No video

MWABUKUSI AIVAA CCM ATOA USHAURI KWA MPINA "PIGA AMBAKATI" "Msigwa hataweza"

  Рет қаралды 10,310

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

MWABUKUSI AIVAA CCM ATOA USHAURI KWA MPINA "PIGA AMBAKATI" "Msigwa hataweza"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Пікірлер: 33
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b Ай бұрын
Mtu makin Sana huyu 🌹
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 Ай бұрын
Ahaaaah nimecheka Jaman umesema point kaka
@Noelkitoi
@Noelkitoi Ай бұрын
Ccm aitaki mtu mkweli tuko pamoja mzee
@gracemima5234
@gracemima5234 11 күн бұрын
Ksbisa. Majamgili ndiyo yanaonekana yana haki.,Bila aibu utsfiliri watanzania wote wajinga. CCM kimekuwa chama cha majamgili. Wengi wamenyamazishwa na wamekubali. Inashamgaza.
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x Ай бұрын
Up down, down up
@FelicianSimon
@FelicianSimon 29 күн бұрын
😂😂 big brain bro
@gracemima5234
@gracemima5234 11 күн бұрын
Vyama vyote CCM ams Chadema ukiwa mjinga ndiyo uta fit, vyote havifsi kwa voongozi wawo wasiokuwa waaminifu. Rude na hawaaminiki.
@veraisaria
@veraisaria 16 күн бұрын
Huyu jamaa ana akili nyingi sana😊
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 Ай бұрын
Angalia yaliyomkuta Horace Kalimba
@knight6757
@knight6757 Ай бұрын
Ndugai alikuwa wapi awamu ya 5 ??
@knight6757
@knight6757 Ай бұрын
Utamaduni !!
@gerevasliyunga9831
@gerevasliyunga9831 8 күн бұрын
Magufur alipokua madalakani nilisema,,,magufur akiachia nchi,,,,basi jina lake ndio mwisho wa ccm, acha tuone 2025😂😂😂😂
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c Ай бұрын
Ni ukwel CCM hua haitaki mtu anaechambua vitu kwa uwaz ,maana ukichambua ukwel wanakusimamisha ,uzur tunaonaga wakiyafnya hayo,
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Msimdanganye mpina akina mwabukusi kosa la mpina hata mwanafunzi wa darasa lakwanza analijuwa .Umepeleka ushaidi kwa spika tena kwa maandishi unaitaje vyombo vya habari unatoa taarifa yote .Viongozi wa Chadema kama mnamtaka ajiunge na chadema sawa endeleeni kumdanganya naye akiwakubali atakuwa mjinga kama ninyi viongozi wa chadema na mawakili wajinga
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u Ай бұрын
Ulitaka afanyeje huoni kuwa huo ushahid usingefanyiwa kazi huon mfumo wa serkl wa kutumia madaraka vibaya?,mpina alifanya vizuri kuita vyombo ili jambo liwe waz maana hata kumfukuza ni sawa kwa maana watz tunataka tunyooshana hata ikiwa ni kwa nguvu
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Ай бұрын
Wewe ndo mjinga, hatuitaji machawa, hiii nchi imeihalibu vya kutosha #NONSENSE CCM feki tumewachoka
@emmanuelnila1305
@emmanuelnila1305 Ай бұрын
Achana na chawa mjinga huyo haoni kazi anayoifanya mpina​@@wadeelegbogun3015
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
Huyu jamaa namfatiliaga comments zake nyingi yupo kiushabiiki wa kusifia serikali ya ccm tu hata km kuna mahala hakuko sawa, kifupi huyu ni chawa wa ccm
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Ай бұрын
Ushahidi wake angeusema hadharani bungeni siku aliyoambiwa athibitishe uhuni kwenye sukari ungesema ujinga huu? Yaani sisi wenye Mali kuletewa ushahidi wa mwizi ni kosa? Walitaka kuficha nini? Mpina anawajua uhuni wao na amechagua njia Bora ya kuufunua
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 6 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 33 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 50 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 6 МЛН