MWABUKUSI AUWASHA MOTO NYUMBANI KWA LISSU, MWENDO WA KUDAI KATIBA MPYA, AIVAA CCM

  Рет қаралды 14,567

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 5 ай бұрын
Asante sana mtu wa Mungu mtu wa watu Mzalendo Mwabukusi.Mimi nakuelewa sana ndugu, Nakuombea siku zote kila hatua uendayo! Tuendelee kupambana kwa umoja na kutakucha, Watanzania tuamke tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, tumkatae shetani ccm na vibaraka wake wote uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa mitaa, vitongoji, vijiji, madiwani, Wabunge na Rais! Msiwapigie kura hawa ccm genge la wezi, majambazi, mafisadi, majizi, majangiri ya rasilimali za Tanganyika.
@ramsohk
@ramsohk 5 ай бұрын
Mh shimiwa mwabukusi kweli we una hekma kwa kuijali adhana mungu akurehem
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm 5 ай бұрын
Nimefurai Sana mwambukusi kuunga juhudi za Mungu na za tundu lissu ubarikiwe mwambukusi njoo cdm
@NeemaMerinyo
@NeemaMerinyo Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu wewe ni mbeba maono wa watanzania
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 2 ай бұрын
Mwakabusi mungu akulinde sanaaa ❤❤
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 5 ай бұрын
Tunataka viongozi wa aina yenu. ❤ you!
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 5 ай бұрын
Matiriol voice lndipendet privet advocate mwabukusi voice without fear open Tanzania maindset enough tanzania people understand him vary clear team work together with tundundulisu who engineering underground rengforce unity together as the tem work
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 5 ай бұрын
Perfect chemistry
@rashiditembo1574
@rashiditembo1574 5 ай бұрын
Mwenyezi mungu akulipe mwambukusi
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 5 ай бұрын
Uko saw kamanda respect
@philemonmshomi4484
@philemonmshomi4484 5 ай бұрын
Piga kazi MWABUKUSI advocate iko siku majizi yataelewa tumeonewa saana
@EdwinCharles-o8f
@EdwinCharles-o8f 5 ай бұрын
😮upo sawa
@StevenMtambo
@StevenMtambo 5 ай бұрын
Mh,,kaka,mkubwa mwabukusi nakuomba ,nakuomba,nakuomba sana uwe ni mmoja Wana wa chdema kwani nafasi yako naona kama utafiti sana ndani ya chama please kaka mkubwa mwabukusi nakuomba nakuomba nakuomba najua liko kusudi Kwa wewe nisamehe kwahilo kaka
@AndrewYohana-bq8sj
@AndrewYohana-bq8sj 5 ай бұрын
kiukweli Chadema wako very open.waambieni ukweli watawala wetu, wanajisahau sana.vyakula vipojuu wao wanajisifia kujenga shule wakati waalimu hakuna.
@GiftBatista-u9l
@GiftBatista-u9l 5 ай бұрын
Agree you too
@prospermalala6636
@prospermalala6636 5 ай бұрын
IQ kubwa ulizonazo kichwani mwako MH Boniface mwambukusi wakili msomi umekuwa mwanga unaomulika maisha ya watanganyika waliowengi, wameanza kuona mwanga huko tuendako Mungu yupo pamoja nawe ktk kuielimisha jamiii iliyopo mbele yako 🌹🌹🌹🌹🌹🙏🙏🙏
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 5 ай бұрын
Mwakabusi uko vizuri
@HaulSidney
@HaulSidney 5 ай бұрын
Facts
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 5 ай бұрын
Asante sana mwabukusi tunakuomba Kwa mahubili Yako hata ambae Hana maono ame elimika tungeomba uje Kagera ndipo Kuna wanainchi wenye miti kwenye masikio Kila uchaguzi wanachagua hao wezi wa lasilimali za watanganyika
@JacksonFrances
@JacksonFrances 5 ай бұрын
Wakili Kama Wakili Mwabukusi Upo Sahihi Kabisa Tifa Letu Linahitaji Mabadiliko Yenye Maamuzi Magumu. Upande Wa Pili Wanaitafuna Nchi Wakiwa na Furaha Tele"
@fredrickwiliam6176
@fredrickwiliam6176 5 ай бұрын
Mwabukusi na lissu , vijana wa singida tuko pamoja na nyiee
@PoulFred
@PoulFred 5 ай бұрын
Daa madini ya huyu mwamba ni hatari sana
@AdamMkunga
@AdamMkunga 5 ай бұрын
Huu ndio uthubutu unaotakiwa ili kuipeleka Tanzania kwenye UHURU NA MAENDELEO YA KWELI
@danielkanso
@danielkanso 5 ай бұрын
Tuko pamoja kiongozi
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 5 ай бұрын
Motoooo umewaka!!,!!
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Asikali.wanapata.taabu.walivyofu disha.wanaambiwa.maagizo.toka.juu.rais.ndie.jemadari.mkuu.katiba.ndiye.mwungozo.tuombe.mungu.atusaidie
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 5 ай бұрын
Naona afande anatamani kunyosha mkono lakini bhuuu!!!!
@godfreyfrancis1013
@godfreyfrancis1013 5 ай бұрын
❤ M4C
@PaulTajiri-i6b
@PaulTajiri-i6b 5 ай бұрын
Umekosea njia ccm itakuwa Hadi dacika ya mwisho kwanza wewe Fanya kampeni enye busara Fanya kampeni enye hakuna matusi
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 5 ай бұрын
Kilicho na mwanzo lazima kiwe na mwisho,hata JKNyerere alisema;CCM sio mama yake anaweza kuiacha,sasa endelea kuamini hicho unachokiamini.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 ай бұрын
Mbona mimi sijasikia tusi lolote
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 5 ай бұрын
asante sana mwabukusi tunataka watanganyika wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu tusidanganywe na wanasiasa na CCM ya Samia na wajomba zake waarabu awa niwezi wa nchi yetu wenu ni simba sauti ya wanyonge tushikane mikono tukatae ukoloni
@albertkamala6843
@albertkamala6843 5 ай бұрын
MBEBA MAONO..SINGIDA WAMEKUELEWA KAMA WALIVYOKUELEWA KWINGINE NA WANANCHI WATAKAVYOZIDI KUKUELEWA!
@mohamedismail1376
@mohamedismail1376 5 ай бұрын
Kama humuelewi nenda shele tena
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 5 ай бұрын
Acha ubwege mchungaji unawadanganya watu wasio kuwa na elimu juu ya bandali elimisha kuuza na kutoza uongo na unafiki wako toa neno kujita mchungaji unatia aibu wachungaji wanao hubiri neno la mungu ww mhuni tu
@erickmsigala138
@erickmsigala138 5 ай бұрын
Wewe una elimu gani? Zaidi ya kinyesi kukaa kwenye ubongo
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 5 ай бұрын
Wewe Ni ngombe
@joshuagaspary5561
@joshuagaspary5561 5 ай бұрын
Bwege kweli wewe
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 5 ай бұрын
Tena ana kinyeai cha kipindupindu kichwani huyo
@daiqmull7474
@daiqmull7474 5 ай бұрын
Wewe choko ujielewi
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 105 М.
MOTO WA TUNDU LISSU SINGIDA KASKAZINI JIMBO LA NYALANDU
13:05
Chadema Media TV
Рет қаралды 4,4 М.
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39