MWAMBA AMKAANGA CHIEF GODLOVE,UTAJIRI WA WATU WA MITANDAONI UNA SIRI NZITO AANIKA KILA KITU DUU!!

  Рет қаралды 1,444

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@eltonmika2797
@eltonmika2797 42 минут бұрын
Wachawi wanateseka sana na hela za chief
@michaelpatrick9317
@michaelpatrick9317 3 сағат бұрын
Hivyo ndivyo anavyopata pesa bwegee huyoo
@eltonmika2797
@eltonmika2797 41 минут бұрын
Hao unaowataja ni maskini waliochangamka ndyo mana wanafanikiwa peke yao.
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 12 сағат бұрын
Watz wanavituko sana😂😂😂😂😂😂 wepesi kudanganyika ,,,,ukisikia Kuna msaada na unatanguliza pesa ,huo ni mtego
@eltonmika2797
@eltonmika2797 43 минут бұрын
Hvi kumbe hko chuoni ndyo mnafundishwa hvyo, msomi yeyote ni fala tu kama akili zenu ndyo hzo, nyie ndiyo wale wa yes boss.
@ChireGriffin
@ChireGriffin 20 сағат бұрын
Chief ameanza kuwa na pesa kabla ya hiyo magroup
@ibrahimsaid4263
@ibrahimsaid4263 Сағат бұрын
Toa ujinga wako hapa tafuta hela Fanya kaz Kwa bidii wekeza kua na nidhamu ya hela unatoboaa
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 59 минут бұрын
We lazima umemuelewa chief, nenda ukaliwe kichwa mzee. Siri ya utajiri ni kufanya kazi kwa bidiii. Me nimekupa Siri bure na bado utabisha utamtaka chief. Me chief namjua toka hana mia
@CholoMwamba
@CholoMwamba 23 сағат бұрын
Nimekuelewa sn mimi alinitafuta yy uyo chiff aliniambia nitoe laki nikiwa tayali anitumie namba ya kutumia pesa
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 10 сағат бұрын
Watatapeliwa mpaka basi wajinga ndio waliwao😅😅😅😅
@Blessing_uk
@Blessing_uk 4 сағат бұрын
😂😂 kwann amtuulzi ss tuliopo kwenye grop mnakalia kupga pga keleletu..ehe hzo fedha zote ata kam anazivuna lkn si anatupa mbinu zakupata hela sasa kma mm kwasku naingiza laki saba kwa mwez milon21 swar je akiniambia kutoa lki 3 nivibaya??harafu hzo hela mbna auzipgii matumiz au ukumbin ni bule chakula bule kulala bule n.k kichwa kubwa akili kisoda😂😂😂😂
@SundayMbatia-hr8qp
@SundayMbatia-hr8qp 4 сағат бұрын
Nan atakupa mchongo wa siku kuingza laki 7 we kinabo😂😂😂. Acha tamaa Fanya kazi, izo tamaa zenu ipo siku mtakuja kupgwa mashine, kuku nyie
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 2 сағат бұрын
Hawa ndiyo wasomi wetu kajisahau kwamba hata Yeye ametumia mamilioni katika kusoma atwambie kama karudisha pesa za karo za wazazi wake,mbona semina za wachungaji zinafanyika na watu wanatozwa viingilio vya hatari mbona upigi kelele?Mbona watu wanalipa 500laki kushudia show ya mondi hadi 1ml mbona hao hauwaoni?Mbinu za kibiashara huwa zinauzwa katika mataifa yaliyoendelea !
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 6 сағат бұрын
Wajinga niwengi kaka hesabu hiyo ndo namimi nimesha ipga kitambo
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 7 сағат бұрын
Wajinga waliwao
@yordanyona1234
@yordanyona1234 11 сағат бұрын
wewe sasa ni mwongo ulianza vizuri umemaliza vibaya ... hakuna semina ya kumfanya mtu kuwa tajiri... ninachokijua matajiri wote wanajifunza kila muda wanajifunza nini hata hao wakina MO WANASOMA NA KUJIFUNZA MARA KWA MARA MPAKA NJE YA NCHI
@SundayMbatia-hr8qp
@SundayMbatia-hr8qp 4 сағат бұрын
Sasa uyo chief atakufunza nn wakat atumuon ata kaz anazofanya?? Hao akina mo tunaona michongo Yao
@michaelpatrick9317
@michaelpatrick9317 3 сағат бұрын
Hivyo ndivyo anavyopata pesa bwegee huyoo
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
AHMED ALLY AKITOA TAARIFA YA KIKOSI BAADA YA KUWASILI ANGOLA
8:34
Simba SC Tanzania
Рет қаралды 26 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 797 М.
MIKOPO ITOLEWAYO MKOMBOZI BANK
4:20
Mkombozi Commercial Bank Plc
Рет қаралды 2,6 М.
Agizo la Rais Magufuli kuhusu Wamachinga
22:08
Millard Ayo
Рет қаралды 345 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН