi operation hapo miaka mitatu iliyopita na tunashukur Mungu anaendelea vyema. Pale wanadamu wanapo kwama TUMWACHIE MUNGU AFANYA KULINGANA NA MAPENZI YAKE
@PrinceMbwana-i5o
@PrinceMbwana-i5o 2 ай бұрын
Ameni ameni ameni
@JenethFrank
@JenethFrank 2 ай бұрын
Poleni na hongereni Kwa kazi nzuri wataalam na madaktari bingwa. Ushauri wangu Kwa serikali pamoja na madaktari ningeomba kama waliona angeenda India labda angepona kikwazo kikawa ni hatoweza kufika akiwa hai ingekuwa vyema kuomba madaktar wa India au kuwa na connection nzuri kwamba madaktar wa kule wangesafirishwa waje kuokoa maisha bill zote za safar na operation mgonjwa alipie endapo mgonjwa ataridhia ingesaidia Kwa kias
@umbokeenockmwakagenda3966
@umbokeenockmwakagenda3966 2 ай бұрын
Tunawaombea na tunajivunia madaktari wetu,Mungu awape uvumilivu kwa haya mnayosikia,tunajua mmeokoa maisha ya watanzania wengi,Namuomba Mungu awainue ili tujivunie Tanzania yetu,Mungu aliweka Roho ya maarfa kwa Bezaleli akawajaze saa hii Ameni.MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU 5:48 5:50 U❤❤ 5:21
@estameryngogo594
@estameryngogo594 2 ай бұрын
Hongera sana Madaktari kwa kazi nzito mliyoifanya kuokoa maisha ya kijana wetu. Binadamu anao uwezo wa kuahirisha kifo na sio kuzuia kifo hiyo ni kazi ya Mwenyezi Mungu pekee.
@kmotivation1130
@kmotivation1130 2 ай бұрын
Doctor Mungu awabariki sana, roho ya maremu ipunzike Kwa amani
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm 2 ай бұрын
Hii yakumwambia mgonjwa una asilimia 13 yakupona na asilimia 87 inaweza ukafa hii so sawa ,,,mlimuua kwa Kuwaza aisee.
@RebeccaBhoke
@RebeccaBhoke 2 ай бұрын
Ukiambiwa ukweli unapata nafasi ya kutengeneza na mungu Hata mm kama jambo langu ni gumu niambiwe tu
@estherwaliaula9132
@estherwaliaula9132 2 ай бұрын
Kweli kabisa heri uambiwe ukweli
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
That's medically un ethical... Unless the patient asks to be told but you cannot say you have 13% chance to survive.. And ask them to choose.. ... This are assumptions. THERE ARE SO MANY FACTORS TO PUT THIS STATEMENTS ACROSS... 😢😢😢😢pole kw familia na marafiki wa Marco.
@NishadyHajil
@NishadyHajil 2 ай бұрын
Yaan kama hujawah kukutana na nyagori utajion mzima kabisa ila ukikutana n huyu Dr jiandae kiakil maan Huwa hajui kudanganya mgonjwa yaan kanyooka
@mamaeu3147
@mamaeu3147 2 ай бұрын
Mlifanya upande wenu kwa nguvu na maarifa yenu kama wanadamu.Lakini Mungu aliishachagua ua lake lililo bora Mungu awatunze tunazidi kuwaombea madaktari wetu
@AmAm-xt1og
@AmAm-xt1og 2 ай бұрын
Kw kwli Dactari nimemuelewa, kwanzo hapo kw kuchunguza afwa zetu,mungu atufariji sote🙏🙏🙏🙏🙏
@ednaednamillanzinia2826
@ednaednamillanzinia2826 2 ай бұрын
Madakitari mna kazi subway na Mungu awabariki,hao madakitari uliwataja ndio waliomfanyia dadangu operation ya moyo mwaka 2021 mpaka sasa dadangu ni mzima. Na dadangu kipindi icho umri wake ni 50. Basi tu imetokea Marcos kaondoka na pia maombi ni muhimu sana kipindi cha operation..Madakitari Mungu awabariki kwa kazi kubwa mnayofanya
@ocholawayoga5986
@ocholawayoga5986 2 ай бұрын
Kwaa wale ambao hawaijui Muhimbili hospitali ya Taifa. Niwambie tu nchi yetu imewekeza vema kwenye vitengo vingi vya tuba hapo Muhimbili. Mimi ni shuhuda nimekuwa na wagonjwa kadhaa hapo. Wanafanya kwa kiwango cha juu. Wakishindwa ni uhalisia wa ukomo wa maisha ya mwanadamu. Prof. Nyagori amejieleza vema
@ndunihasani3232
@ndunihasani3232 2 ай бұрын
Acha Mungu aitwe Mungu mapenzi yake yametimia na kazi yake haina makosa
@JosephMzipila
@JosephMzipila 2 ай бұрын
Mbona anijitetea sana, mbona haeleweki huyu dk
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 ай бұрын
Usijitetee bwana lisemwalo lipo hasa hospital za serkali za Tz Kuna mambo mengi sana yanayo husu wa gonjwa yanafavywa ndivyo sivyo hata mm ninapoona jambo kumwa la hatari nitalifikilia mara mbili tuna sema Hadi ya mungu simtimes Mungu anairuhusu Hadi sio kwakupenda mie SIo Dr lkn mafikilio ya haraka upasuwaji umechukua siku nzima Ingekua sawa TU kuruhusu aende India wangekubali ombi la familia kuchana kifua hiyo ni ishu ingine kiukweli kwa tz tuseme uhalisia tumbo ni sawa lkn kifua kichwa vinahitaji umakini ungalizi na digital yakutosha tunaposema ni isitokee kwa mwingine ubaya zaidi wakati wa magufuli ilikua inaonyesha vipimo original vinawekwa kwenye hospital zingine hapo muhimbili vinawekwa vya kawaida hii ni shida mtu lamda moyo umeziba TU unaambiwa umeoza watu tunajawa hofu
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 ай бұрын
​@JosephMzipila wewe ndo hueleweki au shule haimo
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 2 ай бұрын
​@@JosephMzipilakikubwa shule
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 ай бұрын
Daah!!! Miili yetu hii, Mungu tu ndiye anayeijua kwakweli. Pumzika kwa amani mtumishi.
@AnnaLwanda-oj4jn
@AnnaLwanda-oj4jn 2 ай бұрын
Mwanadamu siku zake za kuishi sio nyingi na zimejaa tabu amemaliza mtumishi wa mungu Mungu awafaliji kwa wakat huu mgumi Marko amelala msijiulize sana mshukuruni Mungu kwa kuwa ni mwema kwa mama fadhili zake ni za mile ameen
@BethaKIBONA
@BethaKIBONA 2 ай бұрын
Hongera kwa kazi nimekuelewa vizuri,mikono yenu ibarikiwe na YESU KRISTO ALIE HAI muweze kuwasaidia wengi wahitaji
@JudithObassy
@JudithObassy 2 ай бұрын
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni za kuhesabika nazo zimejaa shida na taabu😭😭Tunashukuru Mungu hata ktk Hili tuna Imani IPO siku tutakutana tena 😭😭😭😭kazi ya Mungu Haina makosa.Rest in peace kaka
@StelaMangalachuma
@StelaMangalachuma 2 ай бұрын
Hongere madaktari kwa kazi nzito, Mungu afariji familia😢
@africangirllifestyle7686
@africangirllifestyle7686 2 ай бұрын
Haisaidii tena nyamazeni tuu
@MahamuduMgongolwa-rw6ep
@MahamuduMgongolwa-rw6ep 2 ай бұрын
Dr Bingwa kachambua vzr sana hongereni M Dr kwa kupambana Poleni wafiwa 😢
@facef5577
@facef5577 2 ай бұрын
😂😂 bado darasa linamuhusu
@SosipitarStaford
@SosipitarStaford 2 ай бұрын
Wakristo wanatkiwa kuuriza majibu Yao ndani ya biblia kwa sababu Elia mtishbi alipokutana na wajumbe WA mfarme ahabu aliwauriza kuhusu ugonjwa wake aliwaridisha waulize mbere za Mungu hivyo mkiwafuata matabibu mjue mmemuamini Mungu kupitia wao hivyo tumtafakari Mungu vyema tuache rawama .mbarikiwe Sana na poreni
@cylviapatric7343
@cylviapatric7343 2 ай бұрын
Amen, inaumiza but mmepambana sana tunawashuru madaktar
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 2 ай бұрын
No No muhimbili kwa sasa serikali ifike mahali ifanye kuajili wataalamu kutoka nje hawa wa kwetu mimi siwaamini kabisa
@patelokoh5828
@patelokoh5828 2 ай бұрын
Good job bro juu watu wanaropokwa very careless
@jeikary8767
@jeikary8767 2 ай бұрын
Kama alikua na ushinda ya fingo i think ndio ilishababisha moyo 😢 pole sana kwa familia
@nicodemusjohn6474
@nicodemusjohn6474 2 ай бұрын
Nawaza, mtu ana shida ya moyo, unampa maelezo kuwa unafanyiwa upasuaji ila unaasilimia 13% za kupona na 87% za kufa. Huo tu mshtuko unaweza mwondoa mtu. Mimi nadhani ndugu wqnastahili kuambiwa hayo ila mgonjwa hakupaswa kuyajua. Alipaswa kupewa confidence kuwa atapona.
@joshuaadauth4150
@joshuaadauth4150 2 ай бұрын
Ana haki ya kukataa pia asifanyiwe ndio maana ni muhimu kuambiwa ili naye aridhie. Na ukiona mpaka wanasema hivyo ujue ni jambo ambalo ni gumu hivyo linahitaji maamuzi ya wote.
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw 2 ай бұрын
Kwa hili ni mungu ndie anajua kwani maelezo ya huyu daktari Mimi sijamuelewa mungu ni mwem
@jacksule7557
@jacksule7557 2 ай бұрын
Nyie wasenge tu mmeua viongoz wangap hapo mpk wanapaita machinjion bora angepoteza maisha gafura sy nifanyiwe nikiwa na probability ya 13%
@givenmsomba9358
@givenmsomba9358 2 ай бұрын
Poleni jamani nguvu zote hizi kuwajibu Munishi na yule wa Mbeya hawawezi kuelewa.Maisha yetu yapo mkononi mwa Mungu.
@everlynemoraa9423
@everlynemoraa9423 2 ай бұрын
asante kwa kueleza vyema daktari na ufafanuzi uzuri mwenye hataridhika ako na zake zamsumbua
@LeonidasNteturuye
@LeonidasNteturuye 2 ай бұрын
Asante docta kwa maerezo mazuli siku yamwanadamu ikifika mwisho akuna wakusimamisha siku hio .
@marryhancy1632
@marryhancy1632 2 ай бұрын
Sasa kumbe asilimia kumi natatu nibora hata mngemuacha tu pengine mungu angemnusuru
@leoniaathuman1038
@leoniaathuman1038 2 ай бұрын
😢 Mungu huyo huyo ndiye aliruhusu kipenzi hebu tumpe utukufu tu hata katika hili japo linaumiza Hakuna wa kulaumiwa madaktari wamefanya sehemu yao
@EdwardImbwana-e6m
@EdwardImbwana-e6m 2 ай бұрын
Uko sa hihi dada
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 2 ай бұрын
Kama wewe ndiye daktari utamuacha mgonjwa mbele yako usimhudumie eti unamuangalia tu una subiria afe, ? Na Mungu sii wakati wote huponya bila vitendo vya kibidamu, Jitihada hufanyika huku maombi yakiendelea,..kwa hiyo acha mawazo ya kebehi kwa madaktari.
@vencalson8108
@vencalson8108 2 ай бұрын
Asikimia 13% wangeacha 2 walimmalizia yani
@apolleorevocatus8577
@apolleorevocatus8577 2 ай бұрын
Ikiwa option ya hata %2 itamuoka ni bora kufanya
@KhadijumaKhadijq
@KhadijumaKhadijq 2 ай бұрын
Doctor mungu atakulipa kwa juhud zako enderea kutoa huduma kaka
@belithakalinga4263
@belithakalinga4263 2 ай бұрын
Dr kiukweli ameelezea vizuri japo mimi sio mtaalam wa afya . Acha Mungu aitwe Mungu😢
@kennedymbogho1999
@kennedymbogho1999 2 ай бұрын
Hapa nimeelewa kwanini Viongozi na matajiri wanaenda kutibiwa Nje ya Nchi hasa India. Kwahiyo operation za kujifungua ni za mtaani?
@MercyMugalitsa
@MercyMugalitsa Ай бұрын
Mlimsimamisha moyo hamna uhakika hapo ndipo aliaga...pia mlimvunja moyo kwa kutaja asilimia chache za kupona
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 ай бұрын
Mapenzi ya MUNGU nilimkubali sana na nyimbo zao za hisia kali Zabron nawapa 1st Gospel
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 Ай бұрын
Achacheni n mjinga MUNISHI
@LevinaLeonidas-l1p
@LevinaLeonidas-l1p 2 ай бұрын
Jaman jaman dkt na yeye ni binadamu alilolipanga mung binadamu awez kulipangua msimseme dkt kiasi icho ivi mnajua blidi ya damu inavyotoka na kuangaika kumwekea damu kila mara sote tutaondoka kwa njia yoyote
@brother_majesty
@brother_majesty Ай бұрын
Mbona anatufokea..na mawani lake
@gabrielgwawu4026
@gabrielgwawu4026 2 ай бұрын
Huyo Dr. Wa Kachina tunaweza kumuamini,?
@petrahmaggie4768
@petrahmaggie4768 2 ай бұрын
Hii imeniumaa sana
@bennygwasa4563
@bennygwasa4563 2 ай бұрын
Many people don't know what's going in the spirit, I would like to advise people to trust God in every situation.... this world and its systems are corrupt. It takes God's power to save our lives.
@furahanyamba3636
@furahanyamba3636 2 ай бұрын
Pole doctar tunajua Jinsi gani mlivyoumiya😭😭😭😭😭
@lilianomoke8759
@lilianomoke8759 2 ай бұрын
Life is short...wakuropokwa wacha
@MrNorthshoremc
@MrNorthshoremc 2 ай бұрын
You were not ready for an open heart surgery.. Stop talking too much.. Msingefanya thts guess work.. There was enough time to bring him to kenya.. Tjat was a young person who coud sustain until he get the right doctors.. How do you transfuse 30 units of wholeblood.. Do platelet apheresis (Extract pltes from the donors) .. To avoid thrombocytopaenia..especially because of prolonged surgery and highly invasive procedure. 7:17
@kinyanjuicarlos8899
@kinyanjuicarlos8899 2 ай бұрын
I really dont understand why he was not treated here in kenya' they chose to travel all the way to Tanzania instead of rushing him to KNH or even Nairobi hospital' madaktari pale wangeokoa maisha yake' poleni kwa familia may his soul rest in peace...
@PAULMKOMBOZI
@PAULMKOMBOZI 2 ай бұрын
kenya hakuna wabobezi wa magonjwa ya moyo
@kinyanjuicarlos8899
@kinyanjuicarlos8899 2 ай бұрын
@@PAULMKOMBOZI aga khan hospital' mater hospital' KNH' this are just but a few who could do a better job than the overrated "Jakaya kikwete"!
@joshuaadauth4150
@joshuaadauth4150 2 ай бұрын
Ukute Kenya walishajua kuwa hili jambo ni gumu na kupona ni asilimia ndogo sana. Na hata angepoteza maisha huko wangesema bora angerudishwa Tz wangefanya kwa umakin zaidi. Kumbe ni ugumu tu wa kazi yenyewe.
@suzomhongo2052
@suzomhongo2052 Ай бұрын
​@@PAULMKOMBOZIhuko Kenya watu hawafi
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 2 ай бұрын
naomba tumuamini mwenyezi Mungu,kuwa siku ikifika akuna jins.mimi pekee nimemuelewa dactar😢
@spesiozabisansaba6424
@spesiozabisansaba6424 2 ай бұрын
Wacha alale mtumishi wa Mungu,, ninachofurahi ni kwamba aliambiwa ana aslimia 13 za kupona,, kwahiyo ninaimani ndugu yetu, amelala mikononi mwa Bwana.
@MwanahamisMaganga
@MwanahamisMaganga 2 ай бұрын
Mtu anapresha anaumwa moyo af anaambiwa Jambo la kushitua kwamba akiingzwa kwenye oplereshen niasilimia chache za kupona cndo mawazo yakazd kumshitua
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 2 ай бұрын
Ila binaadam kuna mda mnashangaza eti angeachwa angepona hamna anaekaa milele kila mtu ataondoka kwenye dunia hii kubwa tufanye mema
@anordlema3326
@anordlema3326 2 ай бұрын
Ni vyema kumweleza mgonjwa na ndg uhalisia ili aamue kufanyiwa au la Kwa kuwa ni laizima usaini file kabla hujafanyiwa op ni tafiti za kitaalam hizo
@HhdgjhjNfhvbnn
@HhdgjhjNfhvbnn 2 ай бұрын
Siku zikifika hakula la doctor hakufanya kazi,,mm naamini ni mungu tu,ndiye anajua ni kwanini,hatuwezi pata jibu
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 2 ай бұрын
Kwa ambaye hajafika Muhimbili akiwa na mgonjwa wa moyo anayetakiwa kufanyiwa upasuaji unaweza ropoka kama mnavyoropoka humu. Hawa madaktari wanafanya kazi kubwa sana na wamefaulu kwa wengi tu.
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 2 ай бұрын
❤ubarikiwe! Mungu akishaamua huwezi kupinga!
@AntonyBruno-om8mr
@AntonyBruno-om8mr 2 ай бұрын
Kweli kbs mpendwa angu yaaan sisi binadamu jmn hatuna jema angepona ungeona ambavyo wangeongea tuna madaktari bingwa hiyo kazi ya kucheza na mwili wa binadamu mwezio Si mchezo
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 2 ай бұрын
Kipindi cha Magufufi hospitali za zilifanya vizuri, siku hizi ni sinema
@halimaKaniki-g6i
@halimaKaniki-g6i 2 ай бұрын
Kwan nayeye sialikufa kaasababu hizohizo
@bitumwatemu2731
@bitumwatemu2731 2 ай бұрын
Muache raisi wetu alikolala kapumzika kwa amani usimutumie unapotaka kueneza sera zako za hovyo.
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 2 ай бұрын
​narudia tena, kipindi cha JPM hospitali za umma ziliwatendea wagonjwa kwa haki kabisa, sasa hivi ni sinema
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 2 ай бұрын
​@@bitumwatemu2731waliokuwa na vyeti FAKE hawataki kumsikia
@bitumwatemu2731
@bitumwatemu2731 2 ай бұрын
@@justardzelphine6526 bado hujasema na utasema.. ww mpaka useme.
@ruthn9381
@ruthn9381 2 ай бұрын
That's why politicians and the high ranking citizens do not even trust our hospitals. The incompetence and lack of facilities and equipments is astonishing😢. Tutaelekea wapi jameni?
@suzomhongo2052
@suzomhongo2052 Ай бұрын
Utakapoumwa na kuokolewa na madaktari hao ndipo utakojua thamani yao
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 2 ай бұрын
13% tu ya kuishi daaaaahhhhh!!!!!!!! Mungu atusaidie sana sisi ni maua
@barakaamos3538
@barakaamos3538 2 ай бұрын
Je million 17 zitarudi
@leoniaathuman1038
@leoniaathuman1038 2 ай бұрын
Binafsi nimemuelewa sana daktari polen sana madaktari
@OMARIMLAPONI
@OMARIMLAPONI 2 ай бұрын
Apo ndo mlimpa pressure
@mwarikimwariki2653
@mwarikimwariki2653 2 ай бұрын
In God we trust,pumzika kwa amani mwamba
@ii-bt3yj
@ii-bt3yj 2 ай бұрын
Hata wangeachana na upasuaji jameni😢😢 was though
@AliceKangwa-f4g
@AliceKangwa-f4g 2 ай бұрын
Hii ni kwa faida ya mwimbaji Munishi na wasiojua ila waropokaji wenzake wote.
@winsyombua5821
@winsyombua5821 2 ай бұрын
Makosa waliofanya nikumueleza mgonjwa anaeza pona ama kufa walimuongezea mshituko wangeambia familia peke yake
@salomekense525
@salomekense525 2 ай бұрын
Tunawashukru ila msinge mwambia hizo asilimia alikufa kwa hofu jamani
@Omar-n4q3i
@Omar-n4q3i 2 ай бұрын
Daktr haezi zuia kifo , pia hao n binadamu ,
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 2 ай бұрын
Waacheni madaktari wamejitahidi na wameeleza ukweli wasukuma wachawi sana siwaamini kbsaa mmemloga mwenzenu aisee
@dikakimishawasumbwahalisit7596
@dikakimishawasumbwahalisit7596 2 ай бұрын
Mwingine alisema 50% Huyu anasema 15%
@dikakimishawasumbwahalisit7596
@dikakimishawasumbwahalisit7596 2 ай бұрын
China na sayansi wapi na wapi
@liannsambu7264
@liannsambu7264 2 ай бұрын
Aitatusaidie kujibu haya yote , MAANA HAITAMRUDISHA KAKA YETU MICHAEL, KAENI madactari muwaze na kuangalia mlipoanguka au kufanya vyema , maana maisha ya mtu KUPOTEA SI jambo dogo 😢😢😢
@jothammalale8702
@jothammalale8702 2 ай бұрын
Bora sana huyu ambaye mungu alimpa taarifa ya kujiandaa kiroho (maombi) ili aingie mbinguni kila aliyezaliwa na mwanamke duniani kufa ni lazima .bwana ametwaa Amina
@bitumwatemu2731
@bitumwatemu2731 2 ай бұрын
Embu tutolee ujinga kaka yako umemuumba ww..!! Au ulitaka aishi milele? Mngempeleka kanisani aombewe apone.. mliona kanisani haviwezi mkawaamn madactar afu sahv unajikuta professor wao kwamba unajua walipokosea.
@charlesseba2000
@charlesseba2000 2 ай бұрын
Kama mlikuwa hamna uhakika wa kufanya operation, inaonyesha wazi mlifanyia majaribio kuona kama mnaweza
@petermalema5702
@petermalema5702 2 ай бұрын
UKO VIZURI DOCTOR
@SammyGuto-yb1vs
@SammyGuto-yb1vs 2 ай бұрын
Rudi shule bwana usomehe moyo aja story mingi
@dikakimishawasumbwahalisit7596
@dikakimishawasumbwahalisit7596 2 ай бұрын
Na kavaa miwani mieusi apate ujasiri wa kuongopa vyema
@7675kio
@7675kio 2 ай бұрын
Kichwa Kinasema daktari bingwa wa Taasisi ya Moyo Jakaya, Je ni kweli huyoo daktari anafanya kazi Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete?
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 2 ай бұрын
Huyu ni ndugu wa marehemu na ni Daktari Bingwa pia.
@ocholawayoga5986
@ocholawayoga5986 2 ай бұрын
Huyo ni prof. Wa tiba ya Moyo prof. Dr Nyagori
@witnessezron4607
@witnessezron4607 2 ай бұрын
Anafanya kazi huko ndiyo ila ni ndugu piaa wa hii familia
@255tz8
@255tz8 2 ай бұрын
Sasa ataenda hapo kuongea mbele kuongea tu bila kuwa daktari
@FrankDamiano-ll2xy
@FrankDamiano-ll2xy 2 ай бұрын
Bora wangemuacha tu
@dikakimishawasumbwahalisit7596
@dikakimishawasumbwahalisit7596 2 ай бұрын
Hamna lolote uongo
@JanethMokili
@JanethMokili 2 ай бұрын
RIP bro🙏
@emanuelelias2082
@emanuelelias2082 2 ай бұрын
Kwahiyo madaktari walipumzka kuhudumia wagonjwa wengine bila kujali wako serious kiasi gani? Jamani jamani madaktari fanyeni kazi zenu bila kujali cheo wala wadhifa wa mgonjwa
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 2 ай бұрын
Wewe zero brain kakojoe ulale. Yaani kwa akili zako za mende ndio uwafundieshe cha kufanya. Fyuuu.
@antonylwanga2978
@antonylwanga2978 2 ай бұрын
Kuna madakitari tofauti wenye ujuzi au utaalamu za aina mbali mbali
@christinarussambi2161
@christinarussambi2161 2 ай бұрын
Kweli kabisa ​@@antonylwanga2978
@joshuaadauth4150
@joshuaadauth4150 2 ай бұрын
Ushawahi fanya kazi ukiwa umechoka, kifuatacho kuharibu tu, alafu ndio unaenda kucheza na roho za watu, wao ni binadamu siyo maroboti et hawachoki.. pia Muhimbili ni kubwa sana na madaktar wa vitengo vingine pia waliendelea na kazi kama kawaida.
@denisyohana8104
@denisyohana8104 2 ай бұрын
Kwanini akupelekwa nairobi,mzunguko mwingi
@PAULMKOMBOZI
@PAULMKOMBOZI 2 ай бұрын
nairobi hakuna hospitali yenye uwezo wa kutibu magonjwa ya moyo wagonjwa kutoka kenya wanakuja kutibiwa hapo
@dikakimishawasumbwahalisit7596
@dikakimishawasumbwahalisit7596 2 ай бұрын
Mara50%huyu13%ndo nn
@gabrielgwawu4026
@gabrielgwawu4026 2 ай бұрын
Hadithi nyingi za nini???
@bintibaibe1958
@bintibaibe1958 2 ай бұрын
Jamaa tapeli huyu hamna jipya anatumia nguvu nyingi kufanya watu wasahau uchunguzi
@mgayan1222
@mgayan1222 2 ай бұрын
Wewe ambaye sio tapeli, kamfufue bhasi. Hizi fee free education zinatengeneza kizazi cha ajabu sana
@bitumwatemu2731
@bitumwatemu2731 2 ай бұрын
We umesomea nn jamaa nawaswas na elimu yako?
@josephinemtei186
@josephinemtei186 2 ай бұрын
Tulia na ushike adabu yako
@DianahRobbie
@DianahRobbie 2 ай бұрын
Mungu fariji familia
@christinelihavi4068
@christinelihavi4068 2 ай бұрын
Lakin mbona alikuja na ndege akitoka Kenya?
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 ай бұрын
alipanda bus had mwanza
@christinelihavi4068
@christinelihavi4068 2 ай бұрын
@@masalakulwa7601 Kwenda Dar alipanda ndege my dear
@bitumwatemu2731
@bitumwatemu2731 2 ай бұрын
Kwan hali yake anatoka kenya kuja mwanza kwenda dar ilikuwa ni sawa na alivyokuwa ndani ya taasisi ya moyo au ww hujui maswala ya moyo kadri mda unavyozd kwenda ndo ukubwa wa tatizo unaongezeka na mda wakuishi unapungua.
@bitumwatemu2731
@bitumwatemu2731 2 ай бұрын
M nngeshauri kwa ndugu, marafiki na wapenzi wa marehemu embu punguzeni hisia na imani ya kwamba mlijua marco ataishi milele, au mlikuwa mnacho kitabu cha siri za Mungu kujua marco angefariki vp!! Kifo n mpango ya mwenyezi Mungu na hakuna ajuaye siku wala saa zidi kuomba na kutubu maana hujui chako ni lini.
@joshuaadauth4150
@joshuaadauth4150 2 ай бұрын
Kwanini wakenya wasingemtibia huko huko? Wakaona wampandishe ndege tu aje Tz, au India moja kwa moja? haikua kazi rahis na tabia ya madaktar wakati mwingine utaambiwa mchukue mgonjwa wako ukamuuguzie nyumbani kumbe washajua huyu sio wa kupona.
@dikakimishawasumbwahalisit7596
@dikakimishawasumbwahalisit7596 2 ай бұрын
Huo ni kujitetea tu uongo
@MussaKitaluta
@MussaKitaluta 2 ай бұрын
Uongo huo
@alfredbyangwamu9821
@alfredbyangwamu9821 2 ай бұрын
TUNAWAPA POLE HATA MADACTARI KWA JUHUDI ZAO!!!
@amiduabdallah-l9z
@amiduabdallah-l9z 2 ай бұрын
Bas yote yshatokea tunaomba hzo pesa zimsaudie mjane
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 ай бұрын
😅😅😅😂😂 nimecheka
@africangirllifestyle7686
@africangirllifestyle7686 2 ай бұрын
😅😅😅ndio
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 2 ай бұрын
Dunia tu wapitaji
@songeza
@songeza 2 ай бұрын
Madakitari wa muhimbili hako series yaani shida tupu yaani bado sana moyo kupasua hawawezi hata hata mngekua miambili hamna lolote
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 2 ай бұрын
Upo tu mtaani unazulula baada ya kushiba makande hujui hata kidogo Ubora wa Muhimbili na wamefanya makubwa sana.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 ай бұрын
​@NtamamiloGi😂😂bson
@bitumwatemu2731
@bitumwatemu2731 2 ай бұрын
Unaweza ukawa unaongea hvyo na shule ulikuwa unafeli tyu huoni haya unayemtukana n bingwa mbobezi ngazi ya juu kabisa kwenye elimu ya udactari? Embu heshimu taaluma za watu..!! Ukiambiwa ww ufanye operation ya moyo unaweza? Au kuropoka.
@AliceKangwa-f4g
@AliceKangwa-f4g 2 ай бұрын
Wewe na Munishi ni waropokaji tu!! Thibitisha uliyoyasema, utaweza!!
@ConsalvaMumbara
@ConsalvaMumbara 2 ай бұрын
Acha uongo wewe siku zikifika zimefika ,mbona wengine wanaponeaMuhimbil?
🔴LIVE: MASHAMSHAM NDANI YA WASAFI FM - 29-10-2024
Wasafi Media
Рет қаралды 117
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 19 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 11 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 125 МЛН
FUMANIZI MAGOMENI: AMFUMANIA MUME WAKE NA MAMA YAKE MZAZI
18:23
MATUKIO 10 YAKUSHANGAZA MSIBA WA MARCO WA ZABRON SINGERS
13:02
DADAKE MARCO ALIVYO STUKA AKITASAMA MWILI YA KAKAKE
8:43
Kibet Reuben live performance coverages
Рет қаралды 27 М.
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 19 МЛН